TANDI SERIES .EP.. 129 STARRING..RAY KIGOSI, FAIZA ALLY, SINGLE MTAMBALIKE.

  Рет қаралды 136,368

RAY THE GREATEST

RAY THE GREATEST

Күн бұрын

Пікірлер: 480
@Lela-l7g
@Lela-l7g Жыл бұрын
Wa pili Leo naomba like zenu wakuu n wale wote wakenya mwenye mnafatili tandi nawapenda sana ❤❤❤
@edsonaraka8390
@edsonaraka8390 Жыл бұрын
Kenya tunawakilisha
@Moses-fo6ne
@Moses-fo6ne Жыл бұрын
Kenya tuko!
@TOTOLAUKWELI
@TOTOLAUKWELI Жыл бұрын
I'm from Kenya 🇰🇪 siezi lala bila kuwakilisha kenyan
@tomm6259
@tomm6259 Жыл бұрын
Tunawapenda pia❤❤❤kwa Ajilo ya Allah
@imanaljabry7463
@imanaljabry7463 Жыл бұрын
Please why Tandi story stop on 129 please summit the story
@PrincessAminathy001Maalim
@PrincessAminathy001Maalim 11 ай бұрын
Next please Yani nnahamu nayo Tandi 130 please Ray
@LewisparkengaNangunye
@LewisparkengaNangunye 11 ай бұрын
yaani movie history imeisha ghafla hivi!!jameni Ray shusha ep 130
@dublea4118
@dublea4118 2 ай бұрын
Yaani
@TabbyWaringa-f3b
@TabbyWaringa-f3b Жыл бұрын
Watching from Saudi Arabia jazan, my country Kenya I’m a proud of this movie keep up bro good one
@Faithtumaini
@Faithtumaini 9 ай бұрын
Kwa kweli nimeipenda tandi kusema kweli
@Faithtumaini
@Faithtumaini 9 ай бұрын
@fbbhg9095
@fbbhg9095 Жыл бұрын
Jmn hii move y tandi n 🔥🔥🔥since episod one mpka hpa ilipofukia isay n noma kweli yni
@Fbmovie254
@Fbmovie254 Жыл бұрын
Wah Mr kibajaji tandi na mwanasheria dah nyie Atari Kwa 🎉🎉mauwa yenu ayo Yani mmeifanya iwe tamu Ii series kwakweli kama na wew umependa awa watu tujuane ❤❤ ❤from kenya
@marysalomejustin5740
@marysalomejustin5740 11 ай бұрын
Kibajaji noma sana😂
@isaacseperia2457
@isaacseperia2457 11 ай бұрын
Watching from mombasa kenya one of the best bongo movies ever seen.
@Najmahnyangasi
@Najmahnyangasi 10 ай бұрын
Alihamdhulilah nimeangalia tandi mpaka mwisho 😂😂😂😂❤❤❤
@mejumaakoja5050
@mejumaakoja5050 Жыл бұрын
Kibajaji international wa umbea daaaaaah
@marysalomejustin5740
@marysalomejustin5740 11 ай бұрын
😂😂😂😂 professional
@sammydzuya6939
@sammydzuya6939 Жыл бұрын
Daaaah dereva wa kibajaji anasumu kali xnaaa kushinda ya chatu ama kweli Tandi imeweza❤❤❤❤❤❤
@leakeyojiambo1423
@leakeyojiambo1423 3 күн бұрын
From Kenya a loved tandi, rip Fredy kiluswa aka "Chande"
@KennethLubembe-y1d
@KennethLubembe-y1d 19 күн бұрын
Kenneth from Kenya am watching..tunaingonjea sana kwa hamu tandi episodes 130 please ray fanya jambo
@directorballo9598
@directorballo9598 Жыл бұрын
