KZ
bin
Негізгі бет
Қазірдің өзінде танымал
Тікелей эфир
Ұнаған бейнелер
Қайтадан қараңыз
Жазылымдар
Кіру
Тіркелу
Ең жақсы KZbin
Фильм және анимация
Автокөліктер мен көлік құралдары
Музыка
Үй жануарлары мен аңдар
Спорт
Ойындар
Комедия
Ойын-сауық
Тәжірибелік нұсқаулар және стиль
Ғылым және технология
LEO STEVE KAWA MJANJA KWA BAILAM
11:53
LEO STEVE KAYAKANYAGA KIMEUMANA DOGO SELE
13:13
伪装成一棵树整蛊妹妹,结果妹妹当场怀疑人生竟要揍我?【两只马儿-恶搞姐妹】
00:57
Cat mode and a glass of water #family #humor #fun
00:22
Mom Hack for Cooking Solo with a Little One! 🍳👶
00:15
Мясо вегана? 🧐 @Whatthefshow
01:01
STEVE NA MKEWAKE ANAOA HUYU NDO MKEWAKE
Рет қаралды 458,115
Facebook
Twitter
Жүктеу
6400
Жазылу 1,7 МЛН
Steve Mweusi
Күн бұрын
Пікірлер: 457
@KibweOnlineTv
4 ай бұрын
Daah, Ila Dishi la steve limeyumba 😂😂😅😅 nmecheka hapa machozi yamenitoka ukiacha Steve mweusi Komedian wangu mwingine joti nyie 😅😅😅
@dwamburu1
3 ай бұрын
Mimi ni Mkenya ambaye ana chekeshwa sana na hivi vipindi vya Steve Mweusi.
@AllyUmuganwa
4 ай бұрын
Steve utaniuwa nakubali 😅😅😂🎉❤❤ upewe mauwa yako na mungu azidi kuibariki kazi yako 🙏🙏🍾
@JaphetyMussa
4 ай бұрын
Mwamba wa comed, nakukubali sanaaaa, acha mungu akutie mkono maan umetoka mbali san
@nelsonweche9630
4 ай бұрын
Steve mm kama fan wako naomba tu tufanye kazi Moja safi na nitashukuru
@Mayasa-o2w
4 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂.haki Steve jamani yani nacheka mpaka mikojo heti kaja kujitambulisha 😂😂😂
@Manujuniorcaxton
4 ай бұрын
ak uyuu
@hamisisalim
4 ай бұрын
Wallah Steve anaua watu na hizi movie zake
@hamisisalim
4 ай бұрын
Steve wallah Mungu akuweke InshaAllah 🤲
@marykisara6692
4 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@zahraabdul9652
4 ай бұрын
Ila Steve nimecheka Hadi mbavu zangu nafaa kwenda check-up hospitalini 😂 wah
@nizytz7273
4 ай бұрын
kijana anae tuwakilisha wana katavi kwenye comedian inshallah namimi tawakilisha kwenye muziki ngoja nikaze tuu🙏🙏
@AyubuFumbi
4 ай бұрын
Stev me mdowako niko dodom natwaa ayubu me nakukbali sana kaka had nalia kwasababu mungu katupatia comed wa tanzania kaka pamoja amen
@anangisyebukuku8735
4 ай бұрын
Unalia nini sasa acha upuuzi mtoto wa kiume
@Esherny24
3 ай бұрын
@@anangisyebukuku8735amenichekeshaaa😂😂 in marioo voice
@JonasSheni
2 ай бұрын
Steve ni miongoni mwao favorite artist ndani ya tz
@Donpes25
4 ай бұрын
Stive wewe unaweza kuigiza sana ni kipachi Chaka Mungu akuzidishiye sana🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@TexicanWarrior
2 ай бұрын
Amadi kijicho official hapa wapi like from Kenya kwa dazeti🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@ChachaKihuti
4 ай бұрын
Daah hii steveni nihatar kaka umeuwa Yan wew nimubunifu sana Yan kazin zako kaka nihatali kabisa
@LoveeJoshua
4 ай бұрын
Steve dish limeyumba sana, huyu dada sijui alifumba macho wakat anamkubalia steve..😂
@Tinamadega-h3c
4 ай бұрын
😂😂😂😂😂stevee eeeh umeshindikana no one like uuuuu aiseee unajuaa sana we kaka❤😊
@fadhiliakida8609
4 ай бұрын
Steve ni mwehu sana sijawahi kumuona akiwa serious dah 😅
@KafrogyPep
4 ай бұрын
Mary na Steve ni washkaji kinoma.. Aziza mpole sana Alafu matured..
