No video

Suma Lee - Yaa Rasuul Allah (Official Video)

  Рет қаралды 342,559

Suma Lee

Suma Lee

Күн бұрын

Aswalaatu Wassalaam Alaika
Yaa Rasuulallah
Aswalaatu Wassalaam Alaika
Yaa Nabiyallah
(x100 kila baada ya Sala ya Faradhi)
Download On Audiomack:
audiomack.com/...
#SumaLee #YaaRasuulAllah

Пікірлер: 1 100
@ngoma15ayn
@ngoma15ayn 4 жыл бұрын
Mja akitenda kheri asiachwe hivihivi, anapaswa kulipwa kwa dua za kheri... Allah akupe umri wenye manufaa umma tunufaike na kheri zako, nawe uendelee kuchuma thawab za Allah 🙏🏾
@dottoandrew9781
@dottoandrew9781 4 жыл бұрын
Me ni mkristo ila huu wimbo hauniishi hamu ya kuusikiliza blessed sumalee❤️
@deomlowe1227
@deomlowe1227 2 жыл бұрын
Kabisa yaan na ni mkrst ila hii nyimbo nimeutafuta kwa udi jaman
@priscusaugust7251
@priscusaugust7251 2 жыл бұрын
Hata mimi
@faridaltamimi7454
@faridaltamimi7454 Жыл бұрын
Ni dalili ya kuwa mna imani Ndani ya moyo wenu
@aliceallys7028
@aliceallys7028 Жыл бұрын
Mie pia hadi 😭machozi kabisa
@goodmarkjulius696
@goodmarkjulius696 4 жыл бұрын
Kama we ni mkristo ila umevutiwa na ujumbe huu gonga like🙏🙏
@chardchard6153
@chardchard6153 4 жыл бұрын
Kwelimkuu
@raphaelkimaro1753
@raphaelkimaro1753 4 жыл бұрын
siwezi vutiwa na mtu akimsifia shetani
@sultanbakary4292
@sultanbakary4292 4 жыл бұрын
Raphael Kimaro shetan mwenyewe c ndio ww au haujijui
@ahmadmwanamadibo4439
@ahmadmwanamadibo4439 4 жыл бұрын
@@raphaelkimaro1753 sasa watafuta nini huku si uende kwa malaika wenzio
@richardjuma7708
@richardjuma7708 4 жыл бұрын
Nimeipenda mno hii ngoma
@winfridapeter4458
@winfridapeter4458 4 жыл бұрын
I am Christian but I❤this song Especial mawaidha yake Mashallah shekhe suma lee 🙏🙏🙏🙏🙏
@winfridakobero6162
@winfridakobero6162 4 жыл бұрын
Mimi ni mkatoliki.. Lakini I fell in love with this song tangu niusikie Instagram weeks ago.. Very nice.
