TAHARUKI: MLIPUKO MKUBWA WA TOPE GEITA, WATEKETEZA NYUMBA NA MAZAO "MAJI YANATOA MOSHI"

  Рет қаралды 26,198

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 110
@AbuwNibras926
@AbuwNibras926 11 ай бұрын
Subhana llah Allah awaifadhi ndugu zetu uko na atuifadhi watanzania wote
@rahabnkya8276
@rahabnkya8276 11 ай бұрын
Nguvu ya Mungu huwezi kabisa kushindana,.inatupasa tu tujinyenyekeze kwake, ardhi na vyote vilivyomo ni Mali yake. TUOMBE na sadaka za dhati na madhambi tuache kabisa. Akili na maarifa tuliyokirimiwa tutumie vizuri. Utafiti ni mzuri kabisa lk mababu zetu hatujui walifanya ni huko na huko , Hanang na songambele kilikoni? AMEEN
@LenaMgandaz
@LenaMgandaz 11 ай бұрын
Tunamshukuru Mungu hapajatokea kifo poleni sana Ndg zetu
@SuleimanKhdija
@SuleimanKhdija 10 ай бұрын
Maaswi yamekithiri Tz kunamatukio mengi yaajabu Mungu awanusuru
@msafirimfilinge8222
@msafirimfilinge8222 11 ай бұрын
Tupunguzeni dhambi wajameni😢😢😢😢😢😢😢
@sharifanyumayo6314
@sharifanyumayo6314 11 ай бұрын
Eeeh mungu tusaidie waja wako ni madhambi mengi yamezid jmn tumrudie mola wetu jmn.
@KulwaGuga
@KulwaGuga 11 ай бұрын
Mwenyez Mungu atafanyie wepesi🙏🙏
@FatmaHalfan-w3l
@FatmaHalfan-w3l 10 ай бұрын
Subuhanallah Jaman Yale yale ya hanang
@fhugghi4109
@fhugghi4109 11 ай бұрын
Subuhhallaah polen sana ndugu zetu
@FekiHappy
@FekiHappy 11 ай бұрын
Hatua nzuri kiongozi wanafunzi kuwazuia hata wiki inafaa
@agustinohizza1395
@agustinohizza1395 10 ай бұрын
Earth of nature
@ClaraCecil-rq4xf
@ClaraCecil-rq4xf 10 ай бұрын
Mungu tuondolee mbali hayo mabalaa
@methodjm
@methodjm 11 ай бұрын
Kuna sehemu Tumemkosea Mungu. Mungu aturehem
@Ayuminchasi
@Ayuminchasi 10 ай бұрын
Kabisa
@mariamharoon1840
@mariamharoon1840 10 ай бұрын
😢😢😢😢😢
@Worldunite
@Worldunite 11 ай бұрын
Ki-geologia hii kitu inaitwa MUD VOLCANO (VOLCANO LA TOPE) Pia inatokana na pressure katika miamba inapopumua juu ya ardhi na hurusha maji hasa ya moto kwenda juu
@hidayamotto7210
@hidayamotto7210 11 ай бұрын
Mwenyezi Mungu atusameh waja mana haya matukio kila siku ynatokea alaf asubh sa 12
@zainabumartin9520
@zainabumartin9520 11 ай бұрын
Mungu wangu
@CHALYATV
@CHALYATV 11 ай бұрын
Tziii matukio
@singidaone5628
@singidaone5628 11 ай бұрын
Hii nchi zambi zimezidi sana mungu tuangalie baba
@rehemakanyere4188
@rehemakanyere4188 11 ай бұрын
Ni kweli mwana Singida mwenzangu,viongozi wanaishi maisha mazuri,wananchi wanahanagaika na kunyanyasika
@ZainabSimith-ey6vm
@ZainabSimith-ey6vm 11 ай бұрын
Mungu amekaslika daaa mungu tusamehe
@braystuskibassa3842
@braystuskibassa3842 11 ай бұрын
Hiyo itakuwa volcano
@watendemtati3535
@watendemtati3535 11 ай бұрын
Poleni wanakijiji wenzangu
@HamidaKondo-z1s
@HamidaKondo-z1s 11 ай бұрын
Huo ni mfano tunakumbushwa kuwa mungu yupo na mungu hataki kuimbiwa kwa vinanda nakukata viuno makanisani
@seifserenge3340
@seifserenge3340 11 ай бұрын
