STEVE NYERERE ATOKEA KWA SURPRISE AMVUNJA MBAVU MSTAAFU KIKWETE NA KUMUOMBA MSAMAHA OMMY DIMPOZ

  Рет қаралды 21,978

Millard Ayo

Millard Ayo

Жыл бұрын

Пікірлер: 24
@robertempire9542
@robertempire9542 Жыл бұрын
Kuna raha Sana kuona baba anacheka na watoto wake big up Jakaya
@lirastanley390
@lirastanley390 Жыл бұрын
Alikua ni rais wa nchi na hakua mbinafsi ktk utawala wake
@tumainyohana6469
@tumainyohana6469 Жыл бұрын
Stive nimekupenda bule kumbe kuna wakati unakuaga na mazuri yako eeeh umeonyesha hekima kubwa sana 🙌🙌
@abdulhamis9825
@abdulhamis9825 Жыл бұрын
Wasanii Na Msanii Mwenzao Huyu Ndio JK72 safi Sana
@greenermichael2057
@greenermichael2057 Жыл бұрын
Daah nmefurah sana maskin Ommy Hana makuu anacheka KUTOKA moyoni bila kinyongo ,baba anaenjoy pia
@jkifutu7936
@jkifutu7936 Жыл бұрын
Jk smat sana wewe mzee allh blessed
@lirastanley390
@lirastanley390 Жыл бұрын
Ni mfano wa kuigwa sana kiongozi hasiyejisikia mbele ya wananchi wake...hahaha kiongereza cha steve bhana khaaaaa
@edinamogela384
@edinamogela384 Жыл бұрын
Utazani hajawahi kuwa rais hana majivuno ana furahi na kuzungumza na watu mpaka raha. Kuna baadhi ya watu wakipewa hata uwenyekiti tu malingo kwenda mbele
@ramadhanimtetu7246
@ramadhanimtetu7246 Жыл бұрын
JK Unatufanya mpaka tusio na hela tu Enjoy Maisha Uwepo wako Unatuondoa huzuni Aisee Maisha yamerudi kama awali Furaha tu
@Kimweri_tz
@Kimweri_tz Жыл бұрын
Huyu ni Mshua Safi sana JK
@hancybrouwn5032
@hancybrouwn5032 Жыл бұрын
Dah nmecheka kwel
@peternelson4596
@peternelson4596 Жыл бұрын
Iyo 'exactly' ilivyotajwa sasa 😂😂😂😂
@beckarluhanga8421
@beckarluhanga8421 Жыл бұрын
Ekzaklee 😀😀😀😀😀
@janemhangomhango5841
@janemhangomhango5841 Жыл бұрын
Kikwete anajishusha
@faithjonathan3845
@faithjonathan3845 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣😀😀😀🖐🖐raha sana
@magaritanzania6540
@magaritanzania6540 Жыл бұрын
😄😄😄😄😄😄JK
@omarkipotwile9052
@omarkipotwile9052 Жыл бұрын
Yes ekezakli 😂😂😂
@tamarmwasimba7533
@tamarmwasimba7533 Жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/bKXMkmBriq1ng6s DAWA YA KUMUWEKA MPENZI KIGANJANI *# kzbin.info/www/bejne/bKXMkmBriq1ng6s
@victorjames3730
@victorjames3730 Жыл бұрын
Huyu Rais anapendwa Sana
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ Жыл бұрын
Hahahaha 😂😂😂
@christinadaniel3789
@christinadaniel3789 Жыл бұрын
Hahaha 🤣🤣🤣🤣
@mnanakhalidi1968
@mnanakhalidi1968 Жыл бұрын
Ekesakli
@saimonjackson3102
@saimonjackson3102 Жыл бұрын
Yani wewe jamaa unatumambo
@tamarmwasimba7533
@tamarmwasimba7533 Жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/bKXMkmBriq1ng6s DAWA YA KUMUWEKA MPENZI KIGANJANI *# kzbin.info/www/bejne/bKXMkmBriq1ng6s
DEFINITELY NOT HAPPENING ON MY WATCH! 😒
00:12
Laro Benz
Рет қаралды 62 МЛН
Задержи дыхание дольше всех!
00:42
Аришнев
Рет қаралды 3,3 МЛН
Beautiful gymnastics 😍☺️
00:15
Lexa_Merin
Рет қаралды 15 МЛН
Ommy Dimpoz : Nikimfumania Alikiba na Mke wangu namsamehe
4:13
EastAfricaTV
Рет қаралды 16 М.
Mh. Mustafa Mkulo -  Waziri wa Fedha Mstaafu
5:38
NBAA
Рет қаралды 12 М.
DEFINITELY NOT HAPPENING ON MY WATCH! 😒
00:12
Laro Benz
Рет қаралды 62 МЛН