TAARIFA YA POLISI YAWACHANGANYA WAZEE WA MINYAMA

  Рет қаралды 15,978

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 63
@saraphinermassare3330
@saraphinermassare3330 Ай бұрын
Vyombo vya habari msaidieni huyu binti kwa kutoa update kila siku ili wananchi wapate kujua hatima ya hawa washenzi
@leokamil6284
@leokamil6284 Ай бұрын
Wazee wa Minyama msiache kuongea hili suala mpaka kieleweke .Kweli ya Sativa yameishia chini kwa chini
@JaneEmmanuel-v4b
@JaneEmmanuel-v4b Ай бұрын
jamani masikini atuna haki atuna samani alichoma pch alikamatwa wanafanya wanavyo taka wako hatakama. nijeshi tumechok
@melch3097
@melch3097 Ай бұрын
Welldone guys, leo taluma yenu mmeitendea haki
@GraceMhoja-bu3ce
@GraceMhoja-bu3ce 28 күн бұрын
Mungu tusaidie
@edinnafesto
@edinnafesto 24 күн бұрын
mungu awajalie viongozi wetu kutenda haki maana hata yule albino liliishia hewani
@luckiiinuswe1725
@luckiiinuswe1725 Ай бұрын
Mkiendelea kukazia suala tutasikia mtangazaji x katekwa na watu wasio julikana
@MunirAbdullah-sy8ks
@MunirAbdullah-sy8ks Ай бұрын
Ila Leo Kwa Mara ya kwanza niko pamoja na nyinyi
@kingrichboe
@kingrichboe Ай бұрын
Hii ngumu sana RIP MAGUFULI 😭😭😭
@Zaynab-ny6gr
@Zaynab-ny6gr Ай бұрын
Mungu awabariki kaka zangu from ughaibuni
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly Ай бұрын
Dah!!hope hili swala linashughulikiwa kweli.
@MohammedAlly-hp8fg
@MohammedAlly-hp8fg Ай бұрын
hkn kitu ndg yngu
@davidsibejo4916
@davidsibejo4916 Ай бұрын
Jamani Hawa majama tunaomba waongezewe na mshahara yanajua kupaza sauti
@rithaurassa
@rithaurassa 26 күн бұрын
Watangasaji ongeeni mnavyotaka ila haichukui dk kuwapata. Mtoto wamwenzako ni wako.
@chikuluchidodokochiitingan340
@chikuluchidodokochiitingan340 Ай бұрын
Shidaa nchii kubebana kumezidii etii uchunguzi mtuu umemkutaa na sigara unasema kashika maji kweli ni utengenezaji rushuaa tuu
@FatnaAlly-go7yt
@FatnaAlly-go7yt Ай бұрын
Hatakama mha nimpike yupo mwenye kumsaidia na kumlinda inshallah allah atajibu maombi ya mja wake kikubwa suah subra ba ustahamilivu
@jumanneally3303
@jumanneally3303 Ай бұрын
Hatutaki uyo mtu wa kusambaza.tunataka wabakaji kwanza yani inchi ngumu sana vinaitajika vitu hamfanyi na mnafanya vingine sijui hamjisikii mnayaongea
@matridamwalyoyo1735
@matridamwalyoyo1735 Ай бұрын
Mhhh wanasheria wenu wapo wasizime cm
@FatnaAlly-go7yt
@FatnaAlly-go7yt Ай бұрын
Kikubwa vitendo si maneno
@sumatraveler1957
@sumatraveler1957 Ай бұрын
TZ nchi nzuri but viongozi wanaiaribu sana nchi , ukiwa na cheo serekalini basi unaweza kufanya chochote na ukabaki salama .
