STEP FATHER | 07 | Love Story ❤️

  Рет қаралды 216,193

DONTA FAMILY

DONTA FAMILY

Күн бұрын

Пікірлер: 272
@NekesaPhilis-kk6dj
@NekesaPhilis-kk6dj 2 ай бұрын
Kazi nzuri ila muongeze dakika tafadhali kama unakubaliana na mimi gonga like apa
@cartoonpati2914
@cartoonpati2914 Ай бұрын
Kelvin 🤣🤣🤣
@JastFinancial02
@JastFinancial02 2 ай бұрын
Nani anamkubar loveness tuwatambue wana @DONTA
@JullianaEmmanuel-tm5xg
@JullianaEmmanuel-tm5xg 2 ай бұрын
Naomben huo wimbo please wapendwa,,,nmeupenda sana
@KhairuniSimba
@KhairuniSimba 2 ай бұрын
Jitaidini kuwaisha muendelezo maan mbk tunasahau anaeungan na mm gonga like na comment
@Priscillar-w4l
@Priscillar-w4l 2 ай бұрын
Kweli wajitahidi maana hii tamu bana❤
@UmmuhAhmad
@UmmuhAhmad 2 ай бұрын
Kwelii wanachelewa san
@rachelwamona9485
@rachelwamona9485 2 ай бұрын
Ni kweli kabisa
@GloriaPaulo-f7z
@GloriaPaulo-f7z 2 ай бұрын
na kwely jmn
@jalxs6745
@jalxs6745 2 ай бұрын
Wanachelewa sna my aky
@NasraIbrahim-dw1hr
@NasraIbrahim-dw1hr 2 ай бұрын
Kaz iko vema sana ❤❤❤ukiwa ww mfatiliaj wa Donta TV gonga like
@FurahaChristine-g8w
@FurahaChristine-g8w 2 ай бұрын
Kelvin asanti kwa kazi yako nzuri kwa huruma yako juu ya kusaid8a mtoto asiye kuwa wa kwako
@Arrowjayke254
@Arrowjayke254 Ай бұрын
Kelivin kwa movie zake hucheza,fiti sana good job bro
@JeanJacquesmotivation-hn6tn
@JeanJacquesmotivation-hn6tn Ай бұрын
Kipindi hiki lovness hajakataa hela ambozo haja zitolea jasho yaani héla za mwanaume ajabu sana 😅😂😅 kipindi hiki umejiongeza😅😅😅
@MMlin-bd2mi
@MMlin-bd2mi 2 ай бұрын
Woow leo mm wa kwanza naomba hatakama ni tano tuh
@NeemaYusuph-h2d
@NeemaYusuph-h2d 2 ай бұрын
Sema apo mmetudanganya sabra kabla ajapata matatizo alikuwa kabana nywel yupo hospital ety kasuka kwahy hospital kuna wasusi 😂😂😂😂 but kazi nzur
@anenalukosi6235
@anenalukosi6235 2 ай бұрын
😂😂😂😂
@jalxs6745
@jalxs6745 2 ай бұрын
Ujuwe iyo nimaingizo
@ZamzamMusa-ve5tc
@ZamzamMusa-ve5tc 2 ай бұрын
Wanatuona kama matako yao😂😂😂😂😂😂😂😂
@NaomiSanga-p5y
@NaomiSanga-p5y 2 ай бұрын
Uko makini 😂😂😂
@OnorinaKiza
@OnorinaKiza Ай бұрын
Afu tena sijapenda mtu unamkana mwanao uyo binti mjinga kweli 😂
@RozPeter-s5z
@RozPeter-s5z 2 ай бұрын
Embu tuwapeni maua yao hwa donta famili maan wanatupa burudani sana 🎉🎉🎉🎉🎉
@user-byHappyness20
@user-byHappyness20 2 ай бұрын
Kazi yenu nzuri ❤❤❤much love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@Tice_tz
@Tice_tz 2 ай бұрын
Nilikuwa naisubili sana hii kazi nzuriiii❤❤❤like zangu
@WataraTherence
@WataraTherence 2 ай бұрын