KIPINDI TAMTHILIA INAANZA NILIKUA SIMPENDI MR KIBAJAJ 😅😅😅😅 ILA SAIZ NDIO MY FEV❤ acter😂😂😂😂😂😂😂
@eliwanguminja593
@eliwanguminja593 Жыл бұрын
Me cmpendi hadi leoo😅😅😅😅
@manirambonajeanne3876
@manirambonajeanne3876 11 ай бұрын
Anasaidia kupeleka habali 😂😂
@fouzfouzz1137
@fouzfouzz1137 11 ай бұрын
Yaaan wacha tuu napenda venye anachochea ombea😂😂
@MargyslyMutemi-rg4ve
@MargyslyMutemi-rg4ve 5 ай бұрын
Nimeipeda sana filamu yenu ya tandi inamafunzo yakutosha nipo hapa kenya
@byronmwanzi
@byronmwanzi Жыл бұрын
Am from neighboring country Kenya I like Tandi series
@samyabahatialhiani401
@samyabahatialhiani401 Жыл бұрын
Mwenye sheriya unatisha namaco tandi nisungu😁😁😁🤣🥲
@samyabahatialhiani401
@samyabahatialhiani401 Жыл бұрын
Wakwaza1❤❤❤🇧🇮
@rukia7709
@rukia7709 Жыл бұрын
Nko Saudi Arabia mm nmkenya kazinzuri sana
@justinendayisenga7180
@justinendayisenga7180 Жыл бұрын
Wa 1 from BURUNDI Ray big up sana ❤❤
@JonChifuijii
@JonChifuijii 10 ай бұрын
Great movie,tunayifataliya kabsa nakuyisha eps zote Angola 🇦🇴!
@theresiamushi8454
@theresiamushi8454 Жыл бұрын
Kibajaji😂😂😂. Linda we siunajua kusafiri, we baki tu hukohuko hataa usirudi kabisaa😂😂😂🥰🥰🥰
@PhilbertNdayisaba-b4o
@PhilbertNdayisaba-b4o Жыл бұрын
Yaani wew kibajaj nakupenda sana unajua kuwasha moto napeda piy naumbey wako
@IssaDjumainne-go3pf
@IssaDjumainne-go3pf 5 ай бұрын
Mimi nilikuwa nauliza kuusu sehemu ep 130 kuedeleya vipi akuna au
@KomboShenga
@KomboShenga 10 ай бұрын
Iko tamu kwani haiendelei mmetuacha kwenye alama za dukuduku rose ❤ni mzuri kuwa wa Vincent
@InnocentAutumnTrees-ux1jj
@InnocentAutumnTrees-ux1jj Жыл бұрын
Yani huyu bajaji,wee acha tuuu.........anapitiliza kwa kwel(kenya)
@minachamiago33
@minachamiago33 Жыл бұрын
Kibajaji 🙌halali njaa umbea unamlipa kulko bajaji 😂
@Dennis-rr8et
@Dennis-rr8et 11 ай бұрын
Dereva wa kibajaji ndie wa kuadvance plot daaaah...dennoh from Kenya...kudos Jordan
@MohammedWafula-k5n
@MohammedWafula-k5n 2 ай бұрын
Twaomba Tandi session 2 please,it's sweet
@RukiyaButoyi-sk5nm
@RukiyaButoyi-sk5nm Жыл бұрын
Eeeh uyo mama sijapenda jameni yuko anawadanganya awo watoto maskini
@AmeirhajjRamadhan-e1h
@AmeirhajjRamadhan-e1h Жыл бұрын
kabisa yaani kama s msomi mambo yake
@kaybarakadoenoce
@kaybarakadoenoce 10 ай бұрын
Movie nzuri sana Ray shusha 130 tunataka kujua nini kinaendelea baada ya kuhojiwa kwa janne
@FanuelMtemi
@FanuelMtemi 6 ай бұрын
Tuliipenda sana tandi kuliko kazi zote ulizowai kupost