@masoudjuma8169
@masoudjuma8169 Ай бұрын
Excellent sounds
@prosperiamani
@prosperiamani Ай бұрын
uchunguzi wanini jaman hakuna cha uchunguzi
@josephlemi8084
@josephlemi8084 Ай бұрын
Angekuepo uncle maguu JPM hyo sio kesi yakufanya tupige kelele kila siku bila mwafaka ambao raia tunahitaji kisa wao wanajeshi ndio wafanye haya nimelia san😢 hii nchi usalama hamna tena tunaishi tu mungu ndo anajua hatima zetu
@davidsalikoki6319
@davidsalikoki6319 Ай бұрын
Means wakuu mmeiona!
@Pfmredio96.9Domcity
@Pfmredio96.9Domcity Ай бұрын
Jamii inaitaji kujuwa vifuatavyo 1) aliye tuma ninani 2) aliyetendewa afya yake 3) kwa nn uchunguzi unatumia muda mrefu 4)je atuwa gani zitachukuliwa thidi yao
@user-sr8tc8ke6q
@user-sr8tc8ke6q Ай бұрын
Binti wa mwanza Daah, kashaisha😢😢😢
@hassanhussein-ow7qh
@hassanhussein-ow7qh Ай бұрын
We unamjua afande wewe😂😂
@CristovaoMarioJaimeJaime
@CristovaoMarioJaimeJaime Ай бұрын
Nasiku zote mngesimamia msimamo wakauri zenu kama mlivyo triple 3 bila kujiegemeza kuwa ipo siku mnaweza pewa ukuu wawilaya leo Inchi hii tungekuwa mbali saana , nakumbukukeni nyie na mikataba na WASAFI nawala hamna mkataba na Mwenyezi MUNGU, egemeeni haki daima
@Gamba81
@Gamba81 Ай бұрын
Good good minyama 👍🏾
@jei_maimu6957
@jei_maimu6957 Ай бұрын
Wazee wanavyosema ndo ivoivo kesi kimya kimya itaishaa hivyoo💔
@sylvestercameo6263
@sylvestercameo6263 Ай бұрын
Kitenge nimemkubali, polisi wanatuambia tuwe na subira, mbona wabakaji hawakuwa na subira mpaka wakajirekodi ... Point!
@stym12345
@stym12345 Ай бұрын
Aooo ni waalifu sio jeshi la wananchi
@user-sj9ob8vb3s
@user-sj9ob8vb3s Ай бұрын
hakuna midia yenye kipindi bora kama hiki cha mzee wa minyama 🎉 naona saut ya umma
@piusbaruhuwundi8987
@piusbaruhuwundi8987 Ай бұрын
Na hata ikitengenezwa skendo ya kulipoteza hili msikupoteza hii news
@Pentecost598
@Pentecost598 Ай бұрын
Tatizo uhuru wa kusema umefinywa sana hapa nchini
@salmyhussein6255
@salmyhussein6255 Ай бұрын
Tuedeleeni kupaza sauti
@MohammedAlly-hp8fg
@MohammedAlly-hp8fg Ай бұрын
nilipockia rais amegharamia matibabu ya sativa nikajua hkn kitu kingine kitachoendelea na kuwatoa watu kwenye reli ikaja mambo ya sgr mchezo ukai Shia hivyo
@Pfmredio96.9Domcity
@Pfmredio96.9Domcity Ай бұрын
Tutapambana
@sarahminja7255
@sarahminja7255 Ай бұрын
ni kweli zembwela unalolisema huyo binti angekuwa ni mtoto wa waziri hao wameshaonyeshwa
@GabrielSky64
@GabrielSky64 Ай бұрын
Hii Nchi duuh😢
@FatnaAlly-go7yt
@FatnaAlly-go7yt Ай бұрын
Seadakta haki bdo muhinu sio kudhulum haki ya mtu
@user-zp3ki3cm8n
@user-zp3ki3cm8n Ай бұрын
