MI NATAKA MWANAUME ANIPE PESA KULIKO WANAUME WOTE, HESHIMA APELEKE KWAO - HELLO MR. RIGHT

  Рет қаралды 35,402

ST BONGO TV

ST BONGO TV

Күн бұрын

►Instagram / stbongotv
►TikTok / stbongotv.tz
►Facebook / stbongotv
►Twitter / stbongotv
ST BONGO TV Channel 401 (Dish) 161 (Antena) on Startimes Decoder

Пікірлер: 88
@geselaoscaremanuel6481
@geselaoscaremanuel6481 11 ай бұрын
Doctor Leo umependeza sana
@bongoupdatestv9322
@bongoupdatestv9322 11 ай бұрын
Mrembo wa kwanza kaongea kwa hekima na ni mrembo kweli kweli. Vijuso sasa😂😂😂
@irakozenicole3154
@irakozenicole3154 11 ай бұрын
😂😂😂😂
@CelinCelineort
@CelinCelineort 11 ай бұрын
kweliiiii kabs❤
@CelinCelineort
@CelinCelineort 11 ай бұрын
nimekupendaaa bureee achana na uyoo eliza ameshachundaaa chiziii ilo
@bongomastory791
@bongomastory791 11 ай бұрын
Ila huyo Eliza hamna kitu anajiona mzuri alafu hana akili na huyo Zarish aende akajiangalie kwenye kioo vizuri
@daineszephrinedaineszephrine
@daineszephrinedaineszephrine 11 ай бұрын
Hao wanatafta kazi sio pesa 😂
@mycmeranyswai7957
@mycmeranyswai7957 11 ай бұрын
but eliza ni mzuri
@sabbichristopher3613
@sabbichristopher3613 11 ай бұрын
@@mycmeranyswai7957 Ana uzur gan? Au mm sion kakaa kama kibibibi hv😂🙌
@HawaSwaleheh
@HawaSwaleheh 11 ай бұрын
Tena huyo zarish sura ngumu kama take la kiwete
@giddie_barnabas
@giddie_barnabas 11 ай бұрын
eliza ni mrembo kweli rangi,sura vyote kajaaliwa ila hana akili
@sabbichristopher3613
@sabbichristopher3613 11 ай бұрын
Ana uzur gan? Au.mm sion kakaa kama kibibibi hv😂🙌
@CelinCelineort
@CelinCelineort 11 ай бұрын
nimekupendaaa buree kipenz umeongea vzriii sanaaaa
@TumainiLamay
@TumainiLamay 11 ай бұрын
Akuna wake apo. Au mke... hao ni wanawake
@godlovemanase3423
@godlovemanase3423 11 ай бұрын
Ivi eliza bado hajapata andazi lake😂😂😂😂
@joycenzilani5891
@joycenzilani5891 11 ай бұрын
I love you lulu umewapa good advice
@NainaNaina-u8b
@NainaNaina-u8b 11 ай бұрын
Zarish ziwa saa 12 alafu unajishauwa Eliza ndo umri umeenda kabsa yaani ingekuwa mm ndo nipo hako kusema ukweli wa mungu napenda sana mwanaume mwenye mapenzi ya dhati ofu ya mungu na pia awe muaminifu ivyo ndo v2 vya muhimu kwa binafsi yangu unaweza kupata mwenye pesa ukakosa furaha pesa zinatafutwa ila mapenzi ya kweli hutoka moyoni
@eminenceboy8386
@eminenceboy8386 11 ай бұрын
Hao sio wanawake nikausha damu😂😂
@EdithaJoseph-zt2xu
@EdithaJoseph-zt2xu 10 ай бұрын
😂😂😂😂 umenena
@flm1530
@flm1530 11 ай бұрын
Wasichan wenzenu wanapamban mpk wanaongezewa cherehani na raisi nyie endeleen kujiuza kweny show ya mr right
@massatujeli3158
@massatujeli3158 10 ай бұрын
ivi hawa mademu wao wanategemea kupewa pesa tuu sawa huko kwenu mna maisha gani
@ustadhisimbula8622
@ustadhisimbula8622 11 ай бұрын
Yaan mtoto wamtu atafute hela zake kwa tabu hakuna kulala halafu nikale na mtoto wantu weeee😂😂 niufala acha nikale pesa zangu na yuleee aliye nizaa ndio mwanamke wapekee namuamin hapa dunian
@OfficialPrisca-b5c
@OfficialPrisca-b5c 11 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@iyanboy4786
@iyanboy4786 11 ай бұрын
Hii ni biashara wallah😂😂😂😂😂😂😂😂
@mariamutowi7084
@mariamutowi7084 11 ай бұрын
Huyo Christina kavaa kama kahaba puuuuh
@AgnesMwanisenga
@AgnesMwanisenga 7 ай бұрын
Huyo bibi mwenzangu ashuke stegni
@beatricemtui8271
@beatricemtui8271 11 ай бұрын
swala la ela limekuwa na upinzani mnoo😅😅😅😂😂😂😂
@YusufHassan-tf1iw
@YusufHassan-tf1iw 9 ай бұрын
Huyu Dada anaongey pwet ila yup sip 2 siyo mzur nawakawaid 2❤
@EvalineKimathi
@EvalineKimathi 11 ай бұрын
Lulu,hawa warembo wako hawako serious,kama this episode ya Leo 9th Feb,wameniboo,,Mr right wa mwisho wawili wa Leo walikua so cool nkt!