@AmiryJuma-fy6pz
4 ай бұрын
Namkubali Steve mweusi miaka mia nimecheka sana Yan
@Visangi601
4 ай бұрын
Ila p didy😂😂😂😂😂 ivi ndaro ange waona mnachezezeya tunda❤
@jacondeboy
4 ай бұрын
@@Visangi601 😂😂😂
@Esherny24
3 ай бұрын
😂😂 nmechekaa
@UmuufatumaSalumu
19 күн бұрын
Jmn steve Yuko vizur mashaallah 🎉❤ mung amzdishie kipaji chake
@djpatruick
4 ай бұрын
Steve yani nakupenda mpaka basi 😂😂😂🇧🇮
@SeifSalim-qm5bo
4 ай бұрын
Hehehehheh kuababko steven mimi ni wakunichekesha urusi
@GeneralClarho
4 ай бұрын
Family Steve, você é melhor artist for TZ, General Clarho ❤
@joshuambise-d6b
4 ай бұрын
Hivi kweli steve unaeza kua serious wewe maan nataka nkifanye mshenga broo nipo seriously ❤😂
@JosaphatAjabu
4 ай бұрын
Kk styve una uwa kk kuja kwetu Congo drc baba
@DieudonnéKatandamusonga
4 ай бұрын
P diddy a marqué dans sim deux des nos stars 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@KithekaMwania
4 ай бұрын
Aky steve amewenza round hii amekula sabun na towel ❤🎉🎉🎉🎉🎉 😅😅 😅😂
@Menedja
4 ай бұрын
Tundaro angewaona m'na chezea tunda❤😂😂😂😂
@abednegomichael-c1n
4 ай бұрын
Steve mweusi ndo mrithi wa Kanumba ❤
@InukaUangaze-s3y
3 ай бұрын
Steve jamani ukweni mbavu zangu zimeisha 😂😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉
@lindauma982
4 ай бұрын
😂😂😂😂 Steve ww una nn jmn ukwe ndivyo wajifanya daah😂😂😂😂
@malikahiribae
2 ай бұрын
Jamani Steve kweli hapa kachekesha 😂😂😂😂 napenda sana kiukweli 😅
@MsNajma-j7e
3 ай бұрын
Waray nimecheka kwa saunti😂😂😂😂😂😂 Steve we mweu sana
@kinotimringera
4 ай бұрын
Steve namkubali sana kutoka 🇰🇪
@AaAaarehema
3 ай бұрын
Aky huyu Steve, kujitambulisha ni huku kweli.😂😂😂😂😂😂😂
@djbegge_tz
4 ай бұрын
😂😂😂😂ila we msenge steve😂😂😂
@JuxOmari
4 ай бұрын
😂😂 iyo dance ya stave kama kuna mkongomani🇨🇩🇨🇩 yoyote ambae anakuaga anaikubali basi akuje apa 😅😅
@HoricielMutunda
4 ай бұрын
Kwali Léo nimewayi🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🎉🎉🎉🎉🎉
@AUGENSYLIVAND-rq7hz
4 ай бұрын
Kwakweli 😢😢😢😢😢😅😅😅😅nyie ni noma Steve mwesi juuuuu
@NyenjeNdeu-u6p
4 ай бұрын
Steve na hiyo staili😂😂😂😂😂
@thomasmumo8140
4 ай бұрын
Steve tunakupenda sana apa Kenya 😂😂😂
@Jasweety
4 ай бұрын
Ndaro angewaona mnachezea Tunda😂😂😂😂
@changomajuma9841
4 ай бұрын
Hehe that line though
@jacondeboy
4 ай бұрын
😂😂😂😂 tunda
@marykisara6692
4 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@ngwenasolutions
4 ай бұрын
😂😂😂😂
@Destiny-Ira
4 ай бұрын
ndaro angewaona mnachezea tunda🤣🤣🤣 mimi hapa nasubiri comment za ndaro tu 😝🤣🤣🤣
@youngtynna4748
Ай бұрын
Eti mama amina nika wambia aakhaa😅😅😅😅😅
@mwarabuofficial5241
4 ай бұрын
Aliemfundisha Steve hiyo style ya kucheza kwa kuchezesha miguu Mungu anamuona..😂
@AbdulkingMswaty
4 ай бұрын
Aliyoyasema ndaro kwamba ukiachana ukomedia Wa stivu stivu kweli ni chizi nimeamini😂😂😂
