TAHARUKI! WANANCHI WAKIMBIA na MWILI wa MAREHEMU ARUSHA, KILICHOTOKEA ni HIKI...

  Рет қаралды 106,550

Global TV  Online

Global TV Online

3 жыл бұрын

TAHARUKI! WANANCHI WAKIMBIA na MWILI wa MAREHEMU ARUSHA, KILICHOTOKEA ni HIKI...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT AMAZON: www.amazon.com/shop/globaltvo...
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ HABARI MPYA DAILY: shorturl.at/mnux2
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

Пікірлер: 215
@elizabethmwakalinga3287
@elizabethmwakalinga3287 3 жыл бұрын
Safi sana nimeipenda hiyo.Hakuna haja ya kumchelewesha marehemu bureee
@vincentmushi1247
@vincentmushi1247 3 жыл бұрын
Mtangazaji au mwana habari anastahili pongezi kwa jitihada zake kutuletea habari hizi za utata,kwani amegusa karibu kila kona,hawa ndio waandishi wa habari tunaowataka wanaenda kwenye matukio,sio wengine wanadakia habari za wenzao kwa kutaka kutengeneza pesa Asanteni Global Muongezeni mshahara huyu kaka
@blandinamyinga9489
@blandinamyinga9489 3 жыл бұрын
Usicheze na akina nareee babaaa hawanaga shoo mbovu""Mungu ampokee marehemu Mery🙏
@pendombise6756
@pendombise6756 3 жыл бұрын
😁😁😁😁😁😁
@aminahassan5615
@aminahassan5615 Жыл бұрын
Acha kabxa
@jacklinebrightness4513
@jacklinebrightness4513 3 жыл бұрын
Nimesikia moja tu hapo, WANAUME WASIKWEPE MAJUKUMU YAO
@josephmusagasa5566
@josephmusagasa5566 3 жыл бұрын
Kwa hilo mwanaume amekwepa vipi wajibu? Huyo mwanamke ndiye mwenye kosa kwani yeye alitungwa mimba na mwingine na Kisha kwenda kukabidhi mimba kwa mtu asiye mtunga mimba,wanawake acheni tamaa
@jifunzekuhusuwewe7475
@jifunzekuhusuwewe7475 3 жыл бұрын
Kifo Kimesababishwa na Wazazi wote wawili, Mtoto alivuruga Aman ya familia mbili
@sarahjohn4220
@sarahjohn4220 3 жыл бұрын
😥😥marry wana mocu wenzio tunakutakia pumziko jema
@moshacav1061
@moshacav1061 3 жыл бұрын
Imeishaa hiyo,,,
@dianajoseph6673
@dianajoseph6673 3 жыл бұрын
R,I,P MERRY
@neemaruben5427
@neemaruben5427 3 жыл бұрын
R.I .p. mery.....mama daimondi unaona hiki kisanga leo??tafakari sana angali mapema
@amouris-haka6045
@amouris-haka6045 3 жыл бұрын
Mtangazaji ameeleza vizuri sna nani ameona
@ladykimnan902
@ladykimnan902 3 жыл бұрын
Daaaah kila siku yatokea mapya
@sophiekindem9071
@sophiekindem9071 3 жыл бұрын
Rest in Heaven Mary🙏🏽🙏🏽🙏🏽🌹🌹🌹🌹
@anethmollel6564
@anethmollel6564 3 жыл бұрын
Pole kaka yangu Justine ,damu yetu haipotei kama alikataa mimba iweje mtoto aje kuwa wake?? Wapeleke ujinga wao huko.