Tunaomba huu wimbo Jamani naupenda sana
@Vivian-s7s
@Vivian-s7s 2 ай бұрын
Bona mkachelewesha jaman nakupenda sana loveness
@KarimaKarima-u5c
@KarimaKarima-u5c Ай бұрын
Nilikuw naisubilia kwahamu sn aisee nipewetu like ata kidog jmn❤❤😂😂
@ashamwanganzi6400
@ashamwanganzi6400 Ай бұрын
Jmn wimbo naupenda mpka bas aisei❤❤❤ congratulations team donta
@FaithMageto
@FaithMageto Ай бұрын
Bongeze Kevin kwa kazi nzuri ❤❤❤❤❤❤❤
@tonykonki1437
@tonykonki1437 Ай бұрын
Kisinje leo wewe mpole sana sio gaindi asante
@dhahabudeche926
@dhahabudeche926 Ай бұрын
🎉🎉❤❤❤movie tamu sana ubaya mnachelewesha
@Arrowjayke254
@Arrowjayke254 Ай бұрын
Movie pia inabamba sana lkn....mwenye hio wimbo Ya movie...noma sana iko sawa ❤❤❤❤
@Malesa255..1
@Malesa255..1 Ай бұрын
🙏💪
@Arrowjayke254
@Arrowjayke254 Ай бұрын
​​@@Malesa255..1Hio ngoma bana ata vnye tunaeza ipata ju mashabiki wenu wakubwa kutoka kenya ndo wanaiomba
@MiryamKiza
@MiryamKiza Ай бұрын
Tunawapenda sana mujikaze kututumiya episode sinayo wata mbiyo ju tunawapenda sana n'a mujitaidi mbiyo
@marthesifa-5803
@marthesifa-5803 Ай бұрын
Nimeupenda sana huuwimbo jamani 😘
@MahaSaeed-hf3gs
@MahaSaeed-hf3gs Ай бұрын
Kazi nzuri lakini mwakawia sanaaaa
@TANZANIA-i7r
@TANZANIA-i7r 2 ай бұрын
Wakwanza ku view Leo nipeni like 200 kama mnaweza
@priverpriva98
@priverpriva98 Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@SalomeKawogo
@SalomeKawogo Ай бұрын
wew nawew kwenda huko
@LeahMbwilo
@LeahMbwilo 2 ай бұрын
Ata mm leo nimewahiii sanaaa
@MwanaidiHussein-c7t
@MwanaidiHussein-c7t 2 ай бұрын
Kazi nzuri sana but mnachelewasha sana
@GloriaMtana
@GloriaMtana Ай бұрын
Kazi safi sana🎉🎉
@asdmom7335
@asdmom7335 2 ай бұрын
Ndani ya dakika tatu🎉🎉🎉🎉pongez kwenu wana donta❤
@JeanmarieNiyogusenga
@JeanmarieNiyogusenga Ай бұрын
Nawapenda sana❤❤❤❤
@milkahmachana
@milkahmachana 2 ай бұрын
Jina la wimbo jmn umeniingia sana....kazi nzuri sana
@RichardkihmRichardkihm
@RichardkihmRichardkihm Ай бұрын
Hadi mm nadai kujuwa uyo wimbo Bana naupeda xan akh
@Malesa255..1
@Malesa255..1 Ай бұрын
Sijautoa
@NeyyVenture
@NeyyVenture Ай бұрын
​@@Malesa255..1jamanii duuh tunaitaji huu wimbo wana donto plz
@FATUMAPASKAL
@FATUMAPASKAL 2 ай бұрын
Leo mm wa Kwanza aa nsombeni like ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@GladysKarembo
@GladysKarembo Ай бұрын
Kazi nzuri congratulations 🎉👏
@SamuelLemburis
@SamuelLemburis Ай бұрын
Tuendele zee ii tumeimisi misi 8 ❤❤❤🎉🎉🎉
@RedempterKith-y2g
@RedempterKith-y2g Ай бұрын
Kazi zuri sana...lakini mnakawia kutoa episode..
