Bora wewe umesema unatusaidia sana kwa sababu atutakuwa tunasema Tena Sikiliza song 🎵 ya baru Asante 🙏🙏😭😭😭😭
@DeboraAsukulu2 ай бұрын
✍️❤
@benjaminabisemba53312 ай бұрын
Umeona bro 😂😂😂
@Taxmbwex-Inne2 ай бұрын
Sio kweli 😂😂😂😂
@BlaiseLesageАй бұрын
Anasema kweli
@lemonumentvivantkajole40082 ай бұрын
Wimbo nzuri sana kijana ambao unaelimisha wanduguzetu kuhusu pesa. Ta’ule a’te afalanga búlaya ❤👏👏👏👏
@VenasAbdallahАй бұрын
Hongera sana grand frère Bernard baru , kazi kubwa sana iyi vraiment. Wimbo unao fundisha sana vraiment
@marrykigabimkАй бұрын
Kaka umehimba tena nyimbo inaujumbe mzito kwakifupi wewe mbunifu 🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾
@KizaFidele-mk2loАй бұрын
Tusapoti kazi nzuri ya mtoto wetu. Naipenda sana kazi yako nzuri. Umeigusa sana mioyo ya watu❤❤❤
@RizikiVincent2 ай бұрын
Ongeza zingine ebembe’yètù tataee atendeci aútana na bakyúngú ano
@patriceauma8224Ай бұрын
Mon frère Bernard, je tiens a vous féliciter pour cette chanson unique. c'est pour nous un plaisir de vous avoir dans notre communauté. " Tacimotolwa mwana wa tata, bandugu abajuwake vile mon cher" hata wanangu nitakuwa nawasikilisha hiyi nyimbo wajuwe kwamba iwe ulaya au mahali popote, kupata hela si raisi " Merci beaucoup Bernard, que notre Dieu te bénisse.
@bernardbaru29 күн бұрын
Amen Amen 🙏🏻
@ByamangaamuriАй бұрын
Uji tambuwe upo wapi uyo mdada unaye mweka ana tuumiza sana moyo kwa manene yake .tengeneza na mama ❤
@Hamisi.damas_soundАй бұрын
Nime kubali aki this is one of my favourite song of the year 🔥🔥✌️
@kiluvisluumbe78942 ай бұрын
hii moja kali sana unacho kihimba ni kweli kabisa yani pesa zina toka mbali sana
@RizikiVincent2 ай бұрын
Bernard barikiwa sana baba wewe unaweza kutafuta jinsi gani unaweza anzisha mafunzo ya utunzaji bora wa maisha yanaweza kulelewaje kama semina kwa jamii yetu maana wanapataga maisha mazuri lakini awajui kulea kutunza na kulinda ndomana kila kukicha wanakuwa wakilialia ukosefu na wakati wao ndo wanakimbiza kipato kwakutokutunza wakipatacho ❤❤❤❤❤❤hongera sana ila tu napendaga nipate namba yako kaka yangu unatoaga nyimbo nzuri za elimu kwa jamii ila masikio yao ni magumu wakuwai kusikia na kuelewa wanavyoambiwa
USA ATUOGOTI HELA WALA ATUPOKEE HELA SISI WATU WAJUMUIKE KUFANYA KAZI KAMA ZAMANI,macho inakuwa ulaya tu fanyeni kazi ndugu zetu 🎉
@ibba80822 ай бұрын
Hata Bolaya Tacimotolwa,Taole Ate Afalanga !!!
