Dunia aina huruma 😢😢. Nenda Grace mwendo umeumaliza ☮️ . Moja Kati ya legends kwenye movie industry. Nenda salama 🙏🙏❤️💯
@GreysonMdee-x3n2 күн бұрын
Mwendo ndo umeanza we jifariji tu
@rosemahenge90712 күн бұрын
Mama yetu alikuwa ndiyo nguzo ya HUBA daah 😢BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA JINA LAKE LIHIMIDIWE🙏
@hopechideraКүн бұрын
😢🙏🏾
@2116-n2 күн бұрын
Nimeiskiliza hii habari hapa #sns na nikasikiliza na media zingne, LAKINI anavyoisimulia hii habari Sky ni kwa utulivu Sana, ni tune ya KIMASIKITIKO KWELIKWELI habari inakushika na inaendana na moody ya tukio, AHSANTE SANA SKY, wewe kweli ni MKONGWE, Kuna online nyingne kubwa kabisa nimeiskiliza, yaan mtangazaji anatangaza kwa vibe Kama vile siyo taarifa ya msiba, SAUTI yake kaipandisha, hajaiweka kwenye tune ya masikitiko, kiufupi taarifa inakuwa inakupigia kelele, R I.P GRRACE MAPUNDA, tutaonana baadae
@onanarosse96572 күн бұрын
Pumzika Kwa Amani Mama, pole Sana familia.
@rosebernard17612 күн бұрын
Mungu ilaze pema peponi roho ya mama yetu Grace🙏🏼
@mesaidikazungu42992 күн бұрын
Innalilahi Waina ilayhi rajiun 😢😢
@MwanamisiHamisi-ze3pz2 күн бұрын
Inalillah wainalillah rajiun Mungu ailaze roho yeke mahali pema peponi inshallah 😭😭😭😭😭😭😭😭
@gladnessfinda75342 күн бұрын
Ooooohh pumzika kwa amani mm yetu. Mungu ailaze roho yake mahala pema peponi.
@nuruddin50742 күн бұрын
INNA LILAH WAINNA ILAYH RAJIUN MUNGU AMPUUNZISHE KWA AMAN INSHALLAH
@nahimanajo89932 күн бұрын
Hakika sote ni wa mwenyezi Mungu na kwake tutarejea 😭 Mungu ampe safari nyepesi 😭 😭
Duu uyu grace mapunda jaman alifanana Sana na marehemu mama angu Yani....duu nanikimuonaga uyu mama nilikuwa namuona kama mama yangu mzazi...duu inalilah wainahilah rajiun
@lombardocrich61772 күн бұрын
Alhamdulilah inalilah wa inailah rajiun
@SalmaAthuman-hp3en2 күн бұрын
Inalillah wainalillah rajium poleni sana family kwa msiba huu mzito kwenu aiseee 😢
@FadhilahTwaha2 күн бұрын
Innalillah wainnailah rajiun
@biashaomar23302 күн бұрын
Innalillah wainailahi raiiun
@سعدههوام2 күн бұрын
Innalillah wainaillayh rajiuun sisi wote niwamwenyezimungu nakwake ndio marejeo yetu 😢😢
@moseskulola69132 күн бұрын
Mungu tupe mwisho muzuri
@RayChausa2 күн бұрын
Ameen
@IsmailJuma-zb5ni2 күн бұрын
Hakika yatosha mauti kua ni mawaidha Kama binadamu tuacheni kuishi kimazoea mwisho wa Siku tunaanza kudanganyana r.i.p,huko tuendako r.i.p hazisaidii chochote kikubwa tumcheni Allah na tuishi anavotaka yeye hapo ndio penye mafanikio ya Kweli kinyume na hivo andika umeumia na muda sahihi ni huu ambao pumzi zinaenda na kurudi.
@FatumaMohamedi-t6t2 күн бұрын
Asante kwa ukumbusho ila humfaa mwenye kuamin Mungu atuongoze.
@abdallahathuman94932 күн бұрын
Duh mungu akusameh makosa yako yote hapa dunian mama yetu
@mauwangongo3762 күн бұрын
Hee Mungu wangu Tesa wetu😭😭😭😭😭😭😭
@aaa64sa132 күн бұрын
Inalillahi waina ilayhi rajioun
@zawadichalale40472 күн бұрын
Waaaa! Si iwe ndoto!
@JanetAhmad-v3h2 күн бұрын
watu wanaisha jamani😢😢😢alikua amekonda sana 😢😢😢😢
@rahmahassan75102 күн бұрын
Innalillah wainna ilayh rajiuuni
@wangagirl35082 күн бұрын
Hili limenipiga 😢😢😢😢sanaaa 😢😢😢😢😢😢😢why why Tesaaaa
@MinahSaid-f4z2 күн бұрын
Innalilahi wainailayhi rajiuun.
@paulinewangila-cs6ys2 күн бұрын
Jamani hata mwezi haujaisha kifo cha Dida na yule mzee wa nitakusema na mama Asley,Grace pia Mungu ailaze roho yake pema peponi❤
@realhiphopmentalityforreal2 күн бұрын
Huyo mzee anaitwa mzee pembe watoto wa 2000 mna matatzo nyie unamwitaje yule mzee kama yeye hakua staa wkt yy alikua staa kulko hata huyo Aslay
@paulinewangila-cs6ys2 күн бұрын
@@realhiphopmentalityforreal kuteleza kwa ndimi
@justinmbangukira70342 күн бұрын
R.I.P. Grace Mapunda.