@rahabundeje7206
@rahabundeje7206 Ай бұрын
Hivi episode ya 7 ishatoka tyr au bdo maana zinachanganya sanaa
@ValentinaLyakurwa
@ValentinaLyakurwa Ай бұрын
Hongera kelvin kwa msaada wako kumsaidia mtoto
@YusuphYuzoKhan
@YusuphYuzoKhan Ай бұрын
Good talent🎉 @DONTA.
@UnrulyHope-e9j
@UnrulyHope-e9j Ай бұрын
Mm kelvin nakuomba tu muendelezo wa hii episode please please 🙏 ❤
@OmanOman-y7z
@OmanOman-y7z 2 ай бұрын
Hongeleni Sana kwa kazi nzur sanaa 🎉❤❤❤😂tulikuwa tunasubilia kwa amu
@OmariJumaaWaziri
@OmariJumaaWaziri 2 ай бұрын
Congratulations to them❤❤🎉
@mwanakombo8008
@mwanakombo8008 2 ай бұрын
Safi sana ❤❤🎉🎉
@RehemaMwambene-nf3yh
@RehemaMwambene-nf3yh 2 ай бұрын
Kaz yenu n njema 🎉🎉🎉
@FaithMusili-xx1ml
@FaithMusili-xx1ml Ай бұрын
This is so magazine very interesting movie ❤❤❤❤❤❤❤❤
@emmanuelkemboi-q2l
@emmanuelkemboi-q2l Ай бұрын
tafadhali mharakishe kutoa episode nyingine maana tunaisahau haraka sababa mnagawia sana kama mnaungana nami weka likes
@FestusWere-ni4rf
@FestusWere-ni4rf Ай бұрын
Waah ht nyny mnazingua bn movie ht tumesahau
@AminaAbdulkarim-z9u
@AminaAbdulkarim-z9u 2 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉 likes zenu wa kwanzaaa
@AishaRamadhan-i3s
@AishaRamadhan-i3s Ай бұрын
Amina Kila Sini mzeee wa maokoto 2
@LoiceKatana-ci1tx
@LoiceKatana-ci1tx 2 ай бұрын
Kazi nzuri sana🎉🎉🎉🎉❤❤❤
@eunice1552
@eunice1552 2 ай бұрын
Hongereni sana Wana Donta TV kwa kazi nzuri
@AnithaNgonyani
@AnithaNgonyani Ай бұрын
Mnaweka dakka chache haraf mnachelewesha
@joycemuenimutua4506
@joycemuenimutua4506 Ай бұрын
❤❤❤❤ kazi zuri wapenzi 🎉🎉🎉 Kenya
@busimebiringanine5800
@busimebiringanine5800 Ай бұрын
Kazi nzuri Sana ila munachelewesha
@majomasliman7856
@majomasliman7856 2 ай бұрын
Leo wakwanza 😂😂😂😂❤❤❤❤❤ nipeni lik 😂
@JerasKomba
@JerasKomba Ай бұрын
Muendelezo mnachelewaa sanaaa sanaaa
@RespichMrema
@RespichMrema Ай бұрын
Kazi nzr ila tatizo kucheleweshwa kwa kutoka kwa wakati pamoja na dkk chache sana
@AnithaNahimana
@AnithaNahimana 2 ай бұрын
Asant sana hongera san 🎉
@AbilahiBandu-i9g
@AbilahiBandu-i9g 2 ай бұрын
Mashallah kazi mzuri san ❤❤
@JACKLINEKAZUNGU-w3n
@JACKLINEKAZUNGU-w3n 2 ай бұрын
Mnatufunza vizur Ila mnachelewesha jamen❤❤
@arikibok4735
@arikibok4735 Ай бұрын
Courage ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
@lutfiasuleiman
@lutfiasuleiman 2 ай бұрын
Aaah unatoajee damuu bila ya kupima kam ni muathirikaa jee
@NathKadima-bm4uc