@Jacklinejohn7
4 ай бұрын
Ila najizuia nashindwa😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@Robeen_fx
4 ай бұрын
Ila p_Diddy😂😂______Ndaro angewaona mnachezea Tunda😂😂😂🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@VincentJunia-y6y
4 ай бұрын
Nice job bro congratulations 🎉❤🎉🎉🎉
@NzeyimanaMariamu
4 ай бұрын
Wallah nyie mungu ana waoneni nimecheka hahahahaha😂😊
@ArKellyodenumz-dg5yh
4 ай бұрын
Kaka naku kubali saaaaaaana❤
@AUGENSYLIVAND-rq7hz
4 ай бұрын
Kwaito unajua kuicheza😅😅😅😅😅😅😅😂😂😂😂
@SheZzbendDior
4 ай бұрын
Nakubali sn
@DavidMoshi-t3o
4 ай бұрын
Ndaro angewaona mnachezea tundaa😅😅😅
@acrayog5227
4 ай бұрын
sema hiyo staili😂😂😂😂 Ila p didy aiseeee😅😅😅
@BonithNimpagaritse-s4d
4 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Ndaro angewaona mnachezea tunda😂😂😂. Yaaani we steve
@ElijahMutemi-t1k
4 ай бұрын
Steve unakuaga serious,,, niue sasa😅😅😅😅😅
@hassanRijal
4 ай бұрын
Hii nzuri 🎉🎉❤️
@OscarDzombo
4 ай бұрын
😂😂😂😂😂napenda hapo mwisho nmecheka kma chizi, pigaaa hela yakoo
@MercyKahindi-go2nr
4 ай бұрын
Jinga sana steveee wooooiiiii😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@DishaniDisha-zm2gm
4 ай бұрын
Good job Mr steven mweusi
@AbleChilafwaya
3 ай бұрын
Wonderful actions my brother Steve
@alfredtebeka2497
4 ай бұрын
Ndaroeeeee unaitwa huko brooo😅😅😅
@HeisKhan
4 ай бұрын
Steve na style ya butterfly 😂
@PiccaloPick
4 ай бұрын
Iyo mifuko steve utafungwa😂😂
@reybrizz854
4 ай бұрын
Waaah Steve mweusi
@paulmatenga666
4 ай бұрын
Ndaro angewaona mnchezea tunda❤😂😂
@nobletz
4 ай бұрын
Leo nimekuwa wakwanza ila siitaji like leo ❤
@ExaviourSimiyu
4 ай бұрын
Mm mkenya nabambika sana mm n comedian nitakuja uko ivi karibuni
@ExaviourSimiyu
4 ай бұрын
Tutakutana cku moja
@TushBeib-ni4ny
4 ай бұрын
Nmecheka paka nmelia, ndio mana ujaolewa😂😂😂
@haruniblackson1318
4 ай бұрын
😂😂😂, Steve utaua watu fara wewe, 😂😂
@victorodinga7722
4 ай бұрын
Ahaaaaa 😅😅😅akili zako Steve pthooo
@happinessMsuya-e2m
4 ай бұрын
Sio kwa huyo mkwe yani steve 😂😂😂😂😅😅😅
@LemihTz
4 ай бұрын
Kwa hali hiyo huwezi kupata mke 🤣🤣
@Janvier-y4r
4 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂Steve mweusi Family oyeeeh
@MarcoAthumani
4 ай бұрын
Ndaro angewanaona mnachezea tunda😂😂😂😂
@smartdiamondOfficial
4 ай бұрын
✍️hii ndiyo Tanzania🙏 yangu niliyo izoweya .famchezo niniiii🤣🤣🤣
@Craze03-p7a
4 ай бұрын
Unakula tunda ya ndaro mshenzi😂
@AngelinaMasanje
3 ай бұрын
Dah steve nimecheka mpka machozi kmmke😂😂😂
@lemmyajabu8348
4 ай бұрын
Ila p diddy😂😂😂
@IsayaWachakana-vz3fw
4 ай бұрын
Steve unaeza nifunza hiyo staile ya kucheza 😂😂😂
@MussaMbisa-z8c
4 ай бұрын
😀😀😀steve mwehu sana
@SalvanoSakey
4 ай бұрын
Ujawahii niangusha brother😂😂😂😂
@IBALMO___JR
4 ай бұрын
Team STAVE nyote like hapa
@NancyNanjala-p5w
4 ай бұрын
Wee Steve huwa unanipamba
