Tarehe _ 1 Episode 1 |Mkojani ,Samofi,Chandim|

  Рет қаралды 85,800

MKOJANI GANG

MKOJANI GANG

Күн бұрын

Пікірлер: 222
@hildasanga7234
@hildasanga7234 4 ай бұрын
Mkojan bin daluwesh we master wa ma Master chukua mauwa Yako 🎉🎉🎉🎉😂😂😂😂❤❤❤❤
@kingdartonlinetv2209
@kingdartonlinetv2209 2 күн бұрын
Mkojani gang we noma hakuna mwingine zaidi yakoooo😚🤠🤠🤠🤠🤠🤠🤠🤠
@InnocentArmadillo-do9vm
@InnocentArmadillo-do9vm 4 ай бұрын
Team mkojani gang. Mnafanyakazi nzuri sana. Chandimu. Samofi. Tarehe. Moja 💯💯💯🔥🔥👍👍👌👌
@PrinceAmos-y8t
@PrinceAmos-y8t 4 ай бұрын
Movie nzuri sana mkojani nakubali sana ❤❤❤😂😂🎉🎉🎉😢😢😢😮😮😅😅😅😅😅😮😮😢😢😢🎉
@emmanuelnzai-p7s
@emmanuelnzai-p7s 4 ай бұрын
Wa kwanzaaa leo kutoka Mombasa kisauni naombn like zngu
@AbdulSadick-d4s
@AbdulSadick-d4s 4 ай бұрын
Zinakusaidia nn
@AbdillahBakar-qx9sr
@AbdillahBakar-qx9sr 4 ай бұрын
Ukafanyie nini yani
@AsumaniSikitu
@AsumaniSikitu 4 ай бұрын
Chiz uyooo😅😅😅
@yunusshehe2916
@yunusshehe2916 4 ай бұрын
mkojani mkali sana yunus kutoka zanzibar
@BabadiBwanausi
@BabadiBwanausi 4 ай бұрын
Nashangaa
@planbmauwezo4853
@planbmauwezo4853 4 ай бұрын
Good San mgosingwa unajua
@AbuuCholo-q5i
@AbuuCholo-q5i 4 ай бұрын
Nakubal sana mkojan gang samof umerud Tena nawakubal wote
@MarthaPatrick-pr1oc
@MarthaPatrick-pr1oc 4 ай бұрын
Mi nakupenda sana mkojani kazi zako ni bomba
@jumalove2631
@jumalove2631 4 ай бұрын
sema uyu kibonge Anajua sana kuigiza
@jamesmdoe6145
@jamesmdoe6145 4 ай бұрын
Chuma kipya kutoka mkojani gang gonga like apa kwa mkojan gang❤🎉
@AsumaniSikitu
@AsumaniSikitu 4 ай бұрын
Alafu ww chiz iti😂😂😂
@milithonabedy7568
@milithonabedy7568 4 ай бұрын
Baba umetisha ndugu yangu nilikumiss sana
@raphaelnambombi3709
@raphaelnambombi3709 4 ай бұрын
Nakupongeza Sana mkojani kwa kazi nzuri ,unafanya vizuri Sana maana tamthiliya zako hazina episode nyingi kupita kiasi,Kuna baadhi ya wasanii wachanga wanalazimisha kuandaa tamthiliya ndefu Sana zenye episode nyingi Sana lakini matokeo take Tamthiliya inapofika katikati hadithi inakuwa haieleweki kwa sababu,Kwanza inakuwa na washiriki wengi,pili hadithi inachelewa kutoka na siku ikitoka unajikuta umesahau toleo lililopita lilikuwaje
@rehemakatundu7027
@rehemakatundu7027 4 ай бұрын
Kweli kabisa
@wilbardlameck8025
@wilbardlameck8025 4 ай бұрын
Mkojani ni legend yupo kwenye game kitambo na kazi zake zimenyooka sanaaaa
@ayubruitere6802
@ayubruitere6802 4 ай бұрын
Tuliisubiri sana kazi safi
@AllyMkola-u7e
@AllyMkola-u7e 4 ай бұрын
Mkojani na chandimu mjengoni yani ni🔥🔥 na kazi mnayo.
@rabiimakakala4281
@rabiimakakala4281 4 ай бұрын
wanangu wa zomba (somanga) kilwa Lindi gonga like Kam mupo kweny tareh 1
@AbdulSadick-d4s
@AbdulSadick-d4s 4 ай бұрын
Kwahyo wewe upo kweny tareh 1?😅😅😅
@JumaSarai
@JumaSarai 4 ай бұрын
Mm Juma sarai kutoka Likoni Mombasa nakubali sn kazizenu kwa kweli mnajua sn.
