1. Fanya vitu kwa ubora 2. Have emotional intelligence Control your depression, anger 3. Be interested in others Reciprocity - appreciate& admire others 4. Action orientation -sense of urgency
@timizandotochannel33472 жыл бұрын
Asante kaka wewe ni mwalimu wangu sana
@franknachimbinya76884 жыл бұрын
The speach of NANAUKA is my psychological breakfast of every morning Thanks
@solomonnzebele-nz3is Жыл бұрын
Kaka Joel umekuwa msada sanaaaaaa katika jamii mana tangu nimeaza kukufatilia nimetengeneza vitu ambavyo hata walio kuwa wananijua wameshangaa sanaaaaa
@donardmussa32632 жыл бұрын
Thanks a lot for me to understand about : 1.Exllence 2.Emotional intelligence 3.interest on others 4.Action oriented Those it will open ways development
@mohammedrashid29062 жыл бұрын
Bomba
@joshuamollel69934 жыл бұрын
Thanks Kaka nimegundua kitu hasa leo kweli kabisa ubora nikujithamini Kwa kujiamini Amina Sana kaka joel ubarikiwe...sana
@officialhustler73254 жыл бұрын
thankx alot.. Kwa maarifa mazr long live kiongoz
@onesmomushi9433 жыл бұрын
Duu aisee nanauka,mungu akubariki umetoa kwenye uzembe ulionisumbua muda mrefu sana yaani nisipo sikiliza clip yako kwa siku napata kiu zaidi ya majii asante sanaaaaaaaaaa
@mombasatv19942 жыл бұрын
Salute nakukubali sanaa ww ni Zaidi ya mwalimu
@williameliakim85952 жыл бұрын
Ahasantenii sanaaa kitabuu hicho kinapatinanajeee
@judithsalvatory28923 жыл бұрын
Mungu azidi kukubariki
@abelgeorge75352 жыл бұрын
Ahsante sana kaka joel kwa mafundisho kuhusu saikolojia ya maisha yetu.
@elikadoeliasnyamkola5594 жыл бұрын
Woooo! Ahsante sana kwa maarifa mazuri unayotupatia. By ELIKADO BILIONEA
@joelnanauka4 жыл бұрын
Tuko Pamoja
@elikadoeliasnyamkola5593 жыл бұрын
Amen! Ahsante
@janeflorencesajjabi1545 Жыл бұрын
Be Bless Day by Day.
@gracekagoma3231 Жыл бұрын
Joel Mungu akubariki.Ni kweli.
@ramadhannyigana88833 жыл бұрын
Asante kaka nakipataje icho kitabu
@patrickapolinary29494 жыл бұрын
Watu wanaofanikiwa na wanaofeli wanatofautiana tabia 300 kuanzia pale wanapoamka mpaka wanapolala,asante sana mentor
@joelnanauka4 жыл бұрын
Kabisaa
@macksemuyango61083 жыл бұрын
@@joelnanauka HABARI! Naomba kupata mawasiliano ya simu ili nipate au kununua kitabu cha TABIA 12 ZINAZOLETA MAFANIKIO
@HusseinHaule-pr5ov Жыл бұрын
Yan bro upo makini sana umenitoa katika maisha ya mazoea na kunileta katika maisha ya umakini zaid na mafanikio nimeyaona nahapa ndio kwanza naanza Mungu hakubariki sana na kazi hii naomba usiache bro mambo mengi sana napata kutoka kwako
@fredrickmwanangwa64233 жыл бұрын
Kaka Kila siku wewe ni ufunguo..Ubarikiwe brother Nanauka
@elinurujohn975 Жыл бұрын
God bless you
@andrewmussa99193 жыл бұрын
Najifunza kila Leo thank mentor
@ananielsulley49443 жыл бұрын
Daah kaka Joel me hiyo tabia namba 2 inanitesa sana kwa kweli
@halmahassan7182 Жыл бұрын
Asant sanaaaaaaaaa kakaa mm nakukubali kweli
@christinamushi22733 жыл бұрын
Napendaaa kukushukuru Sana kwa dhatii maana tokaa nimeanzaa kukufuatilia mpaka sasa nibinti Mdogo Lakini nimekuwa meneja wa hotel na bado nasoma chuo na ninabiashara sina cha kukulipa zaidi kukuombea kwa mungu
@ramadhanalmashamza3458 Жыл бұрын
Asante sana kaka ubarikiwe sana
@ukhtyhalimaismailbakari49314 жыл бұрын
Shukraan sana brother tunazidi kusonga mbele barikiwa sana ❤️❤️❤️❤️
@joelnanauka4 жыл бұрын
Ahsante sana Zawadi
@josephmichael9555 Жыл бұрын
Hakika nakuelewa sana kila siku nachukua madini
@تةامممن2 жыл бұрын
Nisaidia mm ninahasila san mungu nisaidia kwakwer
@lizzymasha21313 жыл бұрын
Ubarikiwe sanaa mekuelewa sanaa
@winniewilson2855 Жыл бұрын
Very powerful
@magrethnelson9494 жыл бұрын
Asante sana kwa somo, najengeka kila iitwapo leo nnapopitia masomo yako🙏🙏
@tumajunior60803 жыл бұрын
Ubarikiwe kwa mafunzo
@geophreymanyama43353 жыл бұрын
Nimejifunza Asante
@oyugisamwel5453 жыл бұрын
You're the reason of my subscription to KZbin
@oyugisamwel5453 жыл бұрын
Mr. Joel, I really like your shows/programs. Umenibariki sana. Na Mungu akuongeze maarifa mengi ili utufunze zaidi!!
