STEVE NYERERE AKANA MUNA KUKUBALI KUSHIRIKI MSIBA PAMOJA, MAZUNGUMZO KUFANYIKA UPYA.

  Рет қаралды 47,419

Cheni tv Online

Cheni tv Online

6 жыл бұрын

STEVE NYERERE AKANA MUNA KUKUBALI KUSHIRIKI MSIBA PAMOJA, MAZUNGUMZO KUFANYIKA UPYA.

Пікірлер: 55
@anilamnazi7295
@anilamnazi7295 6 жыл бұрын
Steve bg up sana mungu akupe moyo huooo
@sadickrajabu1191
@sadickrajabu1191 6 жыл бұрын
Safi sana nyerere waandishi wa habari n wanafik tu
@alimaalimaa6048
@alimaalimaa6048 6 жыл бұрын
uyo mwana mke nimshenzi sanaaa
@stainasmkoko604
@stainasmkoko604 6 жыл бұрын
Mwacheni akae peke yake mbezi mama kule si yupo anaona aibu mambo aliyofanya ya ajabu
@moringelangas7276
@moringelangas7276 6 жыл бұрын
Halafu anasema anampenda sana marehemu mtoto wake;hata huko kuokoka kwake hakumsaidii k2 ni mnafiki sana.
@moringelangas7276
@moringelangas7276 6 жыл бұрын
Huyu mwanamke wa ajabu sana,anamtesa mtoto kisa kulinda mchepuko.
@angelgodluck7240
@angelgodluck7240 6 жыл бұрын
Steve mmbea we we! Skupndagi mfyuuuu unanichefua
@tendatanzania8358
@tendatanzania8358 6 жыл бұрын
YESU kristo katika INJILI alisema; samehe saba Mara sabini Imeandikwa ; TAZAMA ya kale yote yamepita ya mekuwa MAPYA Mbona wewe MUNA huku samehe ulipo OKOKA Leo ndio unajidai kusema UKWELI Pole kwa ulokole jina YESU akirudi atawachukua walio wake. Msituaribie tulio okoka na kukombolewa.
@MemsapSaum
@MemsapSaum 6 жыл бұрын
Andrew John afadhali umfahamishe vizuri maana bado haja okoka ana ushetani dani yake
@fatumamwalimu5765
@fatumamwalimu5765 6 жыл бұрын
Stiven,wacha weee,sijakuewa ujue! Ila ongera hiyo kanzu imekupendeza
@queengee988
@queengee988 6 жыл бұрын
Hngr steve
@zainabualtz1455
@zainabualtz1455 6 жыл бұрын
Inasikitisha Kuona msiba una zungushwa😭😭😭
@keifatuke99
@keifatuke99 6 жыл бұрын
Inavyoonekana mtoto ni wa Casto ila alikuwa amestilika kwa peter kwahiyo hata cheti kikaaandikwa Peter ila ukweli anaujua Mwenyezi
@tendatanzania8358
@tendatanzania8358 6 жыл бұрын
Wewe Steven NYERERE Unaingilia mambo ya MSIBA kama Nan.. Kama mwana familia Au ndio unatafutia KIKI kwenye misibani. Kanumba , masogange , Patrick n.k
@luckyvenance4576
@luckyvenance4576 6 жыл бұрын
Muna walimwengu hata uwe mchungaji utasemwa tu mama tulia na mwanao apumzike salama,
@angelemanuel8508
@angelemanuel8508 6 жыл бұрын
Safi Sana muna mpe mtoto baraka zaidi apumzike kwa amani. R.i.p patrick
@angelemanuel8508
@angelemanuel8508 6 жыл бұрын
Soma nilichoandika
@modestaabeli3389
@modestaabeli3389 6 жыл бұрын
Muna jipe moyo kwa kipidi hiki kigumu zikeni tu mtt wetu RIP pumziko la milele patrick
@elinahdaudi8195
@elinahdaudi8195 6 жыл бұрын
Kwanini waandishi wanachimba sana maneno ya sio kuwa na maana jamani? Toka jana jibu limetoka kuwa msiba unafanyika Mwananyamala kwa Baba mzazi wa Marehem Patrick.Please guys tafuteni na habari zingine basi? What's so special here? R I P Patrick.
@luckyvenance4576
@luckyvenance4576 6 жыл бұрын
Steve ckupendi ya watu yatakuua
@hassanovajunior6972
@hassanovajunior6972 6 жыл бұрын
Mtu mfupi ila akili kubwa
@ismailhassanaly5420
@ismailhassanaly5420 6 жыл бұрын
Duh...huyu jamaa bhana
@majidmaryam5450
@majidmaryam5450 6 жыл бұрын