@OmanOman-dn6dj
@OmanOman-dn6dj 4 ай бұрын
Nimekuja baada ya dr sule kuutaja kwenye lavidavi❤
@fatwimafajra6867
@fatwimafajra6867 4 ай бұрын
N mipiy
@YusraYusrat
@YusraYusrat 4 ай бұрын
Am pure Christian I every day take phone to my mother to listen to this beautiful qaswida
@rahmamakwisa4089
@rahmamakwisa4089 4 жыл бұрын
😢😢😢😢😢Mashaallah ni furaha tu ... Allah akujaalie mwisho mwema... umenifanya niirudie kuitazama
@familyrajabu2067
@familyrajabu2067 4 жыл бұрын
Masha Allah suma lee mwenyezi mugu akuzidishie imani sabiti
@twaha1091
@twaha1091 4 жыл бұрын
Kama na ww umeguswa hii qaswida Acha like yako hapaaaa
@asimgkcc2189
@asimgkcc2189 3 жыл бұрын
Mashallah
@puttenyanthony9284
@puttenyanthony9284 4 жыл бұрын
Unamuimbia mungu daah kweli unahazina yako mbinguni kaka suma bora yaacha yadunia yapite
@salehawadh1390
@salehawadh1390 4 жыл бұрын
Mashaallah zao la shekh uwesu abbasia. Hapa Isamil saddik hapa saleh awadh, hapa Azal, hapa Sabri Saleh hapa Juma bichwa.... mashaallah
@williammwajeka3347
@williammwajeka3347 4 жыл бұрын
Heshim kwko suma lee,,🙏 Japo mm ni mkristo Lkn nmekuelew
@faustinejosephat2522
@faustinejosephat2522 4 жыл бұрын
Tuipeleke trend 1 japo mimi ni mkristo ila i lav da song
@maxmaizer4631
@maxmaizer4631 4 жыл бұрын
Inshallah sote ndg 🙏🙏
@kelvinjohn6851
@kelvinjohn6851 4 жыл бұрын
Hata mie nimeikubali
@kareemkiwamba139
@kareemkiwamba139 4 жыл бұрын
Karibu sana na Allah akuoneshe njia
@abdullahsaid4541
@abdullahsaid4541 4 жыл бұрын
Nakukaribisha Sana ktk ISLAM Diini
@benedictnjau6747
@benedictnjau6747 4 жыл бұрын
As a Christian too but I support Allah's work.
@ashadanga2602
@ashadanga2602 3 жыл бұрын
Allahu akbar Allahu akbar.Allah azidi kukupa nuru ewe Ismail jina jema mtoto wa Ibrahim mtoto wa swahaba baba wa imani jina ulilo nalo ni jema bc mambo kama hya ni yako.akulipe kila neno kheri ktk jambo la kheri amiin thumma amiin
@hajimsangi959
@hajimsangi959 2 жыл бұрын
Mashaalah alhaj suma Allah akupe kila lenye khreey kaarib saana Tanga
@annawinstone6075
@annawinstone6075 4 жыл бұрын
I'm Christian and so in love with song
@tottiabdulaziz9208
@tottiabdulaziz9208 4 жыл бұрын
Masha allah shemej yangu kaswida nzur sana anaejua maana akitizama mpaka machozi yatamtoka mungu akuzidishie akuongoze katika waja wake walio wema ameen ameen
@bladechiko3512
@bladechiko3512 4 жыл бұрын
Nimeirudia mara kumi na kitu kama sikosei.......mimi nimeipenda sana mashaallah........hio ndio njia sasa kaka.......tokea Qatar tupo pamoja
@evcloudjuma9790
@evcloudjuma9790 4 жыл бұрын
Huyu kenge anatalent nzur ya kumfanya aish maisha mazuri lakn sijui ni dalali mitaani!
@mwanaz3110
@mwanaz3110 4 жыл бұрын
Nice voice👍!! Even Christians are here listening this!! Chairs!!