@munirachangawa2928
@munirachangawa2928 4 ай бұрын
Achia mzigo twende nalo na mkojani gang
@mohammedmohamed969
@mohammedmohamed969 4 ай бұрын
Mbona naona kama n kizaazaaa chengine kinakuja baina ya mkojani na mwanawe Let's wait n seee😅😅😅😅😅😅
@Petitmahuzo
@Petitmahuzo 4 ай бұрын
Wakwanza from USA 🇺🇸
@mechne803
@mechne803 4 ай бұрын
Hongereni kazi nzuri 🎉 lakini samofi umeongea na dada yako kwa busara na upole mwingi saanaa❤❤❤ nimependaa
@vincentauxerbius7554
@vincentauxerbius7554 4 ай бұрын
Nawakubali sana kutoka songea town😅😅🏃‍♂️🏃‍♂️
@omarrajabmohammed2471
@omarrajabmohammed2471 4 ай бұрын
Tarehe Saba Saba
@Hajrasalum-k7n
@Hajrasalum-k7n 4 ай бұрын
Hongera mkojani move nzuri sana
@TheKingtz-h3g
@TheKingtz-h3g 4 ай бұрын
Hajawai kosea mkojani🙌
@bakarimakamba6714
@bakarimakamba6714 4 ай бұрын
Ubaya ubwela wa1
@Fahema1013Alsenaid
@Fahema1013Alsenaid 4 ай бұрын
Mkojani bhana et wakike huyo mchumba😂😂
@AsumaniSikitu
@AsumaniSikitu 4 ай бұрын
Nakubali ❤❤❤😂😂😂😢😢😮😅😊😊😊🎉🎉🎉🎉
@swalehali681
@swalehali681 4 ай бұрын
Safi mkojani toka kisauni mombasa🎉
@Makametz
@Makametz 4 ай бұрын
Km mashabik tunaomb mumpe epison nying zaid hat moj mumpe main character
@killerwizzyofficial2157
@killerwizzyofficial2157 3 ай бұрын
Ila mkojani aaaahhh ww salute
@halimaali2999
@halimaali2999 4 ай бұрын
Mambo mzuri au vp mana ndioo natizama😊😊
@ramsourathmour5596
@ramsourathmour5596 4 ай бұрын
Naombeni like namimi
@SixtusSperatus
@SixtusSperatus 4 ай бұрын
Mkojani kampenda mama na chandimu kampenda mtoto ake patamu apo😅😅😅
@lellymwavadu9385
@lellymwavadu9385 4 ай бұрын
Mkojani long time kweli big up
@HatibuRajabu-p5q
@HatibuRajabu-p5q 4 ай бұрын
Nimependa chandimu namkojan ii combinu Yao ya bab na mwana
@sulesh112_
@sulesh112_ 4 ай бұрын
❤😂Mkojani gang for life❤🎉 wakwanza leo
@omarrajabmohammed2471
@omarrajabmohammed2471 4 ай бұрын
Mkojani bin daruwesh Tharabuusshhhhh
@AthumaniJuma-i9u
@AthumaniJuma-i9u 4 ай бұрын
Mkojani ukiwa na samofi duuuh nakubali sana asee 🖐️🖐️
@user-Swad-Gakurya-b4gf2n
@user-Swad-Gakurya-b4gf2n 4 ай бұрын
Good job mkojani gang,from Mombasa kenya
@YusufSalim-y2e
@YusufSalim-y2e 4 ай бұрын
Kazi nzuri salutiiii
@mtendebeachzanzibar
@mtendebeachzanzibar 4 ай бұрын
Wa kwanza kutoka Zanzibar naomba like zangu
@omariamiri5556
@omariamiri5556 4 ай бұрын
mkojani kichwa hamna kwani hukuelewa alichomaanisha chandimu... 🎉🎉🎉🎉
@RachelNgalya
@RachelNgalya 4 ай бұрын
Eeeeh Dada ake chiko yuko uku jmn😂😂😂
@FatmaFatma-k4i
@FatmaFatma-k4i 4 ай бұрын
Kazi.nzuri..
