TANZANIA TUNA MSISIMKO MKUBWA WA MPIRA KULIKO KENYA NA UGANDA| RIADHA NDIO SHUGHULI YAO KUBWA

  Рет қаралды 11,137

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

Пікірлер: 67
@Smart-alecky
@Smart-alecky Жыл бұрын
Wakenya sisi tulishakubali kwamba mpira wa TZ sasa hivi uko juu EA.
@MissAbdallah-xf3yu
@MissAbdallah-xf3yu 10 ай бұрын
Respect yourself as well, na ww nani kakuambia ukoment hapa kwangu Wacha kiherehere kama unaharisha apa
@chemaohillary1343
@chemaohillary1343 Жыл бұрын
Look at the original idea of Co hosting the tournament period. Hq of EAC will host no problem.
@mitanakadorho2356
@mitanakadorho2356 2 ай бұрын
Ndugu zangu nafuatilia kipindi hiki nikiwa hapa Douala Cameroon, hakika Tanzania kwetu mpira umepanda saana tena saana
@saidimpako5186
@saidimpako5186 Жыл бұрын
Sisi tunapenda sana anasa
@emmanuelcalist954
@emmanuelcalist954 Жыл бұрын
Kenya mnamakasiriko sana apa ni mpira sio uchumi ..kama mnaona tunajipiga kifua tunavimba leteni timu tucheze nayo simba na yanga zipo..mambo ya uchumi nendeni kapambaneni na south africa uko ..sisi mpira ndo raha yetu
@elgringogringo5238
@elgringogringo5238 Жыл бұрын
Yanga na Simba siyo tena team za TZ pekee....zirisha vuka moakwa zikawa teams za EAC...twazishangilia sote kwenye EAC
@Niika870
@Niika870 2 ай бұрын
Thaman ya pesa sio tatizo,, unaweza kuwa naa pesa strong na matummiiz yakawa yaleyale ukitummia haakuna Tofaut
@nakalikyumile3234
@nakalikyumile3234 4 ай бұрын
Mbeya tunasahaulika sana!kuna vipaji vingi vya soka ila kakiwanja kako kama karai
@omarysaid8725
@omarysaid8725 Жыл бұрын
Bila kisahau Zanzibar
@francisakatsa3178
@francisakatsa3178 3 ай бұрын
Opening and closing match in Kenya mtajinyonga
@EmmanuelMathayo-nm4kw
@EmmanuelMathayo-nm4kw 2 ай бұрын
Opening and closing is not problem,arambe itachikua kikombe cha African
@danielodinga7317
@danielodinga7317 Жыл бұрын
Ume sema ndipo edoo
@hillarymaturi4859
@hillarymaturi4859 Жыл бұрын
Ndio mpira wetu nchini Kenya haufanyi vyema lakini sasa madharau imezidi sasa naona, badala tufurahie uchumi,kibiashara,na pia kumarket our players kutoka muungano wetu wa EAC lakini maajabu ni kujipiga kifua hapa
@GloryMasuba-ig7ht
@GloryMasuba-ig7ht Жыл бұрын
Nyie mbona mnatutambiaga na lugha ya wakoloni?
@fxfelle
@fxfelle 9 ай бұрын
😂😂
@hassanbakari4525
@hassanbakari4525 Жыл бұрын
NA ADELA NA B LEVO BAA,,WATABAKI KUWA NYOTA WA MCHEZO SIKU ZOTE.
@BarakaMsukuma-g1q
@BarakaMsukuma-g1q Ай бұрын
WAKO VIZURI KWENYE ENGLISH WENZETU
@JosephJumbe-w6h
@JosephJumbe-w6h Жыл бұрын
Tanzania inamsisimko wa mpira wa miguu wakati wenzetu wa Kenya wanamsisimko wa uchumi. Hii fursa kwao ni pesa zaidi kuliko mpira. Sisi tuendelee kujitapa kimpira ila maumivu ya uchumi tutaosoma namba.
@hijazhija316
@hijazhija316 Жыл бұрын
Pumzika
@lucasmartin431
@lucasmartin431 Жыл бұрын
Bado hujasema.....Ulaya wana msisimko wa Mpira hawana Msisimko wa Uchumi, Unataka kusema Uchumi wa Kenya Ni mkubwa kwa Kiasi hicho ......Pita kule 🚮
@sashawambura
@sashawambura Жыл бұрын
Afanye tafiti..ni kiasi gani Uingereza na Ulaya Football inachangia asilimia ngapi katika Uchumi wa Nchi..someni muongeze ufahamu..
