This lady is just wonderful an Icon. Moving on with such a clean heart waa
@wemakatishankatha59634 жыл бұрын
young lady with a beautiful heart
@MariamMohamed-bw8xf4 жыл бұрын
Tanasha mama nassib junior nakupenda sana na ume jitahidi kuongea kiswahili like that 🙌🏽😍
@azizaally17064 жыл бұрын
ww ni mwanke jembe shika uzi huo huo
@fearless71254 жыл бұрын
She speaks soo well and the truth. 😊
@stacia47972 жыл бұрын
your the best,independent woman tanasha
@brendahmwende64734 жыл бұрын
Big up to our Kenyan queen.. Chuki iekwe kando na tufocus na the positive vibes onlu
@halimaabdallah26254 жыл бұрын
I love this girl 😍
@shamlimah56828 ай бұрын
I love this lady she look down to earth. Hope it's true
@annamrima55074 жыл бұрын
I hv just liked yr conversation...keep it up
@bintimohamed26464 жыл бұрын
I Love you Tanasha it’s very much true what you are talking about. 🙏🏽💓
@eunicewanjau23904 жыл бұрын
Tanasha you are such a sweartheart😘😍
@sheysarahnjeno93264 жыл бұрын
Pole tanasha Mungu atakusimamia
@sharifaseif51744 жыл бұрын
Very cute darling, keep on moving sweetheart, may Allah bless your efforts!! Ameen
@margaretcharlton19604 жыл бұрын
Donna my darling to what you have said it’s true. You don’t have to tell DP that need to take care of his blood, if he doesn’t want to take care, they are so many single parent and they are doing wow. I respect you so much and I’m very proud of you. Keep smiling 😊
@nasrihussein42934 жыл бұрын
Love from Kenya
@faithbahati89384 жыл бұрын
Tanasha wangu nakupenda sanaaaaaaaaa
@anglemallya39984 жыл бұрын
Tanasha una roho safi sana hupendii chuki ambzo hazina msingi
@berniceonegbmusic23244 жыл бұрын
Tanasha ana roho safi sana
@ininahazwechristella81902 жыл бұрын
Tanasha uko mzuli sana we ni namba one muwake wote wa mondi
@khadijatirionaire25104 жыл бұрын
Nakupenda sana wee bint ..❤❤❤
@CarosKitchen4 жыл бұрын
Tanasha amenenepa 🥰🥰ila amekuw amzuri
@tedymwandara54804 жыл бұрын
Kanenepa sana
@julianalawrence53274 жыл бұрын
Kwa kweli amependeza
@saidaramadhan23354 жыл бұрын
Katoka kwenye kelele za mkwe acha ajinenepee
@slowclimbertothetop45724 жыл бұрын
True
@lydiakenya28144 жыл бұрын
I love this girl
@naimanurdin13544 жыл бұрын
Dada nampenda sana huyu Naomba Mungu Azidi kukubariki mamy
@saravikula90904 жыл бұрын
Hongera Dada kwa ujasiri na hoja zenye nguvu pambana kutafuta maisha mengine ni ziada
Sikuwahi kujua Kama unaongeaga vizuri hivyo I love it ❤️🥰
@joycemuname58854 жыл бұрын
Love you tanasha tanasha so much love
@bintimohamed26464 жыл бұрын
Tanasha. 👍. Supper good 🙏🏽💓💓
@paulinafanuely18684 жыл бұрын
Nakupendaga Sana'a tanasha
@zainabubakari84894 жыл бұрын
Nmejifunza kitu kutoka kwako tanasha love mingi mingi
@jasminlyall12434 жыл бұрын
Tanasha is gorgeous and God is with you.