Binadam turudi kwa Allaat matukio mengine tumaona ni kawaida tu ila wkt mwingine ni machukizi ya allah kwa kukiuka amri zake
@andrewkissava9184
@andrewkissava9184 11 ай бұрын
Allah atasaidia nini sema mwenyezi Mungu aliye umba mbingu na aridhi nasi hebu achana na alla
@FatmaHalfan-w3l
@FatmaHalfan-w3l 10 ай бұрын
​@@andrewkissava9184Ww mpuuzi nn Allah ndo muweza wakilakitu
@loycengasashija2018
@loycengasashija2018 11 ай бұрын
😢😢 poleni sana jmni
@lisawilliam2491
@lisawilliam2491 11 ай бұрын
Pollen sana Haman mungu atuepushe na maafa
@ChebraSam
@ChebraSam 11 ай бұрын
Poleni sana nduguzetu msiache kumuomba na kumshukuru mungu hakika yu pamoja nanyi
@madamloveness7274
@madamloveness7274 11 ай бұрын
Toka miungu ya kigeni imeingizwa nchini Majanga hayaishi, JPM tungefanya siku 3 za Toba kwa mwenyezi MUNGU atusamehe Ila wahindi wanapewa kibali Cha kutembea na miungu Yao nchini kama ziara
@HamidaKondo-z1s
@HamidaKondo-z1s 11 ай бұрын
Fanyeni ibada kwa wingi mungu amechoka na llaana tunazozifanya tunajisahau sana
@Ayuminchasi
@Ayuminchasi 10 ай бұрын
Mnauana sana huko geita
@mariyamsalalah8204
@mariyamsalalah8204 11 ай бұрын
🙆🙆🙆🙆🙆🙆🙆🙆Weeeeeeee huuuuu mwaka Mungu tu asimamieee
@rehemakanyere4188
@rehemakanyere4188 11 ай бұрын
Tujipime uchaguzi ujao uwe wa haki kuanzia serikali za mtaa
@hamedyahya9291
@hamedyahya9291 11 ай бұрын
enyi. watu mwaminini mwenyezi mungu peke yake acheni. mambo ya kudhania hiyo ni Allah ndio miujiza yake
@shamilakalinga437
@shamilakalinga437 11 ай бұрын
Ooooh 😢mungu waepushe jaman
@JosephMkahilwa-n4h
@JosephMkahilwa-n4h 10 ай бұрын
Pole zao
@noahmadali7150
@noahmadali7150 11 ай бұрын
Wifi ana roho nzuri kamsaidia mutu
@elbaricktv1632
@elbaricktv1632 10 ай бұрын
Hii kama ya manyara
@FrankSamwelDotto
@FrankSamwelDotto 11 ай бұрын
Wataalamu waangalie vizuri itakua mafuta
@YustoMlay-cv4zb
@YustoMlay-cv4zb 11 ай бұрын
Yap au Gas
@CyphroseRobert
@CyphroseRobert 11 ай бұрын
Maybe ni volcano.
@FrankGasper-eq2ui
@FrankGasper-eq2ui 11 ай бұрын
Sema geita Kuna matukio meng Sana ya ajabu
@Ayuminchasi
@Ayuminchasi 10 ай бұрын
Wanafanya mauaji na unayama mwingi sana
@pendomushi6351
@pendomushi6351 11 ай бұрын
Na wanachukulia kawaida siku 2 imesha sahaulika bila kufanya utafiti na kuangalia hathar nyingine zinazoweza kuendelea! Mungu atusaidie Sana mwaka huu tutaona mengi ni kumuomba Mungu atuhurumie gadhabu yake isiendelee😢😢
@saididodi3988
@saididodi3988 11 ай бұрын
Tumuombe mungu sana
@EsteR-dt9iw
@EsteR-dt9iw 11 ай бұрын
Jani viogoziiiiii wakubwaaaaa wate kumbukeni kufunga kwa maombi siyo malaika atoke mbinguni aseme nanyi hapana mjiongeze ipo siku haya,leo nimatope,mafuliko na mapolomoko
@annkim2690
@annkim2690 10 ай бұрын
Ile michawi iko Geita wacha Tu mwezi Jana kulipatikana msukule alie kufa miaka 2 uliopita
@JacklineMwaleleka
@JacklineMwaleleka 10 ай бұрын
Serikali ifanye uchunguzi eneo Hilo watu wapewe elimu maana iyo itakuwa volcano