@samwelyjulius7277
@samwelyjulius7277 11 ай бұрын
Zarish ajiangalie vzr ana uzuri gani wa kuweka Sheria ya aina ya mume kutwa pesa tu utakesha hapo
@halidhemed7524
@halidhemed7524 8 ай бұрын
Wengine goalkeeper hawatak kufny kaz
@ustadhisimbula8622
@ustadhisimbula8622 11 ай бұрын
Kila mbuz ale urefu wa kamba yake weeee 😂😂
@Lilian2023-pc1lr
@Lilian2023-pc1lr 11 ай бұрын
Kunawanawake wamekosa akili jaman😂😂Yan wanamuomba mungu awape wanamme wenye pesa 😏awajui zinatafutwa😊
@jaelmusanga3111
@jaelmusanga3111 6 ай бұрын
Mujifunze kujitegemeya ma binti. Zarish si mwanamke
@WilifrerdOnesmo
@WilifrerdOnesmo 3 ай бұрын
Eliza hana uzuri wowote alaf kidogo kama dishi lime cheza😅
@dreadlocksspecialist7195
@dreadlocksspecialist7195 11 ай бұрын
The secret is love pesa huwa inafata upendo ukifeli kupenda umasikini utakusumbua mpaka unakufa hawa wengi wa naonekana wametokea kwenye umasikini mkubwa
@RandB_Channel
@RandB_Channel 11 ай бұрын
😂😂😂 yani hawo wanataka tu kupewa pesa nakupendeza tu hawataki mapenzi ya kweli wala kujenga future so sad hakuna chawana wake apo kesho keshoyake mwana umme akikosa atakimbiya
@tabiangonyani3526
@tabiangonyani3526 11 ай бұрын
Uyo aliesema anataka mapenzi hataki hela yupo sahihi na hajamainisha mwanaume asimpe hela coz hela ni majaliwa ya mungu mtatafuta wote mtapendeza2
@DicksonKalla
@DicksonKalla 11 ай бұрын
Mabox yote😂😂😂
@najmasalim-rg6ow
@najmasalim-rg6ow 11 ай бұрын
Huyo dada mwenye wig la blue jaman ajion kwenye kioo
@ChazJulias
@ChazJulias 11 ай бұрын
Wamedanga wameona wanazeeka wakaona waje Mr right
@MwajumShaban
@MwajumShaban 11 ай бұрын
Wanaume mnaowataka Tanzania bado wapo au mje mdange ugaibuni tu😂😂
@JacobTambara
@JacobTambara 8 ай бұрын
Hilo dada la matumizi elf60 kwasiku silpendi kwanza baya
@shumbagirajames6508
@shumbagirajames6508 11 ай бұрын
Maana wanapenda pesa kuliko mapenzi
@hassanhamady4870
@hassanhamady4870 11 ай бұрын
Kwann wasipendeze kwa pesa zao wanataka kutgemea wanaume
@ChristinaPeter-rl9wq
@ChristinaPeter-rl9wq 11 ай бұрын
Sijawai comment ila Leo apana Kwan mpaka wanakuj apo wamependeza lakini wanatak mwanaume mwenye pesa muhimu waangalie mwaume mwenye kujali na kupenda pesa wataenda tafuta pamoj garabe jaribu kuwaelewesha warembo wako
@Zuwena-rn2gx
@Zuwena-rn2gx 2 ай бұрын
Wote kila. Mtu ataka pesa na hawana hata nauli ya kurudi makwao huyo anaevaa nguo mpya kila leo na bado hajapendeza nahicho kiwigi kama bar maid
@amoslucas1247
@amoslucas1247 11 ай бұрын
Hamna mke hapo😢😢, wote wadangaji
@peterelia2446
@peterelia2446 11 ай бұрын
Nyiyi hamu taki ku tumika. Muna itaji pesa. Nyinyi shobo nini😂😂. Mnamke ni msaidizi. Kama una taka pesa tafuta na mumewo.
