TANZANIA BILA MAGUFULI: ALIPENDWA KAMA ALIVYOCHUKIWA

  Рет қаралды 23,965

SK Media Online TV

SK Media Online TV

Күн бұрын

Leo ni mwaka mmoja tangu Rais Magufuli atangazwe kuaga dunia. Tumejifunza nini?

Пікірлер: 142
@arafatyhussein
@arafatyhussein 8 ай бұрын
Utashughulikiwa kweli kweli😁😁 14:52
@venancemalima1181
@venancemalima1181 2 жыл бұрын
Alipendwa zaidi ya kuchukiwa.maana kuchukiwa na kwa chuki za kipuuzi hakuna tatizo.Kifo chake kitabaki kuwa pigo kwa Taifa la Tanzania.
@samsonfulgence5553
@samsonfulgence5553 2 жыл бұрын
Alipendwa na wapenda dhuluma na kuchukiwa na wapenda haki.
@geofreymwaipopo1442
@geofreymwaipopo1442 2 жыл бұрын
Wezi tu ndo waliomchukia wapenda haki wote tulimpenda rais wetu
@samsonfulgence5553
@samsonfulgence5553 2 жыл бұрын
@@geofreymwaipopo1442 Vip nanyi mkiambiwa kuwa ni wauwaji (watu msiojulikana), mafisadi, wavunja sheria na katiba, wapenda dhuluma na uonevu, watu wenye uchu wa madaraka na kila aina ya dhuluma ndo walipenda uongozi huo lakn wazalendo, wapenda haki, na wacha Mungu hawakupenda uongozi huo? Maana madhila na kudidimia kwa taifa letu ktk nyanja za utu, haki, uongozi bora na demokrasia, ufisadi wa kutisha (mnazuia na kupiga marufuku wasimamizi wa uchaguzi kuwatangaza washindi wa upinzani)! Wizi mwanzo mwisho hadi wa kura za mwenyekiti wa kitongoji, kupoteza watu, kuuwa watu, kupiga wabunge marisasi, kuwanyooshea wabunge bastola, kutishia kuwafukuza wabunge wanaowatetea wananchi ubunge wao n.k vyoteo vilitokea kipindi chenu🤔! Mlitisha sana hadi shetani akashangaa.
@gidionkadaraja1403
@gidionkadaraja1403 2 жыл бұрын
@@samsonfulgence5553 sasa mafisadi na Magufuli wap na wap wew
@samsonfulgence5553
@samsonfulgence5553 2 жыл бұрын
@@gidionkadaraja1403 Labda hujui maana ya ufisada au neno fisadi. Hivi mtu anayeiba kura, anayeiba uchaguzi, anayezuia wasimamizi wa uchaguzi wasiwatangaze washindi halali wa uchaguzi bali wa chama chake hata kama hao wa chama chake wameshindwa, huyo anaitwaje? Au nikuulize, ufisadi ni nin? Je anayefanya manunuzi ya umma bila kufuata sheria ya manunuzi ya umma anaitwaje?
@ibel4lf
@ibel4lf 2 жыл бұрын
Tuliompenda ni weeengi no one is perfect
@brightluvanda2795
@brightluvanda2795 2 жыл бұрын
Hongera ngurumo wewe na LISU msiokufa! Maama dunia itakufa lakini wewe naona utabaki ili uendelee kumsema MAGUFULI! Maana kama unajua pumzi ni mshumaa,,,,usingekaa hapo umseme magufuli!
@samsonfulgence5553
@samsonfulgence5553 2 жыл бұрын
Kwanin Magufuli asisemwe kwa aliyoyatenda wakati alikuwa kiongozi? Tatizo mlimuona ni mungu wenu. Mbona Nyerere anasemwa na hujawahi kulalamika? Mbona mfalme Daudi kwenye biblia huwa anasemwa? Mbona mtume Petro aliyeachiwa kanisa na bwana wetu Yesu Kristo huwa anasemwa? Huyo JPM wenu atawaingiza motoni maana huwa mnamuabudu.
