Kinachotakiwa ni kutubu na kumwamini Mungu na Yesu Kristo Aliyeangikwa pale Msalabani akuokoe na udumu kumtegemea,karibuni Yesu Kristo atarudi!Amina
@festinamwakipale3919 Жыл бұрын
Umejenga.nyumba.dada.kwa.dhambi.usipo tubu hiyo nyumba itakuja.iuzwe.20000.maana hata wa kulithi atakuwa hayupo mtangazaji usiwasaidie wadada hao.washirikina.sana hao hukumu ya.Mungu iko juu.yao.kazi.zipo kazi.zipo.kujiuza.sio.kazi ni laana
@EvangelistMathayo2604 Жыл бұрын
dada zangu nawasalimu katika jina safi jina lipitayo majina yote jina la Bwana Yesu Kristo wanazareti. dada zangu ushauri wangu nihuu tubuni dhambi zenu na mkabatizwe mpate ondoleo ya dhambi zenu na kumpokea Yesu Kristo wanazareti kuwa Bwana na mwokozi wa maisha ili muingie mbinguni maana Mungu niwa rehema sana. Biblia inasema katika kitabu cha methali azifichaye dhambi zake atofanyikiwa bali yeye aziungamaye atapata rehema Amen.
@sifam6348 Жыл бұрын
iyo sikazi mulisha pata nyumba kwa nini musibadirike atuwahukumu ila zambi ni zambi yesu akija atakukuta vipi ulisha jenga acha sasa hiyi tabiya ula kidogo na Mungu atakusalidiya
@oliviaseth46522 жыл бұрын
Sito mlaumu huyu dada, wanawake wengi wanafanya uhuni sababu ya maisha, Anae mtukana huyu dada hajui, wengine hawasemi kama wanafanya umalaya hawasemi.
@Esther195532 жыл бұрын
Mungu Ndo kimbilio letu achaneni naizo kazi na muombe msamaha kwa Mungu mtangazaji na wewe unawatetea sana wewe atakama matatizo nimengi lakini sio iyo kazi Nimeumia sana 😭😭😭😭😭😭😭
@Arjunpowerboy11 ай бұрын
Iyo kali❤❤❤❤❤
@sostheneabedi47732 жыл бұрын
Mtangazaji uwe mtulivu Na huliza swali tu achana na Maelezo Mengi Mengi ya Sio na msingi
@vicWamaana Жыл бұрын
Nimagumu dada m mungu anasaidia
@oliviaseth46522 жыл бұрын
Yeyote asie na dhambi duniani na ampige mawe huyu dada.
@deborakamsi2 жыл бұрын
Mungu awarehemu wanajuwa ni mbaya kwanini waendelee kuifanya waache na warudi kwa Yesu bado anawahitaji waje kumtumikia
@salisali37382 жыл бұрын
Yaaani ww mtangazaji umeipasisha hiyo kama ni kazi pole sana
@dinaalondamachozi75292 жыл бұрын
dada wangu tafurta kazi apo uvira zapo kabisa ❤
@chrispinbyamungukaharwa84692 жыл бұрын
Nime miss uvira kweli mungu ibariki inchi yangu congo
@BinKing22 жыл бұрын
😂😂😂 Sisters Fanyeni Nyama Nyama tu Mpate Utamu.😂😂😂
@BisheniKasangandgo10 ай бұрын
Nisawa tu
@zenataashura7922 жыл бұрын
Uza mashine dada ulipata zakujenga unakosa zamashine pole sana Mungu akuokowe
@joleal79412 жыл бұрын
Mwenyezi mungu unilinde na iyi kazi ya uzinufu🤔🤔🤔
@AnastasieZabibu Жыл бұрын
Toujours pawet comedy
@claraelengabulunda67502 жыл бұрын
Dada achana naiyo kazi kumbuka kunajeyanamu na maisha siyo hayo kunamaisha baada ya iyo tubuni
@wamupepe5301 Жыл бұрын
Apana si kazi ku uzisha migulu , ma cuisses diiiii
@bisocijuma58992 жыл бұрын
mtangulize mungu mbele
@emoalembe47902 жыл бұрын
Mithali 14:12 iko njia ionekanayo sawa machoni pa mtu , lakini ni njia ya mahuti.
@ChanceMalumba Жыл бұрын
Uvira kavimvira 😢
@tatianamonga4922 жыл бұрын
Bongo yako dada!!!!ni tabiya yako tuuu!!! Ma formations y’a kazi y’a mikono iko mingi dada.
@kahwalambezi16882 жыл бұрын
ni kazi
@ladysapna34612 жыл бұрын
🎤Mtangazaji kama unawatetea vile😜
@salisali37382 жыл бұрын
Sana tu ana eatetea na ameipasisha kuwa ni kazi
@justietumaine31272 жыл бұрын
Mutiye naba
@lydiamkein8052 Жыл бұрын
Toka pale acha kupa zambi mafuta nibamalaya tuu watafute kazi waache😢 kazi zabumalaya
@festinamwakipale3919 Жыл бұрын
Acheni uvivu wa dada nyie acha
@kashindibakari77262 жыл бұрын
Nyumba unajenga machine unashindwa kununua,hiyo kali duh !
