TATIZO UZITO

  Рет қаралды 1,053,797

ITV Tanzania

ITV Tanzania

Күн бұрын

Пікірлер: 374
@habibumrisho5225
@habibumrisho5225 2 жыл бұрын
Ndugu zetu Mimi sumaku wa mizengwe kwaniaba ya wenzangu napenda kuwashukuru wote mnao tusapoti sisi tunawapenda sana bila nyinyi sisi hatupo asanteni sana
@enockkaziro2009
@enockkaziro2009 2 жыл бұрын
pamoja Sana nawapata vizuri sAna haha kisiwani zazbr
@lizzybahati3739
@lizzybahati3739 2 жыл бұрын
Hii ndo naipenda comedy comedy yangu 😃😃😃😃
@HusenNdambile
@HusenNdambile Ай бұрын
Tunao angalia 2024 gonga like
@mariyamsaidi850
@mariyamsaidi850 5 жыл бұрын
Jamani wew acha tu 😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😜😁😁😁😁😜😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😜😁😁😁😁😁😜😁😁😁😜😁😁
@HalimaHalima-id2cb
@HalimaHalima-id2cb 2 жыл бұрын
Nawapenda ❤❤❤😃😃😃🔥🔥🔥🔥
@frankntenga1262
@frankntenga1262 6 жыл бұрын
hii Kali sana kukiwa na wanawake kama mia hatari sana
@carendaniel6117
@carendaniel6117 7 жыл бұрын
jaman nimecheka sana ,kiukwel mnafurahisha sana,siyo kwa mabao hayo mliyompiga mwenzenu ,nimecheka sanaaa
@abouyusrayasrisaadomar6620
@abouyusrayasrisaadomar6620 6 жыл бұрын
Caren Daniel hawajamaa ninoumaaa
@johanesmakori3832
@johanesmakori3832 4 жыл бұрын
I
@athumanrashid4774
@athumanrashid4774 4 жыл бұрын
Hhhahhhahhhahhhahhhhhhha mkwele ananichekesha sana jamni bonge la komed
@saidimohamed9971
@saidimohamed9971 Жыл бұрын
Nimecheka sana 🇰🇪
@issadadi5505
@issadadi5505 7 ай бұрын
mama fatuma nitaenda kumuambia maneno gan mimi😅😅😅😅
@fadhilaabdurahman3161
@fadhilaabdurahman3161 Жыл бұрын
Nawapenda sana wanamizengwe
@aisharegan3753
@aisharegan3753 7 жыл бұрын
looooh uwa na enjoy sana nikiangalia mizengwe
@ibnmoses979
@ibnmoses979 7 жыл бұрын
komedi pekee ambayo huogopi kuangalia ukiwa we na familia yako baba mama na watoto ni Mizengwe na hawatungi ila kutakuwa na funzo na burudani Hongera zenu + ITV
@missagatha1756
@missagatha1756 7 жыл бұрын
ibn Moses haswaa
@fortunatusrwechungura5369
@fortunatusrwechungura5369 7 жыл бұрын
ibn Moses
@charlesnkinda7341
@charlesnkinda7341 7 жыл бұрын
ibn Moses ni nzuri sana mizengwe kwa dunia hiii
@elizabethkimario7668
@elizabethkimario7668 7 жыл бұрын
Mnapendezzzxxxx
@charlemagige2819
@charlemagige2819 6 жыл бұрын
ibn Moses kiukwel mnajua jamen nafurahi nikiwa naona hiv
@michaelsukwa4371