@gaspernicholaus93093 жыл бұрын
Hakika nakupata nakuerew najifunza mengi mungu awe nawe
@thomasgabriel588 Жыл бұрын
nakubali
@happnesstupuyo1553 жыл бұрын
Umenibadilisha Sana joel
@Elishanabagingisemvayle-ob4cm5 ай бұрын
Asante mpendwa
@nevagasmsamba50603 жыл бұрын
Ahsante sana chief
@gracemariki4841 Жыл бұрын
Naomba hicho kitabu Joel niko Dodoma jiji
@davidmsubi26393 жыл бұрын
Hakika kitabu kipo vizuri..nimekisoma kwa umakini mzuri.. Hongera Sana Mwl.
@joelnanauka3 жыл бұрын
Hongera sanaaa
@emmanuelhawela62812 жыл бұрын
kitab hcho nakipata VP?
@bahatidonard3462 Жыл бұрын
I appreciate you kaka🙏🏿
@juliethfrank66263 жыл бұрын
Asante sana,no nne ni changamoto kwangu
@winniewilson2855 Жыл бұрын
Bro I like your clip
@akalamatv2 жыл бұрын
Brother your good, nafatilia sana masomo yako najifunza mengi sana umenifungua akili kwa kiasi kikubwa mno, Thanks for the class brother 🙏🙏🤝🤝
@herielstephenmsanga4 жыл бұрын
I appriciate your learnings brother..!! Thank You
@ChescoBabloo-q7e3 күн бұрын
Yes nimekuelewa
@hassanovajunior69724 жыл бұрын
Thank you so much my Brother Joel for Morning motivation stay blessed 🙏🙏
@leticiampeka14884 жыл бұрын
Asante sana, be blessed🤝
@junglebee78522 жыл бұрын
Thanks so much bra.... you talk sense my brother
@glorywilliam2 жыл бұрын
Mungu akubariki sana,niko arusha natamani kupata vitabu vyako unaweza kunielekeza pakuvipata?
kaka nimechelewa sana kukujua lkn kwa kipindi kfupi tu nimejifunza meng yamenisaidia ahsante
@manandochazzry19233 жыл бұрын
Thank you brother
@mohammedrashid29062 жыл бұрын
Elimu yako. Daima
@eliamatiku59233 жыл бұрын
Naomba kujua gharama za hicho kitabu
@melodyanne32494 жыл бұрын
thanks my mentor
@growonlinetv36313 жыл бұрын
Big up sana Joel Nanauka
@aidanwealthclub62884 жыл бұрын
Thank you so much bro... I appreciate
@ponctualitesuleim94173 жыл бұрын
Nakupenda saaana
@maryammwandola41344 жыл бұрын
ubarikiwe sn kaka Joel
@kadmc91244 жыл бұрын
pamoja bro. tuko We're 2gether
@mohamedahmad31374 жыл бұрын
Ahsante San boss
@zabronsuleiman6644 жыл бұрын
asante kaka ,naomb kupata kitabu cha namna ya kupangilia malengo mwaka mpya unakaribia kaka nipo kahama
@joelnanauka4 жыл бұрын
Karibu tuwasiliane 0756-094875
@agnesmwita93152 жыл бұрын
Kinauzwa shingapi kitabu kaka joel
@afyakiganjanimwako83093 жыл бұрын
