Tumpende Sana mollah wetu mlezi pamoja na mtume wake pamoja na waislam wote nakpenden kwajili ya Allah all isramia
@zamilmohammed229725 күн бұрын
ALLAH HU AKBAR
@adamusuleiman33523 жыл бұрын
Mashallah aallah atupe mwisho mwema na wazazi wetuu inshaallah
@mornasaidtindwa3622 Жыл бұрын
Aamin
@dudleyjulius91872 жыл бұрын
Allah atujaalie mwisho mwema,,atusamehe na awarehemu waliotangulia InshAllah
@AbdulaziziMikidadi-r9l7 ай бұрын
Ameen
@shahistanotta3594 Жыл бұрын
Mashallah yote yaliyosemwa kwenye quraan subhanallah leo tunayona.allahu akbar.
@neemamohammed2262 жыл бұрын
Namuomba mwenyezi mungu anibadilishe nimuabudu yeye ndo kilakitu katika maisha yangu niwe muumini nije niiyote pepo
@zubeirjuma18564 жыл бұрын
Hamna raha Kama kuxkiliza tafsir ya Qur an ndo tunaelewa alichotuhimiza ALLAH na kutukataza yani raha xana ALLHU AKBAR
@khadidjasuleiman8006 Жыл бұрын
❤❤❤
@Nuru_Maftah Жыл бұрын
Alhamndulillah
@husseinmilowe69034 жыл бұрын
Manshallah quran ina maneno mazuri yanayofanya utambue uwepo wa molla wetu mlezi inshallah Allah atufanyie wepesi tuwe na mwisho mwema
@salmanassor87327 ай бұрын
مشالله تبارك الرحمن ❤ جزاك الله خيرا وجميع المسلمين
@HamidaMusa-iz5mq2 ай бұрын
Mwenyezi mungu atujaliye mwisho mwema
@khadidjasuleiman8006 Жыл бұрын
Mashallah tabaraka llah 🥰🌹❤️❤️💖
@FatmaMwanga2 ай бұрын
Masha Allah surat isra
@MizeSheba10 ай бұрын
Mashallh,brings calmness to one's life.
@mariamally23045 жыл бұрын
Rehma za Allah ziwe juu ya Muhammad (s.a.w)
@stevenandrew56354 жыл бұрын
amin amin
@omarykatongo49434 жыл бұрын
Amiiin na swahaba na ahli zake inshaallah 🤲🤲🤲
@yassinmohamed82414 жыл бұрын
Allahumma ameen
@hamzarashid9705 Жыл бұрын
Amin
@hanifatanzania72583 жыл бұрын
Maashallah jazakallah haila shehe. Allah atujaalie wrote waislam mwishomwema Inshallah👏
@bigpope50258 ай бұрын
Mashallah Allah akuzidishie sheikh na atufanye na sisi sote wote kumuabudu na wenye kuzingatia makatazo yake inshallah
@zulfaabdalla4205 Жыл бұрын
لا إله إلا أنت سبحانك إني كنت من الظالمين. جزاك الله خيرا في الدنيا والآخرة
@ibrahimsaid38516 ай бұрын
Allahu Akbar Subhanallah
@BintiKoi8 ай бұрын
Mashallah tabarakallah 🙏🙏
@hanifa91536 ай бұрын
Allahu akbar walillah l hamdi.😢❤❤❤
@ismailsaidsalim2968 ай бұрын
Qur'ani ni maneno ya Allah, na ndio kazi aliyoletewa mtume Muhammad swallallahu alayhi wa sallam duniani kutufundisha.
@ZainabAbdallah-p5k8 ай бұрын
Shukrani sana mashallaah
@aminajaber96184 жыл бұрын
Shukuran Allah akupe mwisho mwema amiini
@hajiojuma Жыл бұрын
Hiii sura imeeelzea yote yanayoendlee leo hiii, Allah atujaallie mwisho mwema
@MozaOmar Жыл бұрын
kabisa , na matokeo ya yanayoendelea pia yameshatajwa watu tu hawataki kujifunza, mwisho wa siku watakuja kupigwa vibaya mno muda wao tu bado
@OmaryIsmail-j6d8 ай бұрын
2024 listening to beautiful Quran
@abdullahibaris71824 жыл бұрын
Manshallah AllAh hafid
@MariamuMkebezi4 ай бұрын
Mwenyezi mungu atujaharie mwiaho mwema natuwe wenyekutenda wema inshaallah
@yussufmjaka81054 жыл бұрын
Masha Alla jazaka wallah kheir
@AbdulaziziMikidadi-r9l7 ай бұрын
Allah atujaalie mwisho mwema
@rajablacksanta16162 жыл бұрын
Allah akbar,Allah akbar
@mamyally9585 жыл бұрын
Shukran....Allah atuongoze kwa sote
@stevenandrew56354 жыл бұрын
amin ya rabal-amin
@omarykatongo49434 жыл бұрын
Mashaallah,,,Inshaallah kher!