Hili litashusha thamani na heshima ya jeshi letu kwa wananchi wake kama halitoshughulikiwa, mliopo kwenye nafas za kusema na kumsaidia msaidieni huyu dada maana sidhan kama kuna familia wangeridhika kitendo hichi kufanyiwa ndugu yao
@ShaqharMagram
@ShaqharMagram Ай бұрын
Imetuumiza Sana nawakubali wanangu from sauth port elizabert
@AminaOmary-sm4wl
@AminaOmary-sm4wl Ай бұрын
Wanyongwe kama ni maafande wapo wangi na wengine wanakifunzq hawapunguz chochote hapa nchin
@Zaynab-ny6gr
@Zaynab-ny6gr Ай бұрын
Hapo mmena wakuu
@MusaJuma-jr7wb
@MusaJuma-jr7wb Ай бұрын
Mbona huyo aliezusha hatukuambiwa tuwe na subira watuhumiwa tunambiwa tuwe na subira kunanini
@MohammedAlly-hp8fg
@MohammedAlly-hp8fg Ай бұрын
jeshi la police la tz lipo kwa ajili ya watu wachache iko wazi kbsa matukio mengi ynatokea nakupotea kimya kimya sijawai hta siku mmoja kuliamin jeshi la police la tz
@hamidabdallah5841
@hamidabdallah5841 Ай бұрын
Yani ao wateseke mpk wafe
@Suzanamalamba
@Suzanamalamba Ай бұрын
Inauma jaman inauma jaman inaumaaaaaaaaaaaaa nyie mie wacha niseme ukweli angekuwa mwanangu uyo aliefanyiwq ivyo ningejircodi naonewa maumivu makali moyon mwangu
@brendaurio4480
@brendaurio4480 Ай бұрын
Jmn inaumiza mnooooo yani unaona kona tuu zinapita
@jumanneally3303
@jumanneally3303 Ай бұрын
tena wahukumiwe kwa adhabu kali yenye maumivu makali
@mawlodafarida
@mawlodafarida Ай бұрын
Mchi ytu hii inamthni ukiw mnyengu tu haki vingum kuptkan😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@IbniAbbas-yz3kt
@IbniAbbas-yz3kt Ай бұрын
Umetumia lugha gani apa kuandika
@francissaka9713
@francissaka9713 Ай бұрын
Maguu angekuepo eeeeh
@NoorLheyNoorLhey
@NoorLheyNoorLhey Ай бұрын
tuyyyachoyemahakma ya allh basically tawalipa huko sikuambayo haitamfaamtumali. Walk kaziyake ilakwayulealoisalimisha nafsiyake. Kwamatendommema
@NoorLheyNoorLhey
@NoorLheyNoorLhey Ай бұрын
hiyoitayshi hivohovokimyakimya jezeya selekarizetuzaki afrika
@easternyerembe7271
@easternyerembe7271 Ай бұрын
Au basi.....
@AmiriMoshi-t2y
@AmiriMoshi-t2y Ай бұрын
Tunauwaba wa selekali tanzania selikali mbovu kabisa kama jeshi la polisi ndo kabisa nilikuwa naomba jeshi la polisi livunjwe
@saidiyusuph230
@saidiyusuph230 Ай бұрын
TUPO PAMOJA.TUNATAKA KUJUA HAO WALIOFANYA TUKIO
@MusaOgwoko
@MusaOgwoko Ай бұрын
Bandari oyeeee
@kingrichboe
@kingrichboe Ай бұрын
Hii ngumu sana RIP MAGUFULI 😭😭😭
MAUAJI YAKUTISHA DODOMA: WATATU WAKUTWA WAMEUAWA NDANI
5:54
Wasafi Media
Рет қаралды 3,6 М.
Amazing Parenting Hacks! 👶✨ #ParentingTips #LifeHacks
00:18
Snack Chat
Рет қаралды 14 МЛН
My daughter is creative when it comes to eating food #funny #comedy #cute #baby#smart girl
00:17
AI chip makers battle for dominance | BBC News
21:17
BBC News
Рет қаралды 49 М.