TANDI SERIES EP 36..STARRING..RAY KIGOSI..SINGLE MTAMBALIKE..FAIZA ALLY

  Рет қаралды 70,291

RAY THE GREATEST

RAY THE GREATEST

Күн бұрын

Пікірлер: 86
@Lathifa-zl8hg
@Lathifa-zl8hg Жыл бұрын
Vicente kigozi kwa jina la move ya tandi anae itwa Jordan nakukubali uko mankini sana kwa kazi yako nakusapot na kukubali 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@MondesWilson-jr7rr
@MondesWilson-jr7rr 11 ай бұрын
Jodani hasingui hata kidogo hupo makini sana 👍💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓 tunawapenda sana 🧡🧡🧡🧡🧡🧡🧡🧡🧡🧡 love tandi
@estersilvano451
@estersilvano451 2 ай бұрын
Yan hiki kipande ndo nilikua nakitafuta 😢😢 yan mtu kakataa baba yao asiwapeleke shule afu akamtenga tandi wa watu 😢 nililia kinoma mama shollon alijua kuniliza 🙌🏽
@AyoubMgao-ru3ve
@AyoubMgao-ru3ve 11 ай бұрын
Movie nzuri sanaaaa
@Nasseb25
@Nasseb25 11 ай бұрын
Dereva bajaji avalishwe kijola maana anakipele muwasho🤣🤣🤣🤣🤣
@ngasajuma4215
@ngasajuma4215 9 ай бұрын
Lina roho mbaya sana hili limama likubwa la tandi
@SarahLish-q3s
@SarahLish-q3s 10 ай бұрын
Wow ilike this move mashallah ❤❤❤
@AnethJoseph-m5i
@AnethJoseph-m5i 9 ай бұрын
❤❤❤🎉🎉 Vincent kigosi 💯
@bernadetachari7648
@bernadetachari7648 11 ай бұрын
Mwanamke huyu anaroho mbaya sana jameni
@Kmasterjuniourtz-ry3cj
@Kmasterjuniourtz-ry3cj 11 ай бұрын
sasa ilebongo move imerud sasa akilinying sana inatumika
@rafikiahmed2810
@rafikiahmed2810 11 ай бұрын
tanti nimtoto mzuri sana❤❤❤❤❤
@SashaOscar
@SashaOscar 11 ай бұрын
Huyu dada ana roho mbaya kwny nyumba ya wenyew😂😂😂😢😢😢
@akimanamariam4451
@akimanamariam4451 10 ай бұрын
Uyu mama shaloni simupendi anaroho mbaya kweri
@GorgesMusafiri
@GorgesMusafiri 8 ай бұрын
Safi kabisa
@maryamtanzania9743
@maryamtanzania9743 Жыл бұрын
Reyi tandi ni nzuri sana usiishie njiani
@AminaOmar-u6t
@AminaOmar-u6t 9 ай бұрын
Mama Sharon Ako na roho mbaya sana
@Elifazi
@Elifazi 10 ай бұрын
Mama sharoni una roho mbaya Sana kama sura ako
@JeannetteManirambona-o6m
@JeannetteManirambona-o6m 2 ай бұрын
Uyu dada mama yake na sharo ana roho mbaya
@GiftAbduly
@GiftAbduly 9 ай бұрын
Heeeee huyu mama Sharon na weus kma gunia la mkaa😅
@JeannetteManirambona-o6m
@JeannetteManirambona-o6m 2 ай бұрын
Kibaya kwanza
@bandaralkhaledy8931
@bandaralkhaledy8931 Жыл бұрын
TRÈS 'BIEN'RAY
@JanethAnno-kv4pb
@JanethAnno-kv4pb 11 ай бұрын
😢sasa huyo anaejifanya rafki ake Tandi.. si amtetee rafki akee amaa Huyo mama mbinafsi😢😢😢
@Najmahnyangasi
@Najmahnyangasi 9 ай бұрын
Roho mbaya kabisa 😂😂😂😂ety gunia la makaa yaaani 😂😂😂😂😂
@JanethAnno-kv4pb
@JanethAnno-kv4pb 11 ай бұрын
Huyu mama qnaroho mbaya in nature Maan dah😅😅😅
@JeneJoneth-ki5wu
@JeneJoneth-ki5wu 10 ай бұрын
Tandi uo upole umeuanza lin lkn
@MINANIEtienne-en9wu
@MINANIEtienne-en9wu 11 ай бұрын
Lekker one movie I'm telling u guy's
@evalyinesalama2535
@evalyinesalama2535 Жыл бұрын
Hongeren sana jamani nawapenda sana
@HabibaMohd-f9o
@HabibaMohd-f9o 8 ай бұрын
❤❤❤❤abiy
@BenedettaSiayi