@AbdurahamaniAlyshabani
@AbdurahamaniAlyshabani 4 ай бұрын
Mmbo
@YUSSUFVUAIMKANGA-kr8on
@YUSSUFVUAIMKANGA-kr8on 4 ай бұрын
Hatimae CHANDIMU Bin DARWESH tunae tena kazini. Baba na mwanae kali sana🤫🤫🤫🤗🇹🇿🙏
@wilbardlameck8025
@wilbardlameck8025 4 ай бұрын
Samofi umeua sanaaa baba 🎉
@MselaaTv
@MselaaTv 4 ай бұрын
noma sana mmeoa
@maherzain615
@maherzain615 4 ай бұрын
Baba na mtoto fanyeni harusi pamoja😂😂🎉
@ChuseTheboy
@ChuseTheboy 4 ай бұрын
Mkojani gang 4life
@majystar-en9il
@majystar-en9il 4 ай бұрын
Mkojani gang like zangu please ❤❤
@petromihayo8632
@petromihayo8632 4 ай бұрын
Kazi nzuri
@ramsourathmour5596
@ramsourathmour5596 4 ай бұрын
Wakwanza leo
@mohamednzaro3510
@mohamednzaro3510 4 ай бұрын
Mwana karudi nyumbani. Mtoto akinyelea paja halikatwi. Wapi likes za Chandim. Tumekumiss sana kakaaa
@mudikipara-yy1mp
@mudikipara-yy1mp 4 ай бұрын
Kabwili😂😂😂😂😂😂😂
@silvergold5855
@silvergold5855 4 ай бұрын
😂😂😂 mkojani atar
@mjuni_hardware
@mjuni_hardware 4 ай бұрын
😂😂😂😂 Unakula unashiba ,,, mafuta 😂
@EleveneAmerco-vw8en
@EleveneAmerco-vw8en 4 ай бұрын
Mkojani we here to watch from Moçambique 🇲🇿
@DastanDastan-s3l
@DastanDastan-s3l 4 ай бұрын
Nilikua naisubili kwaham ❤❤❤❤
@Athuman-z5q
@Athuman-z5q 4 ай бұрын
❤❤❤❤ nlikuwa nasubir Kwa ham
@elijahclassicboy8228
@elijahclassicboy8228 4 ай бұрын
❤❤from Kenya wpi likes jamani ❤🎉team mkojani gang
@YUSSUFVUAIMKANGA-kr8on
@YUSSUFVUAIMKANGA-kr8on 4 ай бұрын
Safi sana Mkojani haupowi😅
@rasakakaombwe
@rasakakaombwe 4 ай бұрын
Unakanzi nzur sana😂😂😂😂
@marianakamb-fg7sk
@marianakamb-fg7sk 4 ай бұрын
Mkojan na chandim mnanikosha wallae🎉🎉😂😂❤
@IsmailyMaulidi
@IsmailyMaulidi 4 ай бұрын
Good working
@JelemiaJulius
@JelemiaJulius 4 ай бұрын
Kabisa anko jan
@alimakame5127
@alimakame5127 4 ай бұрын
Jaman m naomba hii nyimbo iwe official
@futurekibingu69
@futurekibingu69 4 ай бұрын
Nice 🔥🔥🔥
@fatumaselemani3807
@fatumaselemani3807 4 ай бұрын
Mashallah ❤❤❤❤❤❤❤
@Makametz
@Makametz 4 ай бұрын
Huy msanii shamila anatuvutia kuzid kuangalia hii move
@AbdurahamaniAlyshabani
@AbdurahamaniAlyshabani 4 ай бұрын
Safi sana
@MbalasaJRMwakabalile
@MbalasaJRMwakabalile 4 ай бұрын
Mkoojaaaniiii
@SadikiJuma-s6g
@SadikiJuma-s6g 4 ай бұрын
Mapoli tupu hapo huwo umeme utoke wapi😂😂😂
@muniraahmedawadh2619
@muniraahmedawadh2619 4 ай бұрын
Pamoja sana
@rajaboquimuenhequimuenhe1683
@rajaboquimuenhequimuenhe1683 4 ай бұрын
Wakwanza Mimi leo kutoka msumbiji naomba like zangu
@mohdkhamis9170
@mohdkhamis9170 4 ай бұрын
Kutoka wete pemba kizimbani njia ya uzunguni😊
@WilsonKihanga-jb5fb
@WilsonKihanga-jb5fb 4 ай бұрын
Timbwiri hilo linakuja😂😂😂😂
@Mzuri_002
@Mzuri_002 4 ай бұрын
Nakwambia😂
@alitante4279
@alitante4279 4 ай бұрын
Ndug yke riyama humu ypo nae😅😅
@teamzaifullhouse
@teamzaifullhouse 4 ай бұрын
❤🎉🎉 Kenya 🇰🇪 😍
@peterbahati
@peterbahati 4 ай бұрын
Nicee🎉🎉🎉🎉🎉
@amerucanboy5175
@amerucanboy5175 4 ай бұрын
Www mkojani n mjinga ulitoa dingi mtata ujamalizia unatuletea vitu vingine
@mkojani
