Studio Session KOMANDO,G nako ft Diamond Platnumz

  Рет қаралды 477,889

Diamond Platnumz

Diamond Platnumz

Күн бұрын

Пікірлер
@steveg9659
@steveg9659 Жыл бұрын
Kama umegundua legend Mr blue kalewa gonga likes nyingi kwangu
@Menad255
@Menad255 Жыл бұрын
Nilitaka kusemaaaaa 😂😂😂😂
@Izackim2005
@Izackim2005 Жыл бұрын
Kalewa lkni ywapeana advice bado😅
@homeboy2307
@homeboy2307 Жыл бұрын
Hadi mrblue anamuita diamond kaka duuu
@mohdnyambi7513
@mohdnyambi7513 Жыл бұрын
Alikua anamwambia G bana mana yy ndo mkubwa watu
@fadhiliromwald
@fadhiliromwald Жыл бұрын
@@homeboy2307wanaume kawaida hata kama mtu umemzidi umri
@MariamMpanga
@MariamMpanga Жыл бұрын
Tulihisi tutaangalia kidogo alafu tutatoa Mara tumenogewa mpaka mwisho tujuane kwa like😂😂😂
@faridyshaame4705
@faridyshaame4705 Жыл бұрын
Mm hyo part ya mwanzo tu nimerudia km mara 5😂😂😂 hapo blue anapo ongea ma zombie na simba
@ramsootz
@ramsootz 11 ай бұрын
😅😅😅😅Amin
@JemimaNyange-si8cr
@JemimaNyange-si8cr 10 ай бұрын
😂😂
@yoodidbaji
@yoodidbaji 9 ай бұрын
😂😂😂
@06malakidickson6
@06malakidickson6 4 ай бұрын
Umetisha
@IbrahimAli-jr4gy
@IbrahimAli-jr4gy Жыл бұрын
Diamond platnumz ft Mr blue fanya jambo platnumz will be 🔥 🇰🇪
@philipotieno9996
@philipotieno9996 Жыл бұрын
Baaaanaaaa❤ haraka harakaaaa
@EzzyEddy-il3ce
@EzzyEddy-il3ce Жыл бұрын
Daaaaah itakua pw sana yaan wazo zuri sana litakua bonge la ngoma
@philipotieno9996
@philipotieno9996 Жыл бұрын
@@EzzyEddy-il3ce Sanaaaa 🙌🙌🙌
@IbrahimAli-jr4gy
@IbrahimAli-jr4gy 11 ай бұрын
Leo simba anaachia ngoma tumeomba na katusikiliza si mashabiki wake ❤ simba ft Mr blue 🔥
@davidpeter8099
@davidpeter8099 Жыл бұрын
Yaani me nimefrahi kuona wasanii kutoka nnjee ya wcb wakiwa pamoja kuhakikisha ngoma inataka ikiwa na ubora hongereni sana
@DalmasAlex-ym5nt
@DalmasAlex-ym5nt 6 ай бұрын
naombeni msada wenu mama angu mgojwa
@mikekally3188
@mikekally3188 Жыл бұрын
From Nigeria I love the way that producer smile 😊 showing good vibe one love African ❤️
@DouglasMassop
@DouglasMassop 11 ай бұрын
He is called S2Kizzy Zombie
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 Жыл бұрын
Daimond anajua Sana kupangilia vitu,,na s2 kizz anamuelewa Sana daimond Yan wanaelewana kwakuwa wote wanavipaji na wamefanya kazi Kwa pamoja Kwa mda mrefu
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 Жыл бұрын
8:17 nimependa sana kuna verse alopita nayo simba big up sana simba la masimba dangote❤❤❤🎉🎉🎉
@Raynize_Moneyboy
@Raynize_Moneyboy Жыл бұрын
Diamond anaishi na wasani wote kama familia
@sullehtz9327
@sullehtz9327 Жыл бұрын
Nimefurahi sanh kuwaona wasanii wengi tuhh mkiwa pamoja, big up wasanii ushirikiano zaidi unaitajika🙌
@RICHVLOGS257
@RICHVLOGS257 Жыл бұрын
Diamond platnumz is always the best musician in Africa
@henryvoicekenya6010
@henryvoicekenya6010 11 ай бұрын
Simba ilinyeshewa
@Rowdy_254
@Rowdy_254 10 ай бұрын
How long have you been addicted to glue 😢
@SoudyBrown
@SoudyBrown Жыл бұрын
Hii ngoma mliipania na imelipa its a anthem
@SKELETON-m9e
@SKELETON-m9e Жыл бұрын
Kaka Mr blue ahsante kwa mchango wako waushauri kwa nyimbo hii ili kutuletea mziki mzuri🔥🔥🔥🔥
@yaseenfiddu3094
@yaseenfiddu3094 Жыл бұрын
Blue ana vibe kinyama 😂😂
@kijokaizah
@kijokaizah Жыл бұрын
💀☠️☠️simba dangote
@SKELETON-m9e
@SKELETON-m9e Жыл бұрын
@@yaseenfiddu3094 utadhani nyimbo yakwake ila kumbe ni yamadogo zake Mungu amuongoze 😂
@SKELETON-m9e
@SKELETON-m9e Жыл бұрын
@@kijokaizah eeeee simba lamaaaa
@malleironworks4586
@malleironworks4586 Жыл бұрын
Mr Blue kamkuta G nako kwenye game kitambo..