@abuudhilkarnayn7229
@abuudhilkarnayn7229 4 жыл бұрын
Bismilaah Rahman Rahiim Ndugu yangu Sumalee, Allaah azidi kukuongoza uzidi kuifahamu dini ya Allaah{ Azza wa Jall} na ushikamane na sunnah za Rasul swala na salamu ziwe juu yake, #Ama haya masaala ya muziki katika uislamu ulio safi hayapo kabisa, mambo haya hayakufanywa na Waislamu wa mwanzo kabisa walio katika njia ya sawa hadi wa sasa, Maswahaba hawakuwa wakiimba nyimbo, wala waliowafatia maswahaba, wala waliowafatia, Ndio maana hutakuta hata swahaba mmoja kuwa yeye alikuwa akisifika kwa uimbaji, laah, wala maimamu wanne na wengineo katika wema hakuna muimbaji, Ndugu yangu jitahid kusoma Quraan, kuhifadhi hadithi, na kusoma vitabu vya Aqidah na Tawhid, vitabu vya manhaj piah, na vtabu vya lugha, na jiepushe na Muziki kwani muziki ni haramu, na muziki si katika uislam, wanaoimba muzik wameleta mambo mapya ambayo hayakuwepo toka zaman, ama ikiwa una kipaji basi Ghani maShair kwa ajir ya Allaah, Mashair yanaruhusiwa kwa utaratibu maalumu, na jiepushe na Muziki kabisa, kwan muziki unapelekea watu kuichukia Quran na sunnah na kudai muziki ndo unaelimisha. Hakika kumsifu Allaah Azza wa Jall na Mtume wake swala na salamu ziwe juu yake kuna utaratibu wake wa kisheria ila sio kwa nyimbo, Kwani kuendelee hivi itakupelekea wewe kurud tena katika muziki kabisa, na utakuwa mbali na uislamu wa sawasawa. Hakuna waimbaji katika maswahaba na sisi tunatakiwa kuwaiga maswahaba ALLAAH AKUONGOZE KATIKA TWAA YAKE NA AKUEPUSHE NA HAYA MAMBO YA MUZIKI
@emanuelminja4846
@emanuelminja4846 4 жыл бұрын
Ulivyoongeka ndo umependeza zaidi, kweli kwa Mungu raha. Tujitahidi kushare na wengine wapate kusikia ujumbe huu mzuri kutoka kwa ndugu Mtumishi Ismail
@chesterbrand6723
@chesterbrand6723 4 жыл бұрын
Haitaji uwe mwislam caswida nzury sana Sana Sana Mimi ni mkristo.... Baraka kwako Suma lee
@ommarelbungara4347
@ommarelbungara4347 4 жыл бұрын
Ismail kwa hakika wewe mfano wakuigwa haswa kwa ss vijana ALLAH akupe mwishomwema
@abdulkareemseif667
@abdulkareemseif667 4 жыл бұрын
Aigwe kwa kipi mpuuzi tu asiejielewa
@hadijahmwajombe9588
@hadijahmwajombe9588 4 жыл бұрын
@@abdulkareemseif667 hahahahahahaha
@wahaaabi7663
@wahaaabi7663 4 жыл бұрын
Wakuigwa Ni al shabaab.! Sio huyu murtad na mtumwa wa MAKAFIRI huyu suma lee Ni mshirikina mkubwa.! Na akija kufa hivi lazzzma aeende motoni..?
@wahaaabi7663
@wahaaabi7663 4 жыл бұрын
Wewe hujielewi wakuigwa hili KAFIIRI.!
@sultanbakary4292
@sultanbakary4292 4 жыл бұрын
WA HAAABI kuwa na lugha mzur hata huyo mtume angelingania kama unavyofany ww acngepata hata muumin 1 kasome kwanz halaf ndio uje ushahid c o unaropoka hapa nenda ww huko alshabab
@omaryshafii1174
@omaryshafii1174 4 жыл бұрын
kipaji kimeamua kurudi Kwa Allah .. Asalam aleykha parasol llah...