@mwanaurujuma9254
@mwanaurujuma9254 11 ай бұрын
Wa dada waache tamaa akuna mtu ameenuka akiwa tajiri muhimu mwanaume awe ana kupenda ukwel na kuheshimu,anajua thamani yako mengine pesa mtatafuta mkiwa wote almuhim anapata ya rizki na mambo madogo dogo
@shumbagirajames6508
@shumbagirajames6508 11 ай бұрын
Muna penda pesa sanaa
@EvalineKimathi
@EvalineKimathi 11 ай бұрын
Alafu huyo wa Kununua nguo mpya daily,anunue wig basi
@mkambaselemani-ej7np
@mkambaselemani-ej7np 11 ай бұрын
Kwahiyo hamwazi kujenga mnawaza kupendeza Malaya kweli
@timothmgata3636
@timothmgata3636 11 ай бұрын
Camera man uwe una wazoom hao wa dada
@EricOnyamo
@EricOnyamo 11 ай бұрын
Ukipendwa ni lazima upendeze Acana na uyo kma ni Eliza
@halidhemed7524
@halidhemed7524 8 ай бұрын
Kuna wtu hawajui maana ya mapenz hpo
@solomondanny-1507
@solomondanny-1507 6 ай бұрын
Nyie wafanya biashara semeni bei elekezi.
@WilbertCharles-o5j
@WilbertCharles-o5j 11 ай бұрын
Mnahangaika nahao malaya npe nkupe
@UwajenezaJazira-cv7et
@UwajenezaJazira-cv7et 11 ай бұрын
Sasa mwanamuke wakunkankania urembo kupendeza kweri akuna mwanamuke hapa pesa nimugeni sasa akikuwoa akiwa nazo ikatokea zinaisha nainawezekana awa watakimbi Unyumba unamengi wakifika watashangaa
@banguha
@banguha 11 ай бұрын
Hakuna mwanamke hapo Yan wanawake wote ni pesa pesa tu kwan nyie hamuwez kutafuta pesa achen ujinga
@shumbagirajames6508
@shumbagirajames6508 11 ай бұрын
Mutawazowelesha vibaya hawo wanawake
@macfarlanekattikiro6627
@macfarlanekattikiro6627 11 ай бұрын
mbona huyo lolo anafanana na Nelly yule aliekuwa anakaa podium ya kwanza au ni mimi na maccho yanguu
@timamulituto
@timamulituto 11 ай бұрын
Nilichoona akuna wakuoa apo SEMA tu Ayo madanga yamepata nafas yakujitangaza apo
@omuze1290
@omuze1290 11 ай бұрын
Hakuna wanawake hapo wa kuoa. Gold diggers hao!
@mercychepteekilovethismovi912
@mercychepteekilovethismovi912 11 ай бұрын
Rita namekupenda bure sana uko Sawa kiakili kabisa
@kutokakutoka8730
@kutokakutoka8730 11 ай бұрын
Ikitaka pesa kuliko mapenzi pia ujue kuzitafuta si unataka pesa na hujui matumizi yake
@SharifSadiki
@SharifSadiki 11 ай бұрын
Nimegunduwa hawa wanawake wengi wao wapo hapa kwakujiuza
@melanialeonard4031
@melanialeonard4031 11 ай бұрын
Hizo pesa mnazotaka kupewa na wanaume nchi yenyewe hii ilivo ngumu hata na nyie mngekuwa nazo msingefika hapo
@BeatriceMathew-qy5lw
@BeatriceMathew-qy5lw 11 ай бұрын
jaman muwe mnaangalia hata mavazi yao kidogo yani kama christina hapo kavaa bulazia yupo stegini
@annabaraka-fo3mv
@annabaraka-fo3mv 10 ай бұрын
Kwan kujali maana yake nn?
