SwAUM ZETU episode 2 starlng mkojani, samofi chandimu ,mwaluvanda ,kamugisha ,khanifa

  Рет қаралды 95,704

MKOJANI GANG

MKOJANI GANG

Күн бұрын

#swaumuzetu #mkojani #comedy

Пікірлер: 251
@mudibojaffar9269
@mudibojaffar9269 Жыл бұрын
ALLAH Ajalie Kundi La Mkojani GANG Liweze Kufika Mbali INSHALLAH 🤲..Wanamkojani Sote Tuseme AMIN 🤲🎉
@shikhabdeenmtenga
@shikhabdeenmtenga Жыл бұрын
Amiiii
@khadijambarouk5022
@khadijambarouk5022 Жыл бұрын
Amen
@abubakarymaulidy5681
@abubakarymaulidy5681 Жыл бұрын
Amiin
@SH3Y03
@SH3Y03 Жыл бұрын
Kwann sijawah kuziona hizi clips jaman khaaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽mnakua mpaka mnajua tena!mashamsham ya wasafi ndo imenileta hapa yaan mnajuaaaaaa
@yashoopatrickpatrick2286
@yashoopatrickpatrick2286 Жыл бұрын
Safiii samofii na mkojan mna upiga mwingiii 🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦
@queenrey2255
@queenrey2255 Жыл бұрын
Mashaallah tabaraq Allah ❤️🥰😂😂😂 naombeni like na mm Leo akah
@hysomewawa
@hysomewawa Жыл бұрын
chukua na namba zangu za simu sio likes tu
@salumkipara7714
@salumkipara7714 Жыл бұрын
Saw mtto
@reinatave780
@reinatave780 Жыл бұрын
Unapeleka wap izo like tukikupa
@queenrey2255
@queenrey2255 Жыл бұрын
Kwani ninyi mkipewa mnapeleka wapi😂😂😂 @ reina tave
@salummasoud4337
@salummasoud4337 Жыл бұрын
Basihiyo chukua
@estatekisombola9251
@estatekisombola9251 Жыл бұрын
Kiukweli mkojani na samofi akili zao zinaendana vizuri kwenye uwigizaji 😂😂😂😂😂 love from Australia 🇦🇺 ♥ ❤
@zenasalum699
@zenasalum699 Жыл бұрын
😂😂😂kweli kabisa
@SaidiHassani-fc7rs
@SaidiHassani-fc7rs Жыл бұрын
Hahahaha Mkojan na samofi nyie mmeendn mungu awasaidie mfike mbali kisanaa na muendelee kushikaman ili mtupe vitu vizur ishaallah
@aishaalbalushaishabalush8291
@aishaalbalushaishabalush8291 Жыл бұрын
nakweli kabsa
@tumajunior6080
@tumajunior6080 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣mababa vivuruge lkn baba wa hanifa amezidi ❤❤❤❤❤❤❤👌👌👌👌👌🥰🥰🥰🥰🥰nikiwa Qatar manitoa stress mashaallah 🤲
@santodelove4351
@santodelove4351 Жыл бұрын
Hey
@chintobaaa5252
@chintobaaa5252 Жыл бұрын
MashAllah Allah awafungulie milango ya kheri InshAllah
@ashahussein2734
@ashahussein2734 Жыл бұрын
Daaah Mkojani anamtiya Ayibu Binti yake kama namuona Baba yangu alivyo mkorofi ivo ivo😥😥
@uuuuiiii3917
@uuuuiiii3917 Жыл бұрын
Pamoja Sana mkojani Bini daruweeshiiiiii🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲🔥
@williemzazi2030
@williemzazi2030 Жыл бұрын
Watching from Mombasa KENYA🇰🇪 kazi nzuri sana
@ldmfromkenya6273
@ldmfromkenya6273 Жыл бұрын
Love kumbe uko pia karibu san my❤❤❤❤
@mchizipetro7343
@mchizipetro7343 Жыл бұрын
Huyu dogo mlimtoa wapi, amestand out I like him. Hyu kijana wa mkojani
@ibrahimmussa9430
@ibrahimmussa9430 Жыл бұрын
Kamugisha nakuona mbali sana broo sio tu ktk movies Bali hata ktk jamii illiyokuzunguka
@AnisethiThomsoni-ir8td
@AnisethiThomsoni-ir8td Жыл бұрын
Ila munajua jaman pongezi kwenu❤❤❤
@ustadhshoes1334
@ustadhshoes1334 Жыл бұрын
Mtoto mkubwa kuliko baba 😂😂😂 samofi na mwaluvanda😂😂😂😂
@peterchino3471
@peterchino3471 Жыл бұрын
Samofi ni mkubwa sana kiumri, hata Zaid ya mkojani
@ahmedysaidy9874
@ahmedysaidy9874 Жыл бұрын
Samofi ni mkubwa sana kuliko unavyofikilia mm nimeanza kumuona anaigiza kabla hata ya mkojani kuingia kwenye maigizo kipindi anaanza nadhani mkojani alikuwa bado yupo shule samofi mkongwe kwenye maigizo.