@user-sx4gn5im6o
@user-sx4gn5im6o 10 ай бұрын
Im christian bt hii qaswida imeeushika moyo wangu❤❤❤
@mpondamedia2416
@mpondamedia2416 4 жыл бұрын
baaraka llahu fiika umejitahidi kaka kuacha ushetani wa muziki sio kazi ndogo wewe saigoni mzee yusufu nawapongeza pia allah akuzidishien imani
@isigivallary5148
@isigivallary5148 4 жыл бұрын
Am a Christian but I love this song🥰
@Chapesatv
@Chapesatv 4 жыл бұрын
Masha'allah hapa kazi imekamilika kabisa brother like hapa tufikishe ndugu yetu mbali
@princemaster8779
@princemaster8779 4 жыл бұрын
MASHA ALLAH, ALLAH AZIDI KUTUONGOZA SISI SOTE ILI TUTOKE KWENYE NJIA POTOFU ILI ATURIDHIE TUINGIE SOTE PEPONI KWA MAPENZI YAKE AZZA WA JALLAH☝☝☝
@aminahamadi3307
@aminahamadi3307 4 жыл бұрын
ALHAMDULLAH silsila kwa mabwana mpaka kwa RASULI TUNAFIKA...ALLAH AKUPE NURU NA WAISLAMU WOTE BROU KAZI NZURI
@iscobuzness7153
@iscobuzness7153 4 жыл бұрын
Nawatakia mfungo mwema wa mwezi mtukufu wa Ramadhan waislam wote 🙏🙏🙏
@maxmaizer4631
@maxmaizer4631 4 жыл бұрын
Inshallah
@maryammaram2612
@maryammaram2612 4 жыл бұрын
Shukran♥
@jumakhamisi6468
@jumakhamisi6468 4 жыл бұрын
Inshaallah
@osamaalharthy4150
@osamaalharthy4150 4 жыл бұрын
Mashallah
@modrickaziz1989
@modrickaziz1989 4 жыл бұрын
Thx bro
@jaafarjacka3320
@jaafarjacka3320 4 жыл бұрын
Allahumma swalli wasallim wazid wabaarik aleee...alhabiib Suma Lee...kaz kubbbwwwa sssannna...ALLAH atupe mahabba juu ya Mtume wetu
@LabtinLimited
@LabtinLimited 2 ай бұрын
Mie Christian but this song aiseee imepenya kwenye moyo wng 🙏🙏🥰
@najmaabby5034
@najmaabby5034 4 жыл бұрын
Cjawai kuichoka hii song n everyday ipo kwa mind yngu umetisha baba bring t on the super songs like dis
@maximusalnono6425
@maximusalnono6425 4 жыл бұрын
Bonge la Qaswida dhikry umemalizia vizuri Ma Shaa Allah
@anuvista3445
@anuvista3445 4 жыл бұрын
mashallah allah akujaalie husni hatma muache mzee yussuf yeye arudi mjini
@moudymsouth5872
@moudymsouth5872 3 жыл бұрын
Mashaallah maalim nangojea nikusikie keshokutwa pale qadiria zawiyani muhalitani bagamoyo maalim shika maik ufamyevita
@rizikisaid2904
@rizikisaid2904 5 ай бұрын
Maashallah sichoki kuisikila hii kaswida kila naposikiliza machozi hunitoka Allah amfanyie wepesi Suma Lee ❤❤
@ibrahimjumbe7390
@ibrahimjumbe7390 4 жыл бұрын
Sisi na mtume Muhammad saw mtume na sisi ❤❤❤❤❤
@godfreyjames6792
@godfreyjames6792 4 жыл бұрын
I'm christian buh this is ExtraOrd.......good job SumaLee may Allah bless u bro
@asimgkcc2189
@asimgkcc2189 4 жыл бұрын
Mashalllh
@sultanbakary4292
@sultanbakary4292 4 жыл бұрын
Godfrey James M/mungu akuongoze
@najimshaib9306
@najimshaib9306 4 жыл бұрын
Allah akuony njia nzr Ameen
@godfreyjames6792
@godfreyjames6792 4 жыл бұрын
@@najimshaib9306 Amen be blessed pia
@theresiamorris1621
@theresiamorris1621 4 жыл бұрын
Nice .Allah akubariki
@tumajoseph6861
@tumajoseph6861 4 жыл бұрын
Hii nyimbo imetufanya hata wakristo tusokuwa tukielewa kuwa waislamu na sisi sote Mungu wetu ni mmoja tuelewe hilo leo through the feelings you get when listening Mashaallah..