@nnedynshimirimana
@nnedynshimirimana 11 ай бұрын
Sijawahi Ku koment, Ila baadhi ya wanawake walipo hapa weng wao niwale waliotumika Kish wakatupwa kwakua niwajinga hawana fikra za kujenga
@isackmbade3181
@isackmbade3181 11 ай бұрын
Hamjaja kutafuta wanaume mmekuja kuuza sura
@AbdallahRashid-ry9pb
@AbdallahRashid-ry9pb 11 ай бұрын
Wanaonekana wako kibiashara tu hawana future yoyote,apo wanatafute mume au masponser??
@ElizabethMwaijonga
@ElizabethMwaijonga 11 ай бұрын
Warembo wapo kazini hawapo kutaka mume wa kweli
@nangasixmshamba
@nangasixmshamba 11 ай бұрын
Siku izi hapa munatangaza bishara ndiomana hata viewers wanapungua
@innocentkanyata9923
@innocentkanyata9923 11 ай бұрын
Kama anatafuta pesa afanye kazi tu sidhani hapo kama sehemu sahihi ya kutafuta fedha
@nangasixmshamba
@nangasixmshamba 11 ай бұрын
Sasa kama wanajiuza si waende wakadangue uko
@melanialeonard4031
@melanialeonard4031 11 ай бұрын
Huko pa kujiuzia saiv wanakimbizwa
@hamisiismaili6342
@hamisiismaili6342 11 ай бұрын
Nyie madada malaya sijui apo mnafanyaje kama mnataka pesa simkajiuze kweny madanguro uko mapenz napesa niwapi nawap kama nimavazi si nitakununulia yan hammna akili kabisa pumbavu sana nyie kama mnafanya biashara mseme kabisa
@mariamsaid2535
@mariamsaid2535 11 ай бұрын
60000 kwa lipi???Ukienda bar sh ngap unapata huduma ile ile
@beratsanoo5778
@beratsanoo5778 6 ай бұрын
Wanawake nyie ni mashetani kumanina zenu,Tafute pesa wenyewe mbwa nyie
@mkambaselemani-ej7np
@mkambaselemani-ej7np 11 ай бұрын
Yani akaibe anyanganye ili tu wewe upendeze hao Malaya kbs
@mariamsaid2535
@mariamsaid2535 11 ай бұрын
NA NINYI C MUTAFUTE PESA AU....MUPEWE PESA TU????
@hajiabdalla5772
@hajiabdalla5772 11 ай бұрын
Hao wote wadangaji umalaya.na hawana upendo cha wote.wsshatumika sana kuvuliwa chupi sasa wanatafuta waume na hao wanaokwenda kuwatafuta ni wale wale washkaji wahuni tu watawafunuwa na kukimbia.hebu kuoneshe alieolewa.kupitia hapo biashara munaoifanya ya kujiuza katika mitandao.
@vitaasumani4613
@vitaasumani4613 11 ай бұрын
Hakuna wife material hapo
@EvalineKimathi
@EvalineKimathi 11 ай бұрын
Alafu huyo wa Kununua nguo mpya daily,anunue wig basi
I Sent a Subscriber to Disneyland
0:27
MrBeast
Рет қаралды 104 МЛН
Dream girl Joy refused Brian  ||Hello Mr.Right
16:42
StarTimes Official
Рет қаралды 435 М.
Kısa cha mja mwenye Subra na Hekima - Sheikh Othman Maalim
30:43
MREMBO HUYU UKIWA NA MSHAHARA TU UMEBEBA!
10:00
Hello Mr Right Tanzania
Рет қаралды 264 М.
BALAAA! WAREMBO WOTE WAMEMPENDA MR RIGHT HANDSOME - S04E12
14:59
ST BONGO TV
Рет қаралды 88 М.
ABOMINATION! She whistled at the bachelor | Hello Mr Right Ke
5:11
StarTimes Kenya
Рет қаралды 157 М.