@OmanOman-ik9sp
@OmanOman-ik9sp Жыл бұрын
😂😂😂😂😂We nae mwaluvanda unamringanisha na Samofi wakati Ata Huyo mkojani hamfikii kiumri bora ungesema mkojani na mwaluvanda 😂😂😂😂😂😂😂
@francobravotheforester542
@francobravotheforester542 Жыл бұрын
Kwani hamna wazazi ambao ukilinganisha na mtoto wake unahisi mtoto ndo mzazi na mzazi ndo mtoto
@faizalmombaofficial8229
@faizalmombaofficial8229 Жыл бұрын
Mwaluvanda ni mtoto wa kwanza😂😂
@KataraiAbduli-qh2jt
@KataraiAbduli-qh2jt Жыл бұрын
hongera sana mkoani mmetisha sana naswaumu zetu msimu wapili
@Oohjay254
@Oohjay254 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂 that's why napenda timu mkojani from Mombasa kenya wanangu mnaweza sn
@binthkhamis8042
@binthkhamis8042 Жыл бұрын
Chandimu ywpata tabu na baba ake 😅😅😅😅
@safuanabdalla2162
@safuanabdalla2162 Жыл бұрын
Aloimba anafanana na jafari mponda🎉
@tumajunior6080
@tumajunior6080 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣daa hanifa babaetu atuadhirisha ameiba viatu vya shekh tena mwerevu na msuli wake❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@albertlokoya7937
@albertlokoya7937 Жыл бұрын
Ila Hanifa anaigiza vizuri kama mke mwema
@lilmantruth4052
@lilmantruth4052 Жыл бұрын
Mwaluvanda ni Aya cyo viaya na vihadisi manake km umeyadogosha maneno matukufu ya Allah subhanahuwataala na Sanna ya mtume Muhammad swalla Allahu alayhiwasalam
@salvinaedward7950
@salvinaedward7950 Жыл бұрын
Daaah🤣🤣🤣🤣🤣mababa ni mabogazi lkn mkojani amezd🤣🤣🤣
@p.maxproduction5667
@p.maxproduction5667 Жыл бұрын
Mkojani na samofi one day watatuuwaga awa waze uongo kama kweli jamani😂😂😂😂😂
@maguetomfalme5815
@maguetomfalme5815 Жыл бұрын
swaumu zetu wenyeweee eeeeh subasteji 😂😂😂
@minihajimohamed-sz6sg
@minihajimohamed-sz6sg Жыл бұрын
Ila mkojan mnabaraha san mnajua san🎉🎉🎉 mnatupa burudani san🎉🎉
@EL-LOFFY
@EL-LOFFY Жыл бұрын
Nipeni like zng mkojani gang
@esmaelinhoharnandez4479
@esmaelinhoharnandez4479 Жыл бұрын
mkojani gang tujuane na watch nikiwa qatar...naomba like zenu watu wangu
@binthkhamis8042
@binthkhamis8042 Жыл бұрын
Mkojani na samofi bado wanasira za mbambaa😂😂😂 sio kwa sira hzo mkojani
@vedastussigore5602
@vedastussigore5602 Жыл бұрын
Kwani mkojani unakuaga na mann hadi ugenini haupoiii😂😀😀😀😂. Nimekukuta hapa hapa ntakuacha hapa hapaaa😂
@mulidebuanauasse8785
@mulidebuanauasse8785 Жыл бұрын
Mkojani Yani anafujo Sana tena sana
@jackobabunuas9754
@jackobabunuas9754 Жыл бұрын
Mkojani hata Kama hii movie Ila umezidi ukorofiiii aiseee😃😃😃😃😃
@hamismatutu6812
@hamismatutu6812 Жыл бұрын
Chandimu kazi anayo kwenye series hii😂😂
@nasoronasoro8019
@nasoronasoro8019 Жыл бұрын
Oya hebeti mbn kama unauhusika mgumu
@MaajabuRamadhani-so9vg
@MaajabuRamadhani-so9vg Жыл бұрын