@testymonyshirima5822
@testymonyshirima5822 4 жыл бұрын
Mimi ni mkristo lakini hapa sina udini kwakweli naipenda mno hii nyimbo kikubwa ujumbe ni mzuri kwakweli
@ayoubsuleiman3675
@ayoubsuleiman3675 4 жыл бұрын
Mashallah kwakwl mm nawapenda watanzania na Tanzania kwa ujumla mnajitahid San ktk kila kitu sumalee hatimae kashika kamba ya uongofu yn kumbe saili ni asili tu hata ujichetue VP na ninaimani kuwa diamond ipo ck nayeye atarudi kwenye njia sawiyaa
@muhammadiabdallah9118
@muhammadiabdallah9118 4 жыл бұрын
Maashaallah
@zuwenahamoud7792
@zuwenahamoud7792 4 жыл бұрын
Inshaallah
@adamumuki1242
@adamumuki1242 4 жыл бұрын
ALLAH amuongoze mashallah na mwisho.mwema. ampe
@zulfarahman3651
@zulfarahman3651 4 жыл бұрын
Hii kaswida inapunguza stress zote na kutoa uzito kifuan mwako unajikuta mwepesi nafsi inakua bardiii mashaallah
@mwanaharusihamisi3126
@mwanaharusihamisi3126 3 жыл бұрын
Masha Allah ndugu yangu hata me niliwacha kuuza marungi Allah atuongoe wote duniani
@abuunabilherbalmedicine5594
@abuunabilherbalmedicine5594 4 жыл бұрын
Allah akuongeze zaidi na akutoe hapo pia akufahamishe sunna na jinsi walivyoishi wema walopita
@abdallahkitwana8471
@abdallahkitwana8471 4 жыл бұрын
Mashaallah Kazi nzur sana. Allah akujaalie ubaki na msimamo huo huo ndugu.
@gracesikulo7377
@gracesikulo7377 3 жыл бұрын
Mungu akuzidishie mwisho mwema
@onesmomwegoha5681
@onesmomwegoha5681 4 жыл бұрын
Brother, mwenyezi Mungu akiujaalie kila jema. Mimi ni Mkristo ila Mungu ni mmoja..
@godfreypatrick461
@godfreypatrick461 4 жыл бұрын
Mimi mkilisto sipendagi nyimbo wa waishilamu kwa kuwa sielewi luga ila hii naona nimeelewa na imeniingia lohon asante suma lee
@mloyoally5446
@mloyoally5446 4 жыл бұрын
nani anaamini hii sauti ya sumalee haijapotea
@allahisone6386
@allahisone6386 4 жыл бұрын
100%
@tottiabdulaziz9208
@tottiabdulaziz9208 4 жыл бұрын
Sauti ya ismail anayoongea ndio anayoimbia masha allah
@royalroyal8633
@royalroyal8633 4 жыл бұрын
Nimependa
@muniraahmed624
@muniraahmed624 4 жыл бұрын
Mashallah 🌹❤. Mwenyez mungu akupe moyo huo huo 🙏 wakuimba Qaswidah
@abdulazizmwipi9750
@abdulazizmwipi9750 4 жыл бұрын
Munira nichek ,watsap 0766440055
@abubakarsuleman1983
@abubakarsuleman1983 3 жыл бұрын
Mashaallah, mola akuangazie nuru yake suma Lee, azidi kukuongoza ktk njia ilionyooka wewe na sisi pia , awarehemu wazazi wako ,awasamehe na makosa yao pamoja na cc sote ameen.
@aliebrahim9423
@aliebrahim9423 4 жыл бұрын
Allah akulinde usije ukaenda ukaimba music tena ila hata hizi kaswida za kisasa ni sehemu ya mziki kwani zinatumia ala za music.Allah akupe ujasiri wa kutumia sauti yako kwa ajili ya kusomea Qur'an kuliko kitu chochote.