@abuabu9594
@abuabu9594 Жыл бұрын
Wazee mbona mwatubwaga ep 130 iko wapi mana Ray The greatest uko vizuri kongole sana
@MaryAmaiza-th2fo
@MaryAmaiza-th2fo Жыл бұрын
Jamani wa nne
@esterkimalio8846
@esterkimalio8846 Жыл бұрын
Yaani huyu kibajaji jamani,,,,duuuh ila kuna wanaume kama huyu huku duniani 😂😂😂
@sharifabahar9905
@sharifabahar9905 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂juma lokole
@esterkimalio8846
@esterkimalio8846 Жыл бұрын
Na kweli tena nadhani juma lokole amezidi mweeeh
@MaryAmaiza-th2fo
@MaryAmaiza-th2fo Жыл бұрын
Mmm niko hapa
@bonfaceonditi9291
@bonfaceonditi9291 11 ай бұрын
Next episode eagerly waiting for it
@ericachanga3192
@ericachanga3192 Жыл бұрын
Yes kama mm Niko kenya nafatillia tandi sana
@Saidoulimwengu
@Saidoulimwengu 11 ай бұрын
nimeyipenda sana Naomba part 2 ianze
@mwinyimsamohammed92
@mwinyimsamohammed92 Жыл бұрын
Mimi nilianza episode one huu mwezi sasa niko nao sambamba....series taamu sana
@nickmoshi8243
@nickmoshi8243 Жыл бұрын
Yani wewe kama mimi, yani kuna siku mbili sikufanya kazi kabisa 😂😂😂😂
@real_ziz
@real_ziz Жыл бұрын
Haya twendeni😅😅😂
@marysalomejustin5740
@marysalomejustin5740 11 ай бұрын
😂
@josephswana7286
@josephswana7286 9 ай бұрын
Tandis Nina imisi sana
@Chesiro400
@Chesiro400 Жыл бұрын
Mr. Kibajaji wewe gwiji wa michongo kweli
@sameeryahya6847
@sameeryahya6847 Жыл бұрын
First
@princessdavid9231
@princessdavid9231 10 ай бұрын
Mmmmmh iko patamu jamn loooh mwendelezo vp jamn ray au mko location bafoooo😂😂😂😂😂
@MkapamkapaMkapa
@MkapamkapaMkapa 11 ай бұрын
Mungu ampe utajuli kibajaji maana anapambana sana
@calebmose-hg7ow
@calebmose-hg7ow 2 ай бұрын
Natamani kuendelea kujionea ,,karubu mwaka unaisha bila kuendeleza filamu ya tandi
@VincentWetoto-le9ex
@VincentWetoto-le9ex 11 ай бұрын
Episode next mkuu❤❤ naenjoy hii movie
@AmeirhajjRamadhan-e1h
@AmeirhajjRamadhan-e1h Жыл бұрын
mama reneee ana roho mbaya sana huyu mwanamke mpumbavu sana mjinga uyu
@jackiemulala-ur8dn
@jackiemulala-ur8dn 11 ай бұрын
Allah vipi wadau next plx. I'm curious
@DJKOGO
@DJKOGO Жыл бұрын
Ila maafande nimewakubali.....saaana !!
@josephbirya8789
@josephbirya8789 Жыл бұрын
Tandi ni karimbo Sana Nakupenda Bure
@DavisHosea
@DavisHosea 5 ай бұрын
Mbona tandi mmeishia njian hamjaendeleza
@shellwqueen1852
@shellwqueen1852 Жыл бұрын
Mbona hawatoi episod nyingine au imeisha
@HappynessMbeho-tw6uz
@HappynessMbeho-tw6uz Жыл бұрын
Mim mwenyewe nashangaa sijui imeisha?
