TAFSIRI YA NDOTO UNAPOONA PETE USINGIZINI | UTAKAYEMUITA ATAKUITIKIA AU UNA KIUMBE KILICHOKUPENDA

  Рет қаралды 17,109

Riyadh Tv Online Znz

Riyadh Tv Online Znz

Күн бұрын

#RiyadhTvZnz #Zanzibar #Tafsiriyandoto

Пікірлер: 39
@AlfredyLukinja
@AlfredyLukinja 2 ай бұрын
Upo sawa sema watu ningumu kukuerewa binafs nakuerewa sana maisha marefu kwako
@ZenaAbbas-q1b
@ZenaAbbas-q1b 6 ай бұрын
Alhamdulilah shehe nimeota nimevushwa pete na mtu ninaemfaham
@VeronicaMushi-ms1tn
@VeronicaMushi-ms1tn Жыл бұрын
Asante sana.
@Simbawanga-uo3id
@Simbawanga-uo3id 4 ай бұрын
Amina
@oman1oman179
@oman1oman179 7 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤mimi nimeota pete mbili za dhahabu
@oman1oman179
@oman1oman179 7 ай бұрын
Waleikumsalam warahmatullaah wabarakatuh
@Simbawanga-uo3id
@Simbawanga-uo3id 6 ай бұрын
Amina Amina
@dumasbajun0012
@dumasbajun0012 Жыл бұрын
Waalaikum Ssalam Maa Shaa ALLAH Shukran Sheikh
@solsimaniakanam7843
@solsimaniakanam7843 Жыл бұрын
Salaam mimi nimeota musalaba na pete inamanisha nini
@WhitneyKhaenza
@WhitneyKhaenza 8 ай бұрын
Thanks
@Magdalena-tz7uk
@Magdalena-tz7uk 4 ай бұрын
Nimeota nimepewa pete na x wangu yani mzazi mwenzangu lakn akanambia niivae kidole kidogo lkn pia inarangi ya dhahabu kote kidani cha juu umbo la love
@minaa1488
@minaa1488 Жыл бұрын
Aslm alkm shekh, Je ukiota unavishwa mkufu
@aishaomari904
@aishaomari904 4 ай бұрын
Assalam alaykum,nimeota nimevaa pete mbili,ya ndoa na uchumba,ya uchumba ikadondoka halafu nikawa siioni hlf ile ya ndoa ilobaki kidoleni ikawa inanibana sana kwenye kidole
@MukamusoniHawa-cj2yc
@MukamusoniHawa-cj2yc Жыл бұрын
Allahu akbaru
@marieclarissangani4006
@marieclarissangani4006 2 жыл бұрын
Hiyo imenigusa kbs 🙏🙏
@annmamakesymon1678
@annmamakesymon1678 2 жыл бұрын
Nimeota nimevishwa Pete na mama nyangu mzazi.....naomba unifafanulie tafadhali
@chrimskasal4776
@chrimskasal4776 2 жыл бұрын
Mashallah
@DonarMikidad-mv3gm
@DonarMikidad-mv3gm 11 ай бұрын
Asalam alaykum Mimi sheh niliota nipo sehemu ya pori alafu nikakuta Pete tatu nikachukuwa zote tatu alafu nikavaa Pete Moja kati ya hizo alafu ikawa nikiivuwa haivuki alafu hiyo Pete inakito Cha kijani kibichi
@hamzaalsharif7195
@hamzaalsharif7195 3 жыл бұрын
Maaalim hiyoo imenigusa sana nataka namba zakoo nitazipata vipi ninamengi nataka nikueleze kuhusu hiyo ndoto ya pete ishaAllah
@UmmuMariam-gq3qs
@UmmuMariam-gq3qs 9 ай бұрын
Ndoto ya Pete imenigusa nifanye ili Mungu anibarikie
@khadijagazal8700
@khadijagazal8700 Жыл бұрын
Habari mtabiri wa ndoto zetu mimi leo nimeota nimevaa pete mbili kwenye kidole kimoja naomba unifafanulie
@awaahassan936
@awaahassan936 2 жыл бұрын
maalim Mimi niliota nimemeuona muuzaji Pete anauza kisha nikamsimamisha kuna Pete moja ya gold ilipendezea Sana nikamuuliza bei akaniambia.Alisema iyo Pete inatoa husda.basi nikainunua Ila nilipoivaa nikaisi kuvutwa Sana kwenye kidole Ila nilitupa hii inamanisha nini maalim
@DidaHashim-fb8bd
@DidaHashim-fb8bd Жыл бұрын
Mm pia nimeota navalishwa pete ya dhahab lkn nikawa nakataa zaid ya mara tatu
@AHMADSUDI-e8x