@farajasimon2 жыл бұрын
😂😂😂si ndo hapo
@oliviaseth46522 жыл бұрын
SHIDA ZINA KUFANYA UWE HIVYO, MSIMLAUMU.
@bisocijuma58992 жыл бұрын
jamani ni shida pole sana 😢 mwenzangu
@esperancesudi28422 жыл бұрын
To be continued
@wamupepe5301 Жыл бұрын
Amuna association ya BA BARANGA ? ( avocates, médecins, assistants socials,...)
@aminaomary5567 Жыл бұрын
Umeshajenga sasa unatafuta nini tena
@marygregory75662 жыл бұрын
Dada angu ile pesa umejenga nyumba kwann hukununua machine
@festinamwakipale3919 Жыл бұрын
Ila.binadamu wanateseka hiyo.sio.kazi.ni.dhambi
@cizaramadhan97372 жыл бұрын
Mwambie uyo dada ani tafute ili aweze kuacha iyo kazi mpe namba zangu ao ani tafute kwenye Facebook
@wamupepe5301 Жыл бұрын
Bravo @cizaramadhan9737 👍
@jesusislord91902 жыл бұрын
wapi huku nikaishi??
@BMASTA_BM2 жыл бұрын
ndugu mtangazaji nisaidie namba zako za wasapu labda tunaweza saidia dada yetu niko hapa Marekani asante
@TanganyikaTV2 жыл бұрын
+243978539244
@mwalimubarakajustin7452 жыл бұрын
Mutangazaji, ninaomba unitumie maasiliano ya Sim ya TANGANYIKA TV.
@oliviaseth46522 жыл бұрын
Mibangi ya wanaume na mipombe.
@MmungaMbele-u1o Жыл бұрын
Kuna wanake wazekufanya umalaye kwa kutafuta muke na mwengi ni malaya hata kama kiolewa hayomambo hatoache kabisa.Umalaya ni kiini cha microbe kama ya malaria. Na kuna wengine wanakuwa na hamu nyingi ya wanaume.Kwa hiyo ni siri.
@DeogratiusAndrew-zi7zv5 ай бұрын
Mungu una mshukuru kwa lipi? Hata muandishi hauna akili
Yani ina maana byashara biliisha mpaka wauze mwili
@happyjohn76302 жыл бұрын
Lkn mtangazaji kwan unamaswali ya kuwauliza its true sio kila mtu anafanya umalaya Kwajili ya kupenda ni kwa shida point nikwamba alivyo pata nyumba na viwanja which means anao ywez wakupata mtaji na kuendelea na biashara alizo kuwa akifanya mwanzo why ameendelea kukaa hapo ikiwa mungu amesha mbariki ?
@MulangaliroEspoir-p6d6 ай бұрын
Ss wa dada simulishapata nakujenga,kama ni Maisha mushapata kiloko,muache ss,kama kweli niukosefu
@kabwefrancine992 жыл бұрын
Kwa nini una hongea huhongo?mtaji waKuchuuza matunda njo laki tano ?
@XdanTD Жыл бұрын
Niko USA Ohio, nitampa 300$ je, ataiacha?
@christainc.5217 Жыл бұрын
Pana namba yako sasa
@wamupepe5301 Жыл бұрын
Waka fundisha kazi ndogo ya mikono waweza acha? Kufanya mikate, kushona nguwo,....
@peter-tj6oo2 жыл бұрын
Uvira mnakula nyama za watu
@TanganyikaTV2 жыл бұрын
Ahaha
@mariamselemani13662 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@delphine89762 жыл бұрын
Vraiment mutu ana weza kuwa aiko d’accord na kazi ya prostitution, mais kila mutu iko na histoire zake na traumatismes za maisha na situation économique ya pays iko catastrophe, ina tumana watu wana kamataka choix za maisha zenye ziko radical . C’est triste 😞 vraiment
@evayesse70082 жыл бұрын
Kama ameisha jenga mukazi iyo iyo, kwanini asinunue mashine?? Masine ni bei chini sana kuliko kujenga. Kila kitu kinamalengo. Kama baliingia mu kazi iyo sababu ya deseption, kwanini itumike kwa miaka mingi.
@bisocijuma58992 жыл бұрын
mtangazaji acha kuongea upumba
@mariamselemani13662 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@farajasimon2 жыл бұрын
Huyu interviewer naye aana akili kabisa
@justietumaine31272 жыл бұрын
Mukuwe munateya naba
@rugarekashasha81962 жыл бұрын
Umaskini sio sababu ya mwanamke kufanya umalaya. Hiyo ni pepo ya binti za wamushi wengi ni wamalaya tu. Hata kama wanajiweza kimaisha mwanamke wa kimushi ni hivyo tu. Unasema ikipata bwana utatulia wongo. Mwenye lwake haluachaki.
@welongodouniajtt39662 жыл бұрын
Mutakwenda na ngoma
@rugarekashasha81962 жыл бұрын
@@welongodouniajtt3966 Tutabanana mu congo
@KABWEM2 жыл бұрын
Hata biblia inasema tafuta utapata, hakuna lawama yote dada zangu ila mungu atawasaidia siku moja