@ashuuuaisha9122
@ashuuuaisha9122 4 жыл бұрын
Natamani wasanii wote wenye imani ya Islamic waongolewe inshaallah
@jumashabani6095
@jumashabani6095 4 жыл бұрын
Ashuuu Aisha ok
@mkambotv5418
@mkambotv5418 4 жыл бұрын
twendeni nayo hadi tufkishe 10million views
@bilalmohammed3541
@bilalmohammed3541 4 жыл бұрын
Kwa uwezo wa Allah zitafika tuh hizo
@jumajuma2726
@jumajuma2726 4 жыл бұрын
Salim Salim swadaqta
@milelestudios1050
@milelestudios1050 4 жыл бұрын
Kabisaaaa
@wahaaabi7663
@wahaaabi7663 4 жыл бұрын
Nyinyi Ni washirikina na watumwa wa MAKAFIRI...? Hamjielewi waislam wa Tanzania..?
@modrickaziz1989
@modrickaziz1989 4 жыл бұрын
Kweli ndgu
@kondohamis-cd4mt
@kondohamis-cd4mt 9 ай бұрын
Mashallaah mwenyezi mungu azidi kukuobgoza suma lee naipenda sana kasweeda yako
@neemaleonard8427
@neemaleonard8427 4 жыл бұрын
Aisee nouma sana hii yaaan mtu wa dini yeyote anaweza kusikiliza vizuri upo vizur sana kaka mungu abariki kaz ya mikono yako
@abdulazizuberxdriver3845
@abdulazizuberxdriver3845 4 жыл бұрын
Mashallah it’s my favorite ramadan qaswidah mungu akuongoze katika iman
@abillahnamajojo8328
@abillahnamajojo8328 4 жыл бұрын
MashaAllah...... usiishie hapo tu braza “ALLAH” akuongezee zaid 🙏🏼🙏🏼🙏🏼👏🏿
@johnwillingstone3121
@johnwillingstone3121 4 жыл бұрын
Nawatakia mfungo mwema waislam wote... kazi nzuri suma lee
@mussamgonola3983
@mussamgonola3983 4 жыл бұрын
MashaaAllah sumalee Allah akujaalie kila hatua kwa unacho fanya hasa kuutangaza uislam
@2ttyfruity
@2ttyfruity 4 жыл бұрын
MashaaAllah...MashaaAllah...MashaaAllah...
@alialibablly7010
@alialibablly7010 4 жыл бұрын
Mashallah one more inshallah na mzee Yussuf Ameen
@bashiritipa2683
@bashiritipa2683 4 жыл бұрын
kama kweri uta rudi .kwa njia za ujumbe wa mungu.tuu ita kuwa poa .zaidi.
@fredrickmbaruku7827
@fredrickmbaruku7827 3 жыл бұрын
I'm Christian but l like Islamic traditions
@LilyooKamone
@LilyooKamone 4 жыл бұрын
Allah barik you Kakangu 💟🇰🇪🤗
@sameermilo2492
@sameermilo2492 4 жыл бұрын
Well done brother 👏🏻 . Allah atuongoze kwa sote 🇹🇿
@khalilkyle4181
@khalilkyle4181 Жыл бұрын
Mungu akuzidishie baraka maishani mwako na ukawe miongoni mwa maridhio ya Allah peponi in Sha allah
@meyambaruku8609
@meyambaruku8609 4 жыл бұрын
Ndugu yangu kwaajili Allah na mapenzi yangu ya dhati kwako kwaajili ya Allah kwaajili ya Leo yetu duniani na kesho akhera.... Nakuhusia kuwa Fanya #Nashidi usifanye qaswida ambazo zinamchanganyiko na mapigo ya alaa za muziki(beats) sababu ni haramu pia zinashubha(ushawishi wa kiibilisi) ndani yake shkh wangu... Mimi nakuombea kwa Allah akulinde, akuhifadhi, akufanyie wepesi katika LA kheri na akuepushe na Shari za iblisi na akupe mwisho uliyo mwema .....
@mohamedsabuni3051
@mohamedsabuni3051 4 жыл бұрын
MaashaAllah kazi nzuri sana! M.Mungu S.W akujaalie kheri uendelee kutumia kipaji chako katika njia sahihi.