Hii combination ya Samofi na mkojan naipenda san...mnajuaaaaa kupita maelezo
@husseinmhina7649
@husseinmhina7649 Жыл бұрын
MKOVIZUR SANA MUNGU AWAJALIE HERI
@saedomari3341
@saedomari3341 Жыл бұрын
Hehehe mkojani umetisha mashalla umeniacha hoii
@abdallahrashid2899
@abdallahrashid2899 Жыл бұрын
Like zanguu sema Leo nimechelew kumaliza ftar
@ashrafchande869
@ashrafchande869 Жыл бұрын
W jmaa mkojan dah chaf sana wew😂😂😂😂
@sophiamboweto
@sophiamboweto Жыл бұрын
Watu na nyota zetu tunapendwa ukweni😂😂😂😂 nakubali mkojan gang
@jackobabunuas9754
@jackobabunuas9754 Жыл бұрын
Kanyaga twende mkojani na samofi Bila.kumsahau mwanangu famovic famonga
@piusjuma4864
@piusjuma4864 Жыл бұрын
😅 😅 😅 😅 Cha ndimu anapigwa kama ngoma kila wakat
@khamiswapemba9019
@khamiswapemba9019 Жыл бұрын
Kazi iendelee mkojani gang hakika kazi ni mzuri sana sana sana tupeni ratiba ya umbambamba inaruka lini?
@RashidRashid-wv9ud
@RashidRashid-wv9ud Жыл бұрын
Mimi kwa maono yangu ni bado bufu la mkojani na samofi bado linaendelea
@evamapunda
@evamapunda Жыл бұрын
mkojani unamuitaji sana samofi lakini mengine muachie mola nyinyi wawili mnaendana
@adamelly6051
@adamelly6051 Жыл бұрын
Hahaha mkojani hapendi kuongea sana mabishano kidogo anataka ngumi
@muhaproduction3325
@muhaproduction3325 Жыл бұрын
Mkojani akiwa na samofi inapendeza sana
@complex7582
@complex7582 Жыл бұрын
Mkojani ukijirekebisha kidogo tu,tutakuita the King of Comedy Tanzania
@officialchalema657
@officialchalema657 Жыл бұрын
Hawa wazee mafundi ❤️❤️❤️
@amriyyahamad3946
@amriyyahamad3946 Жыл бұрын
Hahaha 😂 dagh hii tamthilia Safi sana mkojani mkorofi Sana aisee haha na samofi anajua ku stand nae wote wakorifi hatari
@mwanashaathuman6192
@mwanashaathuman6192 Жыл бұрын
Mkojani wanifuraisha Wallahi uko vizuri nimependa hii❤😂😂😂😂😂😂😂
@salhamrishoi4943
@salhamrishoi4943 Жыл бұрын
From Oman tupo kama wote❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉
@mhinajerome5964
@mhinajerome5964 Жыл бұрын
Gomalimeanza nanguvu sana kuliko ya mwakajana
@ShabaniKibaya-jz6dr
@ShabaniKibaya-jz6dr Жыл бұрын
Khanifa handeni uziguani umemnyanyua dada etu kipaji chake MKOJANI GANG🔥
@hamadlallana4888
@hamadlallana4888 Жыл бұрын
Moto ule ule 🎉🎉🎉🎉❤❤❤💪💪💪💪💪😂🙏🙏🙏🙏😂
@user-kimwana
@user-kimwana Жыл бұрын
🔥🔥🔥kumekuchaaa 😂
@IsmailWabichi
@IsmailWabichi Жыл бұрын
Mnapendeza sana samofi na mkojani pendaneni hivyo hivyo
@Beastfalso
@Beastfalso Жыл бұрын
HII MIJITU MI WILL BADO HAWAJAKAA SAWA BADO KUNA CHEMBE ×2 YA UGONVI WAO🤣 LAKINI NDO WANATATUWA BADO 👏👏👏👏🇲🇿LOL🇲🇿
@Bob-kz2ql
@Bob-kz2ql Жыл бұрын
Hahah uzur wa movie za mkojani, mwshon anakinukisha hadi unataman episode ya 2
@JobberyJovial-nc8vg
@JobberyJovial-nc8vg Жыл бұрын