@minachamiago33
@minachamiago33 Жыл бұрын
Wap kibajaji 😄😃🤣🙌Hataree
@abubakarilugina-zw4gt
@abubakarilugina-zw4gt Жыл бұрын
Vinceti kigosi mbona kmy
@MaigeSitta-l2z
@MaigeSitta-l2z Жыл бұрын
Jaman tandi anatakiwa achapwe viboko vingi sana kwa7bu yeye ndo anajua aliko Sharon "no way out"vinginevyo Jordan atahangaika sana kumpata Sharon
@Malin2001
@Malin2001 Жыл бұрын
Niko saudi Arabia laki napenda sana movies zako vinisend kingosi ongera sana
@FranklineMazera
@FranklineMazera Жыл бұрын
Mombasa kenya iko ndani
@StevenOscar-h4y
@StevenOscar-h4y 25 күн бұрын
Ni filamu inayo vutiya saaaana❤
@ModricdaMocimboadapraiaAssia
@ModricdaMocimboadapraiaAssia Жыл бұрын
Mimi ni shabiki yako kutokeya mozambique napenda sana kazi yako
@AGNESMTEWELE-sq7li
@AGNESMTEWELE-sq7li Жыл бұрын
Mbona mwezenu siionii tandi naomba mnisaidie
@minanietienne-sz8xu
@minanietienne-sz8xu Жыл бұрын
Thanks alot guys for hard work
@CatrinaDavidEvaristi-se1dh
@CatrinaDavidEvaristi-se1dh Жыл бұрын
Kibajaji roho mbaya hiyo ifikie hatua uwe na kaba Basi kaka yangu.. Umempa ushauri mwenyewe kisha unampigia simu Linda
@thumalove1886
@thumalove1886 11 ай бұрын
Huyu kibajaji mchonganishi mshenzi kweli😂😂
@SophieNgenzi
@SophieNgenzi 8 ай бұрын
Nakubali kweli kabisa
@halima-o7e
@halima-o7e Жыл бұрын
Mr kibajaji chawa kweli😂😂😂😂😂😂❤bure
@Najmahnyangasi
@Najmahnyangasi 10 ай бұрын
Episode 130 ni lini jaman tandi ni nzuri sana maua 🎉🎉🎉🎉❤❤
@KamariaAmeir-rx2dc
@KamariaAmeir-rx2dc Жыл бұрын
Pole sana anty jeni ukweli utajulikana
@maryamali7559
@maryamali7559 Жыл бұрын
Épisode 130 húko wapi
@Rizikisalim-d2t
@Rizikisalim-d2t Жыл бұрын
Huyo kibajaji anavuruga sana😂😂😂
@aminaa3928
@aminaa3928 Жыл бұрын
Yani kila kona yupo 😂😂😂😂😂😂
@AnnaTitus-hd5mh
@AnnaTitus-hd5mh 7 ай бұрын
Muendelezo wa Tandi jamaniii mbona kimyaaa😢
@joelmnangat6699
@joelmnangat6699 7 ай бұрын
hata sihizi kama ako salama anaeza gawa miguu 😂
@felixmoto4088
@felixmoto4088 Жыл бұрын
Ray type tunakupenda sana
@MwanakombomohammedKimbonja
@MwanakombomohammedKimbonja Жыл бұрын
Ila kibajaji khaa yani ategeze mwenywe na aaribu mwenywe
@samsonmusafiri8275
@samsonmusafiri8275 8 ай бұрын
Suite tunaisubiri kwa hamu😊❤
@malkiamommy293
@malkiamommy293 Жыл бұрын
Good work 😊😊😊😊🎉🎉❤❤❤
@user-jer75k8omb9
@user-jer75k8omb9 8 ай бұрын
Kwa nini filamu hii haikuendelezwa tena director Ray tutumiye vitu baba 💖 💓 💕
@MaryamMoosa-g5s
@MaryamMoosa-g5s 11 ай бұрын
Mbona mimi sioni mwenderezo watamfhiya. Ya Tandi
@pastor-Chrisfeston1
@pastor-Chrisfeston1 Жыл бұрын
AFANDE we unaweza sana salute babu❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤Much love ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@RamadhanKitonga-gh2oq
@RamadhanKitonga-gh2oq Жыл бұрын
Na penda jinsi tandi anavyo kua jasiri
