TAKE ONE 19/June Pt3

  Рет қаралды 84,639

Takeonetz

Takeonetz

Күн бұрын

Пікірлер: 75
@munguaibarikitanzanianawat9254
@munguaibarikitanzanianawat9254 5 жыл бұрын
Kweli mama.ho ni wimvyu wa maedeleo.ktk maisha ni hagamoto tu mungu atamulipa
@lucykigotho591
@lucykigotho591 6 жыл бұрын
I love wema no matter what is said about her.wish I could meet her.from Nairobi Kenya.
@nurukhamis2126
@nurukhamis2126 12 жыл бұрын
woow..so Wema she is an Angel the way she said, but people around her their devils
@kevinkayumba1418
@kevinkayumba1418 12 жыл бұрын
WEMA IS THE GREATEST NA WABONGO WOTE TUNAMKUBALI NA NDO MAANA AKIANDIKWA TU KWENYE GAZETI LAZIMA LINUNULIWE MAANA WENGI TUNAPENDA KUJUA NINI ANAFANYA NA NI REAL BONGO SUPERSTAR.
@msafiri85
@msafiri85 12 жыл бұрын
Sasa Mamaaaa watu wa habari wanakula kutokana na habari za udaku! na habari kama hii. Kusimama mahakamani itakuwa full time job kama kweli umeamua hivyo!
@inatabdallah2343
@inatabdallah2343 8 жыл бұрын
wewe mama easema nini, upuuzi tu, ati umsimseme mwanangu mtoeni mdomoni,basi na akhera mbele ya Mwenyezimu pia utamtetea,mbele ya mwenyezi Mungu hutoweza kumtetea, utajifikiria wewe kwanza alafu baadae mambo ya hukumu ya mwenyezi ikimalizika ndio utataka kujua kuusu mwanao yuko wapi,mkanye sasa,
@leonidamukandala5058
@leonidamukandala5058 6 жыл бұрын
Pole sana Mama pia husichoke bado busara zako ni msaada mkubwa kwake. Mtoto kwa mama hakui.
@alvismumkaranja3360
@alvismumkaranja3360 6 жыл бұрын
Mama mkali huyu ako tayali kweda mahakamani
@sarahkarimi5390
@sarahkarimi5390 6 жыл бұрын
Maskini mama pole
@sarahkarimi5390
@sarahkarimi5390 6 жыл бұрын
Jamani kwa hizi chuki tumuogopeni MUNGU
@doreennkya5524
@doreennkya5524 4 жыл бұрын
I love Wema
@aishaomar4318
@aishaomar4318 6 жыл бұрын
Maskini kama nilie.
@blaqrose4832
@blaqrose4832 10 жыл бұрын
mabaya yanauza magazeti. And this ranting is not helping her. Take cue from Janet Jackson mother.... Stay Private
@raysnamude9357
@raysnamude9357 11 жыл бұрын
Wema u rock, love u big timz
@godfreyngwenya6169
@godfreyngwenya6169 11 жыл бұрын
ur the best mom in the word like ma lovely mom Blandina
@aminashq1181
@aminashq1181 4 жыл бұрын
maneno yako yako mama yamenitoa machozi
@TheDinhoDesign
@TheDinhoDesign 12 жыл бұрын
mama ana majungu huyu mbaba gani huyo wa miaka 65 hahahah KOMBA!
@mwanakombomohammed7573
@mwanakombomohammed7573 8 жыл бұрын
wanaudhii watu wa magazines
@swidatyomary1380
@swidatyomary1380 6 жыл бұрын
Ni kwel mama
@lwisekweka8321
@lwisekweka8321 6 жыл бұрын
Mama Wema Sepetu ushauri wa bure utamaliza hela zako Kwa huo ma lawyer mama. Just chill out. uyo mwanao Wema wanampenda tuu ndo maana hawaishi kumtaja taja. yaani imeshakuwa bila kumtaja Wema siku haiishi kwao.
@hafswasaidi1595
@hafswasaidi1595 8 жыл бұрын
wamezoea kusema vibaya watu mommy usiwaskilize wapuuzie
@khalifanassor5349
@khalifanassor5349 5 жыл бұрын
Kila mti wenye matunda hauwachi kupopolewa , binaadamu wabaya
@gitonga7054
@gitonga7054 6 жыл бұрын
ALLAH Amuongoze
@mmn7480
@mmn7480 2 жыл бұрын
MAMA MTAJE UYO MZEE WAMIAKA 60 TUMJUWE🤣🤣🤣🤣🤣
@mashejuma2885
@mashejuma2885 4 ай бұрын
Dada hajielewi uyu mzazi wake anahasara aiseee
@TheDinhoDesign
@TheDinhoDesign 12 жыл бұрын
Who's Theo?,...Wema's Brother?
@MrQzim
@MrQzim 12 жыл бұрын