@euniysharon47044 жыл бұрын
kabisa tanasha sweet luv
@margarethsaramaki39664 жыл бұрын
You are cool really be blessed💖💖🙏🏼
@mwanahawahamis13214 жыл бұрын
umependeza saana tanasha
@nasimiyususan89274 жыл бұрын
Beautiful 👑🙏🙏😇
@Noah-se3ni4 жыл бұрын
Tanasha. Umehongeya vizuri sana ongera sana kwako. Lakini kusema Kweli Diamond ni muongo kwasababu Alisema heti Anaongea na baby mama wote watoto wake kumbe ni uwongo. Huyu mwanaume nimongo sana natena Anapaswa kutowa child support kwa watoto wake wote. Hilo ni jukumalake na sio kulazimishwa. So Tanasha wewe na mwanamke wangu ongera sana kwako.
@nyamoyanaomi72224 жыл бұрын
Nice tanasha
@rosemarymathew92154 жыл бұрын
Utatoka tu tanasha mungu atakuwezesha
@fannytonny90324 жыл бұрын
Beautiful in and out
@linahsemindu95754 жыл бұрын
Yan dai hapa kaacha mke jmn Tena saiz yake jmn😩🔥
@citymwacheo44974 жыл бұрын
Nimekupenda bure Aisha alhamdulillah
@buyukubwa97134 жыл бұрын
Ukiangalia sana Tanasha anaonekana ananipenda Diamond ila kuna kitu in the box inaweza kuwa mama dada ndugu wa Diamond kuna kitu kati
@veroniquesiwak13434 жыл бұрын
Waoo amenenepa vizuri sana
@wardamasoud40614 жыл бұрын
Love u tanasha
@johnmwadime45904 жыл бұрын
Daah! Kanenepa 🤗🤗
@rizikibondora35504 жыл бұрын
Yuko ivo ivo
@rizikibondora35504 жыл бұрын
Kwanza amekonda
@mwanaally82504 жыл бұрын
Kweli amenenepa kapendeza sanaa
@masitisharifnur84414 жыл бұрын
Hana stress yah simba😂😂😂😂
@naumi2302 Жыл бұрын
Tanasha mzur jaman kasaut katam kakiupole😊
@kautharsalat64494 жыл бұрын
Hongera sana unajitambua kweli
@sherin31714 жыл бұрын
Nakamenepa mashallah
@thymathyma79314 жыл бұрын
Jesus cry my God, hamdulillah very nice save junior
@linahsemindu95754 жыл бұрын
Nakapenda haka ka dada jmn💞💞
@mariamathuman97034 жыл бұрын
Tanasha jiangaishe usitegemee Cha mtu mwanamke ngangari
@dorismwenda47584 жыл бұрын
I feel u T. Ma heart was broken when u broke up. Though am team Zari
@swafiyahthanny24084 жыл бұрын
Same here
@khayriyamussa62744 жыл бұрын
Me
@marryflowerhahaha23754 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂really?
@renathajohn8794 жыл бұрын
tanasha alipokuwa kwa dai alijifanya hajui kiswahili leo anaongea vizuri sana .. aliyegundua hilo nipeni likes zangu
@florabaruti80324 жыл бұрын
@@liliankarla4786 we mwenyewe fala kenge wewe
@liliankarla47864 жыл бұрын
@@florabaruti8032 MF
@duduvule81244 жыл бұрын
@@liliankarla4786 U are fkn @$$#013
@annalfonce2594 жыл бұрын
Sura kama jaba ume tewa juzi kasiya mwache Tasha
@rizikibondora35504 жыл бұрын
Kwani before tanasha na hamisa hamukuwa Munatok business ulipokuwa na diamond but why now🤔🤔vile umeachana na diamond ndo umerealize you need to support each other realy
@zenamshana68524 жыл бұрын
Nice interview 💕
@sylviagoddard5684 жыл бұрын
New York city love you .you're Beautiful in and out💕
@achyachy63674 жыл бұрын
Tanasha I love that you have moved on...though truth be told, Diamond loved you from his heart but unfortunately for you, you had your other goal strategy to benefit from him which he came to realise early enough..you were not genuinely in love with him........I love that you are not begging for child support like Zari and Hamisa, child support should come naturally from the kid's father but not him being forced or reminded to support his blood... ..I love you for that...us luos we don't beg ..... you look pretty Gal. Keep doing your thing, God will bless you big ...kiss Nasib junior for me ...