Group zinampoteza muna
@dianapeter9529
@dianapeter9529 6 жыл бұрын
Kweli kabisa yaani anapotezwa mno
@saumuhassan1365
@saumuhassan1365 6 жыл бұрын
Majid Maryam Exactly
@jumamiraji3081
@jumamiraji3081 6 жыл бұрын
Tatizo misiba yenu mnafanyia biashara bwa nyie ,mnagombea mwili wa malehebu wapuuzi wakubwa nyie mlazeni malaika wa watu sehemu salama alafu ndio muanze kumbea ushenzi wenu
@Sifam634
@Sifam634 6 жыл бұрын
SEREKARI YA TANZANIYA inabidi nayo ichukuliye hatuwa kwa wale wanaume wanao kataa mimba. Kwa kuwa Casto alikata mimba. Ni Yeye njo hanasababisha haya yote yatokeye. Ni haibu kubwa casto kushidwa kuzika mwanawe. Ikiwa mutoto ule hangerudi hangemushangaa. Baba yake muzazi.
@majidmaryam5450
@majidmaryam5450 6 жыл бұрын
Sifa Mug on go Castro anajua motto sio wake zile zikikuwa kiki muna ni mke halali wa peter
@mtaanitv3991
@mtaanitv3991 6 жыл бұрын
Muna ataoata tabu sanaaa
@zuhuramwalimushabani8836
@zuhuramwalimushabani8836 6 жыл бұрын
😂😂😂😂😂mtu mfupi Ana shida sana 😂😂😂😂😂Acha nizidishe maombi niweze kurefuka mie
@ashaali7154
@ashaali7154 6 жыл бұрын
Zuhura Mwalimu Shabani mrefu au mfupi kaumbwa na Mungu kama wewe kakupendelea basi mshukuru badala ya kukufuru.
@zuhuramwalimushabani8836
@zuhuramwalimushabani8836 6 жыл бұрын
asha ali 😂😂😂😂😂😂kimekupata kipi na wewe looooh Umekosa la kufanya nikupe kazi? Kilikushinda nini ku comment mpaka ukajipenyeza kwenye comment yangu? Nenda katafute mwingine Acha kudandia trein kwa mbele
@josephinjoseph6799
@josephinjoseph6799 6 жыл бұрын
jaman muna
@stainasmkoko604
@stainasmkoko604 6 жыл бұрын
Ulokole huu hatari
@machelengamachelengafatuma6862
@machelengamachelengafatuma6862 6 жыл бұрын
Huyoo.muna si.mumuachie tuu
@fazzikikuyu2088
@fazzikikuyu2088 6 жыл бұрын
machelenga machelengafatuma Salem 1
@fatmamajuu5255
@fatmamajuu5255 6 жыл бұрын
tatizo lako steve umebeba bango utafikili siku anabeba mimba alikuambia leo naena kulala na fulani alafu nipo kwenye siku za hatari mwachie mwenye muna muda ukifika wa kuongea ataongea kwani ukisema sijui chochote utabadilika jina au utapungua?
@happymwaseba9493
@happymwaseba9493 6 жыл бұрын
fatma fatma kweli umeongea.point hatuwezi jua muna ananini nawalifanyiana mini sisi tunaongea tu huwezi jua Hugo baba alimfanyia nini mpaka MTU kakomaa hivyo sindiyo
@jicholafursa7058
@jicholafursa7058 6 жыл бұрын
fatma fatma ?
@fatmamajuu5255
@fatmamajuu5255 6 жыл бұрын
+Dibam tz unataka nini na wewe
@selestineosoo5045
@selestineosoo5045 6 жыл бұрын
Muna wewe bado una trade na mtoto..
@kawawamamaya8543
@kawawamamaya8543 6 жыл бұрын
selestine osoo yani kweli kabisa selestine uyu mama ni mfiwa lakini acha tu ni mtukane ( mshenzi mkubwa uyu mjinga eti limeokoka ovyo kabisa
@saumuhassan1365
@saumuhassan1365 6 жыл бұрын
Alivyokuwa na wema alikuwa powa Sasaivi kajidai mlokole kapotea kabisa, ila muna utapata tabu sana
@mcisunga3822
@mcisunga3822 6 жыл бұрын
Saumu Hassan unafikili Wema ndoo mungu Acha hizo bidada usimsujudie bidanadam mwezio kwa mungu kuna raha mpendwa
@furahanabaruma6239
@furahanabaruma6239 6 жыл бұрын
Saumu Hassan kwani ulokole sio dini? mwenyezi Mungu hatachaguwa ulokole au uislam .matendo wamtu njo yatamutambulisha kwa mwenyezi Mungu nasiyo dini dada usididanganyeis
