mashallah nampenda kwajili ya ALLAH ya rabbi give this sheikh subra wanaemtesa yaAllah mlipe hapahapa duniani kabla siku mtu akatamani ageuke mchanga
@salumothman75485 жыл бұрын
Allah akuifazi sheikh wetu Mseremu
@swidatyomary13806 жыл бұрын
InshaAllah .M/mungu atutilie wepes...
@salmasaid82748 жыл бұрын
Allah awape subra na nguvu kwenye mtihan wao. Ameen 🌹.
@mudicosant10755 жыл бұрын
Allah ahllah allha Allah allah
@mohamedmbago57038 жыл бұрын
EE MOLA WETU WAFANYIE WEPESI WAJA WAKO HAO HAKUNA MWENYE NGUVU ZAIDI YAKO YA ALLAH
@hajinampungila29626 жыл бұрын
mohamed mbago NI kweri Kaka
@abdallakhamis17126 жыл бұрын
Yaa-rabi wape wepesi juu ya subra hakika sis nidhaifu kwako nawew ndio MLEZI wetu
@khamisshehe22888 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu amjaalie kuwa na subra yeye pamoja na wenzake hakuna refu lisilo na mwisho Insha Allah.
@shownicezaya14407 жыл бұрын
nitumm mselu
@fundisuleumeme19579 жыл бұрын
mashaalla mungu amfanyie wepesi katika kizuizi
@dr.karim.khamis87357 жыл бұрын
Allah mpe subra sheikh wetu na mzidishie elimu pia
@abuumansur90076 жыл бұрын
Laana za allah ziwefikie makafir wote wa nchii hii wanaowatesa waislam wote hapa tz na mikafir yenzao ya kimarecan na mayahud laana za allah zitawashukia na mujue tuna uchungu na ndugu zetu
@chachamadini93726 жыл бұрын
Yarab wajaalie subira masheikh wetu hawa pia waondoe kwenye madhira haya wanayopitia ili waendelee kuzitibu nyoyo zetu aaamiyn
@salimmasoud5009 жыл бұрын
Assalam aleykum Ningependa kuwaomba kutuwekea zaidi mawaidha ya SHEIKH MSELEM nimeyatafuta sana maidha yake sikubahatika kupata. na mie niko mbali na nyumbani, ALLAH (S.W.) awajaalie kheri na mafanikio mema hapa duniani na kesho akhera kwa kazi yenu hii. IN SHAA ALLAH. "SHUKRAN"
@abdulkindy69119 жыл бұрын
Amin
@brownziro14087 жыл бұрын
Sheikh wangu Salim Masoud nitumie No yako ili niwezekukutumia Mawaidha ya Sheikh Mselem
@brownziro14087 жыл бұрын
Sheikh wangu Salim Masoud nitumie No yako ili niwezekukutumia Mawaidha ya Sheikh Mselem
@brownziro14087 жыл бұрын
Sheikh wangu Salim Masoud nitumie No yako ili niwezekukutumia Mawaidha ya Sheikh Mselem
@salimmasoud5007 жыл бұрын
brown ziro assalam aleykum namba yangu ni +32492465544 shukran sana kwa kuniitikia na nitafurahi zaidi ukinitumia mawaidha yake JAZZAKA LLAHU KHAIR
@rajabuomari58559 жыл бұрын
Emola wafanyie wepes masheh with walio kizuizi ishala
@kingiagritech_ltd7 жыл бұрын
Jazaakallahu khayran
@malikkakangaakakangaa65307 жыл бұрын
Kher baraka llah
@nasibuomary16925 жыл бұрын
Naam tupe elimu shekh wetu
@maulidysulle20467 жыл бұрын
Jazaakallah heyra
@othjunoabd21707 жыл бұрын
Baada ya uzito Allah atajaalia wepesi
@mnyorokahamis36217 жыл бұрын
masha Allah!! mungu awake moyo was subra insha Allah!!
@seifsaid11636 жыл бұрын
Mashallah
@luhebyluheby7195 жыл бұрын
Controo tower
@rajabmasakilija68978 жыл бұрын
Ewe Mola Mlezi wape moyo wa uvimilivu ktk majaribio yanayo wakaibir, hakika tunapitwa na fatwa zao kwa wngi!!
@ameenaoman74165 жыл бұрын
unajua wanajua wanatufundisha mazuri ndiyo maana wanawakamata bila kosa eti ukilifuatilia wanaongea kweli
@sadiquechelsea85297 жыл бұрын
Any one who're elyminate the target,,, be come the target Himself"
@amryabdallasaid20776 жыл бұрын
Nakomba utuwekee tafsir ya Surat Baqarah aliyo tafsir Shekh Mselem Ally kama itawezekana:
@salumseif84957 жыл бұрын
makafiri wana dislike maneno mazuri na yakisomi ya sheikh msellem bin ali {h.A}.
@danielmsemwa49868 жыл бұрын
Tunakuombea sheikh huko uliko
@hajimkali15597 жыл бұрын
mtatoka tu
@kingiagritech_ltd7 жыл бұрын
Jazaakallahu khayran
@mauridishabani78903 жыл бұрын
.ee mwezi mungu mjalie mselem na wenzake watoke kiziwizini