@CyphroseRobert
@CyphroseRobert 11 ай бұрын
Itakuwa ni Volcano hiyo
@charlesrutabanzibwa827
@charlesrutabanzibwa827 11 ай бұрын
Ni vema kupata taarifa ya kitaalamu kutoka Kwa wabobezi wa miamba
@MaAm-c6n
@MaAm-c6n 11 ай бұрын
Kiyamaikijaman
@israelkisaila8401
@israelkisaila8401 11 ай бұрын
Yaleyale ya kateshi,muache dhambi geita,huko kila siku ni kuuwana
@AwaziRajab
@AwaziRajab 9 ай бұрын
Yanatokea Nchi Nyingi Duniani Isipokua Kwetu Bado Mageni Ayo
@bellatrixblack4491
@bellatrixblack4491 11 ай бұрын
Damu za watu wasio na hatia zinalia ardhini
@geraldadolf4928
@geraldadolf4928 11 ай бұрын
Sawa sawa wewe unaimani kubwa
@salumjrsaidjr7150
@salumjrsaidjr7150 11 ай бұрын
Hapo tunge mpata nyanda Kabudi ili atoe ufafanuzi😂
@VeronickaJanes
@VeronickaJanes 10 ай бұрын
Tumkimbile MUNGU ndie anwza kusaidia na mkumbuke hizi ninyakati.za.mwisho
@salumjrsaidjr7150
@salumjrsaidjr7150 11 ай бұрын
Wasukuma wanajua kusimulia😂 Kanaitwa ka joi jumaa😂
@mememe5689
@mememe5689 11 ай бұрын
😂😂😂😂😂mungu. anakuona
@salumjrsaidjr7150
@salumjrsaidjr7150 11 ай бұрын
@@mememe5689 Nduguzangu hao Sasa simulizi zoa mbavu huku sina 😁
@gloryjohn1746
@gloryjohn1746 11 ай бұрын
ka jooji😂😂😂😂
@israelkisaila8401
@israelkisaila8401 11 ай бұрын
😂😂😂kiswahili Chao kitamu sana,uwiiiiiiiiii 😂😂
@rehemakanyere4188
@rehemakanyere4188 11 ай бұрын
Hahaha hahaha mpk nukta
@ANNAKILLO-o7d
@ANNAKILLO-o7d 11 ай бұрын
Rais aitishe maombi ya nchi nzima kufunga na kuomba kila MTU Kwa Imani yake. Yamkini tumemkosea MUNGU au kuna DAMU za watu zilimwagika Kwa kutokukusudia ndio maana tunapigwa 😂😂. Pole Yao ndugu zetu kateshi imehamia geita dah MUNGU tusaidie
@machiyakalemela135
@machiyakalemela135 11 ай бұрын
Hayo ni madhara ya baruti wanazotumia machimboni
@RachelLaizer-n2p
@RachelLaizer-n2p 11 ай бұрын
Acha wapigwe wachawi wakubwa kuangamiza damu zisizo na hatia Mungu piga kbsaaa hadi waache uganga na uchawi na mauaji
@SyliviaDastan
@SyliviaDastan 11 ай бұрын
Hebu jaribu kufikilia unachocomment kabla hjacomment acha kucomment ujinga
@omanoman2044
@omanoman2044 11 ай бұрын
Fanyen ibada achen kufanya machafu dunia imeisha mtachukuliw mpaka muishe
@MawaddaKhamis-zh3kc
@MawaddaKhamis-zh3kc 11 ай бұрын
Kwaiyo ww kwenye iyo ibada haikuhusu au sio
@omanoman2044
@omanoman2044 11 ай бұрын
@@MawaddaKhamis-zh3kc ndo maan nikawakumbusha
@veronicaaugust1793
@veronicaaugust1793 11 ай бұрын
POLENI WAPENDWA WETU
@HamidaKondo-z1s
@HamidaKondo-z1s 11 ай бұрын
Hamuja juwa tu km hizi zote ni dalili za kiama bado hilo tarumbeta tu kulia
@jesusbrother7684
@jesusbrother7684 11 ай бұрын
1. MAFUTA 2. GAS ⛽️ 3. CHEMICHEMI YA MAJI (Chanzo cha maji 💦 💧 🚿) AU, 4. VOLCANO 🌋
@Worldunite
@Worldunite 11 ай бұрын
Mizimu hiyo, tumesahau mambo ya kimila
@Awatee
@Awatee 11 ай бұрын
😳😳Makubwa Mungu atusimamie weye ndugu bado unafikiri mizimu
@Worldunite
@Worldunite 11 ай бұрын