@AtembojeanLuc-dc9bt2 ай бұрын
Messages bien capté cher frère Bernard , félicitations pour cette grande réflexion 🙏🙏🙏🇨🇩❤️
@zedy_hope-pd8knАй бұрын
Wimbo wenye mafunzo makubwa ❤❤❤❤
@ClaudeBulambo-s7q2 ай бұрын
Watu ni wabishi sana unahimba ukweli 👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸
@VenasAbdallah2 ай бұрын
Wimbo mkali sana ndugu yangu , ubarikiwe sana grand frère wangu. Bernard kipenzi cha watu unaga baya ndugu yangu 🇨🇩🇧🇮
@FarajaMangaikoFranck2 ай бұрын
Wimbo huu una nikumbusha mbali kiasi chakutowa majonzi, sina lakusema ila na kuombeya baraka nyingi kwa kazi uliyo fanya
@newafricahorizontv19842 ай бұрын
Nitatumia wa ndugu zangu wote hii nyimbo. Big up my young brother!
@Gideon-v4y2 ай бұрын
Katika kazi zako zote hii moja KALI kuliko n❤❤❤akumbali sana
@AdidjaBicukaАй бұрын
Mungu akubariki sisitunapata shida ataumwambie mtu sina akuelewi kabisa
@Paulmlambo327Ай бұрын
Kazi nzuri sana 😂😂😂❤❤🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦
@koperawasona9551Ай бұрын
Hongera sana uzebe unasubuwa ndugu zetu uko
@ekyocimtambo5803Ай бұрын
Jimbo za mafunzo mbalimbali ni sawa sana. Zisiwe tu nyimbo za mapenzi.
@ElieSinarinziАй бұрын
Lwembo lwangene ndúko Like your song bro
@angezoweda-s3rАй бұрын
Naipenda sana iyi nyimbo mimi
@kifarumabulo2 ай бұрын
Duuh kwahali hii tutapata pesa kweli
@StephanoSony2 ай бұрын
Msiofu ana tafuta kiki tu uyo.....ajawahi kuishi kambini na kujuwa shida za kambini AMULIZE KALUTA ndo anajua shida za kambini
@rozlysara-cy8qi2 ай бұрын
@@StephanoSonyajasema msitumiwe pesa ila anawakumbusha mkiwa mnasaidiwa isiwe two much mana aziokotwi uku 🇱🇷mkiwa mnasaidiwa muwe najongeza ata kwa proje mbali mbali, ila wengi wenu mnafikiri wanaziokota mnazimaliza nawanawake, pombe nafation tena mnavyo zipata kiraisi mnafiri wanaziokota kumbe niuruma yamtu tu, jiongezeni vijana
@rozlysara-cy8qi2 ай бұрын
@@StephanoSonyata ulaya kunashida kubwa tena bora shida zakambini kwasababu ukikosa pesa uwezi kosa pakulala
@JumaNyange-g1vАй бұрын
@@StephanoSonyamuelewi wimbo kama umeshakula pesa ya ujenzi wa nyumba ya mtu wa ulaya huu wimbo utakungusa mpka utamchukia Bernard
@venasmpesa6413Ай бұрын
Nyimbo ya mwaka ❤🎉
@albertwaolimba69172 ай бұрын
Wewe sasa ndo Balozi wetu Ubarikiwe sana
@mbirizeomari515Ай бұрын
Hiyo ni kweli, wanatuumiza sana
@0fficial_STARgirl2 ай бұрын
HONGERA SANA MSANI WETU BERNARD. NIMEKUBATIZA KWA JINA LA NABII WA MAMBO YA NYAKATI❤ signé par Sango wa numbe
@belamimuka2 ай бұрын
Boom🔥
@MrGave2 ай бұрын
Courage 🙌💪🏽
@WilsondeMalisawa2 ай бұрын
Roi de musique uviroise 💥
@saidiaoci95722 ай бұрын
ongera sana kijana una sema kweli.
@emenaasongo2 ай бұрын
Hongera sana kijana, umehinda kitu cha muhimu sana. Tangu Nampula, Mozambique .