@miltonjohn9779
@miltonjohn9779 8 ай бұрын
Akili ndogo
@saitotigeorge654
@saitotigeorge654 Жыл бұрын
Mm nimeishi kenya na ninajua umasikini wao kwaio wasije humu na kuvimba. Mnabadili mada sisi twazungumza mpira nyie mnaleta mada zingine eti uchumi elimu alafu tukihamia kwenye uchumi mnakimbia . Tutafunga mpaka mmoja tu wa namanga mlale njaa alafu mjue nani ndio bosi
@felixkiplagat2330
@felixkiplagat2330 Жыл бұрын
East africa needs to thank president ruto because he is the one who initiated the process
@Kengele
@Kengele Жыл бұрын
On the matters concerning soccer I agree Tz internal leagues are better than Kenya ang ug, then for the national teams Uganda is better followed by Kenya Tz is way bellow, addition to that is when it comes to internet you guyz U must understand that Kenya is number one in Africa Tz and Ug are way bellow, natumai mtaelewa ninacho kisema, but its good for our teams #+254 #kengele
@sempaysensey6486
@sempaysensey6486 Жыл бұрын
Chuga stadium
@POKOTMALIK
@POKOTMALIK Жыл бұрын
Mimi ni mkenya na unaongea ukweli
@JosephJumbe-w6h
@JosephJumbe-w6h Жыл бұрын
Tuendelee kushangilia mpira wkt wenzetu Kenya wanawaza kukuza uchumi wao.
@selemanmaganga-le4zg
@selemanmaganga-le4zg Жыл бұрын
Wanauchumi gani masikini wakutupwa , maisha magumu Sana huko watu wanashindia uji tu.
@wimranpatrick
@wimranpatrick Жыл бұрын
ndio maana naipenda Tz kuliko ht my country 250 nimaacha european football kbsa natamani siku mija nimuo e edo na kaliua boyys
@MissAbdallah-xf3yu
@MissAbdallah-xf3yu Жыл бұрын
Wapumbavu msisimko Gani mko nao kuliko wenzenu? Mbona hamui washindi basi uko Afcon?
@AyubuJumanne-nv3yq
@AyubuJumanne-nv3yq 10 ай бұрын
Nyamaza Wewe mtu asiye kuwa na adabu umeulizwa acha kiherehere
@sheehamadnganzi8317
@sheehamadnganzi8317 Жыл бұрын
Kenya class 3 can be a journalist in Tanzania 😂😂😂😂someni please 😂😂😂
@AyubuJumanne-nv3yq
@AyubuJumanne-nv3yq 10 ай бұрын
Kenya mnanini masikini wakubwa nyie😂😂😂
@sheehamadnganzi8317
@sheehamadnganzi8317 10 ай бұрын
@@AyubuJumanne-nv3yq one shilling of kenya in Tanzania dollar
@rogerabdallah439
@rogerabdallah439 Жыл бұрын
Sisi wakenya tuko vizuri na uchumi nyinyi kwanza rais wenu mwanamuke
@shedadiabdul654
@shedadiabdul654 Ай бұрын
Ndo Maana Mnabaguana sasa Mwanamke sio Binadamu?Huyu Mruo.huyu Mmeru 😅😅😅 kazi Mnayo
@rogerabdallah439
@rogerabdallah439 Ай бұрын
@@shedadiabdul654 enda uko uyo malaya
@francisakatsa3178
@francisakatsa3178 3 ай бұрын
Ati Tanzania mko juu social media 😂😂😂😂😂😂 do you know what you are talking about
@sheehamadnganzi8317
@sheehamadnganzi8317 Жыл бұрын
Tanzania kufikia kiwango Cha Kenya labda miaka 100 ijayo,kiilimu kimatibabu, infrastructure, technology barabara, airport each and everything,
@ototek8037
@ototek8037 Жыл бұрын
Hivi Kenya unaijuwa au umeiona KZbin? Wametuzidi flyover ya expres way na thamani ya shilingi. Sisi tumewazidi kila kitu. Hiyo thamani yenyewe haina maana kwasababu kazi moja malipo tofauti matumizi sawa tena tumewazidi manunuzi. Kenya zamani sio sasa! Kama huujui umasikini nenda Kenya kauone, huo utajiri unaousikiaga 'kwenye watu 10 toa wawili.
@sheehamadnganzi8317
@sheehamadnganzi8317 Жыл бұрын
@@ototek8037 go back to school please, Tanzania ata miaka mia Bado hawatafikia standard ya Kenya,those are an academic dwaf
@ototek8037
@ototek8037 Жыл бұрын
@@sheehamadnganzi8317 pole! we ndo uende shule..Kenya hata myaka 100000 haiwezi ifikia Tanzania. Tanzania ni tajiri mda wowote itaishangaza dunia, ni swala la mda na uongozi tu. Madini yote unayoyajuwa duniani yapo Tanzania na mengine kote hakuna yapo Tanzania. Ges mafuta na urenium vimezubaa chini ya aridhi. Tanzania ifananishwe na Congo sio Kenya, kenya ni shamba sio nchi. Tz na Congo ni matajiri, miundombinu ni swala la ujenzi ambalo halichukui mda acha ushamba.