@AHMADSUDI-e8x 5 ай бұрын
Nimeota nmebebe abiria na tktk yngu kupaleka alikokuwa anaenda alipotaka kushiku alishuka na kunipa pete ya silver kichwa cha kijani kibichi na dada huyo alitokomea maboromokoni nn maana yke
@kuruthumshaban460
@kuruthumshaban460 2 жыл бұрын
Nimeota navishwa na mtoto waboss wangu ambaye ashaowa yani nikavua Ile yake ya ndoa akanivisha lakn baada ya mda nikaona kidole kilele kinapete nyengine kama Ile aliyonivisha mwanzo yani zikawa mbili jee inamaana gani.
@kuruthumshaban460
@kuruthumshaban460 2 жыл бұрын
Baada ya Hapo nikazivua huku nikizitaza nikiwa nafurahi Sana kisha nikazirudishia Tena kwenye kidole Changu nikiwa nimwenye furaha mno
@kennedyomollowayodi5414
@kennedyomollowayodi5414 2 жыл бұрын
Nataka pete nawza pata
@njorijanavenand3632
@njorijanavenand3632 2 жыл бұрын
Mimi nimeota muzungu kanivika pete ya ndoa n'a cheni vya zahabu akaniambia nikiwa nahitaji pesa nimuombe
@eriqfat-hkimathi5997
@eriqfat-hkimathi5997 2 жыл бұрын
A.a na kama nimeota pete zangu za shaba tatu nilizo zipoteza,naregeshewa ndotoni ...inamaana gani ?
@fahidashishi255
@fahidashishi255 7 ай бұрын
Nimeota nipo lafiki yngu wakike nikaokota Pete yandoa mwezangu akaniomba nikampaa naendaa mbelee nikaokota Pete yengine lakini apajuu inachapa simba nikaivaa nini maan yke shkhee
@hamzaalsharif7195
@hamzaalsharif7195 3 жыл бұрын
Aslm alkum
@EstherWAWERU-oe2pl
@EstherWAWERU-oe2pl Жыл бұрын
Nimeota mume wangu akivalisha x wake Pete inamanisha nn
@magencheye7916
@magencheye7916 Жыл бұрын
Mi nimota Kuna mutu antaka kunivisha Pete ILa akagaili hii inamaana. Gani?
@htty
@htty 3 жыл бұрын
Nimeota nimevaa Pete zamaajabu tena mikono yote zakilaana kisha nikaona dada moja Pia yeye amevaa Pete mikono yote vidole vyote kama mimi
@MukamusoniHawa-cj2yc
@MukamusoniHawa-cj2yc Жыл бұрын
Assalam alaikum,ukisema kukutunukia Mali hiyo Ina maana gani?kiswahili changu kidogo!nani anifasirie
@juliusaloyce5526
@juliusaloyce5526 Жыл бұрын
Nimeota nimeokota Peta ya dhahabu
@saidomari001
@saidomari001 Жыл бұрын
Nauliza, kama umelala mara ukiamka waona Pete yako iko kitandani
@yunisalfarsi6168
@yunisalfarsi6168 2 жыл бұрын
Nini maana ya kuota mlemavu
@Diana-qx5qf
@Diana-qx5qf Жыл бұрын
Thanks
UKIOTA UNAVISHWA PETE ANGALIA NANI ANAKUVISHA.
5:16
KKKT - DMP Usharika Wa Mbezi Beach
Рет қаралды 2 М.
Will A Basketball Boat Hold My Weight?
00:30
MrBeast
Рет қаралды 127 МЛН
Kluster Duo #настольныеигры #boardgames #игры #games #настолки #настольные_игры
00:47
Who’s the Real Dad Doll Squid? Can You Guess in 60 Seconds? | Roblox 3D
00:34
Когда отец одевает ребёнка @JaySharon
00:16
История одного вокалиста
Рет қаралды 17 МЛН
Kwa haya yalotokea,Kuoa Nimeghairi.
5:04
Khamis Salum
Рет қаралды 6 М.
MWANAMKE UKIOTA NDOTO HIZI UNAKARIBIA KUOLEWA / Imamu Mponda
8:00
Mponda Media
Рет қаралды 30 М.
Court delivers heartbreaking news to Gachagua
8:16
Rogers Kakasungura
Рет қаралды 10 М.
Rev Maina wa OTC kurekereria ndumiriri ya NGAI ya kumakania
1:07:22
Muhia Wa Maingi Media
Рет қаралды 3,8 М.
Will A Basketball Boat Hold My Weight?
00:30
MrBeast
Рет қаралды 127 МЛН