@CarlolinCarlojm
4 ай бұрын
Hahahahha wa ifakara mpo😂?? Gonga like kwa steve
@NdiliAggrey
4 ай бұрын
😂😂😂😂hii ni majaabu ata mimi naenda kuoa Leo Leo
@dunstankihaa2383
4 ай бұрын
Daaah ila huyu Steve ni mwehu kweli kweli
@RachelEmid-jq6eo
4 ай бұрын
Hahaha ila Steve mm nakukubali knouma Yan chukua🌹🌹🌹 yako
@pretty-animals254
4 ай бұрын
Hivi ni kuigiza ama Steve chizi wa ukweli 😂😂😂
@AdamasAsenga
4 ай бұрын
We Noma Sana steven🎉🎉🎉
@AmaniDorcus-c8q
4 ай бұрын
ila Steve ww mungu anakuona..... ila Kaz unaifanya
@ThomasMmary-r7w
4 ай бұрын
Wanakuja na kigoma😅😅
@MuaraboBachir
4 ай бұрын
Aziza aliposikia ndio mana akaoti nywele kacheka
@queenandchill91
4 ай бұрын
Ndaro angewaona mnachezea tunda 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@CosmasErnest-i3t
4 ай бұрын
Yn eti mamaaa aminaaaa eheheee😄
@Yesunijibuu
4 ай бұрын
ndaro angewaona mnachezea tunda kama una D 2 umeelewa😂😂😂😂
@marryofficial9143
4 ай бұрын
Mjomba majina yotee anamalizaa marry ,mele,maria😂😂😂kupatwaa kwa muowaj
@Falistus914
4 ай бұрын
watching from Zambia😂😂😂
@aimen5584
4 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂Ila Steve wewe unaniaga tu bule
@TdrdtftfSrrsrsrd
4 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂Yaaaaani stiv
@GideonNdayishimiye
4 ай бұрын
Ndaro angewaona mnachezea Tunda
@MamuMchina-o1r
3 ай бұрын
Steve we noma baba unajua😅
11:53
LEO STEVE KAWA MJANJA KWA BAILAM
Steve Mweusi
Рет қаралды 356 М.
13:13
LEO STEVE KAYAKANYAGA KIMEUMANA DOGO SELE
Steve Mweusi
Рет қаралды 47 М.
00:57
伪装成一棵树整蛊妹妹,结果妹妹当场怀疑人生竟要揍我?【两只马儿-恶搞姐妹】
两只马儿—恶搞姐妹
Рет қаралды 44 МЛН
00:22
Cat mode and a glass of water #family #humor #fun
Kotiki_Z
Рет қаралды 42 МЛН
00:15
Mom Hack for Cooking Solo with a Little One! 🍳👶
5-Minute Crafts HOUSE
Рет қаралды 23 МЛН
01:01
Мясо вегана? 🧐 @Whatthefshow
История одного вокалиста
Рет қаралды 7 МЛН
14:22
Drama as Boaz's wife refuses to be united with the family of Boaz in front of public during burial
Kisii Hot TV
Рет қаралды 14 М.
16:04
STEVE NA NDARO WALIVO VURUGA NDOA UTACHEKA
Ndaro Tz
Рет қаралды 1,1 МЛН
8:06
STEVE KAVAA KIJORA WAMEMKOMESHA
Steve Mweusi
Рет қаралды 627 М.
18:16
I LOVE MY TEACHER | 1 |
CLAM VEVO
Рет қаралды 1 МЛН
8:47
NUNA tu ila Leo hauli STEVE MWEUSI 😂 umeyakanyaga kaka NDARO aje kukusaidia
FILMS BONGO INSTA CLIPS RECAP
Рет қаралды 133 М.
22:16
EEHE HAMADI KIJICHO NDARO NA STEVE KUMEKUCHA TENA
Steve Mweusi
Рет қаралды 512 М.
16:59
PENZI LA JINI LATIFA (Part 01)
kicheche
Рет қаралды 4 МЛН
14:18
LEO STEVE KAYAKANYAGA KWA KERVIN AMEYATIMBA
Mweusi Family
Рет қаралды 1 МЛН
6:40
NDOA YA KICHAA NAENDA NYUMBANI
CLAM VEVO
Рет қаралды 1,8 МЛН
10:57
STEVE ACHANA NA BOSS MI NDIO BOSS
Steve Mweusi
Рет қаралды 332 М.
00:57
伪装成一棵树整蛊妹妹,结果妹妹当场怀疑人生竟要揍我?【两只马儿-恶搞姐妹】
两只马儿—恶搞姐妹
Рет қаралды 44 МЛН