@fouzfouzz1137
@fouzfouzz1137 11 ай бұрын
Dereva wa kipajajii 😂😂😂😂 umenimalizia siku vizurii
@LatifaMkwewa
@LatifaMkwewa Жыл бұрын
😂😂😂 Eti Jane katoka gerej jamani
@sergesntirandekuranikuki2635
@sergesntirandekuranikuki2635 Жыл бұрын
Dah nimecheka na Mr kibajaji
@fatma-jh2lf
@fatma-jh2lf Жыл бұрын
Na mm nipo jamani🎉🎉
@gloriakadzo6500
@gloriakadzo6500 Жыл бұрын
Jaman kibajaji 😅😅😅kwan ulienda chuo cha umbea na kuchanganya watu
@ElizabethSanga-q4g
@ElizabethSanga-q4g Жыл бұрын
Timu tandi mpo
@KhadijaAbuu-m4h
@KhadijaAbuu-m4h 4 ай бұрын
Kibajaji ni mchonganishi sana jmn khaaa😅😂😂😂😂
@CedricDjuma
@CedricDjuma Жыл бұрын
130 ndo tumeishia hapa ao vipi maana duuu simchezo
@yunus-bh4om
@yunus-bh4om Жыл бұрын
Jameni mbone mwatu njangaya haziishi😊
@MaSuzy-zf8ol
@MaSuzy-zf8ol Жыл бұрын
Jmn asikali mkuu ❤❤❤
@NelsonbernardoDaleli-jn6ly
@NelsonbernardoDaleli-jn6ly Жыл бұрын
Jordan, bom trabalho 🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@AnjelaMwera
@AnjelaMwera Жыл бұрын
Jamn mbn hvyo tena mr jordani
@kamarhelo
@kamarhelo Жыл бұрын
Jamani mbona tandi haieleweki sasa hiv kila cku mambo yaleyale
@levinaernest4364
@levinaernest4364 Жыл бұрын
Labda matangazo Yao ya nyuma yana kuchanganya kidogo mbona inaeleweka tu vizuri
@FlorenceNyamwaya-r9f
@FlorenceNyamwaya-r9f 10 ай бұрын
wapi episode ya 130, watching from kenya kwa kweli hiki kipindi kitamu zaidi naomba ep 130 kwenda mbele, tafadhali
@furahamanju
@furahamanju Жыл бұрын
Mbona mnatukawizia jamani heeee,siku mbili zote mwendelezo hutowi vincent
@SurprisedLadybug-fj1ig
@SurprisedLadybug-fj1ig Жыл бұрын
Mm nko na swali kwani next season inatoka lini juu nimengoja
@نجمةكينيا
@نجمةكينيا Жыл бұрын
Uyu jamaa mwamuelewa kweli kama kweli wako watu waina hii 😮😊
@machozimukucha
@machozimukucha Жыл бұрын
Asante San ❤❤❤❤❤❤❤ 0:03
@PrincessSaramara
@PrincessSaramara Ай бұрын
Kwa kweli nimependa tandi Wapi episode 130
@emmanueljackson-e5s
@emmanueljackson-e5s 6 ай бұрын
Mbona series imeisha ghafla, toeni episode 130 kuendelea basi
@TinaIsaya
@TinaIsaya Жыл бұрын
Jaman muendelezo wa tandi au ndo imeisha
@Nahdiya-nr3de
@Nahdiya-nr3de Жыл бұрын
Jane mutamtesa bure Tandy ndo yuajua mwenzake ypo WP ila watakakumtia shida Jane walishapanga 😢😢😢😢
Каха и дочка
00:28
К-Media
Рет қаралды 3,4 МЛН
Правильный подход к детям
00:18
Beatrise
Рет қаралды 11 МЛН
Что-что Мурсдей говорит? 💭 #симбочка #симба #мурсдей
00:19
JANGA ep 1
18:12
image Art films
Рет қаралды 6 М.
OFFICIAL FIRST EPISODE - Huba Season 3 | Maisha Magic Bongo
26:48
Maisha Magic Bongo
Рет қаралды 1 МЛН
JESSICA sehemu ya 1 {latest bongo series}
24:19
ABC BONGO MOVIES
Рет қаралды 401 М.
KIJIJI CHA WACHAWI FULL MOVIE
1:53:50
MWAKATOBE
Рет қаралды 889 М.
Каха и дочка
00:28
К-Media
Рет қаралды 3,4 МЛН