@mkojani 4 ай бұрын
DINGI MTATA ipi ambayo haijaishaa mzee
@AhaziBahalaye
@AhaziBahalaye Күн бұрын
❤❤❤
@BagoShabani
@BagoShabani 4 ай бұрын
nimeipenda hiii like basi mkojani
@jimmymwanisawa6684
@jimmymwanisawa6684 4 ай бұрын
Mkojani mkojani naomba unitafute
@kelvinnyunza-us9jj
@kelvinnyunza-us9jj 4 ай бұрын
Samofi is back💥💥💥👊
@amerucanboy5175
@amerucanboy5175 4 ай бұрын
Alfu Kuna ingine ulifanya na tin white ubaya ukumalizia jua apo umepoteza shabiki na ujui ww sio mkali, Ameruvan Boy from Kenya
@RajabuAlly-tg3vh
@RajabuAlly-tg3vh 4 ай бұрын
Huo wimbo nimeuelewa
@shabbazeltv7491
@shabbazeltv7491 4 ай бұрын
😅😅😅 MIE NKUITE MUME 🤣🤣🙌🙌,DAH MKOJAN BHN
@SimaojorgeManuel
@SimaojorgeManuel 4 ай бұрын
Mkojani wewe niatari kwelikweli
@ezrafrancis9519
@ezrafrancis9519 4 ай бұрын
Et kabwili😂😂😂
@esmail_manja
@esmail_manja 4 ай бұрын
Kabla kutoa episode no 2 tujue kwanza kijiko mtembezi yumo humu😅
@Essymyugo
@Essymyugo 4 ай бұрын
Wakike uyo mchumba 😂😂😂😂😂😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉
@Bamutumubaya
@Bamutumubaya 4 ай бұрын
😂😂mkojani mjinga, ila yupo sahihi siku hixi ukijua mke mwenzio ni mwanamke mwenzio basi mshukuru Mungu
@medallionsihaba1954
@medallionsihaba1954 4 ай бұрын
Natamani kuitwa mume😂😂😂
@Mudyblack_tz
@Mudyblack_tz 4 ай бұрын
Safi kaka❤❤❤❤❤
@JerryKachenga
@JerryKachenga 4 ай бұрын
Sas ik chuma bando Langu linaenda kihalali kabsaa
@mohamednzaro3510
@mohamednzaro3510 4 ай бұрын
Mkojani gang imekaa sawa kama Yanga ya Sasa
@derickmabeyo951
@derickmabeyo951 4 ай бұрын
huyo dada ake samofi anaumri gani hapo mpaka awe alifiwa na mume miaka 10 iliopita ahahahhahahah mmetupiga hapo
@MarKarim-km2yh
@MarKarim-km2yh 4 ай бұрын
Chandimu karud dar nimependa hyo nilimic sana kumuona hyu mtu
@Asma-m1j
@Asma-m1j 4 ай бұрын
Weye mandevu yakutane yaende wapi🤣🤣🤣🤣
@ngoshaog1255
@ngoshaog1255 4 ай бұрын
🔥🔥🔥
@IslamabuuIslamabuu
@IslamabuuIslamabuu 4 ай бұрын
Mkojani bin darwesh karabush kifaru 🫡
@maherzain615
@maherzain615 4 ай бұрын
Firstgation😂😂
Tarehe _ 1 Episode 2  |Mkojani ,Samofi,Chandim|
17:58
MKOJANI GANG
Рет қаралды 55 М.
Muuza nyumba madalali kibao | Mpoki, Mkojani na Eliudi
8:20
CHEKESHA TV
Рет қаралды 165 М.
УНО Реверс в Амонг Ас : игра на выбывание
0:19
Фани Хани
Рет қаралды 1,3 МЛН
MWAKATOBE na RINGO  MCHAWI FULL MOVIE 4k
59:54
JOJOHFACE films
Рет қаралды 266 М.
USISEME - EPISODE 01 | CHUMVINYINGI
20:01
CHUMVINYINGI GANG
Рет қаралды 73 М.
FUMBO EPISODE 1 | MKOJANI, RINGO SABUFA,MAGGY OMARY
10:39
CINEMAFI STUDIO PICTURES
Рет қаралды 33 М.
SELE FULL MOVE A
1:26:43
MKOJANI GANG
Рет қаралды 33 М.
TIMU MBOVU : MKOJANI,TIN WHITE,SAMOFI,TUMAIN ABDALAH [ PART 1]
23:15
WATEMA MADINI
Рет қаралды 456 М.
VANGA FULL MOVIE  STARING MKOJANI
1:08:16
MPAYU FILM
Рет қаралды 58 М.
DANGA LANGU FULL MOVIE MKOJANI#CHUMVINYING
1:28:22
MPAYU FILM
Рет қаралды 17 М.
THE LIES FULL MOVE
2:17:13
DIRECTOR KAKOSO
Рет қаралды 331 М.
MJOMBA.  /STARING MKOJANI & TIN WHITE/ new African Swahili bongo movie
1:21:54