@BenedettaSiayi 11 ай бұрын
Daaaaaaaah
@aishafrancis7714
@aishafrancis7714 10 ай бұрын
Baba tandi mrudie mama Tandi🤲
@Is-hakaKassim-t4s
@Is-hakaKassim-t4s 11 ай бұрын
Ww mbwa acha roho mbaya
@emmanuelwangilah6872
@emmanuelwangilah6872 11 ай бұрын
Vincent ni GOAT kwa hii industry
@josephinejoseph3919
@josephinejoseph3919 Жыл бұрын
Mhh uyu Mama Sharon mbwa afai
@MwanaMisi-v3r
@MwanaMisi-v3r 11 ай бұрын
Uyu Abigail anamaringo mengi pk anaboa
@husseinrashidi5828
@husseinrashidi5828 11 ай бұрын
Ka mama kabaya aka sha nakachukia kweli
@yvanbayubahe6319
@yvanbayubahe6319 10 ай бұрын
Liliane Kama atumuone series aiko Tamu tena Burundi🇧🇮to dubai 🇦🇪
@SolangeOvera
@SolangeOvera 11 ай бұрын
uyu mamake Sharon ana boa sn
@SaidMohamed-d9k
@SaidMohamed-d9k Жыл бұрын
Ukiona mwanamke amekaa kimya jua ako n lake xxa 2namuona mamake Sharon ameaza kuyatoa makucha yake
@kamarhelo
@kamarhelo Жыл бұрын
Daaa yajayo yanatishajamani tuleteni muendelezo tafazari
@Is-hakaKassim-t4s
@Is-hakaKassim-t4s 11 ай бұрын
Mama Sharon acha roho mbaya aiseeee
@preciousndossy2169
@preciousndossy2169 9 ай бұрын
Huyu Mama sharon hapana aisee ana roho mbaya kumbe hiv dooooh
@mildredmuteshi
@mildredmuteshi 11 ай бұрын
JAMANI MIE SIONI HATA JORDAN AKILA,KWAN HANA NJAA
@SumaiyaNizigiyimana-fn9iy
@SumaiyaNizigiyimana-fn9iy 11 ай бұрын
😂😂sio yéyé tu wote sijaona wanakula
@reginaIssa-m2j
@reginaIssa-m2j Жыл бұрын
❤❤❤ nzuri sana ila mama ake Sharon ako na roho mbaya sana
@estherpendo3090
@estherpendo3090 11 ай бұрын
Sharoon naye amebadilika tokea mamake kurudi
@Rizikisalim-d2t
@Rizikisalim-d2t Жыл бұрын
Ila mama Sharon umenkera sana
@davidpeter2398
@davidpeter2398 11 ай бұрын
😂😂😂 abgail unanifany niipende hii series aisee
@ValerianaMdendele
@ValerianaMdendele 11 ай бұрын
Daaaa mama sharon ndo nn ivo jamani afu ww Rameck hiyo ndo inaitwa fikiri kabla ya kutenda moto unao
@saumodzumbo9671
@saumodzumbo9671 9 ай бұрын
Hili limama sharoni silipendi
@AngelineSidi
@AngelineSidi Жыл бұрын
Chande unathani umejulikana hapo kazi unayo baba
@CizaArafa
@CizaArafa 11 ай бұрын
Huyo mama shar anaroh mbaya San mama wakambo na sura yake nimbay😅😅
@maryamtanzania9743
@maryamtanzania9743 Жыл бұрын
Naisubiri
@Fbmovie254
@Fbmovie254 Жыл бұрын
Wa kwanza wapendwa ka jordan achia ata tatu kwa siku maana tunachungulia kila tym 🥰
@NeemaStephen-oe4ww
@NeemaStephen-oe4ww Жыл бұрын
Saa wakwanza kwa lipi yaani 😀😀😀hili neno wakwanza naona limewakaa sana midomoni ata tela nayo mtu anasema wakwanza 🙌🙌
@masungakadelya9175
@masungakadelya9175 11 ай бұрын
Huyu dereva bajaji ni mbea sana kama mdada😂😂😂
@HamisiFaraji-ej5mf
@HamisiFaraji-ej5mf 11 ай бұрын
Tandi mtoto mzuli ❤❤😂😂🎉🎉
@TabiaNchimbi
@TabiaNchimbi Жыл бұрын
Wew nawe unatuumiz kumtenga tandi khaaaaaa😢😢😢😢😢😢😢
@mariamanzazi2696
@mariamanzazi2696 Жыл бұрын
Jessica kumbe unaroho mbaya ivyo
@alexmbigi4878
@alexmbigi4878 11 ай бұрын
🎉🎉❤
@Aysher146
@Aysher146 11 ай бұрын
Uyu abigal simzima😂😂😂😂😂
@MwanamkasiBakari-pb2gw