@NathKadima-bm4uc 2 ай бұрын
Wakwaza Léo nipe liker APA Kevine ❤❤❤🎉🎉🎉🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@Arrowjayke254
@Arrowjayke254 Ай бұрын
Kama umependa hio Wimbo ya movie gonga like❤❤
@Clamvevo-y2g
@Clamvevo-y2g Ай бұрын
Kazi nzur jaman nawapendaa
@SalesiaMatinya
@SalesiaMatinya 9 күн бұрын
Jina la wimbo tafadhali
@Arrowjayke254
@Arrowjayke254 8 күн бұрын
@SalesiaMatinya 𝑢𝑘𝑤𝑒𝑙
@SophiaPaulo-w4i
@SophiaPaulo-w4i 2 ай бұрын
Kaz nzur sana kelv mungu akubariki abariki na Kaz yako
@HaznaLuhanjo
@HaznaLuhanjo Ай бұрын
Huyu dokta duuu😮😊
@ClaudeAdolphe-x7x
@ClaudeAdolphe-x7x Ай бұрын
Ongereni sana🇨🇩
@HELLENLUMASIA
@HELLENLUMASIA Ай бұрын
Mnachelewesha sana Hadi tunasahau
@gracebaya7007
@gracebaya7007 22 сағат бұрын
Wow napenda sana movie zako Donta, ila huyo mtoto anakufanana benja😂😂
@MutoleMutwale
@MutoleMutwale Ай бұрын
Kwa kweli inakawiya sanaa
@salhamsekeni907
@salhamsekeni907 2 ай бұрын
❤❤❤Mwachelewesha mno
@Fah-pz8of
@Fah-pz8of Ай бұрын
Habali zenu wazima kabisa step father part 8 inatoka lini mm fetty ktk dar asante
@GraceWilliam-qy5wn
@GraceWilliam-qy5wn Ай бұрын
Mmetuongopea jmn hilo drip mmegeuza 😊😊
@GraceWilliam-qy5wn
@GraceWilliam-qy5wn Ай бұрын
But good job kelvin🎉🎉🎉
@N.Euphrem
@N.Euphrem 2 ай бұрын
Movie 🎥 nzuli sana naomba likes 🇧🇮
@Hilderkarema
@Hilderkarema 2 ай бұрын
Kazi nzuri wana donta family lkn mnachelewesha mno
@RozPeter-s5z
@RozPeter-s5z 2 ай бұрын
Msicheleweshe sana jamn
@fatumaselemani3807
@fatumaselemani3807 Ай бұрын
Mashallah ❤❤mungu abaliki sana kazi zenu mbona amtumi linki jamani 😢
@RaïssaYannick
@RaïssaYannick 2 ай бұрын
Duuuuuh mnachelewa san aisee😊
@tigejuma9865
@tigejuma9865 2 ай бұрын
Leo uku imekua tofauti kiasi...Loveness kapokea pesa za kununua simu..!!? Maajabu hayo....amekubali Leo! Wakati Kelvin aliongea Mpka akachoka...akainunua akaileta na pia bado akarudi nayo...lovenes aliipindisha😅😅
@FatmaHassan-y5n
@FatmaHassan-y5n Ай бұрын
Wana Kaz nzur sana ila wawahi Sasa tusiwe tunakata tamaa
@AndjelaniJohn
@AndjelaniJohn Ай бұрын
Mnajisahau sana jamni waishen basi
@OctanceIsse
@OctanceIsse 2 ай бұрын
produits similaires dans la belle saison
@Phoebenafula
@Phoebenafula 2 ай бұрын
Wa mwisho kutoka Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤❤❤🎉🎉🎉mkinipa ni sawa
@AishaRashed-m5o
@AishaRashed-m5o Ай бұрын
Had tumeshasahau Kam kulikuwa na mov zur Kam hii😮😮😮
@Bintabubakar-id2so