@SKELETON-m9e
@SKELETON-m9e Жыл бұрын
Mondi mbunifu sana jamani Pia kaka yetu Mr blue katisha kutoa support ake Mondi mooooto fire 🔥🔥🔥🔥
@todaysmatches8697
@todaysmatches8697 Жыл бұрын
Hizi studio session ni nzuri mno inaoneshwa kwamba hakuna kitu kinakuja kirahisi you can how they struggle to make good music diamond you have become more than artist you are influencer
@inaugaasKh
@inaugaasKh Жыл бұрын
The most hardworking artist for the last 10 to 15yrs
@philipotieno9996
@philipotieno9996 Жыл бұрын
Whooo😂 is heee???
@Swahili14
@Swahili14 Жыл бұрын
​@@philipotieno9996we zombie 🦁🔥
@juniormugambi9921
@juniormugambi9921 Жыл бұрын
Wee wacha ati utambui dangote @philipotieno
@shumamwinyikombo5981
@shumamwinyikombo5981 Жыл бұрын
This is how tanzania artists should stand for each other...mambo ya KZbin 2achieni sie mashabiki..hii support ni kubwa na inanguvu sana..big work isay...
@SKELETON-m9e
@SKELETON-m9e Жыл бұрын
Ani mondi anaipambania nyimbo kama yakwake Kweli jamaa kaamua mziki uwe kazi ake Heshima kwako mondi
@alanusrespicius1796
@alanusrespicius1796 Жыл бұрын
Nimeamini hakuna kitu rahisi hapa duniani. Kama Mondi ana practise kiasi hiki wakati ni Dude la uimbaji. Mimi nilijua anatereza tu kumbe ni kazi.
@stevjuniors1770
@stevjuniors1770 Жыл бұрын
Dhhh so mchezo kaka kuimba kazi Simba ni perfect talented na unawatendakazi sahh sana kazi nzuri WE ZOMBIE🦁🦁🦁🦁
@SKELETON-m9e
@SKELETON-m9e Жыл бұрын
Mbele ya simba lamasimba hakuna kinacho haribika 🔥🔥🔥🔥
@abelmbilinyi1262
@abelmbilinyi1262 Жыл бұрын
😂❤
@Edsamnails5518
@Edsamnails5518 Жыл бұрын
Big up platinumz for supporting your fellow citizens.. proud of you from Kenya
@peter-paulley6013
@peter-paulley6013 Жыл бұрын
Aiseee!! Kumbe mondi habahatishi, he actually plans for a hit🔥🔥🔥
@leesibia2748
@leesibia2748 Жыл бұрын
Wakenya 🇰🇪 wenye mme comment wa kwanza mikono juu🖐️
@HassanabubakarAbubakar
@HassanabubakarAbubakar Жыл бұрын
Kwani lazima utaje wakenya ww
@ngasikajoel9576
@ngasikajoel9576 11 ай бұрын
Staying in the studio is how I feel good vibes sometimes..yes keep on moving young boys that's life never loose ur Hussle in what you have been talented
@kristofuraha3369
@kristofuraha3369 Жыл бұрын
Kumbe kurekodi kazi hivi! Usitamani hela za wasanii aisee!
@tedytitus7205
@tedytitus7205 7 ай бұрын
Ndio ivyoooo😂 ..