@saumuhassan1365
@saumuhassan1365 6 жыл бұрын
Jane Edward Mwangomba kwani nimesema wema ni mungu, au ujui kusoma? Na umuoni asivyoeleweka kuna marafiki wanampoteza.
@saumuhassan1365
@saumuhassan1365 6 жыл бұрын
Furaha Nabaruma Uislam ndio dini ya haki pekee kama ujui bac
@MemsapSaum
@MemsapSaum 6 жыл бұрын
Saumu Hassan analaana huyo sasa yani mpaka akalishwechini kwani mtoto hana babake ama kabasuka mtini huyo ni ibilisi sasa laana zake ndizo za muangaisha sasa yeye aluolewa ana cheti cha doa mtoto ana babake anacheti chakuzaliwa nini anachokalishwa chini kukubaliana nacho uwovu wake sasa wamponza mwenyewe ugonjwa wa mtoto alitaka ku ufanyia biashara sasa mungu kumuadhirisha amebaki hajielewi sasa
@rahima1112
@rahima1112 6 жыл бұрын
Angekuwa mtoto damu ya Peter angekubali haraka atakama ulikwazana na mumewe lakn mtoto damu ya Castor peter kalea mimba2
@ashaali7154
@ashaali7154 6 жыл бұрын
Rahima 111 Usiseme usilolijua hayo ni maneno unayoyasikia waachie wenyewe wanaojua ukweli wayamalize mtapata dhambi zisizowahusu bure.
@prideofafrica_254
@prideofafrica_254 6 жыл бұрын
Lakini mnataka kumbebesha muna dhambi mtoto ni wa castor mbona hamumuelewi muna??? Serikali ya Tanzania iko wapi?? Patrick kwa kweri sina say rest in Paradise baby
@hassanovajunior6972
@hassanovajunior6972 6 жыл бұрын
mama shree wee nae chenga kweli
@prideofafrica_254
@prideofafrica_254 6 жыл бұрын
Hassanova junior am from kenya kweri sisi wakenya serikali inaingililia,muna for now she is confused,hata ingekuwa mimi mwenyewe ningechanganyikiwa ila naomba mtoto apumuzike Kwa amani
@jofymwaijofymwai2163
@jofymwaijofymwai2163 6 жыл бұрын
Tatizo renu mnakua kipaombere kamafuniko rachoo wewe nindugu au
@ashaali7154
@ashaali7154 6 жыл бұрын
Jofymwai Jofymwai Kiswahili kigumu.
JIFUNZE HAPA, NAMNA YA KUMSIFIA MWANAMKE AKUPENDE KWA HARAKA
9:28
Cheni tv Online
Рет қаралды 153
Mc Gara B jinsi anavyo anza ufunguzi wa Sherehe
1:48
Panga Sherehe
Рет қаралды 20 М.
Опасность фирменной зарядки Apple
00:57
SuperCrastan
Рет қаралды 6 МЛН
КОМПОТ В СОЛО
00:16
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 29 МЛН
Inside Out 2: Who is the strongest? Joy vs Envy vs Anger #shorts #animation
00:22
50 YouTubers Fight For $1,000,000
41:27
MrBeast
Рет қаралды 197 МЛН
Mtizame Mc Dr kumbuka afurahisha Ukumbini - Lazima utacheka
2:14
Panga Sherehe
Рет қаралды 2,7 М.
BARNABA AMJIBU GARA B KUHUSU KUACHANA NA MKE WAKE
2:57
Cheni tv Online
Рет қаралды 270
Staili ya kufungua Shampeni by Mc Mtamah
3:43
Panga Sherehe
Рет қаралды 2,4 М.
UBAYA UBWELA KUZINDULIWA  MBUGA YA MIKUMI,AHMED ALLY(@Katalina691
3:19
JAN INTERNATIONA LTD: IMEKUJA NA PUNGUZO LA BEI ZA MAGARI YAKISASA KUTOKA JAPAN.
1:01
VANILLA KISARAWE INTERNATIONAL FARM
Рет қаралды 19 М.
KUELEKEA MAADHIMISHO YA SIKU YA MAPAMBANO DHIDI YA RUSWA AFRIKA
3:05
ToRung short film: the robber pretended to be a statue😬
0:30
Задержи дыхание дольше всех!
0:42
Аришнев
Рет қаралды 2,9 МЛН
19 июля 2024 г.
0:20
мишук круглов
Рет қаралды 9 МЛН
MISS CIRCLE STUDENTS BULLY ME!
0:12
Andreas Eskander
Рет қаралды 14 МЛН