i feel sorry for you.My advice is get a publicist and get one like yesterday coz they will reap you into pieces.i wish you were in kenya this would be news on every gatter press and media will luv tearing you to pieces.AGAIN MADAM GET A PUBLICIST YOU AND UR DAUGHTER who says wants to be like Kim Kardashian a lady who has perfected the art of being famous for all the wrong reasons.
@molams
@molams 10 жыл бұрын
she is nathing
@minoher2018
@minoher2018 12 жыл бұрын
must be the dog
@deyusterscientific4162
@deyusterscientific4162 8 жыл бұрын
kweli mama waeleze hao wasiojua kufumba mamidomo yao kuzungumza mambo ya mwanao wema, nami roho imeuma kwa hayoyako ya moyoni
@kulalij
@kulalij 12 жыл бұрын
mumeenda kwa wagangaa karumanzira?
@MrQzim
@MrQzim 12 жыл бұрын
You fuckin never declare war on media its like throwing hot coals to a dragon or putting off a fire using petrol hehehhe
@ibrahak8073
@ibrahak8073 12 жыл бұрын
who are 2 judge??? no 1 can judge this bful talented ful of life woman!! she did wat she did and it is wat it is get ova it haters!! love u wema all THE WAY FROM NEW YORK CITY MUCH LOVE!!!!
@aishasalimaishasalim1323
@aishasalimaishasalim1323 4 жыл бұрын
Pole mama ilawaengawasema M2akikusema anakukubali.. 🙏🙏
@mapenzimlandamlanda2601
@mapenzimlandamlanda2601 8 жыл бұрын
jifundisheni adabu....mbona umwambie mama yuaongea upuzi...angekua mamako ungejiskiaje
@tundaclassic2704
@tundaclassic2704 4 жыл бұрын
Hongera. Mama
@stellahkgilbert3935
@stellahkgilbert3935 9 жыл бұрын
Ni sawa mama una uchungu wa mwanao kusemwa mabaya pole sana.Lakini mbona wengine hawa tanjwi? Nakupa u shauri mkanye mwanao kubadilishana wanaume ama akibadilisha akibadilishe hadharani!
@abu_AZOZ
@abu_AZOZ 8 жыл бұрын
mavizi pia mrekebishe nwanao
@hanadialabed8635
@hanadialabed8635 7 жыл бұрын
Stellahk Gilbert km yy anabadilisha waume na ww umewabadilisha wangapi nyau ww
@bazokasande9225
@bazokasande9225 12 жыл бұрын
Mama tunakuelewa. Wema ni mwema sana.Hebu jiulize kwanini Magazeti yanamwandika vibaya?Hii ni changa moto kwako wewe mzazi.Tunata aongee kiswahili kizuri kama wewe mama yake.Tunataka atuwakilishe sisi Watanzania vizuri.Mwambie asichanganye lugha.Hii ni aibu kwa Tanzania.Achague lugha moja anapoongea.Kama ni Kiingereza aonge hicho tu.Kama ni Kiswahili na iwe hivyo
@dianamakorenda8008
@dianamakorenda8008 12 жыл бұрын
Mama mwanao ni mzuri ndiyo maana wanamuandika sana kwenye magazeti na kumfuatilia angekuwa mbaya wala usingesikia mtu anayemfuaitilia kila lenye mwanzo halikosi kuwa na mwisho wake itafikia kipindi ambacho hakuna atakayemfuatilia tena watakuja wakali zaidi yake..
@felekeester2939
@felekeester2939 7 жыл бұрын
hiyo nikweli mama
@marynchinga1666
@marynchinga1666 11 жыл бұрын
we wa ukwell 2
@jumaanbrek8805
@jumaanbrek8805 10 жыл бұрын
Am xowi mama ukumlea kwa miadili ya kislamu ndo mana rudi kwa mungu kama mzazi wajua mwanao ana kila aina ya wanaume na anafanya ngono hiyo c madili ya kislamu ikiwa kweli ni mwislamu
@aboufady2427
@aboufady2427 8 жыл бұрын
wakomesheee
@prettygrl2793
@prettygrl2793 9 жыл бұрын
mtoa sadaka ajitangaz aende Uko wataka pepo kilaisi ovyoooo ukumlea kimadili simpend uyo wemaaa
@hanadialabed8635
@hanadialabed8635 7 жыл бұрын
Lela Mohamed haina haja ya ww umpende na coni km anaitaji upendo wako ukampenda hucpompenda hyo ni yako wala khabari hana
@aminashq1181
@aminashq1181 4 жыл бұрын
usipo mpenda sisi tunampenda
@philosophy1019
@philosophy1019 4 жыл бұрын
As a mother it so so painful.
@erastdapimp
@erastdapimp 12 жыл бұрын
..if she surrounded herself with devils, means she's a shepherd for the devils, right? what u talkin bout?
@Rosette8474
