Hongera Taifa stars,hongera kocha na benchi la ufundi
@halimalachpat1927Ай бұрын
Hongereni sana stars kazi nzufi hongereni wafungaji wetu ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@ShukuruMgimbaАй бұрын
Congo hatoki kwenye kikosi hiki hapa 4,4,2 kocha soma iyo Mzize. Barua Mau Mdath Fei. Wazir Kibabg. baca. job. Mzimb
@joss.nkilio.3537Ай бұрын
Hongereni sana wachezaji na hivyo ndivyo tunavyota Watanzania wenzenu🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿👏👏👏👏
@rehmadamian8020Ай бұрын
Pongezi sana Timu yangu always ur de bext acha waliokuwa wanatukana sijui saiv wanasemaje naipenda Tanzania 🇹🇿 yangu
@DottoLwamboАй бұрын
Pongezi kubwa kwenu wote mliofanikisha kwa taifa stars kupata ushindi mkubwa,kwetu sisi tunafuraha zaidi yenu.🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@alidau2193Ай бұрын
Ongereni sana Jambo kubwA sana
@hawaelymaricca7602Ай бұрын
Hongera Taifa stars, hongera Tanzania.Ball liendelee
@JumanneEmmanuel-t8mАй бұрын
Mgundaaaa ni baraaa coz anaamini katika vijana
@StephanoAlmas-z6nАй бұрын
Hakuna Cha vijana wamecheza kwa maelekezo Wala nini....ni BAHATI tu imewaangukia...badilisheni hiyo timu, wekeni Wacheza mpira...hiyo timu BADO sana, siku ikiacha michezo ya kujihami tutaiona uwanjani na kuisifia...Wala hatutaki maneno mengi ya kudanganyana kisa ushindi wa kubeti.
@SaidJumanne-j1eАй бұрын
C uende na wew ukabahatishe na mane on yko ya hovyo time ingefungwa hayo ulyoyaandka ungeyaandka hivyo kuwa mzalendo
@muyongahassan2188Ай бұрын
Mgunda anajuwa sana kisha toto ukiona nafasi ya kufunga. Usitoe pass jifungie angalia km pasee ulimpa barua akashindwa ungepiga wewe ilikuwa goals
@HamisRashid-k6rАй бұрын
Unatishaaa
@babadowllyАй бұрын
Asa,mgunda au Morocco?
@fauzishabani2622Ай бұрын
Mistari mh. Chana Mistari
@ZiyandaMhlanaАй бұрын
Mugufuri alisema uzarendooo mwalimu wanyumbani
@RichardShao-i8oАй бұрын
Morocco 🔥🔥
@DaudiKattoАй бұрын
Hongera Tanzania,Morocco kwanza
@OmarMula-t1pАй бұрын
Aachen ubaguz bx Morocco apewe tu maua yke
@JumanneEmmanuel-t8mАй бұрын
Mgundaaaa ni baraaa coz anaamini katika vijana
@janejoel2465Ай бұрын
Moroco simkubali jaman. Mgunda upewe timu bwana
@MohammedJaizan-yf5ytАй бұрын
Huyu hamna lolote kwenye michezo mambo ya kubebwa yameisha. Mama tumbua huyu
@Mohd-wl1tcАй бұрын
Kwan huy kocha hafai au achen ubanguz hay magoli yot kashinda fei na muda
@livinuskamugisha5296Ай бұрын
Aliyebagua ni Nan na amebagua nini??
@KulwaSanga-b4zАй бұрын
My country people
@MrkigomaАй бұрын
Mgunda akabidhiwe team tu
@mosesobundeАй бұрын
Ninajaribu kuwaza Y Mgunda hapewi kuwa kocha mkuu Taifa Stars?
@Clever-l8vАй бұрын
Hana vigezo wala sifa mbele ya hemed moroco
@atupokilemwakajila8422Ай бұрын
Hana uwezo labda twiga stars
@RojaMwinyiАй бұрын
Morroco ana cv kubwa na vyeti vikubwa vya fifa alisomea brazili
@SeifSharif-f9cАй бұрын
Homgera mgunda
@annambele789Ай бұрын
Hongera Wachezaji kwa kujitoa kwenu tunawaombea mechi zijazo.
@murattywamuratty9778Ай бұрын
Wee fei si mchawi lakin maana nguvu izoo vipi?shut lilee lipimwe huwenda unatumia nguvu za kichaw😂
@ramadhansururujuma2394Ай бұрын
Fuatilia Wazanzibar wanakula urojo tu unakufunyieni magoli muhimu elewa neno magoli