@saidaally7065 Жыл бұрын
Allahu Akbar ❤️
@TittosSaweАй бұрын
Allah wakbar tumwombe Allah mwisho mwema
@sankofasankowe33704 жыл бұрын
Masha'Allah barakallahu fikum tafsir mzuri kwa lugha ya kiswahili 🤲🏿😃
@fatmafmly4 жыл бұрын
Allah atujalie pepo baada ya mauti shukran kwa tafsir allah awalipe zaidi
@yassinmohamed82414 жыл бұрын
I love Allah so much
@rylandtrenton59193 жыл бұрын
I dont mean to be so off topic but does someone know of a tool to log back into an Instagram account?? I somehow lost my account password. I love any tips you can give me!
@Nuru_Maftah Жыл бұрын
2023 niko hapa nasikiliza tafsir ya suratul israa..!! Allah tuongoe yaarabi 🤲
@egattamkaima8935 жыл бұрын
InshaAllah nakaribia kuimariza Masahafu kwa kuisikiliza kwa Tafsir Allah Kareem
@stevenandrew56354 жыл бұрын
jitahid umalizie na wew uifadhi pia
@omarykatongo49434 жыл бұрын
Tusiishie kusikia tuu,, Bali kuyatenda kwa haki tuamrishwayo kwayo
Mashaallah ukitak kuzipat Google zinakuwa ngumu sana
@ibrahimrashid7017 Жыл бұрын
Masha Allah
@jamalyjabir52084 жыл бұрын
Ma Shaallah
@dutchsibomana91245 жыл бұрын
Mashallah Allah atuongoze
@stevenandrew56354 жыл бұрын
Barkallah amina
@salmasaidi28755 жыл бұрын
Mashaa Allah Shukran kwa tafusiri
@stevenandrew56354 жыл бұрын
maashaalah
@khamisabdulla95172 жыл бұрын
ALLAH ATUONGOZE
@MariamuMkebezi4 ай бұрын
🌹🌹🌹🌹🌹💖👏
@aishamohammed54712 жыл бұрын
❤️❤️❤️
@stevenandrew56354 жыл бұрын
maashallah qur-an tukuf
@DaudLr-b1c Жыл бұрын
❤❤❤❤ 1:20
@ftimaramadan47484 жыл бұрын
Shukran wajazaka llahu Heri inshallah
@saidmasanga87074 жыл бұрын
Mashaallah
@Neighborsjiran5 жыл бұрын
Shukran
@mumzuli32515 жыл бұрын
Alhamdulillah
@suleymanbangu22565 жыл бұрын
Mashaallaah
@AshaMngoya5 ай бұрын
Asl hakika suta isra na alieisoma amejaaliwa kuisoma vema na kuitafsiri vema hakika kuraani ina ladhaa kuijua
@TabuOdhiamboOmiya5 ай бұрын
Kitabu cha Ajabu kutoka kwa Mola wa walimwengu wote msamia kila kitu Mwenye kiti cha enzi
@sshaby523 жыл бұрын
Tunaomba basi application kwenye PlayStore kwenye system kama hiyo hiyo baada ya Aÿa alafu tafsiri kwenye kiswahili ili tuwe tunapat raha zaidi
@goteshnyura3782 Жыл бұрын
Hivi hamna plystore tunaweza kupata hii tafsiri
@AbdiiropaDadyboy-xd9ym9 ай бұрын
Wanafkii watakipata na washirikina na makafir
@mohsinversi4319 Жыл бұрын
QUR'AN MBHONA HAINA KUFANYA DOWNLOAD.
@Lakalhamdu-u4hАй бұрын
Nenda opera min andika VidMate apk alafu download kisha install ikisha funguka andika hii sura utaidow load vizur na kuitunza ktk simu yako au memorycard yko
@AshaMngoya3 ай бұрын
Jamani surat israa inaladha kuisiliza na tafsiri inamafundishoo jamani kujua kurani rahaa