@aaa64sa13
@aaa64sa13 Жыл бұрын
❤❤ Pongezi kwa Tuzo Awards 2 leo🎉❤🇹🇿👍
@carlyboytz
@carlyboytz Жыл бұрын
Apo ni studio WCB WASAFI IPO MBEZI BICHI NAONA SIKUZI NI INAFANYA KAZI ZA WCB TU SO MTU BAKI 💥💥💥🎶🎶🎶
@prosperabison1368
@prosperabison1368 Жыл бұрын
Na Simba la masimba DANGOTE 🔥🔥
@WilliamNyasulu
@WilliamNyasulu Жыл бұрын
My best artist in the world Diamond platnumz ❤️💯🔥🔥
@boythenuru4125
@boythenuru4125 Жыл бұрын
Daaah aiseee tuna jifunza vitu vizuri Sana brother jins tutakapo kuwa studio
@CODEMZ254
@CODEMZ254 Жыл бұрын
One thing I have learned here is that nothing is easy in this world,even gold has to go through fire to shine
@inocentkilingogo376
@inocentkilingogo376 Жыл бұрын
Exactly
@thebbc0001
@thebbc0001 Жыл бұрын
absolutely.!
@abdulkadershabani4570
@abdulkadershabani4570 Жыл бұрын
Exactly
@tuyisengealex2392
@tuyisengealex2392 Жыл бұрын
Yeah
@Kabeeye_7
@Kabeeye_7 Жыл бұрын
Yeah
@SimbaTiger-qp4ss
@SimbaTiger-qp4ss Жыл бұрын
Simba asante sana kwa usaidizi wako mungu akubalie❤❤❤🎉🎉🎉🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@watsonkenny
@watsonkenny Жыл бұрын
This guy so called Simba has what we call limbic -pineal high up knowledge ...naona umewateka tz artist and keep it up ur .HOV in Tz
@tafboy9146
@tafboy9146 Жыл бұрын
Mr blue alikuwa hamjui D voice😂😂 gonga like km umeona
@SafayaPlatnum-zz1dz
@SafayaPlatnum-zz1dz 6 ай бұрын
Imekaa pw sana wasanii kusaidiana kama unaped sikumoja ally kiba awe sehemu ya sapoti gonga like 1
@dinyoabeli9028
@dinyoabeli9028 Жыл бұрын
Unyamaaa wazeee wa Vpensi🔥🔥
@IbreezyOneWay
@IbreezyOneWay Жыл бұрын
That's why you make big things there are many different ideas 🔥🔥🔥🔥
@erickmrema6850
@erickmrema6850 Жыл бұрын
Diamond never do wrong....genius of making gud muxic....watakuweza kwel😂😂
@tales254
@tales254 11 ай бұрын
Mr Blue amanibamba big time. He made the room lively. Would like to hear a collabo Blue ft Diamond.
@PeterDevid-bw9gx
@PeterDevid-bw9gx Жыл бұрын
Mr..blue hata akiongea tu ni vibes..watu kama hawa they have lots of vibes safi kaka diamond u have the rights crazy company on studio,plus the calm producer safi kaka kip itup(kiprapmen)
@racheljohn2216
@racheljohn2216 Жыл бұрын
Mimi nmepend kweny eeeeeeh😂😂😂❣️🙌
@ahmedsabu7660
@ahmedsabu7660 Жыл бұрын
Haswaa nami nimecheka saana
@roi2554
@roi2554 9 ай бұрын
Eh 😂😂😂😂
@giddie_barnabas
@giddie_barnabas Жыл бұрын
Tunazipenda nyimbo wengine wanaziponda hawajui hizi tabu za studio nyimbo zinasukwa kwa kaz sana had iwe kali
@Seroildi_Studios
@Seroildi_Studios Жыл бұрын
za konde, apn za mondi maneno ya kitoto
@kenrifambi
@kenrifambi Жыл бұрын
Kama si diamond ungekua unamjua huyo Konde? Just enjoy music no matter the artist
@salimmwakaribu942
@salimmwakaribu942 Жыл бұрын
​@@Seroildi_Studiosharmo level zake ni lava lava na yummy wa nandy
@grandpatimi
@grandpatimi Жыл бұрын
@@salimmwakaribu942 na level zake mondi ni dulla makabila and anjella 😂
@Seroildi_Studios
@Seroildi_Studios Жыл бұрын
🤣🤣🤣pole sana uyo mwizi wa maneno ya watu. hadi kuiba maneno ya fifty cent 😅😅@@salimmwakaribu942
@abdallahsalehstar8221
@abdallahsalehstar8221 Жыл бұрын
mtu anatumika ivi kisha nyie mnamuita FRIMA Allah akuzidishie sana mmamyema mwenzangu kazi inaonekana kaka acha wakuite watakavyo we piga kazi tu
@davidnyerere2016
@davidnyerere2016 Жыл бұрын
Ile story ya sauti sol walisema ukweli ndani ya hit moja huwa kuna wadaui wengi wenye hadhii tofauti kabaisa nimemushangaa hapa ndani big up guy's
@SKELETON-m9e
@SKELETON-m9e Жыл бұрын
Mondi fundi sana jamani ani utadhani g nako anafundishwa. Mziki abhatii kumbe g nako kasaidiwa na mondi jamani duh moto mondi🔥🔥🔥🔥
@MrTop-wj7no
@MrTop-wj7no Жыл бұрын
😂😂😂
@MrTop-wj7no
@MrTop-wj7no Жыл бұрын
😂😂😂
@JejemingaMinga
@JejemingaMinga Жыл бұрын
Wara ni Simba wa maSimba wamazombie🦁🔥🔥🔥👊🇲🇿
@DaudiVinya-zq2kt
@DaudiVinya-zq2kt Жыл бұрын
This session was absolutely hard bt the outcome was very nice....much love to my fellow comandos....254 is watching....