@khalidhamis5811
@khalidhamis5811 4 жыл бұрын
Nafulah kuona hata wafuwasi wa dini zingine zinasapport hongeren San mungu wetu Ni mmoja mm namuombea like #suma Lee pamoj na kusubscribe channel yake
@fijuzom77seventeeseven33
@fijuzom77seventeeseven33 4 жыл бұрын
Kazi nzuri kaka mungu azidi kukuongoza
@kalistam1942
@kalistam1942 3 жыл бұрын
Naupenda sana huu wimbo, japo mi Mkristo jamani.
@moudiesad2806
@moudiesad2806 4 жыл бұрын
MAASHALLAH ALLAH azidi kukubariki akhy utoe nyingine nyingi AAMEEN
@hafidhali815
@hafidhali815 4 жыл бұрын
Wallah mpaka rahaaaa mwenyez mungu akufanyie wepes kaka yangu Suma inshaallah Hafidh nipo Botswana Gaborone
@ibrahimumasoud4596
@ibrahimumasoud4596 4 жыл бұрын
Allah akubariki kwa zawadi mzuri uliyo tuletea ndugu zako Waislam na hata wale Waco waislam hakika umefanya kitu kikubwa xna xna.🙏🙏
@rahmaikaranda6587
@rahmaikaranda6587 4 жыл бұрын
MashaAllah Allah akujaalie kheri Uncle hakika we Ni mfano Bora kwetu,duniani hapa tunapita tu tumche mola 🙏
@issamohd1602
@issamohd1602 4 жыл бұрын
Mashallah Allah azidi kukuongoza... Inapendeza kw kwl..🤲🤲👍
@mukkyahmed8445
@mukkyahmed8445 3 жыл бұрын
صلوات ربي وسلامه عليه❤️❤️
@fatumaamri3743
@fatumaamri3743 4 жыл бұрын
Mbona kwaya sio kaswida jamani mtihani wallah hakika tunapotea
@kawayalamzee6789
@kawayalamzee6789 4 жыл бұрын
Badirka Muft Una sauti nzuri itafaa Kama utaimba bila hivyo vyombo ambavyo avitakiwi kidini yetu Waislam sheikh inshaalah nakuombea
@user-kr9mx7rz9w
@user-kr9mx7rz9w 4 жыл бұрын
اللهم صل وسلم على نبينا وحبيبنا وشفيعنا محمد وعلى آله وصحبه أجمعين. ❤
@Razkenya001
@Razkenya001 4 жыл бұрын
Nzuri sana, MashaAllah 👍🏾
@Razkenya001
@Razkenya001 11 ай бұрын
#Hakunaga kama hii
@emanuelswai7696
@emanuelswai7696 2 жыл бұрын
Japo mie ni mkristu Ila huu wimbo naupenda saana, nausikiliza Mara kwa Mara.
@kidamen8033
@kidamen8033 4 жыл бұрын
Kwahakika haya sio mafuzo y dini ya uislam kaka Suma inatubid tuache haya n kuingia darasani na kuifatlia dini kiundani. Allah atufanyie wepesi insha'Allah
@anualiissa2676
@anualiissa2676 4 жыл бұрын
Ishallah 🙏 gonga like kwa suma
@gamarsaid8406
@gamarsaid8406 4 жыл бұрын
Sumalee endelea HVO utuelimishe inshaallah Allah akbar
@abdulkareemseif667
@abdulkareemseif667 4 жыл бұрын
Wewe ndo waelimika nn hapa mziki huu
@gamarsaid8406
@gamarsaid8406 4 жыл бұрын
Kwa hiyo unataka aendelee kuimba upuuzi bora hvi kaka tusiwe ni wengi wa kulaumu uislamu haupo hivo
@abdulkareemseif667
@abdulkareemseif667 4 жыл бұрын
@@gamarsaid8406 hakuna bora hivi yote broo ni mazambi yote ni haram makati ni miziki apo utofauti huku avaa kanzu kule anvaa modo
@dianakaswahili4867
@dianakaswahili4867 2 жыл бұрын
Me mkristo lkn naupenda huu wimbo mungu akubalik sumalee
@bintqassimidarous1636
@bintqassimidarous1636 4 жыл бұрын
Allah humuongoa amtakae na alhamdulillah sheikh #Sumalee allah amekujaalia kuemo katika waliongoka allah atuzidishie imani ya dini yetu ya uislam 🤲🏼🤲🏼
@omaniomani5155
@omaniomani5155 4 жыл бұрын
صلوا على الحبيب المصطفى ❤️
@maliksaleh9619
@maliksaleh9619 4 жыл бұрын
Mashallah brother verry hert attochng allah akuongoze na msimamo kwa pamoja atufanyie wepesi
@abuu-abdulrrahmaanabdallah2639
@abuu-abdulrrahmaanabdallah2639 4 жыл бұрын
Iyo ni nasheed au kwaya ???