@Bintabubakar-id2so 2 ай бұрын
Nani anakubar hakakawimbo pita na like ap🎉❤❤
@rashidyally4336
@rashidyally4336 2 ай бұрын
Honngereni wa dada mnaprndeza sana
@LazaroZabron
@LazaroZabron Ай бұрын
Mbna kama mtoto anamkataa loveness 🎉🎉🎉
@Emilymama2boys
@Emilymama2boys Ай бұрын
Katoto ka cute 🥰🥰
@TatuMkeso
@TatuMkeso Ай бұрын
Hongera sana wanadonta
@ChristineKesi-k9r
@ChristineKesi-k9r 2 ай бұрын
Hivi hizi movies kwan tz mnatoa hela kirahisi rahisi tu ivo,naona ntakuja huko😂,ukisema huna cmu,tayari ushapewa hela,ukisema huna rent tayari wapewa majihela😢🎉
@GabrielEmmanuely
@GabrielEmmanuely Ай бұрын
nikajua huyo huyo dada alikufa kumbe bdo anapumua😅😅😅😅😅
@kineric2769
@kineric2769 Ай бұрын
Hii mouvi ni nzur Sana SEMA tu wanacherewesha Sana Hadi tunaisahau
@ChristineKesi-k9r
@ChristineKesi-k9r Ай бұрын
Step father tuleteeni part 7 pls
@AlfredNgonyani-l2x
@AlfredNgonyani-l2x 2 ай бұрын
Mnakuwa na mambo mengi sana machelewesha sana
@MichaelFundy
@MichaelFundy Ай бұрын
Naombeni hii filamu mwaishe episode iliyo mbele twagoja sana jamani 😢anayeungana na mm goga like
@BetriceAlphonce
@BetriceAlphonce 2 ай бұрын
Jitahidi kuwatisha kazi nzur
@HELLENLUMASIA
@HELLENLUMASIA Ай бұрын
Donta family mm uliamua hamtaendeleza hii movie tuekeni wazi tuwache kuwa vichaa kila Saa tunachungulia na hamjaposti
@JerasKomba
@JerasKomba 2 ай бұрын
Muwe mnawaishaa bnaaa
@SamouOman
@SamouOman Ай бұрын
Kazi nzur jaman nawapendaa
@rtrw708
@rtrw708 2 ай бұрын
Kazi nzuri
@auleusmuyamba4208
@auleusmuyamba4208 2 ай бұрын
Movie kaliii...ila mnachelewesha sana Hadi tunasahau
@PRINCE_NYAKUNDI
@PRINCE_NYAKUNDI 2 ай бұрын
Hila mnachelewa mbaka tunasahau mahali tuliachia 😢😢😢
STEP FATHER | 08 | Love Story ❤️
20:04
DONTA FAMILY
Рет қаралды 158 М.
BROKEN HEART | 01 | 💔 LoveStory
25:23
DONTA FAMILY
Рет қаралды 16 М.
小丑女COCO的审判。#天使 #小丑 #超人不会飞
00:53
超人不会飞
Рет қаралды 16 МЛН
Quilt Challenge, No Skills, Just Luck#Funnyfamily #Partygames #Funny
00:32
Family Games Media
Рет қаралды 55 МЛН
Mpoki, Mtanga, Eliudi | Mkutano wa wanakijiji
9:22
CHEKESHA TV
Рет қаралды 513 М.
NDOA YANGU full movie 2025
1:18:01
UTAMADUNI MEDIA
Рет қаралды 202
MKE WANNGU ❤️💞 | Love Story
23:09
DONTA FAMILY
Рет қаралды 673 М.
SHEMEJI | FULL MOVIE | Love Story ❤️
30:10
DONTA FAMILY
Рет қаралды 184 М.
STEP FATHER | 01 | Love Story ❤️
26:24
DONTA FAMILY
Рет қаралды 531 М.
NDOA YANGU 😭💔 Love Story
31:51
DONTA FAMILY
Рет қаралды 526 М.