@judithmanasekitomari58244 жыл бұрын
True that umesema ukweli kabisaaa
@achyachy63674 жыл бұрын
@@kinyamal8201 Very true
@achyachy63674 жыл бұрын
@@judithmanasekitomari5824 👍
@cheekygyal9444 жыл бұрын
M not in support of this coz kama hangekuwa anampenda sidhani kama angebeba mimba haraka plus angevumilia madharau yote aliyofanyiwa,nways who am i to judge🙌
@achyachy63674 жыл бұрын
@@cheekygyal944 if you have a goal , you will do everything and anything until you achieve it...she had a strategy...alivumilia madharau thinking that the guy was going to give in to her demands ...the problem with Tanasha, she thot that Diamond loved her so so so much and that he would do anything literary anything for her...until she got a shocker !!!
@diascookout82704 жыл бұрын
U are Right Young Lady
@sophiascarion23594 жыл бұрын
Tanasha I love u
@damarissaline.23154 жыл бұрын
Mature responses
@fozyafozya40604 жыл бұрын
Amenenepa mashaallah 😍
@zuleikhakhamis33034 жыл бұрын
kwa sababu hana stress za familia ya Diamond
@fozyafozya40604 жыл бұрын
@@zuleikhakhamis3303 you're right my dear
@aishaismail96854 жыл бұрын
Nampenda tanasha asee kazuri
@ritchiexanti95874 жыл бұрын
basi kwenye hii comment section utaona single mothers kama wote watakavokuja kutuhubiria jinsi gani wanaume hatufai na Tanasha ni hero😂😂😂.....fieni mbeleeeeeee!
@consolathajohn1314 жыл бұрын
Nimecheka kifara
@venstonvedasto4 жыл бұрын
Ila Tanasha mzuri daah
@atuganilekitego86162 жыл бұрын
I like it, me too siezi force my baby daddy kusapot my kid
@chany99504 жыл бұрын
Je t,aime tanacha
@philemonnyankuru50424 жыл бұрын
Katoto kazuri Sana daah! Zo mapaja😝😋
@zackybenny43204 жыл бұрын
Tanasha mzur sana
@ikhlassathman87824 жыл бұрын
Wanaume mukiachana ukisubiri kupewa child support bila kupelekana mbio utasubiri sana lazima mupelekane kiasi ndio walivyo.
@amourdelicieuse29614 жыл бұрын
Uko mjinga sana Tanasha Dona hamisa kakuloga akupendi ata kidogo nika Mnafki hamisa ni mchawi alikuloga ukaondoka nyumbani kwa Diamond bila kukufukuza...angalisho n'a hamisa
@mwanahawahamisi90524 жыл бұрын
Nimependa ulivojibu sana hayo maswali
@carenalphonce50134 жыл бұрын
Dah tanasha mzuri jamani
@Abubakarallyhamad-kj9sx Жыл бұрын
Shidah ya TZ tunapenda kuliza maswal ya mapenz tuh 😂
@saraabigail2112 жыл бұрын
Beautiful and intelligent young lady! He lost Gold!! I don't know, what do men really want?