@joachimmahoo9786
@joachimmahoo9786 7 күн бұрын
Siasa zilizojaa unafiki na uswahili
@patriccharles1562
@patriccharles1562 2 жыл бұрын
Baadhi ya wateule wake walithubutu hadharani kusema Magufuli wewe mungu lakn dhamiri zako zikawashitaki na kufuta kauli hapohapo. Ni kweli tuliyaona mengi ya kusha gaza
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 2 жыл бұрын
Patrick walimsifia hivyo kwa maana nzuri kwa utendaji kazi wake acha maneno yako ya kebehi nani alifanya hivyo kwa kipindi cha miaka 5 kufuata ndoto za mwalimu nyerere punguza chuki huyo ameshakufa muombee heri kama ulikuwa fisadi pole sana
@kennyrogers4734
@kennyrogers4734 2 жыл бұрын
Uko sawa kbs mwanadam hata ungekuwa mtendaji wa kazi kias gan huwezi kufanana na Mungu hata kdg anaeunga mkono maneno ya kifedhuli ya kumdhihaki Mungu amelaaniwa uyo
@samsonfulgence5553
@samsonfulgence5553 2 жыл бұрын
@@margarethpolepole7438 Acha kumsingizia mwalimu wew! Eti ndoto za mwalimu🙆🤔! Uliwahi kuona mwalimu anaota kuwa dictator?
@samsonfulgence5553
@samsonfulgence5553 2 жыл бұрын
@@kennyrogers4734 Ni Magreth huyo anayeunga mkono ujinga huo.
@gracegrace6200
@gracegrace6200 2 жыл бұрын
@@samsonfulgence5553 dictator maana yake nini? Kupigana ha wezi kama nyinyi? Kupigania madini yetu? Kupigania haki za wanyonge na wasio na sauti? Kama dikiteta ni kufanya hivyo basi he was the best President ndiyo maana legacy yake inaendekea na Tundu Lissu kaambiwa akae huko huko, he is not wanted.
@Vswwgwchadafqx
@Vswwgwchadafqx 7 ай бұрын
8:17 Kipindi hiki hata ngurumo sikua namjua ni nani 😂 nilikuja kumfaham ngurumo kwenye uchambuzi alio ufanya baada ya mkuu wa Mahesh mtaaf kuhoji wa.
@AnsbertNgurumo
@AnsbertNgurumo 7 ай бұрын
Du! 😆 😂
@Vswwgwchadafqx
@Vswwgwchadafqx 7 ай бұрын
@@AnsbertNgurumo nashukuru sana kuweza kukutana na wewe, sasa hvi nimeanza kuwa mtu wa kureason Mambo, ubarikiwe sana baba✅
@AnsbertNgurumo
@AnsbertNgurumo 7 ай бұрын
@@Vswwgwchadafqx Ubarikiwe sana!
@johnmamba682
@johnmamba682 2 жыл бұрын
Mpumbavu siku zote hupenda kustarehe chini ya kivuli chenye mti wenye miba juu, kuliko kufanya kazi juani ili asitarehe kwenye kivuli kilichosalama, Magufuli alilenga kutengeneza kivuli cha watanzania cha baadae kisicho na maumivu ya ahadi za uongo za wanasiasa, Na ndo haohao wanatangaza uzushi kwamba magufuli alikuwa mbaya
@gastonmbilinyi382
@gastonmbilinyi382 Жыл бұрын
Inasikitisha sana! Rais kulazwa na kupata matibabu katika Hospital zisizokuwa na majina! Hospital ya Mzena
@drallan6879
@drallan6879 8 ай бұрын
what a shame!
@ponsianomwakisunga899
@ponsianomwakisunga899 9 ай бұрын
😅😅😅😅 kwenye faraja apo apanaa kaka huo ni uongo mkubwa akuna faraja apo
@bcozhenry2698
@bcozhenry2698 Жыл бұрын
Shetani anapoamua kujisafisha kupitia vinywa vya wanafiki! Walioficha taarifa na wewe mwenyewe lenu moja!