@salomewandya7257
@salomewandya7257 3 жыл бұрын
Dah hii ndiyo km diamond
@pitargamba9208
@pitargamba9208 3 жыл бұрын
Mimi niko mbali lakini baba mfunga ndoa ni fara kabisa ametaka kiki za kishamba aliguna pale mtt alipozaliwa, akashindwa kulea sasa anaibukia wapi? Kama alimpenda mama na mtt alikuwaje asiwarudishe mda wote huo
@irenennko6464
@irenennko6464 3 жыл бұрын
Wanaume wasikwepe majukumu yao r,i ,p merry wana ushirika tulikupenda Sana😪
@mackenzikamuga7283
@mackenzikamuga7283 3 жыл бұрын
Arusha kwa moto🔥sana kwa matukio ya kuskitisha hususa swala zima la misiba# Marry lala salama nuru ya Mungu ipo ju yako Rip marry
@oscarmollel9255
@oscarmollel9255 3 жыл бұрын
Mwenyenz Mungu amlaze mahali pema
@ramadhanyusuph7633
@ramadhanyusuph7633 3 жыл бұрын
Tanzania🇹🇿 mkowa wenye vituko ni ARUSHA Huo mkoa hujawahi kumaliza mwezi ukiwa salama Razima SINDUNA atokee wa BAHATI BUKUKU
@mename6020
@mename6020 3 жыл бұрын
Tz mkpa wny vituko Arusha na Kilimanjaro..
@mkaiteafetu6782
@mkaiteafetu6782 3 жыл бұрын
😂😂😂😂
@calvinpaul2171
@calvinpaul2171 3 жыл бұрын
She was cutie and she enjoyed life with happiness..
@zainabohus4903
@zainabohus4903 3 жыл бұрын
Yaani mtihani wallah jamani muengengombani kutoa ada za shule ingekuwa vema sasa mtu kafa huu ndio tunaitanga ushilikina kuna kitu muekifanya nyie wazazi
@heyumi2340
@heyumi2340 3 жыл бұрын
siku zote mtuakiwa mgonjwa huwezi ona msaada wowote ukifa bac kila mtu atamtaka sijui kwa nn waty hufanya hivyo sijui wanataka mchango
@jeniferjacob9951
@jeniferjacob9951 3 жыл бұрын
Ivi kwann watu wanapenda mait hawataki majukumu naona tu mbwa wengi wanakataaga watt wazima wakifa wanatak mwil da
@heyumi2340
@heyumi2340 3 жыл бұрын
@@jeniferjacob9951 wanataka ile michango itakayo patikana wajisevie
@petermangama330
@petermangama330 3 жыл бұрын
Ndo mana sisi Waluguru tunawaambia mtoto ni wa mama!
@manjaruu679
@manjaruu679 3 жыл бұрын
Mama zetu kuna mda mnatukosea sana hadi mwishoni mnakuja kututesa hadi tukiwa tunakufa mnataka huku na huku TAMAA
@RDFISLANDBLOG
@RDFISLANDBLOG 3 жыл бұрын
Bora tu hawajachomwa😒😒😒
@neemaloy889
@neemaloy889 3 жыл бұрын
Hongera kolumba sana
@MohammedAli-rh5si
@MohammedAli-rh5si 3 жыл бұрын
Hongera global mmepata mwandishi mzuri
@olaismollel7162
@olaismollel7162 3 жыл бұрын
Jamaa alimkataa mtoto kwamba sio wakwake na akavunja ndoa. Saaizi anahangaika Nini???? Anatakiwa achapwe 70 kumresert oblongata
@kweka14l35
@kweka14l35 3 жыл бұрын
Hakika 💯😂🙊
@amapiaanocityintz6454
@amapiaanocityintz6454 3 жыл бұрын
Daah Mary
@foibekajiru6144
@foibekajiru6144 3 жыл бұрын
Hadi raha
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 2 жыл бұрын
Hongera mtangazaji 🤝🤝😭😭
@sirielsamweli5688
@sirielsamweli5688 3 жыл бұрын
