Salaam aleykum warahmatullah wabarakatuh mm nineota migomba mingi sana na imepandw.a kwa militari na yote imezaa nduzi za kijani zinependaza sana nn masna yake
@rehemalilonga93295 ай бұрын
Na mama yangu mdogo alikùa ananionyesha hiyo migomba
@CuttyZerish4 ай бұрын
Mi nimeota naikata ndizi au kuvuna mkungu mzima naukata kwenye ndoto, naomba unitafsirie shehe wangu
@AminaAli-cn9fu Жыл бұрын
assalamu alaykum nimeota ndizi nyingi zimeiva kwenye migomba nyumbani nikawa nasomesha ndugu na mama yangu mimi maana yake