Hapo kakosea stepu kawaisha, unaanza kupaki pembeni ndio unaweka kete , hakuna jipu
@humphreywilfred3142Ай бұрын
3.05 kwanini njano asitoboe jipu hilo
@infinityhacker1599Ай бұрын
Hapo boss kwenye dakika 1.05 hamna jipu wala kwenye dk 3.05 hamna jipu angalia kwa makini huo mchezo sifungi hata iwaje labda sare tu miguu yote imekaguliwa
@leofordcharles1511Ай бұрын
Hapo pia ni goli kakosea , yan jibu lina toboka na limeisha
@leofordcharles1511Ай бұрын
Cheki upya kwa makini hutaelewa makosa yake hila copy ndio ipo hivyo , anachokosea anacheza kete ya pili kabla ya kwanza
@sama-_8368Ай бұрын
2:48-50 ukila hivi unafungwa, ukila hivi ni sare!!! Nimecheza na dalmax nimekula hivi ulivyosema ni sare bado sijapata sare! Sare naipataje hapa?
@AbduliMaulidi9 күн бұрын
@@sama-_8368ni sare unafungwaje 😂😂
@AbduliMaulidi2 ай бұрын
Ukibana hapo anakupigaje tatu mkuu
@infinityhacker15992 ай бұрын
Nimekosea sio tatu anakupa ile kete alafu anaomba linakuwa sio zuri kwako ila sare unaweza toa
@AbduliMaulidi2 ай бұрын
Yes na mi ndo najua hiyo hizo tatu nimezitafuta sana😂😂😂pamoja mkuu 🙏@@infinityhacker1599