Wazungu wametuletea kuku broiler wa wiki mbili,tukaacha kuku wetu wakienyeji,na bado tunawaona wazungu ni Bora kuliko sisi,hata hili nalo pia linahitaji akili kweli!?😂😂😂
@BarnabasFabiani4 сағат бұрын
❤
@BarnabasFabiani3 сағат бұрын
❤❤
@yesseikungu782810 сағат бұрын
Sasa hivi tunapambana kuvua akili kuuvaa ujinga.
@SimonShoo-m4b8 сағат бұрын
Na ata ukiangalia ninkweli badala ya kupambana na ujinga naona wanaongeza ujinga, tuangalie kama swala la mbolea mimi nilifikiria elimu ingeboresha zaidi mbolea ya asili iwe bosa kiasili lakini ujinga ni kwamba tunatumia chemicals zinazoharibu na kuondoa rutuba ya udongo.
@danctheyoungСағат бұрын
Kabisa kabisa
@LucRedeemer-m4kСағат бұрын
Nivigumu Sana watu wa mbwana Yesu 😁 kuelewa hayo mambo,.wazee tufany je?
@AkaroNdungu14 сағат бұрын
Amina
@ianjamondo16 сағат бұрын
I have listened to all the videos since you started posting ....from kenya 🇰🇪......umebadilisha akili yangu kabisa. Najivunia kuirudisha akili yangu