Duuuuuu Mungu tusaidie,,,sasa kama alimwacha huyu mama na mtoto, iikuwaje tena, hata cjaelewa
@happinessmosala2217
@happinessmosala2217 3 жыл бұрын
Drama za Arusha 😕
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 3 жыл бұрын
AFANDE Kuna amani yakutosha kabisa tunaomba kazi kazi ya mazishi iendelee 🤣🤣🤣🙌chezea Wameru wewe wanakuzika hata ukiwa hai
@rehemavickie6521
@rehemavickie6521 3 жыл бұрын
Jamani
@lindaandrew4729
@lindaandrew4729 3 жыл бұрын
Amna mmeru apo sisi Ni wamasai wewe
@pendombise6756
@pendombise6756 3 жыл бұрын
😁😁😁
@ashuuuaisha9122
@ashuuuaisha9122 3 жыл бұрын
Mambo haya tulikuwa tukiyapata kutoka mara huko. Sasa hivi Arusha no 1
@user-bo5qp9gz8m
@user-bo5qp9gz8m 3 ай бұрын
Mara walishaga kemea roho ya mauti
@xaverythozo6961
@xaverythozo6961 3 жыл бұрын
Duh R.I.P Mary
@mwanamwendy9265
@mwanamwendy9265 3 жыл бұрын
Hatareeeee sana jamanii
@fediliaulomi4969
@fediliaulomi4969 3 жыл бұрын
Ikiwa alieoa alikataa kutunza mimba sasa ivi anataka nini paka uyo
@rehemahamis6136
@rehemahamis6136 3 жыл бұрын
Mtihani
@aisharamadhani1948
@aisharamadhani1948 3 жыл бұрын
Dahhh,,, bora wamemzika tu maana watu wanagombania mwili wa marehem huenda ht pande nyingine haijawahi ht kumpa huduma yeyote,, AFU BABA YAKE MDOGO NIMEMUELWA KINOMAAA,,,
@agustinoedward5614
@agustinoedward5614 3 жыл бұрын
Huongozi unazidiwa!kila siku wananchi wenye hasira kali Arusha
@joelnicas3133
@joelnicas3133 3 жыл бұрын
Wanaume tunazingua sometime!
@rukiamsomi6869
@rukiamsomi6869 3 жыл бұрын
Umeona eeeeh
@mbarikiwambarikiwa6479
@mbarikiwambarikiwa6479 3 жыл бұрын
Afazali umetambua hilo
@joharikitundu
@joharikitundu 3 жыл бұрын
Arusha mji wa comedy -Hakullambwa na nyinyi hakuna kulambishwa Umebomoa nyumba na sisi tunachoma sasa Katunza mimba lakini hakuna kumzika jibu majirani wamariza utata asante arusha 😂💪
@happymsaki1720
@happymsaki1720 3 жыл бұрын
Yaani Arusha ni pasua,vunja nyumba ,Choma,nyumba,
@sharmelasaif47
@sharmelasaif47 3 жыл бұрын
Mm kama mm alomsomesha ndio mwenye haki yakumzik ila nimm maoni yangu kwasababu baba wandoa alishakuaa nawalakin Mtt nandio maan hajamsomesha
@hafsasaid9666
@hafsasaid9666 3 жыл бұрын
Bora walivyo mpumzisha maana wanamsumbua mait khaa
@mwajabukaseke8710
@mwajabukaseke8710 3 жыл бұрын
Jamani duh😭😭😭
@marthageorge559
@marthageorge559 3 жыл бұрын
Wamekuwa kama wabondei,mana wabondei awakusaidii ukiwa mgonjwa lakini ukifa mbona maiti itaingia polisi.
@joycechaz2840
@joycechaz2840 3 жыл бұрын
😂😂😂 ni wa wapi hao jamani
@teddylaida3523
@teddylaida3523 2 жыл бұрын
Hahaha
@neemaabeid6861
@neemaabeid6861 2 жыл бұрын
Kweli wabapenda misiba mno🤩
@neemaabeid6861
@neemaabeid6861 2 жыл бұрын
Ubondei mwingi arusha
@zainabubalama8869
@zainabubalama8869 Жыл бұрын
Hapo mwenyewe kosa ni Mama Kwanini asimwambie Mume km mimba hii sio yako.