@michaelsukwa4371 5 жыл бұрын
Sijutii MB zangu nimewakubali sana nyie Mizengwe
@rizikirajabu7575
@rizikirajabu7575 6 жыл бұрын
Ninawapata vizuri sana apa texas,usa
@nimrodmareges3131
@nimrodmareges3131 6 жыл бұрын
Nyie nawakubali sana mmekuwa watu wangu kwa muda mrefu sana dada yetu mnaish nae vizuri anakomaa mwanzo mwisho big up sana Mizengwe
@NasraMichael-cm9sl
@NasraMichael-cm9sl Жыл бұрын
Tunawapenda xaaaaaana
@andrewvoiceofficial8721
@andrewvoiceofficial8721 3 жыл бұрын
Pumzika kwa amani mzee matata
@martinwesonga6931
@martinwesonga6931 4 жыл бұрын
Mizengwe safi kabisa nimecheka sana
@josephmlela9757
@josephmlela9757 6 жыл бұрын
Mizengwe mpo vizuri,,, kipindi nakikubali
@KatongeOmari
@KatongeOmari 7 ай бұрын
😂😂😂😂😂nomaaa sana
@ayoubjohn399
@ayoubjohn399 6 жыл бұрын
Hahahahaaah iko poa sanaaaa
@goldenson4729
@goldenson4729 6 жыл бұрын
Dah! wakubwa mko vizr sana nawapenda sana
@ismailnchola5973
@ismailnchola5973 7 жыл бұрын
hawa jamaa wana talent sana, wanafundisha na kuburudisha
@kadadaamakoi2377
@kadadaamakoi2377 6 жыл бұрын
Ikopw sana
@kulthumally9299
@kulthumally9299 11 ай бұрын
Nimecheka saaana😂
@binesiharuni2609
@binesiharuni2609 7 жыл бұрын
itabidhi pia mm nianze kumufanya mume wangu hivi dio mtanyooka😀😀😀😀
@binesiharuni2609
@binesiharuni2609 7 жыл бұрын
Abdallah Alwardi 😀😀😀😀😀😀😀
@josephmasanja7859
@josephmasanja7859 7 жыл бұрын
inn
@josephmasanja7859
@josephmasanja7859 7 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@binbarwan7401
@binbarwan7401 7 жыл бұрын
Binesi Haruni 😀😀😀😀😀 utauwa
@binesiharuni2609
@binesiharuni2609 7 жыл бұрын
Siue lkn nitakomesha sipendagi ujinga😀😀😀😀
@madinahatta1874
@madinahatta1874 4 жыл бұрын
Hahahahahahah yan nimecheka mie jmn
@Jumamabela
@Jumamabela Жыл бұрын
Dah utafikiri unasoma gazette la sani
@arshuramaraka.artlab58
@arshuramaraka.artlab58 4 жыл бұрын
Na marafiki pia 😂 😂 😂
@franknnko8540
@franknnko8540 7 жыл бұрын
nimeipenda hiii
@jumakubobela7474
@jumakubobela7474 6 жыл бұрын
Hahahahaaaaaah! So nice comedy.
@ObediDaniel-v1j
@ObediDaniel-v1j Ай бұрын
Huu wali Nazi 25🍜🍜🍜🍜🍚🍚🍜
@mwaserarashid5451
@mwaserarashid5451 2 жыл бұрын
Jamani mzee saa zote mwamkaba koo jamani
@monicakivuyo1197
@monicakivuyo1197 5 жыл бұрын
Nakukubali sana mkwere
@moheregetema4136
@moheregetema4136 7 жыл бұрын
Appreciate you indeed. keep it up Mkwere with your cruel.