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 Жыл бұрын
Mjinga wewe utaishia kubwata tu mitandaoni huyo amekwenda mbinguni moja kwa moja
@AnsbertNgurumo
@AnsbertNgurumo Жыл бұрын
Utajiju! Kwani wewe unabwatia wapi?
@PaulinaSinyanya
@PaulinaSinyanya Жыл бұрын
Mbingu ipi wewe ulimwona uko mbinguni acha ufala wewe
@thabitikimu3892
@thabitikimu3892 2 жыл бұрын
Huyu jamaa namuona ni mnafiki tu njaa tu na ufisadi zinakusumbua Mnasema watu waliuwawa sana mbona hamjawahi kutoa hyo orodha ?
@harithbilesh4662
@harithbilesh4662 2 жыл бұрын
Wewe ni mpuuuzi nimetoka kuangali video uliozungumzia mabehewa nikakuona wa maaana ila ningeanza hii nisinge angalia ile wewe ni mnafki ulitaka matapeli wachekewe na Leo unaongelea kupigwa juu ya mabahewa
@faustinluambano2958
@faustinluambano2958 7 ай бұрын
Wachina walipewa kibaha imeishia wapi sasa wanapewa UbungoNchi inahujumiwa hii
@nkolemuya9283
@nkolemuya9283 2 жыл бұрын
Asante kwa kumbukumbu ya kweli, mie huwa nawaza kuwa Tanzania ni last born wa mwenyezi Mungu Pia nahisi alikuwa mgonjwa wa akili, ingekuwa vizuri hiyo katiba mpya iweke utaratibu kwa wagombea uraisi kufanyiwa medical check up na ikiwemo na uwezo wao wa ku manage jamii kubwa, maana hiz degrees sio sababu za uwezo wa utawala bora
@abelnyenye4500
@abelnyenye4500 2 жыл бұрын
Very well explained, nimeelewa sana na uko kama nilivyowaza mimi. Kweli degree hizi hazina maana kwenye baadhi ya vitu.
@gracegrace6200
@gracegrace6200 2 жыл бұрын
Nyinyi wote munao mubeza Hayati Magufuli haziwatoshi. Nchi ilikuwa imeoza. Akaisafisha. Nyinyi wagonjwa wa akili hamuoni kitu. Nyinyi muna jambo. Lazima mulikuwa ni wezi muliokuwa mukiwaibia walio wengi. Tanzania ingekuwa mbali sana tungekuwa naye. Kwa sasa hatuna hope. Upinzani wala chama kinachoongoza. Tanzania ilikuwa na Rais. Mutasema mutachoka, hamutabadirisha maoni ya Watanzania walio wengi.
@paulinekisanga5441
@paulinekisanga5441 2 жыл бұрын
@@gracegrace6200 wewe ndiye kichaa !!
@gracegrace6200
@gracegrace6200 2 жыл бұрын
@@paulinekisanga5441 kama kusema ukweli ni kuwa kichaa basi nakubali mimi ni kichaa. Maoni yako nimeyapokea. Asante bi Kisanga.
@anastahiliutawala3879
@anastahiliutawala3879 2 жыл бұрын
@@gracegrace6200 Kwa hio hajafa
@ibrahimaziz7158
@ibrahimaziz7158 2 жыл бұрын
Km umenotice samia hakua katika hali ya kawaida kabisa amejikaza sana mpk kupata nguvu ya kuficha ukweli
@gracegrace6200
@gracegrace6200 2 жыл бұрын
Wewe utaishi milele, .Hautakufa. Katiba mpya inapigiwa kelele na wapinzani na wasaliti kama wewe, lazima Africa iwe masikini. Tunamuomba Mungu atujalie Magufuli mwingine na asitujalie kutupa viongozi wezi na wenye ubinafsi kama viongozi wa Chadema. Mutabaki kupiga kelele mitandaoni, Tanzania hamutaiongoza.