@StephanoSony2 ай бұрын
Uyo dg ni rofa sana ana imba na isiya kama ana ishi ulaya kweli ila mziki bwana
@akimbahekelwa3732 ай бұрын
Courage sana kakaangu, tupo nyuma yako, hatutachoka kuwasapoti, we're so proud of you❤🔥
@allykimanga63592 ай бұрын
Hakuna Mti wa pesa hapa South Afrika hakuna Miti ya pesa tuna tafuta kwa Hali ngumu sana ndugu zetu Wana turudisha Nyuma sana elimu ya pesa Ina itajika ili kua na jamii inayo jua maana ya pesa
@EverineTamone-t9q2 ай бұрын
Hongera sana kaka yangu wimbo mnzuri sana hatimaye tumepata mtetezi wetu
@kenzo-jungle91332 ай бұрын
NICE SONG AND VIDEO 🎉🎉🎉
@albertbululu12452 ай бұрын
Goog job
@LastbornecadetАй бұрын
WIMBO WENYE MANTIC KWAKILA MPAMBANAJI 🎉🎉🎉
@DIEUNOUSAIME-m6m2 ай бұрын
Umeimba kweli Mungu akubariki. ❤.
@malengafataki12282 ай бұрын
Nikwelii kabisa Asante sana 🙏🔥🔥🔥🔥🔥❤️❤️👏🏻👏🏻👏🏻
@amissijames1468Ай бұрын
Vizuri sana bwana mudogo. Wandugu zetu wame turudisha saaana. Labda wata badirika wakisha sikiliza Wimbo huu. wengi wata kuchukiya kwa sababu ukweli una humiza saaana. Hendeleya kuchapa kazi na ku waweka wazi
@BakwaAsumaniАй бұрын
Huu wimbo umeuhimba kwa hisia sana, nikweli kabisa ila sema wanaokuelewa vibaya hawajitambui Umegusa hisia za wengi sana
@KABWEM2 ай бұрын
Message nzuri sana courage courage 😂😂
@TrueBoy-yg9ux27 күн бұрын
Tunaangahikaga sana huku marekani mzee ila akunaga hela za bure huku buda🙏🙏🙏😭😭
@GASTONDesireАй бұрын
Like zangu wapi ♥️♥️♥️ 🇨🇩❤️ wimbo Huu unagusa moyo
@BonneannéeStephanoAbabeleSTEPH2 ай бұрын
Courage sana frère.👏👏👏👏 hiyo ni kweli makuta kuhipata mpaka utumike. Merci sana kwawibo hiyi wimbo nzuri
@JeanNelly2 ай бұрын
Huu wimbo ni jibu tosha kwa wale wanao sumbua kuomba pesa nitakuwa nawatumia wimbo tu 🙅🏾♂️🙅🏾♂️
@BARUANIALIMASIАй бұрын
Nzuri sn iyo mapesa thanks so much bro you are so good song
@mitambaebobo61282 ай бұрын
Mungu akubariki sana kaka 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@HusseinMmasa2 ай бұрын
Ubarikiwe mzee. Ndugu zetu hinabidi wawe Makini sana, ili watu wawe nashahuku ya kuwekeza nyumbani
@VictoireKasanga-qh4yv2 ай бұрын
Good job my brother 🔥🔥🔥
@saidiisaacwilpac53612 ай бұрын
Kazi nzuri sana❤❤❤
@EliasMbanduci-m1h2 ай бұрын
Ndugu nimependa sana mungu akubarikiwe mwalimu
@DanielKirakaza2 ай бұрын
Ubarikiwe, ila utowe ingine yakilio kama hiisauti uliotumia kwahii nyimbo itakua nzuri Asante
@KewaAsukulu2 ай бұрын
Unajuwa Sana Brother 💯💯🙌🙌🙌🇨🇩🇨🇩
@AliKakozi-c7eАй бұрын
Kazi zuri na imepatikana kwawakati mzuri
@BernadettereineprettyАй бұрын
Tacimotolwa tata ❤
@maderevamusicofficial19312 ай бұрын
Courage kazi kubwa❤🔥
@yvonekabandilwa-un2lzАй бұрын
Kazi nzuri sana kaka ubarikiwe
@MasumbukoRajabu2 ай бұрын
Hii nyimbo inamafunzo mengi sana kwa walioko Africa 🌍 na USA pia