Huu wimbo nimeusaka kama pesa #Sugu Mr Nakukubal sana mbunge
@georgeburchard48723 жыл бұрын
Hapo zamani vijana walikuwa wanavuta tu bangi walikuwa hawaijui cocaine!! Huu mstari unagusa Sana! Cocaine imetuharibia vijana wengi mnooo ambao wangeweza kuwa nguvu kazi ya taifa!
@harounkhalfani33544 жыл бұрын
Hapo zamani ww wa sasa
@eugenejr.88444 жыл бұрын
Ngomaaa nimeitafutaaa sanaaa
@amosmkama51153 жыл бұрын
Sugu hatare sana niga big up kwa tuwekea ngoma tuweke na nyingine
@allyfatma73594 жыл бұрын
Ingekuwa ni bongo Flava za sasa wangesema hii beat imefanaa na Ngoma ya mnyalu aliyomshirikisha q chief unaitwa sintobadilika.
@Mo_Blaze2 жыл бұрын
MY SONG . EVER SINCE I WAS A KID . MR 2 , PROF J AND JUMA NATURE ARE MY FIRST INSPIRATIONAL ARTIST!.
@saljam822 жыл бұрын
Explosion of memories...
@georgeburchard48723 жыл бұрын
Zamani marekani na uk walikuwa wanaeenda wazee tu, machizi wote Greece! Mambo ya meli sio!! Huu wimbo unanirudishia kumbukumbu tamu Sana! Maisha yamebadilika mno!
@imanirobin38283 жыл бұрын
Dah!hatimaye nimeipata hii ngoma...nimeitafuta sana...Suguuuuuu