Mkojani ni mmoja na samofii ni mmoja nyinyi watuu mtanitoa roho yanguuuu....mkojani punguzaa fujoo kijana wakoo unamuoneaa jinsi unampigaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@jermainerore4475
@jermainerore4475 Жыл бұрын
Mkojani gang toka lisambaratike view tume pungua mana tulikua tuna penda muigize pamoja ila kwa sasa kila mtu Ana channel yake mnaboa kz mbovu mtaishia kulipwa pesa za kula tu na youtube ila so za maendeleo Ushauri kwenu ondoeni tofaut rudini mfanye kazi sisi ma fans wenu tuna penda mkifanya kz pamoja Hebu angalieni kundi la kitale linavyo piga kz Wanao ungana na mimi Mkojani Gang lirudi gonga like. Twenzetu from South Africa
@jofreycharles2521
@jofreycharles2521 Жыл бұрын
Nakubal kazi nzuri show Show
@vionjo4735
@vionjo4735 Жыл бұрын
Sanaa yetu inaenda mbali sana
@planbmauwezo4853
@planbmauwezo4853 Жыл бұрын
Kaz nzur
@abdallahhamic3586
@abdallahhamic3586 Жыл бұрын
Kazi nzuri team mkojani gang
@tdeoneroby984
@tdeoneroby984 Жыл бұрын
Mkojan kwa kuwazibua daaah haujambo mzeee🙉🙉
@Ramazanisajad535
@Ramazanisajad535 Жыл бұрын
Samofi roho yake mbayaaaa 😅😅😅😅😅
@denismachele6477
@denismachele6477 Жыл бұрын
Mkojna safiiii 🙌🙌🙌
@jacksonhaggai6771
@jacksonhaggai6771 Жыл бұрын
Mkojani mkolofiii mweee any w we love you to funny
@allybilali9212
@allybilali9212 Жыл бұрын
Kazi nzur Maa sha Allah,,, ila tunahtaj Umbambamba kama imeishia 32 tujue
@brianrichard2125
@brianrichard2125 Жыл бұрын
Mimi sina ukarimu wowote anaogopa kuombwa😆😆😆😆
@aslamkhamis9064
@aslamkhamis9064 Жыл бұрын
Wakwanza nipeni like zangu😂😂
@mchizipetro7343
@mchizipetro7343 Жыл бұрын
Mko poa from Kenya Nairobi.
@josefixboy3339
@josefixboy3339 Жыл бұрын
Mkojani mkorofi sana duuuh
@issasimai989
@issasimai989 Жыл бұрын
😂 mkojani unajua😂
@welsonleonad1743
@welsonleonad1743 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂ety mguse uone dah ila nawapenda sana
@zubedaothumanzothuman5413
@zubedaothumanzothuman5413 Жыл бұрын
🤣🤣🤣dah hatar sana
@kapondazenaida-nq5hk
@kapondazenaida-nq5hk Жыл бұрын
Kazi iendelee
@simbaedouardo8499
@simbaedouardo8499 Жыл бұрын
Continue Mkojani gang
@binssoud1995
@binssoud1995 Жыл бұрын
Mbavu zangu kw mkojani😂😂😂😂😂😂
@hamisahamisa5896
@hamisahamisa5896 Жыл бұрын
Nacheka mwanzo hadi mwisho 😂😂😂😂😂😂
@saidtundamnyamwezi5263
@saidtundamnyamwezi5263 Жыл бұрын
Big up mkojani na samofi
@salimmjungu8745
@salimmjungu8745 Жыл бұрын
Safi Samofi mjenga ukweni hurudi na deni.....
@meshackasanga9567
@meshackasanga9567 Жыл бұрын
Mkojani pamoja San from 🇲🇼
@zenarzchenga2631
@zenarzchenga2631 Жыл бұрын
Jamani nmecheka mm mtakuja kunivunjia mbavu zangu
@naseebomar2871
@naseebomar2871 Жыл бұрын
😂😂😂 Raha kweli aiseee
@ernestmwakalambo3938
@ernestmwakalambo3938 Жыл бұрын
Mkojan na samofi 🤣🤣mnanifanya nacheka mpaka bas, Mungu aibarik kaz yenu.