@kevMaster-qh6jj
@kevMaster-qh6jj 11 ай бұрын
😂😂😂nikajua chawa
@josephmollel4526
@josephmollel4526 Жыл бұрын
Ni simba la masimba dangote 🔥🔥🙌 so talented
@kiswagatz7990
@kiswagatz7990 Жыл бұрын
O
@claudiancostantine4446
@claudiancostantine4446 Жыл бұрын
daaah simbaa🦁🦁🔥🔥🔥🔥
@isodonaman254
@isodonaman254 Жыл бұрын
PLATNUMZZZZZ MNYIIIIIIAAAAMAAAA🔥🔥🔥🔥🔥
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 Жыл бұрын
Yani kwajins ninavyoona daimond ndo crietar anabuni Sana Yan,,nimbunifu Sana bigap daimond
@dodoclassic6771
@dodoclassic6771 Жыл бұрын
It's Mr blue's vibe for me, Big up sana Mr blue 🔥🔥🔥
@fredmbossa-kc3qn
@fredmbossa-kc3qn Жыл бұрын
wasanii bwana unaweza ukaambiwa mr blue haivi na mond kumbe ni tofauti ......,,
@MrTop-wj7no
@MrTop-wj7no Жыл бұрын
😂😂😂 yeah watu huongea tu hovyo maana maisha yao ya chini chini hawayajui
@kisatusamweli3263
@kisatusamweli3263 Жыл бұрын
We Zombie Haujui 😎 Unajua Mpaka Basi 🙌🙌
@carbontremy8644
@carbontremy8644 4 ай бұрын
Ukiangalia s2kizzy ni hardworking kwa kuitikia kurekebisha c maproducer wengine wanapenda kurudia kazi zao
@mariamkizango6421
@mariamkizango6421 Жыл бұрын
Nice to watch this recording session Proud to be Tanzanian 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@PhilipoMabula-ky9vs
@PhilipoMabula-ky9vs 10 ай бұрын
Dah brother mondi kwa matusi nomaaaa sanaa
@wahidymrosso1894
@wahidymrosso1894 Жыл бұрын
Mr blue anamchango mkubwa san kwenye kuwafundisha wasanii mzikii mzurii
@yaseenfiddu3094
@yaseenfiddu3094 Жыл бұрын
Familia imekua kubwa kazi kali kila kukicha
@saidgawawa8519
@saidgawawa8519 11 ай бұрын
Ka biser! Ngoma imempagawisha vi noma!! Ngoma imeshika vibaya..! Big up producer s2kizzy wewe genius Kwa mambo Yako.💪💪🔥🔥🔥
@barakafredy7726
@barakafredy7726 11 ай бұрын
Ndo maan nilikuwa najiuliz kwann Ngoma Kali sana kumbe mmeipiga mtungo studio
@Magazinboy
@Magazinboy Жыл бұрын
Wee zombieeee aujuii❤❤ Nasimba la masimba dangotee 🙌🙌🙌
@irenesalumu
@irenesalumu Жыл бұрын
Namuona chibu na last born wake dvoice. Big up🎉
@ramadhaniabdulabdul
@ramadhaniabdulabdul 9 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@IstabaaWillmavio.