@@Awatee nikuambie kitu, kuna mambo yatakulazimu tu kufanya matambiko,kwani mababu na mabibi zetu hawakuwa waislamu wala wakristo lkn walikywa na imani zao,nasi hata km tumeelimika na kubadili imani zetu lkn tuna mila zetu za asili. Mitazamo ya kijamii iko hivi; Mtu km akifanya mambo ya kimila basi atonekana kuwa ni mshamba, amepitwa na wakati,mshirikina nk, lkn ukifanya yaliyoletwa ba wageni toka mabara mengine ndo huonekana anaenda na wakati
@sofitanzanian955
@sofitanzanian955 11 ай бұрын
Mpunguze na maasi maana kila leo mungu analeta maangamizo
@hadijamandanje6189
@hadijamandanje6189 11 ай бұрын
We haumo kwenye maasi?Tutubu wote na tuache zambi binadamu wote ni wakosefu
@ruthmuja7792
@ruthmuja7792 11 ай бұрын
​@@hadijamandanje6189 ni kweli tutubu nchi nzima
@rehemakanyere4188
@rehemakanyere4188 11 ай бұрын
Usijitoe we ni mwenye haki?
@sofitanzanian955
@sofitanzanian955 11 ай бұрын
Weje unajema lipi
@sofitanzanian955
@sofitanzanian955 11 ай бұрын
Ndio maana yke matendo ndio yanakufanya ujijuwe makazi yako yawapi
@jovinmdee4207
@jovinmdee4207 11 ай бұрын
dah kwani TZ tumekutwa nanin jaman haya matukio yanaendelea
@SalamaAkilimali-ly3bu
@SalamaAkilimali-ly3bu 10 ай бұрын
Mkutwe na nini zaidi ya kumkasirisha m Mungu anatupa adhabu tunajifanya hatuelewi tunajiona tumejiumba wenyewe dunia tumeibeba M mungu atusamehe yarabii
@PriscaPatrick-qk1qv
@PriscaPatrick-qk1qv 11 ай бұрын
Siku za mwisho zimefika
@aidanmtabe3552
@aidanmtabe3552 10 ай бұрын
Nabii Musa yuko Tanzania mfateni yeye na mtaokoka.
@sofitanzanian955
@sofitanzanian955 11 ай бұрын
Milipuko kama hiyo igeenda kwawasanii wakafa tu
@NeemaSamson-ti8pc
@NeemaSamson-ti8pc 11 ай бұрын
Mmmmh wewe ushindwe
@Worldunite
@Worldunite 11 ай бұрын
Matambiko nayo ni muhimu jmn, tusipuuzie matambiko aisee
@lilianluhasi311
@lilianluhasi311 10 ай бұрын
Kwa Mungu tu, tutubu dhambi zetu
@sofitanzanian955
@sofitanzanian955 11 ай бұрын
Mungu lete maangamizo usiangalie nani wala nani mijitu inafanya lana sana
@anithasemwano8276
@anithasemwano8276 11 ай бұрын
Mmh!! hata kama umechoka kuishi ndio uombe usindikizwe na wengi?
@FaridaRamadhan-de1ys
@FaridaRamadhan-de1ys 11 ай бұрын
​@@anithasemwano8276Ina maana ata ww ni mojawapo
@musakalamu9133
@musakalamu9133 11 ай бұрын
Mjinga sana wewe
@sofitanzanian955
@sofitanzanian955 11 ай бұрын
@@musakalamu9133 pamoja nawewe uangamie kwajina lamola
@sofitanzanian955
@sofitanzanian955 11 ай бұрын
@@musakalamu9133 Nyoo unaogopa maangamizo hali yakuwa mlanifu mungu lete mafuriko tanzania ipotee
@watendemtati3535
@watendemtati3535 11 ай бұрын
Poleni wanakijiji wenzangu
Majambazi sugu wakamatwa na polisi kwenye mpaka wa Burundi na Tanzania
6:03
Try this prank with your friends 😂 @karina-kola
00:18
Andrey Grechka
Рет қаралды 9 МЛН
Sudden advance at the front / Rostov is no more
12:03
NEXTA Live
Рет қаралды 976 М.
Mbunifu wa trekta ya kulimia kwa kutumia injini ya mashine ya kusaga
3:56