@leokamil62842 күн бұрын
R.I.P poleni sana wafiwa
@maimunasalim2 күн бұрын
Innalillahi wanna lillahi rajiun 😢😢
@mackysuphian2 күн бұрын
💔💔
@Rumaissa122 күн бұрын
Innalillah wainalillah rajuun 😭😭😭
@maryamm77652 күн бұрын
Inalilah wainailah rajiun
@mariamnur10362 күн бұрын
R.I.p😭😭😭
@rosemahenge90712 күн бұрын
Nyie jamani😢😢daaah! Juzi nilicomment kwenye tamthilia ya Huba siku ya msiba wa mtoto wa Kibibi,kuwa hii misiba yenu mnayoiigiza badae inageuka kuwa ukweli,mliigiza mke wa Bobby kafariki matokeo yake Bobby akaja kufariki😢imejirudia tena.
@emmadora78482 күн бұрын
Na hao wanaokufa bila kuigiza je? Kifo kipo na Kila binadamu atapitia uwe mwigizaji au sio kifo Kiko tu acheni fikra mbovu
@rosemahenge9071Күн бұрын
@@emmadora7848 Kila mtu na maoni yake au vipi ndugu yangu
@CharifaRachidi2 күн бұрын
Inna illah wa illah rajeun
@allymtunge55302 күн бұрын
Kweli kuishi akuna uwakika
@JeannetteManirambona-o6m2 күн бұрын
Dunia mapito 😢😢😢
@rukiyyarukiyya63172 күн бұрын
😭😭😭😭😭
@jasirimjasirimedia79402 күн бұрын
R.i.p grace mapunda
@ReginaMussa2 күн бұрын
Shikamoooo wewe kifo 😭😭😭😭😭😭
@agwalubifaridah70792 күн бұрын
Whaaaaaaaat!!! 😭😭😭😭😭😭😭😭
@hanifa91532 күн бұрын
💔😭😭😭
@Ali-gk5mv2 күн бұрын
lnnailhy wainna ilehy Rajiun
@tomsijohni2 күн бұрын
Tanzania waigizaji wa film na wasanii wa music wana faliki mapema sana sijui kwa nini 😢
@djfunk2552 күн бұрын
Sema ndio unaowajua ila hata huku mitaani kwetu wanakufaga wadogo kuliko hao,ila atakalo god hakuna wa kulipangua , muungu amlaze mahala pema panapostahili na yeye amin
@Awaasha-cn6bx2 күн бұрын
Mbele yako nyuma. Yetu pumzika wa amani mkongwe wa filamu Tanzania
@QuinceySmith-mk8kw2 күн бұрын
Jamani duuu siamini kabisa Tesa atuwacha kabisa pumuzika salama nani atafunika pengo lake kwenye movie ya Huba
@bagumandongwe85662 күн бұрын
Matibabu nayenyewe yaaangaliwe katiaka hospitali zetu maana kumekua na vifo vingi hivi karibuni, haswa walazwao hospitalini wengi wao hawarudi sisemi kama kufa hakupo ila inatakiwa wauguzi wachunguzwe pia ,ujuzi na maarifa ya wafanyakazi wa afya zetu wenda haujakaa sawa…, ni maoni tu..
@neykweyamba24292 күн бұрын
Mama Alinilizaga uyu kwenye Movie ya yeye na Kanumba ya fake smile
@GreysonMdee-x3n2 күн бұрын
wengi hapa wanakomenti wakionyesha kuumia ila asilimia kubwa wanaumia kwasababu alikuwa muingizaji mzuri na pia watamkosa kwenye HUBA lakini hawamuonei huruma huko anakokwenda mbele ya MOLA wake hali itakuwaje?
@RitbayRitbay2 күн бұрын
Kweli maneno yko
@mauwangongo3762 күн бұрын
Pumzika kwa amani😭😭😭😭😭🤔🤔🤔🤔🤔🤷🤷🤷🤷💔💔💔💔💔
@agwalubifaridah70792 күн бұрын
Rip mummy 😭😭
@sulleymernmannarah79302 күн бұрын
Pumzika kw Amani 😭😭
@chakupewafazili40742 күн бұрын
Rest in peace mama
@BazengaDaddy-rq3yd2 күн бұрын
Rip
@RomanMwinyi2 күн бұрын
Mbele yak nyuma yetu dada etu mpendwa pumzika kwa amanii
@silviasaleh46672 күн бұрын
Shem😢
@safiansuru78082 күн бұрын
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭💔💔💔💔💔💔💔
@MashaMbwana2 күн бұрын
𝕀𝕟𝕟𝕒𝕝𝕚𝕝𝕝𝕒𝕙 𝕨𝕒𝕚𝕟𝕟𝕒𝕚𝕝𝕒𝕙𝕓𝕣𝕒𝕒𝕛𝕚𝕠𝕦𝕟😢
@jamesmtana45622 күн бұрын
Kiukweli ata siamini....Mungu huyu
@magrethyeremia22792 күн бұрын
Jmn jmn nimeumia Saab jmn apumzike kwa amani
@NapeDkilia2 күн бұрын
Msalimid DIDA huko
@janeflorencesajjabi15452 күн бұрын
🥲🥲🥲RIP Grace
@halimahalima14882 күн бұрын
Innalilah wanna ilah lajighuni 😅
@pqolak74432 күн бұрын
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@JsMitimingi2 күн бұрын
Lala salama dadaangu😢
@Yness-vh4yy2 күн бұрын
Mbona watu wanakufa sana?
@Farajahelene230312 күн бұрын
My God this is bad new she died how
@pendokabanga85802 күн бұрын
Pumzika kwa amani mama yetu Tessa!😂
@janembalinga70742 күн бұрын
What mbona ghafla
@anithamsaki20402 күн бұрын
Bwana ametoa bwana ametwaa jina la bwana lihimidiweee