Ahsante sana kwa elimu na mbinu ulizoshare nasi za kukuza biashara. kiukweli bila plan ya siku,wiki,mwezi, na mwaka hutajua kama kuna mahali unatakiwa upafanyie marekebisho utajiona kama uko sawa kwakuwa hakuna kinacho kuongoza kwa kukuonesha kuwa hapa siyo au hapa ndiyo, unafanya kwa mazoea na Huna CONSISTENCE ya kufatilia utendaji kazi wako kujua changamoto na namna ya kuzitatua.Comfort zone ndo inakwamisha ushindwe kusonga mbele hakika nimepata kitu❤
@KulwaNdongo Жыл бұрын
Okay shukuran mkuu kwa mafundisho yenye kujenga
@Online_clinic1286 Жыл бұрын
,✍️✍️✍️✍️
@joycekisanga9106 Жыл бұрын
Namba za simu Naomba
@IreneMhoja-nl3qo Жыл бұрын
Asanteeee sana kwa elimu nzur kaka chitumbi lakini tunasubir Sana ile ya kufanya closing especially mm binafsi coz napata changamoto Sana kwenye closing either kwa wateja au kwa prospect