@aminakassim8636
@aminakassim8636 2 жыл бұрын
👍👍👍👍
@Raheema-pp7st
@Raheema-pp7st 7 жыл бұрын
😄 nyie mnasema ila matatiz ya ndoa yang nayajua mwenyew 😄😄😄😄
@mohamedmariano5699
@mohamedmariano5699 6 жыл бұрын
Unamatatizo gani my
@kassimhashi4092
@kassimhashi4092 5 жыл бұрын
Hapa Kenya tuwanawapenda
@mamatuishi-mamatuondoke8822
@mamatuishi-mamatuondoke8822 7 жыл бұрын
Mkweleeeeee !!!! Ndoa unayo haswaaaaaaa
@NormanEric
@NormanEric 7 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂 daah hii imenifurahisha sana
@JaphetRestus
@JaphetRestus 7 жыл бұрын
Kazi nzuri sana mizengwe
@ashurayiunis2735
@ashurayiunis2735 7 жыл бұрын
uuwiiiii😀😃😃😃
@barakamagori9878
@barakamagori9878 7 жыл бұрын
Hongela sana
@crevamuhando2428
@crevamuhando2428 6 жыл бұрын
daaa wamenifurahisha sana
@mwanahalimamwachili9679
@mwanahalimamwachili9679 7 жыл бұрын
😅😅😅😅😅😅😅 hallooo na bado basi kama hawatoacha basi watazidi
@binbarwan7401
@binbarwan7401 7 жыл бұрын
MWANAHALIMA MWACHILI 😀😀😀😀mfnge kmba na wko
@mwanahalimamwachili9679
@mwanahalimamwachili9679 7 жыл бұрын
😅😅😅😅😅 ya nini nife kabla wakati,
@binbarwan7401
@binbarwan7401 7 жыл бұрын
MWANAHALIMA MWACHILI ukimwcha atoke akirud kilo zmeshaongezka😂😂😂😂😂
@mwanahalimamwachili9679
@mwanahalimamwachili9679 7 жыл бұрын
Heri ziongezeke kuliko zipungue,
@hamzabakari9813
@hamzabakari9813 7 жыл бұрын
Nawakubali sana wazee wa mizengwe comedy
@sifamugwaneza1178
@sifamugwaneza1178 5 жыл бұрын
Chezea ubwabwa wew 😁😁😁😁😁😁
@gedyboypeter7854
@gedyboypeter7854 7 жыл бұрын
nawakubali sana wadau wangu
@raphaelmwamakimbula9642
@raphaelmwamakimbula9642 Жыл бұрын
😃😀🪘Hapo ni Kambi ya jeshi aise! Kapata mume mlaini sana.
@rashidmohamed5792
@rashidmohamed5792 7 жыл бұрын
nawapenda.sana.mwenyezi.mungu.awazidishie.mautundu
@saudahassan6667
@saudahassan6667 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@africanoqueen9340
@africanoqueen9340 5 жыл бұрын
Mizengwe jamani mko wapi nimewamiss Sana 😭😭😭😭😭😭😭😭
@rakeshgrakeshg5899
@rakeshgrakeshg5899 5 жыл бұрын
Africano Queen of
@emmypc8362
@emmypc8362 5 жыл бұрын
Mi naanzaga kuche kabla yakuangalia jmn mzee matat utaenda ambia nin bibi chanja nyumbani
@yaduniaasd8646
@yaduniaasd8646 7 жыл бұрын
Dar mpo nyie mko vizuri
@maggiemwambapa900
@maggiemwambapa900 7 жыл бұрын
😉😂😂kwakweli mmenichekesha sana yani na hivi nko mbali na home ndo najiona kama nko nyumbani vile bigup sana kwenu.
@abduibrahim7363
@abduibrahim7363 4 жыл бұрын
Nikweli kabisa nawapenda sana
@edwardydavidy3535
@edwardydavidy3535 4 жыл бұрын
upowapi
@abdallahmagera9160
@abdallahmagera9160 3 жыл бұрын
Habari mdogo ukowapi uko? Naomba Tuwasiriane Whatsapp no.+255621131072// +255718072046
@yasinmakengwa3400
@yasinmakengwa3400 4 жыл бұрын
Nenda kapigwe😂😂😂😂😂😂
@fiestatv9372
@fiestatv9372 6 жыл бұрын
😅😂😂alaaa kumbe na mzee kwake anapimwa acha aanze kulia😂😂😂😂😂
@salufuselestine7858
@salufuselestine7858 6 жыл бұрын
martin ndone h
@kdloon2030
@kdloon2030 5 жыл бұрын
Wallah hua napenda mkongo anavyo ongea na kuchombeza
@mshuandizi5512
@mshuandizi5512 7 жыл бұрын
mmetisha mbaya
@nyomizedon
@nyomizedon 7 жыл бұрын
Da!..mmetisha
@nickskymmmhherman690
@nickskymmmhherman690 7 жыл бұрын
Kali hyo kwenda job mpaka upime izito 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@athumanmohamed4840
@athumanmohamed4840 5 жыл бұрын
Nicksky mmmh Herman
@hassansamli2671
@hassansamli2671 5 жыл бұрын
Mizengwe raha sana
@idrisakomba1656
@idrisakomba1656 6 жыл бұрын
munaweza sana mpaka mbavu zina sheck
@anysaanysaa3824
@anysaanysaa3824 5 жыл бұрын
😆😆😆😆😆😆😆mazee mazima upuuz mkubwaa
@bockernyarusahi3655
@bockernyarusahi3655 5 жыл бұрын
Anysa Anysaa unamaana gani?