@MwanamkasiBakari-pb2gw 11 ай бұрын
😂😂😂
@byangamartin6998
@byangamartin6998 Жыл бұрын
Nizuri kupita kiasi 🎉🎉🎉
@sambaaboy882
@sambaaboy882 Жыл бұрын
Uyu sister hajuitu kua nikiasi gan namkubali tandi et anampa mia mbili ya dara asee dah nimechukia kweli atakama ni moves 😢
@najmaawadh510
@najmaawadh510 Жыл бұрын
Wamama wngne n roho mbya kwl
@NeemaStephen-oe4ww
@NeemaStephen-oe4ww Жыл бұрын
Twakusubiri
@DelsonGerald-to6yn
@DelsonGerald-to6yn Жыл бұрын
Legend
@ValeliaMgogo
@ValeliaMgogo Жыл бұрын
Achia nyingine basi
@brightonmnanka9987
@brightonmnanka9987 Жыл бұрын
Endelea kila siku kutoa
@magutumogeko6936
@magutumogeko6936 Жыл бұрын
Jaman hii English weingine hatukufika huko munatuacha njia panda
@mwijaku
@mwijaku Жыл бұрын
Sauti iko chini
@ZerudeizyTrezney
@ZerudeizyTrezney 11 ай бұрын
😂😂😂usilalamike kuchezewa rough wakati hio ndio style yako ya kucheza🙌🤣
@khadijasalim2697
@khadijasalim2697 11 ай бұрын
Hii imeenda😅
@melitalaunoni4018
@melitalaunoni4018 11 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@neemakarisa6117
@neemakarisa6117 Жыл бұрын
Mama Sharon ahk unakera
@DelsonGerald-to6yn
@DelsonGerald-to6yn Жыл бұрын
🙌🙌
@AgnessAgness-w6s
@AgnessAgness-w6s Жыл бұрын
Achiria❤❤❤
@melitalaunoni4018
@melitalaunoni4018 11 ай бұрын
Huyu lamic ananiuzi alivyo 😊😊😊😊😊
@MobTrsco
@MobTrsco 11 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤
@ekiliangoliga644
@ekiliangoliga644 Жыл бұрын
Duuu huyu mama ake Sharon si mtu wa kuigwa hata kidogo, sasa mama Tandi atamnyoosha
@samyabahatialhiani401
@samyabahatialhiani401 11 ай бұрын
Mama yake na sharone namcukiya😢
@LydiaStephano
@LydiaStephano Жыл бұрын
Roho nyeusi Kama sura yako😏😏
@TwaibaMnyazi
@TwaibaMnyazi Жыл бұрын
Huyu mama Sharon vipi lkn 😢😢😢
@everlinekenga437
@everlinekenga437 Жыл бұрын
Huyuuu mmke Sharon anaroho ya shetani kwel 😢
@samyabahatialhiani401
@samyabahatialhiani401 11 ай бұрын
😂😂😂🇧🇮
@ChristineKesi-k9r
@ChristineKesi-k9r 12 күн бұрын
Sasa lameck unanikera,kwa nni unamganda mkeo ivo,y dont u jst move on,una bore bana,alafu huyu jessca kumbe mbaya ivo,eti tandi aenda kwa daladala,shame on her,bad woman
@alhimnamussasaid3619
@alhimnamussasaid3619 11 ай бұрын
Abigal 😂
TANDI SERIES EP 37..STARRING..RAY KIGOSI..SINGLE MTAMBALIKE..FAIZA ALLY
13:47
Don’t Choose The Wrong Box 😱
00:41
Topper Guild
Рет қаралды 20 МЛН
ТВОИ РОДИТЕЛИ И ЧЕЛОВЕК ПАУК 😂#shorts
00:59
BATEK_OFFICIAL
Рет қаралды 7 МЛН
Beat Ronaldo, Win $1,000,000
22:45
MrBeast
Рет қаралды 40 МЛН
Lazy days…
00:24
Anwar Jibawi
Рет қаралды 8 МЛН
HOUSE GIRL  EP 01 || love story💕💞
19:15
BUSATI TV
Рет қаралды 592 М.
THE HOUSE GIRL   EP - 1
9:36
MSALE TV
Рет қаралды 9 М.
IBANGA EP310: Gahima byamukomeranye🔥🔥
28:49
Miss Nyambo
Рет қаралды 53 М.
Premier Full Episode -  Pete S1 Episode 1 | Maisha Magic East
27:21
Maisha Magic East
Рет қаралды 2,4 МЛН
TANDI SERIES EP 34..STARRING..RAY KIGOSI..SINGLE MTAMBALIKE..FAIZA ALLY
12:58
Don’t Choose The Wrong Box 😱
00:41
Topper Guild
Рет қаралды 20 МЛН