@fortinatuswangubo196
@fortinatuswangubo196 2 жыл бұрын
Ndiyo maana mlimusaliti magu kwa kumuua wambea nyinyi
@marcokaroje8980
@marcokaroje8980 2 жыл бұрын
Ukifa wewe ukifa unakuwa umesalitiwa nani au ni mapenzi ya mungu kwa hiyo mungu alisema kuwa jpm hafi labda asalitiwe na sijui kama alilijua hilo msiingilie kazi za mungu mtalaaniwa
@twaibumikidadi7377
@twaibumikidadi7377 2 жыл бұрын
Huyu hafaı kuwa kıongoz ndıo maana alidanganya hata akıwa ndan ya nyumba ya mungu ! sasa kıongoz akıfıkıa hapa , atashndwaje kuwa kuwaibğa kuwanyonya kısha akıtoka hadharan anawatanganya tu hson tatzooo uongo damunı n sehem ya maisha Ama kwa hakkka hatuwez toka maana uongo n dhambi sanaaa tena waongopa watu walıopewa mamlaka walıoapa kwa vıtabu vya mungu Ee molaa utunusuru na dhambi hii,
@wilsonmasaindiammasi2779
@wilsonmasaindiammasi2779 2 жыл бұрын
Wewe ishi milele usife
@elibarikimollel7149
@elibarikimollel7149 2 жыл бұрын
Hapa ni Shehe anawapa mawaidha waumini wake, juu ya watu waongo,wanafik, wabaya wasiotaka maendeleo ya wengine kati ya waamini lkn muumini Evarist Chahali akaasi na kuwa muamini mkaidi akampinga shekhe na kutoboa siri iliyofichika!!? Lkn haidhuru leo tunapumua kiasi!
@antondeengu3804
@antondeengu3804 2 жыл бұрын
Kwanini mtu amzungumzie mtu ambaye haumwi?
@josephmwita5959
@josephmwita5959 2 жыл бұрын
it's so sad
@1961nungwi
@1961nungwi 2 жыл бұрын
Kwa karne nyingi, historia imekuwa ikirekodiwa kwa maandishi kwenye makaratasi. Ilikuwa lazima kwenda maktaba kuchimba kupata kufahamu wa historia. Katika Karne hii ya 21, historia inarekodiwa live, kwa.maneno na si lazima uende maktaba kuchimba. Ipo mikononi mwako kwenye simu. Historia Ina faida moja kubwa: jamii inapata kujua ilipotoka, ilivyokuwa na matokeo yake. Kwa hiyo, jamii inayojifunza inapata wasaa wa kujua yale mabaya ambayo yaliiletea shida, na yale ambayo yana faida. Historia, kwa namna hiyo, ni Mwalimu mzuri.
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 2 жыл бұрын
Sana tulimpenda sana wewe utabaki unabwabwanya tu kwa sababu alikufunza adabu
@anastahiliutawala3879
@anastahiliutawala3879 2 жыл бұрын
Maskini lakini wacha tu juu nae aliondoka na yake
@gidionkadaraja1403
@gidionkadaraja1403 2 жыл бұрын
Toa ujingaaaa# kila siku Magufuli tuu hii inaonyeshaa jinsi gan huyu jamaaa hatasahaulikaaa tz ... mnapotoshaa mtachokaa #Stupid
@hassangasaba4565
@hassangasaba4565 2 жыл бұрын
Kubali usikubali viongozi wetu wajinga Rais anaumwa mnapotosha wanainchi. Anadanganya yupo msikitini.
@dorothymbuere5236
@dorothymbuere5236 2 жыл бұрын
SASA Mnamsimanga hayo masimango TUTAMKUMBUKA mambo yatakapo badirika siku upo Mungu halali anaona YOTE na AMESIKIA YOTE.TANZANIA tusikufuru ameishakwenda zake.Tunakatazwa tusilipize kisasi tumwachie BWANA. Tutalipa mapigo amefanya mengi MAZURI na mabaya PIA wangapi wameumiza watu wakiwa kazini?OGOPA MUNGU.?