@lightnesstippe9006
@lightnesstippe9006 3 жыл бұрын
Daaah... R.I.P merry
@iviejustified8109
@iviejustified8109 3 жыл бұрын
Dah aseee.... Shida za Duniani kung'ang'ania mambo
@yustamakwawa6111
@yustamakwawa6111 3 жыл бұрын
Wanawake tufanye mambo yote ila kwenye kuzaa akikisha ujauzito wako utambulike ni wanani tunawapa watoto maswaibu ukute atauyo binti amekufa kwa ajili ya kugombania
@ashatimo4666
@ashatimo4666 2 жыл бұрын
Ndugu washezi tu angekua mlemavu wala wasingemtaka
@aishaasumany561
@aishaasumany561 3 жыл бұрын
Reast in peace
@joramkimario6174
@joramkimario6174 3 жыл бұрын
Kwann hao waloenda mahakaman waje dakika ya 90.kwel watu ni wengi lkn binadam wachaaache sana
@barinabamphuru9167
@barinabamphuru9167 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@marylubuv8202
@marylubuv8202 3 жыл бұрын
Alisema marehemu Langa
@rehemaomary3267
@rehemaomary3267 3 жыл бұрын
Shikamoo mwanamke
@teddylaida3523
@teddylaida3523 2 жыл бұрын
Je wakati merry ana umwa walikuwa wakigombania kumuguza?
@farajalaizer4669
@farajalaizer4669 2 жыл бұрын
Makosa ni ya mama period.....
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 3 жыл бұрын
Niujinga huo,au mzazi alikuwa hana habari namwanae
@magechuwa804
@magechuwa804 3 жыл бұрын
Ndio hiyo ni damu yake ni sawa hata kama alitoka na mimba kwake
@queenpeter2013
@queenpeter2013 3 жыл бұрын
Wanaume mnakwepa majukum
@eliudijastini645
@eliudijastini645 3 жыл бұрын
Imeisha iyoo
@magechuwa804
@magechuwa804 3 жыл бұрын
Wamefanya vyema maana ni damu yake
@jacklinejosephat5988
@jacklinejosephat5988 3 жыл бұрын
Vijana wa Arusha jamani mje na huku dar
@eugenurasa5272
@eugenurasa5272 3 жыл бұрын
Tuje tufanye nini huko
@myunaniniahmad6463
@myunaniniahmad6463 3 жыл бұрын
Wananchi nimeipenda hiyo.
@pendomarco8928
@pendomarco8928 3 жыл бұрын
Rip Mary
@issachabala1743
@issachabala1743 2 жыл бұрын
Awaelelew machuga salut kwenu
@christinachriss9231
@christinachriss9231 3 жыл бұрын
Ar mkoa wangu nakupenda Sana watu wake hawatakagi ujinga mtu kafa mnamweka wa nini?
@peteryukunda9239
@peteryukunda9239 3 жыл бұрын
Kutia mimba co kazi,kazi kulea,wenzangu & mie mnaopeleka watoto kwa baba wa kambo,mpelekeni mtoto kwa baba halali.
@felisterchimtunga9386
@felisterchimtunga9386 3 жыл бұрын
Wachaga mmetisha 😄 🤣 😂 nacheka kama mazuri. R.I.P MARRY
@sophiasophia6945
@sophiasophia6945 3 жыл бұрын
Wachaga ndo zao kugombea watoto
@felisterchimtunga9386
@felisterchimtunga9386 3 жыл бұрын
@@sophiasophia6945 duuuh
@gililwise
@gililwise 3 жыл бұрын
@@sophiasophia6945 wameru hao
@happykisota9445
@happykisota9445 3 жыл бұрын
Sikiliza vizuri kabla ya kukoment, huko ni Meru sio Moshi.
@felisterchimtunga9386
@felisterchimtunga9386 3 жыл бұрын
@@happykisota9445 mbona povu dada watu wote wa kule mi nawaita wachaga tuu
@tesharose5041
@tesharose5041 3 жыл бұрын
Hawa wananchi niwapenda wameona isiwe tabu wacha wampumzishe
@mussaabdiel9797
@mussaabdiel9797 3 жыл бұрын
Uyo Dada anaehojiwa mbn mshambamshamba
@wannaproducts
@wannaproducts 3 жыл бұрын
Duh! Kama msiba wa mtoto wa Munalove vile......
@dianarosekaugira5608
@dianarosekaugira5608 3 жыл бұрын
Dah kali hii ila wamama sie kha!