DALILI ZA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME 1)Kuwahi kufika Kileleni mapema sekunde chache au baada ya kugusa tu mlango wa uke na uume kuwa legelege. 2)Kukosa Hamu ya Tendo kabisa / kukosa Msisimko/Mihemko 3)Mwili kuchoka sana baada ya tendo la Ndoa huambatana na usingizi mzito sana. 4)MBEGU KUTOKA KIDOGO AU HAZITOKI KABISA/ 5)Uume kuwa Lege lege wakati unashiriki Tendo 6)UUME KUSINYAA NA KUWA MDOGO Hizo ni baadhi ya dalili za upungufu wa nguvu za Kiume kama umeziona moja ya dalili hizo usipuuze, na Kama unamfaham mtu mwenye Changamoto hizo usipuuze mpatie taarifa hii atakushukuru, kumbuka hilo tatzo likiwa sugu utapata shida Sana kurejea ubora wa mwanzo itakuwa ngumu sana na utadhalilika. Jenga Afya yako sasa hivi kwa nini usubiri kesho? *Epuka fedheha Linda ndoa yako* Wasiliana nasi kwa matibabu ya changamoto yako kwa kutumia bidhaa zenye ubora (chakula lishe) tupigie/ tuma ujumbe kwenda namba 0719881752/0785327494
@nasraamour19232 жыл бұрын
Samahani nauliza naweza kupata wapi icho kitabu
@eddahhawa74713 жыл бұрын
Ashante!!.♥️
@jumajuma90753 жыл бұрын
hv haw dislike,mnawaelewa kwl!?,unawek dislike kwa joel nanauka!!
@enelebowden23732 жыл бұрын
true
@Teacher-Yasilini3 жыл бұрын
Love u more you have sent me into good way
@meleajohnkisaka79693 жыл бұрын
Asante sana kila siku napata mambo mazuri ,asante sana Mungu akubariku
@erickdaudi38152 жыл бұрын
Nimekupata vyema
@alisiaalex15694 жыл бұрын
Be blessed brother
@lemmylaulian163 Жыл бұрын
🙏🙏
@zaynabhussein68253 жыл бұрын
Shukran
@pascalumira72712 жыл бұрын
Naitaka hiyo kitabu tabiya 12 niko kampala ina uzwa shilingi ngapi?
@mussalulenga99393 жыл бұрын
Namba 1 na namba 4 hua baado inasusua
@beatricmmpantaleo34204 жыл бұрын
Salute!
@festoamos_tzАй бұрын
Hekima hizi zinadumu vizazi na vizazi
@dominicemanuel7483 жыл бұрын
Ahasante sana kaka
@eliamatiku59232 жыл бұрын
Kiongiozi gharama ya kitabu
@aloycekomba1 Жыл бұрын
Nahitaji ebook ya the money formula napataje?
@deogratiustimoth4070 Жыл бұрын
Pastor Nipo Dar nahitaji kitabu hiki nakipataje sasa na gharama zake zikoje?
@fatinaabdul23923 жыл бұрын
Vitabu tunavipataje
@nicolausdandagala62013 жыл бұрын
Nimekielewa kaka Joel
@halifaiddy84973 жыл бұрын
Good session
@shadow4real8683 жыл бұрын
Nakubar san
@sportsnewjs43302 жыл бұрын
Nahitaji kitabu, tabia 12 zinazoleta mafanikio
@macksemuyango61083 жыл бұрын
Naomba kupata namba ya simu ambayo nitawasiliana ili kupata kitabu cha “TABIA 12 ZINAZOLETA MAFANIKIO”
@alisonlewis-kr5qv Жыл бұрын
Asante kk Joel, kitabu cha tabia 12 za kufanikiwa nitakipata vipi ? Naishi Wales Cardiff, UK. Nahitaji Ushirikiano wako Nataka Vtabu Vyote ulivo andika. Naitaji Ushauri wako nitavpataje ?. Please 🙏
@alisonlewis-kr5qv Жыл бұрын
Cku Nikisikia Sauti yako , Nitafrahi sana .
@RashidRashid-ny6pj4 жыл бұрын
Unawezaji kufanya mambo kwa ubora kwa mfano kwenye kuuza duka?
@gynae84073 жыл бұрын
Nataka hiko kitabu nakipateje huku Kigoma mjini
@saphiagimmy20503 жыл бұрын
Nibei gn kitabu
@samoocoolingsystem934 жыл бұрын
Hakika haya mambo manne ni ndo msingi wa maendeleo