Allah akulipe kheri hapa duniani na akhera akakulipe pepo ya firdausi
@salimsilima45804 жыл бұрын
Mungu akulipe mema na wote wale mulozulumiwa pamoja ziki muzipatazo iwe ndio ufunguo wa pepo insha allah
@swidatyomar79634 жыл бұрын
Allah akupe salama, subila na uvumilivu ln Sha Allah 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻❤️❤️❤️❤️
@deicontz.81386 жыл бұрын
Yaa Allah (s.w) mfanyie wepesi huyu shekhe wetu na wenzake...na uwabashirie mema.
@dubais90185 жыл бұрын
Allahumma amiin
@swahibually62094 жыл бұрын
Wallaahi kwa Aya hizo,nawafikiria sana Wasaudia/Wakuu wa Saudia na ule upenzi walio nao kwa Marekani,dah!!nawaonea huruma mno, Maana wameikumbatia dunia KULIKO akhera,hembu angalia wanavyowashambulia ndugu zao huko Yemeni na kwingineko,wakijipendekeza kwa Muamerika (Kafiri)Trampo ndo rafiki yao.HawaWasaudia //Watawala,na mawahabi wote ni wanaafiqi wa Motoni.
@abdallahsalum13293 жыл бұрын
The
@bifatumunguatulindemsuya18882 жыл бұрын
Asalaam alekum sheh wetu mola akulinde naakupe umri mrefu uzidi kutupa elimu ya allah
@bifatumunguatulindemsuya18882 жыл бұрын
Mashaallah
@ibrahimkirumbi91736 жыл бұрын
innallah maaswabalinah...Allah awajaze subira mashekh wetu hakika yeye muweza na mshindi hakuna anayeweza zaidi yake yataisha tu
@chivatsingala66375 жыл бұрын
Amiiin
@binshaeeb41046 жыл бұрын
Mashaallah Allah awape subra masheikh wetu na awajaalie watoke kizuizini walipo amiin amiin thuma amiin
@abdulrahmansalim97734 жыл бұрын
Asalam Aleikum.Ma Shaa Allah.Sawasawa wasiofuata wamepotea na wameangamia sadaqta.
@mussayosia9676 жыл бұрын
mwenyezimngu mjaalie kheri sheh wetu uko alipo,inshaallaah umma amiin
@abuumanmansour72045 жыл бұрын
Utakuwa mfalme peponi insha ALLAH
@mamohamed59146 жыл бұрын
ALLAAH akufanyie wepesi inshaallaah
@omarmsuya53735 жыл бұрын
Allah akulinde na kila Shari
@twalhakhamis21435 жыл бұрын
mungu atakulinda shekhe
@othman10796 жыл бұрын
allah akufanyie wepesi huko ulipo inshllah
@dubais90185 жыл бұрын
Amiin
@husseinwheelchair00225 жыл бұрын
jazzakhalahu khairn Allah akupe siha tele
@omaryiddy16525 жыл бұрын
A\alykum warahmatullah wabarakatuh.. waislam wenzangu naipenda sana hyo dua ilio anza kabla ya tafsir ya quran tafadhali nisaidien kwa njia yeyote niweze kuipata na Allah atakulipa juu ya hilo inshaallah..
@allybetese24946 жыл бұрын
allah akulinde umepitia mitihan ya masahaba allah kakupenda utayakuta pepon jnshallaa
@abdulrahmansalim97734 жыл бұрын
Tumefahamu Laila Haila Allah Akbar Allah Akbar Allah Akbar.
@ahmedseif78764 жыл бұрын
Alhall atakusameheni
@aminikingazi2736 жыл бұрын
Allah akujaalie subra ushinde mitihan iliyo mbele yako
@saddamngope84866 жыл бұрын
amiin amiin kwa mawaidha mazur,
@jamalamgomi16566 жыл бұрын
Mungu akufanyie wepes kwenye magum unayo pitia sheikh