@deomwankenja7960
@deomwankenja7960 2 жыл бұрын
big up bwana maelezo yako yako vizuri sana ! una itwa nani unapatikana wapi ?
@fulgencemark7640
@fulgencemark7640 2 жыл бұрын
Huyu ni mwanahabari mzoefu mtafute kupitia Clubhouse huwa anakuwepo wakati fulanifulani.
@salumjumaruhaga2513
@salumjumaruhaga2513 2 жыл бұрын
Yuko marekani uyo ali koswa kuuwawa alipita Kenya,
@kennyrogers4734
@kennyrogers4734 2 жыл бұрын
@@salumjumaruhaga2513 Yupo Uhollanz mdau
@salumjumaruhaga2513
@salumjumaruhaga2513 2 жыл бұрын
@@kennyrogers4734 ok mi nilijuA Yuko mwandishi matatu,
@kennyrogers4734
@kennyrogers4734 2 жыл бұрын
@@salumjumaruhaga2513 Hapana mdau labda ametoka Uhollanz lakini alikimbilia Uhollanzi kuokoa maisha yake
@fadhilimoshi5754
@fadhilimoshi5754 2 жыл бұрын
Wanajua kilichomwua mwenda zake.
@kipokendirangu2572
@kipokendirangu2572 2 жыл бұрын
Wewe ngurumu sijui unaongeaje kipi magufuli alikifanya katika ushilikiano na majirani mpaka Uhus Iano ukazolota. Nakipi kinakuliza wewe na magufuli uhusiano na nchi jirani je bila Tanzania mji wa Nairobi umejengwa na rasilimali za tanzania. Hapo nimekukuna uchumi wa tanzania ndiyo umeiweka kenya hapo
@kipokendirangu2572
@kipokendirangu2572 2 жыл бұрын
Kifupi magufuli ni mtume wa mungu.
@markojames7855
@markojames7855 6 ай бұрын
Acha ujinga
@AnsbertNgurumo
@AnsbertNgurumo 6 ай бұрын
@@markojames7855Karibu!
@onesmokamili2968
@onesmokamili2968 2 жыл бұрын
Kiburi hutangulia maangamivu
@gracegrace6200
@gracegrace6200 2 жыл бұрын
Alichukiwa na wachache waliokuwa wakiwalalia wengi. Tanzania ilikuwa na Rais. Mutasema, mutabisha, mutabeza lakini ni Rais aliweza pale wengi walishindwa.
@samsonfulgence5553
@samsonfulgence5553 2 жыл бұрын
Ukweli ni kinyume chake. Alipendwa na wachache sana. Hasa wenye akili kama zako.
@gracegrace6200
@gracegrace6200 2 жыл бұрын
@@samsonfulgence5553 wenye akiri kama zangu ndiyo tuko wengi. Kama munafikiri mutachukuwa serikali munaota. Wajinga kama mimi ndiyo wengi. Wasomi wote wameisha kimbia Canada na Ubeligiji. Na wewe kama uko Tanzania kimbia, ama sivyo tutawasikia mitandaoni kelele nyingi bila ya vitendo.
@pulikisia7963
@pulikisia7963 2 жыл бұрын
Duh!! Unaongea na kuchambua Kwa hisia,mpaka mtu anaweza kutoa machozi.
@twaibumikidadi7377
@twaibumikidadi7377 2 жыл бұрын
17/03/2021 n tarehe ya kutangazwa kifo cıo kufa alkuwa tarehw 14/03/2021. Kwa sababu tupo ktk nchi ya waongo ndıo tulıdanganyana tu hadi ktk fifo watu wanadanganyana ! what kind of this land with wihich it's people are flirting each otherı
@evodiustibaigana3454
@evodiustibaigana3454 2 жыл бұрын
Duh Mungu tunusuru
@SimonMaregge
@SimonMaregge Жыл бұрын
Na ww nae musiba na 2,
@thomasmasalu4825
@thomasmasalu4825 2 жыл бұрын
Mchawi mkubwa wewe hauna jema
@charlesphilipo6443
@charlesphilipo6443 2 жыл бұрын
Kwani una la ajabu ulilowafanyia watanzania,,,,, mpumbavu sana
@Worldunite
@Worldunite 2 жыл бұрын
Kwani wewe alikukwaza nini?