@ismailialiyi838
@ismailialiyi838 Жыл бұрын
daaah mwanangu chandimu umeyakanyagaa dingi huna babaa
@patricktegea1430
@patricktegea1430 Жыл бұрын
Hahahaha jmn mkojan unaiba Hadi viatu msikitn 😂😂😂😂😂😂
@onesmongulo3770
@onesmongulo3770 Жыл бұрын
Uyo dogo adi series iishe atakua na minundu koooo
@tatuyusuf2627
@tatuyusuf2627 Жыл бұрын
😂😂😂😂 mkojani kumekucha
@alexandrebucumi7376
@alexandrebucumi7376 Жыл бұрын
Mkojani na Samofi noma sana,ni film ya katoon ya Tom and jerry
@timothysirengo1
@timothysirengo1 Жыл бұрын
Chandimu ako na kazi kweli
@user-kimwana
@user-kimwana Жыл бұрын
Wababa kama hawa wallah 🤣🤣🤣🤣🙌😍😍😍👏
@Abunazzar
@Abunazzar Жыл бұрын
Hihh wana nini
@user-kimwana
@user-kimwana Жыл бұрын
@@Abunazzar mtihani kwakweli imagine ndio wazee wako😂😂😂
@allyaseid3000
@allyaseid3000 Жыл бұрын
Sema mkojani anabalaaa huyooooo
@hassankhamis7380
@hassankhamis7380 Жыл бұрын
Washkaji wana tisha kwa kazi Zao
@abelmusundi2100
@abelmusundi2100 Жыл бұрын
Akiii this is a series and a half
@bugana3749
@bugana3749 Жыл бұрын
Kazi nzuri sana..
@MohammedMohammed-rf3we
@MohammedMohammed-rf3we Жыл бұрын
Watching from Dubai nimependa sana
@mziguchiafrica9343
@mziguchiafrica9343 Жыл бұрын
Chandimu Ana pigwa Kama ngoma🤣🤣
@jaybajay9973
@jaybajay9973 Жыл бұрын
Nimewai
@claudichabonga4216
@claudichabonga4216 Жыл бұрын
Wa kwanza likkes
@BrownD
@BrownD Жыл бұрын
🙌🔥🔥MKOJAN GANG
@salumkipara7714
@salumkipara7714 Жыл бұрын
Swaumu zetu nzur sana
SWAUMUZETU MSIMU WA PILI EPISODE 7 STARLINGI MKOJANI, SAMOFI
20:56
MKOJANI GANG
Рет қаралды 74 М.
MKOJANI MUACHE MKE WANGU SERIES SEHEMU 01
10:09
Kikenya Productions
Рет қаралды 45 М.
We Attempted The Impossible 😱
00:54
Topper Guild
Рет қаралды 56 МЛН
How Strong Is Tape?
00:24
Stokes Twins
Рет қаралды 96 МЛН
SWAUMUZETU MSIMU WA PILI EPISODE 6 STARLING MKOJANI, SAMOFI
20:55
MKOJANI GANG
Рет қаралды 80 М.
MWALIMU MGENI ❤️/13/
28:20
BabaJoan
Рет қаралды 821 М.
MKURUDILU  (( FULL MOVIE  🧟))new movie 2025
1:15:23
MWIKA PRO
Рет қаралды 3,2 М.
Kubwa Kuliko - A Swahili Movie
1:29:05
RIVERWOOD BONGO MOVIES
Рет қаралды 717 М.
MTUMWA EPISODE 5 (MWISHO)
23:48
ELIZA MIDEKO
Рет қаралды 22 М.
KINGWENDU AWAKARIBISHA WATU FUTARI UTACHEKA SANA HII
14:47
KINGWENDU OG TV
Рет қаралды 595 М.
swaumuzetu msimuvwa pili episode 15 starling mkojani, samofi,
19:40
SWAUMUZETU MSIMU WA PILI EPISODE 8 STARLING MKOJANI, SAMOFI
20:36
MKOJANI GANG
Рет қаралды 68 М.
MWALIMU MGENI ❤️ /12/
24:59
BabaJoan
Рет қаралды 1,7 МЛН
We Attempted The Impossible 😱
00:54
Topper Guild
Рет қаралды 56 МЛН