@omardaty6869
@omardaty6869 7 жыл бұрын
hahhhaha daty mbavu zngu ........
@MohdYoussufujamm
@MohdYoussufujamm 7 жыл бұрын
Omar Daty jamanijamani hahahahaha!
@salehsuleiman1218
@salehsuleiman1218 4 жыл бұрын
Hahaha yan nacheka mpk majiran wameniskia
@robbymoses2594
@robbymoses2594 7 жыл бұрын
nimeipend but ni ngumu kidogo
@duasufiani2782
@duasufiani2782 2 жыл бұрын
Safina iyo kali
@shukulukondo8287
@shukulukondo8287 6 жыл бұрын
Nakubalj sana itv mpo vizuri
@kitumbi6324
@kitumbi6324 3 жыл бұрын
Ilike
@bernardchibwana2564
@bernardchibwana2564 6 жыл бұрын
Da nawapenda sanaaa
@bernardbigirindavyi911
@bernardbigirindavyi911 7 жыл бұрын
nzuri kweli
@emmanuelraymond8920
@emmanuelraymond8920 6 жыл бұрын
Khaa😅😅
@binthassan940
@binthassan940 7 жыл бұрын
hahahahaaaaaaaaa! nimecheka ya sana asanteni
@lukoojohn2296
@lukoojohn2296 7 жыл бұрын
Inapendeza shusheni ya kuvunja mwaka
@bakora3608
@bakora3608 6 жыл бұрын
bint hassan .
@ibrahimkassim3655
@ibrahimkassim3655 6 жыл бұрын
bint hassan
@japhatiuhahula1675
@japhatiuhahula1675 6 жыл бұрын
Mama kazngua
@tanganyikacherry5672
@tanganyikacherry5672 7 жыл бұрын
Kula tongue saizi yako 😄😄 mzee matata
@emanuelmasamu1508
@emanuelmasamu1508 4 жыл бұрын
Vp
@emanuelmasamu1508
@emanuelmasamu1508 4 жыл бұрын
Ukowp
@timothmwakakusyu4563
@timothmwakakusyu4563 7 жыл бұрын
nakula kwa tyming hii noma saaaaaana hahahaaaaaaa
@veronicalucas6091
@veronicalucas6091 5 жыл бұрын
ll
@caroolbakri8157
@caroolbakri8157 6 жыл бұрын
😂😂😂ladha eti😂😂😂😂
@fathiasaed4738
@fathiasaed4738 5 жыл бұрын
Hahhahhhha kwani naongea na mume wamtu apa
@marimarimu3697
@marimarimu3697 7 жыл бұрын
uuhhhh mbavu sang mim yanikutoka mpaka upimwe
@adaboyibrahim1217
@adaboyibrahim1217 7 жыл бұрын
duuh sanaa\aaaaaaa bongo lingo wp
@thabitbarajah3889
@thabitbarajah3889 7 жыл бұрын
Me sina cha kusema jamani nawakubali sana mizengwe big up sana
@lufingomwakipuba8858
@lufingomwakipuba8858 7 жыл бұрын
hongereni pigeni Kazi.