@nimrodsigulu6249
@nimrodsigulu6249 Жыл бұрын
Elewa kilichozungumzwa. Ukileta akili za kuvukia barbara unatoka kapa...
@emilymngongo5173
@emilymngongo5173 2 жыл бұрын
Uongo wa viongozi ni Kama hulka
@kennyrogers4734
@kennyrogers4734 2 жыл бұрын
Alijitekenya mwenyewe akacheka mwenyewe aibu yake aliwadanganya watu
@gracegrace6200
@gracegrace6200 2 жыл бұрын
Wasiokuwa na akili na wezi waliokuwa wakivuna bila ya kulima walimuchukia. Watanzania wapenda haki kwa wote tulimpenda sana, na tutakukumbuka milele.
@samsonfulgence5553
@samsonfulgence5553 2 жыл бұрын
@@gracegrace6200 Wauwaji, watu wasiojulikana, wapenda dhuluma, mafisadi na wachukia haki walimpenda sana lakn wapenda haki walimpinga sana.
@marcokaroje8980
@marcokaroje8980 2 жыл бұрын
@@samsonfulgence5553 umemjibu kinaganaga
@eliassamwel5824
@eliassamwel5824 2 жыл бұрын
Wewe ni mpumbavu unaongea nini
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 2 жыл бұрын
Huyo jamaa NI chizi.Huwezi kupedwa na wote. Acha uchizi tafuta kazi ya maana na umbea
@samsonfulgence5553
@samsonfulgence5553 2 жыл бұрын
Kapike na kupakua huko, hujui lolote wew
@aimussa77mussa18
@aimussa77mussa18 2 жыл бұрын
Okay
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 2 жыл бұрын
Umekwisha ulitoka mbio kwa tabia yako chafu ya kutaka kuivurunga Tanzania inayopenda amani huyo alikuwa kipenzi cha watu waliomchukia walikuwa mafisadi na wala rushwa ulikoma ukakimbilia ughaibuni
@joejosca7594
@joejosca7594 2 жыл бұрын
jamani Mungu anakuona, jamaa alikuwa katiri wa siasa, akajiona yeye ni bora kuliko, viroboto wake sasa wana hawasikiki tena
@sebastianmwantuge5597
@sebastianmwantuge5597 2 жыл бұрын
Kwa hiyo wewe na akili yako unaona hayo yaliyotendeka yalikuwa sawa? Kweli wajinga mko wengi
@mussahuyya7775
@mussahuyya7775 2 жыл бұрын
Huyu ni mmoja WA wanawake kagungu asiyelewa chochote,
@twaibumikidadi7377
@twaibumikidadi7377 2 жыл бұрын
magreth yawezekana ww hujijui kama n binadamu yawezekana kabsaa
@gracegrace6200
@gracegrace6200 2 жыл бұрын
@@joejosca7594 Mutasema, mutabeza, Hayati Magufuli ni Rais aliyefanya vizuri kushinda waliomutangulia
Sigma Kid Mistake #funny #sigma
00:17
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 30 МЛН
“Don’t stop the chances.”
00:44
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 62 МЛН
Каха и дочка
00:28
К-Media
Рет қаралды 3,4 МЛН
TUNAKUBALI RAIS NDIYE "MWENYE SHAMBA," MWENYE NCHI?
18:05
SK Media Online TV
Рет қаралды 8 М.
MONGELA, RAIS MWANAMKE NA KOSA LA WANAUME
23:01
SK Media Online TV
Рет қаралды 20 М.
Sigma Kid Mistake #funny #sigma
00:17
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 30 МЛН