@IstabaaWillmavio. 3 ай бұрын
🎉❤❤🎉🎉🎉❤ welcome
@Mtm_fam
@Mtm_fam Жыл бұрын
Big brother we can't let you down ❤❤
@tiktokTviral
@tiktokTviral 11 ай бұрын
I APPRECIATE THE WORK OF SIMBA DANGOTE, WARAAAAAA.!, MRBLUE AND DVOICE.! KIJANA ANAJITUMA DVOICE...! BIGUP..! TUSIMSAHAU LAIZER KWA KAZI NZITO YA PRODUCTIONS YOU ALL GUYS DID A WONDERFUL...! MARVELOUS.!❤🎉
@dangomc_niger
@dangomc_niger 11 ай бұрын
soo lizer ni s2kizy
@nasibuahmedy2438
@nasibuahmedy2438 Жыл бұрын
Wajna haujawai kuniangusha am proud of you #Nasibu
@numbachogo
@numbachogo Жыл бұрын
Haujui 😂😂😂 Mr blue umepigaje apooo😂😂😂😂
@KankuliNsumbu
@KankuliNsumbu Жыл бұрын
Ila naomba papa T Simba Dangote please 🙏🙏🙏 fanya nyimbo yako na Blou blou Baisa Babylon yani Master bloue Trust you guys.❤❤❤ I will be thenk fully understand that Tanzania songs or Swahili song's please 🙏 and don't forget We zombie🎉🎉🎉
@Official_Evara
@Official_Evara 10 ай бұрын
The first time i saw you,i was in Mwanza around 2021 when you were doing the Wasafi Tumewasha festival..hizo times nilikuwa nakula ngumu huko Mwanza manze 😂😂😂 Tanzanians were afraid to employ Kenyans and i don't know why but somehow i managed to attend your show at CCM KIRUMBA on that night❤ I Love You Bro❤ you've been an inspiration since Day One💯 🇰🇪❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@nyunyaboy9523
@nyunyaboy9523 Жыл бұрын
Mr bluee is genius😅❤🔥
@IbrahimAli-jr4gy
@IbrahimAli-jr4gy 11 ай бұрын
Diamond platnumz fanya collabo moja y nguvu na Mr blue itakuwa 🔥 sanaaaa
@dr_ridhiwan
@dr_ridhiwan Жыл бұрын
Much love from USA🇺🇸 ila Mondi kaua wana wa USA RIVER Tunamkubali🔥🔥🔥
@chibufashion938
@chibufashion938 11 ай бұрын
Hi Brother may I have ur contact number please
@edwardokumu8453
@edwardokumu8453 Жыл бұрын
Kumbe haikuagi rahisi..🔥🔥🔥
@sylivesterkasomambuto6683
@sylivesterkasomambuto6683 Жыл бұрын
Daah hii love nilion hp sichk kutzm hii session 🔥🔥🔥🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@Asidijomba
@Asidijomba Жыл бұрын
studio raha bwana ,,I really miss this kind of feelings with my team....
@PierrebitomwaSongolo-fr7ih
@PierrebitomwaSongolo-fr7ih Жыл бұрын
Kama tuko na mond pamoja gonga like hapa
@rich.kizza10
@rich.kizza10 Жыл бұрын
hii safi, naona na Kiba huwa anatuletea hizi behind the scenes🤛🏾
@mudibojaffar9269
@mudibojaffar9269 Жыл бұрын
BONGO Music Ni Kiwango Cha Juu...Wote wamekusanyika kwa Ajili ya DIAMOND🇹🇿🦁
@Josephkp629
@Josephkp629 Жыл бұрын
Nyimbo yake sasa au nd uchawa
@heartnsanya1182
@heartnsanya1182 Жыл бұрын
Wamekusanyika sababu ya kazi
@mudibojaffar9269
@mudibojaffar9269 Жыл бұрын
@@heartnsanya1182 Nani kakwambia
@chusseboywcb2808
@chusseboywcb2808 Жыл бұрын
😂😂hiyo kumamake chibu kumbe naww unaipenda 😂😂😂😂😂sanaaa 🙏🙏🙏🙏nakukubali sanaa mzee wakazi ww ni fire 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥hiyo heee 😂😂😂😂😂😂😂
@chusseboywcb2808
@chusseboywcb2808 Жыл бұрын
@@Swahili14 🤣🤣🤣🤣🤣
@Swahili14
@Swahili14 Жыл бұрын
@@chusseboywcb2808 what's your fb or ig name kaka?
@aliyumuhammed6054
@aliyumuhammed6054 Жыл бұрын
Diamond ni Music Genious.