@teddylaida3523
@teddylaida3523 2 жыл бұрын
Arusha noma
@azizahassan6803
@azizahassan6803 3 жыл бұрын
Safi sana baada mgombanie mgonjwa mumpe huduma za maradhi mnagombea mait
@zakiamsafiri123zakiamsafir7
@zakiamsafiri123zakiamsafir7 3 жыл бұрын
Arusha mna nini jamani
@zenamilanzi1471
@zenamilanzi1471 3 жыл бұрын
Haya nido ya mzee Masini wa daimond
@mercypeter162
@mercypeter162 Жыл бұрын
Mtu MUNGU amesha mchukua badala mumpumzike Kwa Amani mnaanza nnkumgombania. Sikuhizi hata msiba imekua biashara
@rahmaomary8021
@rahmaomary8021 3 жыл бұрын
Safi sana maana watu wamezidi kugombea marehem na sio mgonjwa funzo nakwawengine
@johnsonmsukuma6740
@johnsonmsukuma6740 3 жыл бұрын
Mm binafsi sijaelewa vzuri ugomvi unatokea wapi wakati walopoona kuwa pametokea mgongano wangemsikiliza yule aliesema mwanzo 2.kuwa mwili ungezikwa katika makaburi ya jumuia kule Njiro wala hayo yasingetokea ila kwa ushauri wangu wakamzike kule njiro 2.ndo Amani iwepo kote kote
@msowamhokole7714
@msowamhokole7714 3 жыл бұрын
Alizaliwa kwa utata na kazikwa kwa utata
@hajilmwalukasa4278
@hajilmwalukasa4278 3 жыл бұрын
Uyo baba mzazi alikuwa anataka rambirambi
@joycechaz2840
@joycechaz2840 3 жыл бұрын
Global hawa sasa ndo watangazaji tunaowahitaji yuko vizuri mtangazaji, sio yule wa kwenye msiba wa gift
@lissacosmas6978
@lissacosmas6978 3 жыл бұрын
Wanaumbe mnapswa kujifunza hili mnapowapa mimba wanawake ukishagundua mwenzako nimjamzito muoe mlee pamoja nasie wanawake usifanye tamaa yakufunga ndoa wakati unakiumbe Cha mtu mwingine ona sasa
@kiri5807
@kiri5807 3 жыл бұрын
Haki yake baba mlezi , huyo baba mzazi yeye si alikuwa na wasi wasi naye ? ikisha akamtelekeza jamaa kashapoteza gharama nyingi juu ya Mary .
@heyumi2340
@heyumi2340 3 жыл бұрын
kumbuka huyo baba aliefunga nae ndoa pia alimuacha nababa mzazi akawa anahudumia mwanae
@MohammedAli-rh5si
@MohammedAli-rh5si 3 жыл бұрын
Alielea ni baba mzazi baada ya kuachwa mama
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 2 жыл бұрын
@@MohammedAli-rh5si kaz ipo🤔🤔
@zenamilanzi1471
@zenamilanzi1471 3 жыл бұрын
Haya nido ya mzee Masini wana wake Tina kwema wapi?
@rosadamosha2201
@rosadamosha2201 3 жыл бұрын
kwani mama mary anasemaje?
@careenngonyani599
@careenngonyani599 3 жыл бұрын
mama ndio msemaji wamwisho kwasababu yy ndioanajua baba wamtoto ninani haowababa wamsikilize aliebeba mimba wasigombane nasiri anayo mama
@neemamwengama4849
@neemamwengama4849 3 жыл бұрын
sasa alikataa mtoto ajamsomesha anataka nn sasa
@praisesteven7774
@praisesteven7774 3 жыл бұрын
ila uyo khaaaa umalaya mbaya jmn unaolewa vp una mimba kubwaaaaaa kameta saa tuu marehemuuuu
@yayananajota5838
@yayananajota5838 3 жыл бұрын
Mambo,kila siku na jambo lake
@jacklinmacha4529
@jacklinmacha4529 3 жыл бұрын
jamn mer aliumwa nini
@noelilyatuu8129
@noelilyatuu8129 3 жыл бұрын
Arushaaaaa
@lucyelia1601