@buyukubwa97134 жыл бұрын
Wazazi wanapelekea mtoto anaishi maisha ya one side maisha ya mama au maisha ya baba jambo ambapo linaweza kumwathiri mtoto kisaikolojia mtoto anapoanza kutafuta baba au mama inaumiza sana hata kama anakaa na baba au mama mwenye pesa Kwani baba na mama ni Mungu wa.pili
@fatmamgunda40494 жыл бұрын
Ndugu yangu huwezi sema mzazi ni mungu wa pil huon km umemshirikisha mungu ,mungu hafananishi na kitu chochote na wal hafanan na kitu chochote km yeye ndiyekaumba viumbe vyote utasemaj mzaz ni mungu wa pil
@AyushAli-gv1yl4 жыл бұрын
This Dude is bored kila swali diamond why she has a new work u can talk about na ana kazi nyingi sana na biashara kw nn asimuulize huyo diamond mwamfanya km mungu wa pili mxiiiiiiiiiiw
@zahramurangara25084 жыл бұрын
Tanasha mpole sana
@christinenyaboke46554 жыл бұрын
Na amenona sana waaah
@kulway46694 жыл бұрын
Kweli
@aishaaboud44064 жыл бұрын
Mwanamke bomba👍
@innocenthamisonndalahwa95414 жыл бұрын
U' re brilliant women love u keep moving forward this interview had made u different and put u a next level good good
@fatumaally32664 жыл бұрын
Tanasha shes very beautiful
@catherine26214 жыл бұрын
God bless you
@stellapeter32424 жыл бұрын
Nakupenda tu bure❤
@minzaahmada47874 жыл бұрын
Umependeza sana Queen
@HawaaHawaa-ke2um Жыл бұрын
Huyo nimkenya halisi hajui kushindana, kimapenzi kz kutafuta hela sn
@aishamwinyi35664 жыл бұрын
Kumbe jaman anakijua kiswahil vzr sana chezea wabongo
@jackiewange13484 жыл бұрын
Love mamake nassib don't need to b supported do ur own
@siajohn66264 жыл бұрын
kamenenep 😍😍😍😍
@Wakesho392344 жыл бұрын
Kweliii nimeona but shes good love her
@rispermokaya19024 жыл бұрын
Good girl I love you so much don't depend to a man even has we are single
@bafaello26194 жыл бұрын
Nakupenda bure
@luksenen77594 жыл бұрын
Unanenepa sana mond alikuwa hakulazi usigizi kwaku chomeka ndizikubwa usikuwote ukakondeyana dada ivisijuwikama itananihii tena😃😃😃
@juxjemc57684 жыл бұрын
We ulitafuta followers na mwenzio ametaka mtoto nahis hayo yalikuwa makubaliano yenu
@cheekygyal9444 жыл бұрын
And that's why she's not complaining nor forcing hlp from her babydaddy
@truth77964 жыл бұрын
Bado unahisi😂🤣😅
@krisongalax17364 жыл бұрын
Mwanamke shetani huyo
@SaraSara-nf1uc4 жыл бұрын
Tanasha unajielewa ata kuwaliko watu uliowapita umri haki ntakupenda sana
@hadijamagufuli26614 жыл бұрын
Sana sio yule mtu mzima asiyejiheshimu kutwa kutwa mitandaoni miaka 40lakini bado hajiheshimu mhm
@hadijamagufuli26614 жыл бұрын
Zari hajiheshimu nguo zake kama si mtu mzima
@sangokibila55904 жыл бұрын
Tanasha mzuri
@smootkizy_jr4 жыл бұрын
Watangazaji wa kenya hawajui kuvaa yani wanavaa nguo kama vibaka wapolaji wa Ubungo stand yan hawaendan na fashion na kipind kabsa stylish zao ni za buzaaaaaaaa
@shijacs234 жыл бұрын
Kenya hiyo fashion
@marthalasoi82534 жыл бұрын
Buza kwetu koma wewe vyuuuu
@magynzioka11224 жыл бұрын
Iyo nguo ya juu ameva hata wewe uwezi nunu nguo za ngali sikuzote ukaha ivio km hazielewiki
@margarethsaramaki39664 жыл бұрын
Mtu unaangalia eti kavaa nini?? Inashangaza kwa kweli
@smootkizy_jr4 жыл бұрын
@@magynzioka1122 mtangazaji kioo cha umma bana sio aonekane kama mporaji wa stendi bwana
@sumayahfathi94134 жыл бұрын
Huyu mtangazaji mbeya Sanaa, hana maswali mazuri ila mbeya tu, kutaka kuchimba