@MashazaEmpire
@MashazaEmpire Жыл бұрын
Noma you killed it guys 💯💯💯♥️🙏
@Pwizza_OG
@Pwizza_OG 8 ай бұрын
Nakubali mjomba yangu s2kizzy
@almasially6509
@almasially6509 Жыл бұрын
"Oya Huyu dogo tolu nae kumbe kiungo huyu" 😂😂😂😂😂
@halfanijuma7646
@halfanijuma7646 11 ай бұрын
Kiungo chapilau😂
@mr_yassinofficial
@mr_yassinofficial Жыл бұрын
Walah nimependa sana big up legend Mr Blue Kabaysa
@MrTop-wj7no
@MrTop-wj7no Жыл бұрын
😂😂😂 nino hose urahashika 😂
@martinjosephat4694
@martinjosephat4694 Жыл бұрын
Kuimba. Mna umiza akili ni fundi kama. Ufundie! 🎉🎉🎉🎉❤
@Iam_bataboy_photography
@Iam_bataboy_photography 2 ай бұрын
Mr blue ni fimbo🔥🔥🔥🔥
@jamalmdugi6458
@jamalmdugi6458 Жыл бұрын
Mr. Blue byser is all the vibe✔️🔥
@RazakiMmalinda-rl3ej
@RazakiMmalinda-rl3ej Жыл бұрын
Nimependa ushirikiano 🙌
@priserke
@priserke Жыл бұрын
Kabaisa kaenjoy session mpaka akatia, "Kumbe ndio maana watengeneza Mabomba mwanangu" 😂😂🔥 Ila Mondi, Idea kibao Kwa session mzee, Nakubalii saana.. Kisha S2kizzy anaelewa saana Mziki 🙌🔥
@sheemohammed3946
@sheemohammed3946 2 ай бұрын
Heheh hini vibe wazim ndio maana diamond hafeli sababu he is considering everyone on board and he is taking everyone on board
@teddymusic66
@teddymusic66 Жыл бұрын
Legend always be focused
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 Жыл бұрын
Daimond kwer ni komando,,,ila kurekod kwer inabidi uwe unajua unachokifanya na uwe unapenda
@MohammedKaka-s1z
@MohammedKaka-s1z Жыл бұрын
Zombie uko vzri bana ukimaliza kuangalia hii video tafuta hio nyimbo
@HUZZAMSUZNAKISIMBA
@HUZZAMSUZNAKISIMBA Жыл бұрын
LET'S GO [bin simba sultan] I like this....🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@PatrickDMwantimwa
@PatrickDMwantimwa 11 ай бұрын
Looking into this studio session will automatically give you a picture to respect every work done by someone, I respect this session🎉🎉. May good Lord keep on blessing these human beings❤❤❤😂🎉
@EzzyEddy-il3ce
@EzzyEddy-il3ce Жыл бұрын
This behind the scenes nzur sana yaan tunaona na ambavyo hatujawah kuona mfano sijawah muona legendary Mr blue byser amelewa ndo mara yangu ya kwanza yaan
@hassansammy1076
@hassansammy1076 Жыл бұрын
Respect bro diamond platnumz simba 🔥 🔥 🔥
@Modey._.Staraxy
@Modey._.Staraxy Жыл бұрын
Nimependa mpiga kinanda hanashobo anawaza wali wake home
@kimah9855
@kimah9855 Жыл бұрын
Noma😍good job
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 Жыл бұрын
This is a power of simba🔥🔥🔥❤❤❤🎉🎉🎉
JAH PRAYZAH FT DIAMOND PLATNUMZ - WATORA MARI AUDIO SESSION
10:37
Diamond Platnumz
Рет қаралды 2,5 МЛН
My scorpion was taken away from me 😢
00:55
TyphoonFast 5
Рет қаралды 2,7 МЛН
Что-что Мурсдей говорит? 💭 #симбочка #симба #мурсдей
00:19
When you have a very capricious child 😂😘👍
00:16
Like Asiya
Рет қаралды 18 МЛН
NDARO NA STEVE MWEUSI WALIVO MKATAA MKE UTACHEKA
17:06
Ndaro Tz
Рет қаралды 324 М.
Tommy Flavour & Marioo - Nakuja (Recording Session)
9:14
Tommy Flavour
Рет қаралды 216 М.
Diamond Platnumz Non-Stop Hit Songs | Video Jukebox
55:21
Diamond Platnumz
Рет қаралды 4,6 МЛН