@mohamedihamisi292
@mohamedihamisi292 Жыл бұрын
@@sheehamadnganzi8317 😂😂😂😂 wewe tunajua Kama wakenya muna njaa ya kutisha na umasikini wa kutupwa unafikili hatuangalii News za Citizen, KBC na k24
@saitotigeorge654
@saitotigeorge654 Жыл бұрын
Hii ndio shida , watu tunazungumza mpira wao wanaleta porojo za uchumi sijui elimu alafu ukihamia kwenye hizo mada wao wanakimbia . Tutafunga mipaka ya tz mlale njaa mjue nani bosi 😂😂😂 ndorobo nyie
@sheehamadnganzi8317
@sheehamadnganzi8317 Жыл бұрын
University wa Tanzania nisawa na class 4 wa Kenya kiilimu😂😂😂
@mohamedihamisi292
@mohamedihamisi292 Жыл бұрын
😂😂😂😂pambaneni kwanza kupunguza umasikini na njaa halafu musisahau kuwakumbusha chokoraa za kibera na Mathare wajenge nyumba Bora za kuishi waache kuishi kwenye mazizi ya Nguruwe
@sheehamadnganzi8317
@sheehamadnganzi8317 Жыл бұрын
@@mohamedihamisi292 kwani huku Tanzania kwetu hatuna mitaa ya mabanda? Tusemeni ukweli tuache ushabiki wenzetu Kenya wako mbele kimaendeleo,ushafika nairobi wewe,nenda siku Moja ukakionee ulaya huko,sisi tuko nyuma ya kenya
@mohamedihamisi292
@mohamedihamisi292 Жыл бұрын
@@sheehamadnganzi8317 bahati mzuri au mbayaa naangalia Sanaa Citizen, KBC, k24, NTV Tena Hadi taarifa za Habari kiufupi halisi ya maisha ya wakenya Ni masikini mnoo sijaona chochote Cha kusema wakenya wajipige kifua mbele Wakati uhalisia wa maisha na kipato Cha mtu mmoja mmoja Ni duni haya Mimi nipo Dar es salaam Sasa hvi nitajie maeneo ya Dar es salaam yenye vibanda vya udongo na mazizi ya Nguruwe wanayoishi watu Kama huko Mathare, kawangware, kibera, na mukulu kwa njenga hukoo😂😂😂😂
@mohamedihamisi292
@mohamedihamisi292 Жыл бұрын
@@sheehamadnganzi8317 😂😂😂 halafu siku nyingine kuwa na Adabu ulaya hakuna mazizi ya Nguruwe na vibanda vya udongo Kama Nairobi ulaya Ni dunia nyingine
@sheehamadnganzi8317
@sheehamadnganzi8317 Жыл бұрын
@@mohamedihamisi292 my friend go back to school and travel for tourists visa and see your self don't be an academic dwaf wewe katembee Kenya wacha ushabiki husiokua na maana,sisi Tanzania mtu alifika chuo kikuu anashindwa na class 3 wa Kenya,tukubali tuko nyuma
@kamaustephen7726
@kamaustephen7726 2 ай бұрын
Mabingwa wa mdomo
@RoseKipimo-e4g
@RoseKipimo-e4g Жыл бұрын
uyo Rais hana lolote umeme hatuna anawauwa wamwsai kuwathamini waharabu anauza nchi yetu anachukua mpira kuwa chaka lakujifichia #KATIBA MPYA NI SASA
@hijazhija316
@hijazhija316 Жыл бұрын
Poor brain
@Thekidp3702
@Thekidp3702 Жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@sheehamadnganzi8317
@sheehamadnganzi8317 Жыл бұрын
This people should go back to school
@sheehamadnganzi8317
@sheehamadnganzi8317 Жыл бұрын
Surely Kenya is very far to Tanzania,one million Kenya shillings is a lot of money in Tanzania 😂😂😂
@AyubuJumanne-nv3yq
@AyubuJumanne-nv3yq 10 ай бұрын
Wewe ni mpumbavu nn
MIAKA 60 UHURU WA KENYA NA MAGEUZI YA KISIASA NA KIUCHUMI
30:50
Wasafi Media
Рет қаралды 3,6 М.
"كان عليّ أكل بقايا الطعام قبل هذا اليوم 🥹"
00:40
Holly Wolly Bow Arabic
Рет қаралды 13 МЛН
😜 #aminkavitaminka #aminokka #аминкавитаминка
00:14
Аминка Витаминка
Рет қаралды 1,8 МЛН
Kasongo on Tanzania football
12:52
FARPost Soccer news
Рет қаралды 755
"كان عليّ أكل بقايا الطعام قبل هذا اليوم 🥹"
00:40
Holly Wolly Bow Arabic
Рет қаралды 13 МЛН