@lucyelia1601 3 жыл бұрын
Kwani mama Mary yeye anasemaje maana yy ndo anafahamu zaidi
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 3 жыл бұрын
Habar zenu
@sharinv8864
@sharinv8864 3 жыл бұрын
Mary kifo chake kimesababishwa na hawa wazazi tu i think walikuwa wanang'ang'ania mary
@issaissah8832
@issaissah8832 3 жыл бұрын
Huu usenge sijui utaisha lini mtu amesha kufaa Sasa mabishano ya nini au Ata ludi pumbavuuuuuuuuu
@user-je1id1tx1u
@user-je1id1tx1u 3 жыл бұрын
Wakapimwe vina saba ila jamaa alizini na mke wa mtu anaroho ngumu
@pitargamba9208
@pitargamba9208 3 жыл бұрын
Kwa maelezo haya mtt alizaliwa tu kwa miezi 6 baada ya ndoa,hivyo mfunga ndoa aliowa mchumba wa mtu. Pia kwanini hakukubaliana na matokea ya mtt aendelee kuwa nao pia jamii inajuwa ndiyo maana imemzika panapotakiwa
@user-je1id1tx1u
@user-je1id1tx1u 3 жыл бұрын
@@pitargamba9208 kuna kuzaa njiti pia hapa mganga kipimo tu
@salwasuleiman8943
@salwasuleiman8943 3 жыл бұрын
Arusha tutaogopa kwenda make kuna vimbwanga
@eyasitiayubu6271
@eyasitiayubu6271 3 жыл бұрын
Utaenda ukiishiwa nyumbani ninyumbani
@jacklinegeorge9046
@jacklinegeorge9046 3 жыл бұрын
Ndugu yangu sikutegemea ingekuwa ivyo
@jabarifaraji6771
@jabarifaraji6771 3 жыл бұрын
Nimeshindwa kukment
@salomewandya7257
@salomewandya7257 3 жыл бұрын
Sasa si alimkataa toka akiwa mdogo?aiseee
@lindacharles998
@lindacharles998 3 жыл бұрын
Kumtesa uko marehemu vip muacheni apumzike jmn
@Sppah697
@Sppah697 3 жыл бұрын
Kwa hakuna DNA 🧬 jamani?
@annanaiman9321
@annanaiman9321 3 жыл бұрын
Wanaume mnakwepa majukumu mnakujakuleta kiherere mtoto akikua,ningekuwa na uwezo ningetembeza virungu
@rahimaaaaa5682
@rahimaaaaa5682 3 жыл бұрын
Dunia inamambo mengi atar🤔
@mussaabdiel9797
@mussaabdiel9797 3 жыл бұрын
Mwenye mtt ndo anaetakiwa amzike mwanae uyo baba mlezi kwann asingetafuta mwngne na mama mary
@zwinaalhabsi664
@zwinaalhabsi664 3 жыл бұрын
Aulizwe huyo baba alikuwa wapi toka mtt mdogo anamtaka sasa amefariki
@AliMohamed-kd1uc
@AliMohamed-kd1uc 3 жыл бұрын
Wachaga mnafell wapi? Kuna mwingine hapa namwona ni mjamzito na anawanaume km kumi ndo itakuja itokee hii tena hahaaaaaaa
@pitargamba9208
@pitargamba9208 3 жыл бұрын
Kwa maelezo hayo mtt akazliwa kwa miezi 6 baada ya ndoa hivyo mfunga ndoa alioa mchumba wa mtu. Kwa hiyo angekubaliana na mtt aendelee kuwa nao siyo kuachia muda wote huo leo hii ajitokeze ametaka aibu za bule mshamba huyo mkwepa majukum
EVOLUTION OF ICE CREAM 😱 #shorts
00:11
Savage Vlogs
Рет қаралды 12 МЛН
ОБЯЗАТЕЛЬНО СОВЕРШАЙТЕ ДОБРО!❤❤❤
00:45
Задержи дыхание дольше всех!
00:42
Аришнев
Рет қаралды 3,8 МЛН
BABA YANGU KIPOFU Full episode /24/ #love
30:52
BabaJoan
Рет қаралды 45 М.
Historia ya  Rais 'THOMAS SANKARA'  Aliyeuliwa na Rafiki Yake IKULU
11:19
Global TV Online
Рет қаралды 780 М.
EVOLUTION OF ICE CREAM 😱 #shorts
00:11
Savage Vlogs
Рет қаралды 12 МЛН