@vahley3162
@vahley3162 4 жыл бұрын
Haya ndo matumizi sahihi ya vipaji alivyowapa Mungu, Ubarikiwe sana
@johnsonlenas8227
@johnsonlenas8227 4 жыл бұрын
Nami ntasilimu niwe muislamu, mnichagulie jina ndgu zanguni waislamu.
@nishujamaly4079
@nishujamaly4079 4 жыл бұрын
MASHALLAH.. kiukweli umenifuraisha sana Ismayly..ALLAH akuongeze zaidi ktk maadili ya kumpendeza yy INSHALLAH
@swahibutv3707
@swahibutv3707 4 жыл бұрын
Màasha Allah Maasha Allah اللهم صلى وسلم عليه صلاة عبد قالة حيلته ورسول لله وسيلته وانت لها يا إله ولكل كرب عظيم ففرج عنا ما نحن فيه بسر الأسرار بسم الله الرحم الرحيم
@omommansour3429
@omommansour3429 4 жыл бұрын
نريد الترجمه رجاءا
@khadharmohamed5301
@khadharmohamed5301 6 ай бұрын
MashaAllah mashaAllah mashallah ❤❤❤❤❤❤❤❤
@edsonthadei9871
@edsonthadei9871 4 жыл бұрын
Nilikua naitafuta sana hii qaswidah roho mtakatifu tu kaniambia jaribu suma lee utaipata.... Me mkristo ila am in love with this qaswidah, sheikh ubarikiwe sana
Suma Lee_Naam Sara
4:42
Suma Lee
Рет қаралды 10 М.
PENYE NIYA PANA NJIA-  ISMAEL SIDDIQ (SUMA LEE) - Nijuze Eps #23
40:00
ISSEI & yellow girl 💛
00:33
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 25 МЛН
طردت النملة من المنزل😡 ماذا فعل؟🥲
00:25
Cool Tool SHORTS Arabic
Рет қаралды 21 МЛН
Prank vs Prank #shorts
00:28
Mr DegrEE
Рет қаралды 10 МЛН
OMBI LANGU BY AMBWENE MWASONGWE (OFFICIAL MUSIC VIDEO)
5:52
Ambwene Mwasongwe
Рет қаралды 4,1 МЛН
QASWIDA TUMWA MKARAMU BY NOUR AL-MUSTAFA 2019
10:29
Nour Almustafa TV Zanzibar
Рет қаралды 420 М.
AVSEQ06
8:19
jelani ali
Рет қаралды 624 М.
Suma Lee - MAAFI QALBI (Qaswida)
4:00
Suma Lee
Рет қаралды 4,1 М.
Qaswida.mahari
9:33
Dhul Khifli
Рет қаралды 3,7 МЛН
SUMA LEE - SAYYID HUSSEIN BADAWIY ( Official Audio Kaswida)
5:09
BABDEO MILADU
Рет қаралды 28 М.
ISSEI & yellow girl 💛
00:33
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 25 МЛН