@Rosette8474 12 жыл бұрын
Ameshasaidia watoto yatima kama mara mbili au tatu hivi... , dont u know that those who writes bad about her they have listed down all the goods and the bad things she did to the society and just found out she has more bad things a in the list than the good thing?
@evelynlundberg1981
@evelynlundberg1981 4 жыл бұрын
00
@aishababy6672
@aishababy6672 11 жыл бұрын
OOh Mom Even here in America we lohe her so bad she act good she is pretty and she is so nice they just feel jealous for her. We ma u the best Ever
@maryamoman5926
@maryamoman5926 6 жыл бұрын
Kweli maskin uchungu sana
@aliahnsabiyumva3282
@aliahnsabiyumva3282 5 жыл бұрын
Acha uongo mama mwanao malaya
@aminashq1181
@aminashq1181 4 жыл бұрын
ata wewe malaya
@inatabdallah2343
@inatabdallah2343 8 жыл бұрын
wewe mama easema nini, upuuzi tu, ati umsimseme mwanangu mtoeni mdomoni,basi na akhera mbele ya Mwenyezimu pia utamtetea,mbele ya mwenyezi Mungu hutoweza kumtetea, utajifikiria wewe kwanza alafu baadae mambo ya hukumu ya mwenyezi ikimalizika ndio utataka kujua kuusu mwanao yuko wapi,mkanye sasa,
@hanadialabed8635
@hanadialabed8635 7 жыл бұрын
Inat Abdallah huko kuongea vibaya ndo unamtaka mama mtu akubali ivi km ni ww unaongelewa ivo mmko angefurahi unajiongelea to
@jonasaronkamugisha8840
@jonasaronkamugisha8840 12 жыл бұрын
YOTE MAPITO KUNA MTU ALIANDIKWA KAMA SINTA JAMANI.HIVI LEO NANI ANAMUANDIKA WENGINE HATUJUI YUKO KITAA GANI.MUDA UTAFIKA WEMA ATAACHWA KUANDIKWA KWANI DEBE TUPU HALIACHI KUTIKA.
@teddyasha688
@teddyasha688 8 жыл бұрын
mung ndiye anajua ukweli
@inatabdallah2343
@inatabdallah2343 8 жыл бұрын
tumekuachia mwanao hakuna alie mshika, yeye ndie hakutulia,
@hanadialabed8635
@hanadialabed8635 7 жыл бұрын
Inat Abdallah ametulia bac upo
@esterernest6459
@esterernest6459 6 жыл бұрын
Inat Abdallah we mpuuz malaww 🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕
@MrQzim
@MrQzim 12 жыл бұрын
You Mama have made the worst mistake of your life,,you hav given media just what they really wanted.b4 they used to nit bit on ur issues and wema's right now you have officially opened a new chapter;they will literally feast on you with no mercy.What you just did and declared is thru media,whether you like it or not they can build you or break you.i feel sorry for you.
@msafiri85
@msafiri85 12 жыл бұрын
Ni kweli sisi wanajamii tunampenda sana WEMA kutokana na viroja vyake! Na hii inamsaidia kuuza video zake!
@NETIQIncorporation
@NETIQIncorporation 12 жыл бұрын
mama hujatulia, mambo ya mwanao yanakuhusu nini?
@aminashq1181
@aminashq1181 4 жыл бұрын
Yanamuusu Tena sana kwa sababu ni mwanae
@shilahMurekatete
@shilahMurekatete 9 жыл бұрын
who cares
TAKE ONE 17/July  Pt1
24:56
Takeonetz
Рет қаралды 26 М.
TAKE ONE 7/July 2nd Season 2012. Episode 28
26:26
Takeonetz
Рет қаралды 36 М.
GIANT Gummy Worm Pt.6 #shorts
00:46
Mr DegrEE
Рет қаралды 107 МЛН
TAKE ONE 14/Aug pt2
18:43
Takeonetz
Рет қаралды 10 М.
TAKE ONE pt1 29/May
15:24
Takeonetz
Рет қаралды 19 М.
kazi mpya soon
4:17
BEN SERENGO
Рет қаралды 3,9 М.
TAKE ONE 19/June Pt2
15:47
Takeonetz
Рет қаралды 108 М.
TAKE ONE 2nd Season 2012  Episode 22 CLOUDS TVPAL
27:32
Takeonetz
Рет қаралды 60 М.
TAKE ONE Pt2 12/June
16:54
Takeonetz
Рет қаралды 175 М.
TAKE ONE Pt1 12/June
12:32
Takeonetz
Рет қаралды 94 М.
TAKE ONE 5/JUNE pt1
25:07
Takeonetz
Рет қаралды 3 М.
TAKE ONE 19/June Pt1
16:45
Takeonetz
Рет қаралды 238 М.
TAKE ONE  PT1 15/May
16:15
Takeonetz
Рет қаралды 2,8 М.