@lofisikarunga1496
@lofisikarunga1496 6 жыл бұрын
Asanteni sana Wazee wa Mizengwe yaani big up sana.Mim naishi inchini Marekani hata nikiwa kazini huaga nawa watch sana,yaani mnatisha kwa kuwa kwa mnaelimisha na pili mna chesha kinoma yaani,siku haiwezi pita bila kufidia saa moja kwa kuwaangalia,nina wapongezeni kwa juhudi na bidii zetu za kutuelimisha,mbarikiwe na msonge mbele na juu zaidi wazalendo wenzangu.Na kwa kumalizia ningependa nijue namna gani naweza kuwafikishia Zawadi nono wa kuwapongeza because you are always making my day😍😍😍😍🌺😂😂😂🌍🤗
@shabaniomary8944
@shabaniomary8944 6 жыл бұрын
kifupi mimi nawaela sana mnakubalika kijamii
@lucyjoseph4025
@lucyjoseph4025 2 жыл бұрын
Vzuriii
@arshuramaraka.artlab58
@arshuramaraka.artlab58 4 жыл бұрын
Kukuwa na mke kama yule nitamuacha peke yake. Ana matatizo manyingi
@hassandalati2823
@hassandalati2823 4 жыл бұрын
Hahaha ndonili vyoo
@evaristmawazo8866
@evaristmawazo8866 7 жыл бұрын
hakika watu wanafanana mkwere kafanana na mjomba wangu,bjapo katangulia mbele ya haki,napenda Dana kuangalia mizengwe mizengwe nomaaaaaa!!!!!!!!!!!!
@elirehemulazaro1782
@elirehemulazaro1782 5 жыл бұрын
Evarist Mawazo
@bahatiotman623
@bahatiotman623 5 жыл бұрын
Ni shidaaa
@simonphiri6966
@simonphiri6966 5 жыл бұрын
kikikikkkkk nawakubariiiiiii
@mwanaidialli2698
@mwanaidialli2698 5 жыл бұрын
Mzee. Matataunakula
@bebisheni4380
@bebisheni4380 5 жыл бұрын
nawapenda ila sichekagi hamnichekeshi
@nchimbiamani2953
@nchimbiamani2953 5 жыл бұрын
Hawa jamaa wamenivunja mbavu mm sikubali nikikutana nao lazima wanipe fidia
@semusikazwe4231
@semusikazwe4231 5 жыл бұрын
Hahaaaaaaaaaaaa
@godfreykakwezi3782
@godfreykakwezi3782 7 жыл бұрын
Atari sana wanajua kazi 😀😀😀
@saiduwesu3780
@saiduwesu3780 6 жыл бұрын
Duu ndoa ndoano
@dicksonmoikan7978
@dicksonmoikan7978 2 жыл бұрын
Good
@razansalim532
@razansalim532 6 жыл бұрын
Nice comedian
@arafajuma2433
@arafajuma2433 6 жыл бұрын
Mizengwe hatariii mnajitahid @
@nathantibaigana4188
@nathantibaigana4188 7 жыл бұрын
hawa jmaaa wanatisha sna
@batonmwendi6356
@batonmwendi6356 4 жыл бұрын
Jamila
@saltanal-amri3950
@saltanal-amri3950 6 жыл бұрын
Hahahahaha mizengwe nooma kweli
@saltanal-amri3950
@saltanal-amri3950 6 жыл бұрын
Hahahahaha mizengwe
@emmyasheri6995
@emmyasheri6995 6 жыл бұрын
Jamani nawapendaaa
@jemsimaige5411
@jemsimaige5411 3 жыл бұрын
Jamani nawakubar sana yani natamani hata siku moja tuonane 💪
@hongomohamed3109
@hongomohamed3109 7 жыл бұрын
Hongera kwa wanakindi kufanya vzuri na kuwa na mshikamano. pamoja Itv
@benjaminikahawa7021
@benjaminikahawa7021 7 жыл бұрын
duuuu
@ashasalim5658
@ashasalim5658 6 жыл бұрын
kula uongezeke uzito ukienda huko shuuli ipo
@kasimurashidi5050
@kasimurashidi5050 6 жыл бұрын
Mmmmmh guys max ndo tushamsahau mbn wengne kama akina kanumba wanaenziwa kwnn ishindikane kwa wasanii wengne??
@rizikially9288
@rizikially9288 4 жыл бұрын
Emed maliga
ITV MIZENGWE-SIRI HADHARANI
19:20
ITV Tanzania
Рет қаралды 208 М.
BINTI MASKINI 💞 DADA MUUZA MATUNDA  PART 29 | Love Story
20:08
Twizy Dady Tv
Рет қаралды 15 М.
Маусымашар-2023 / Гала-концерт / АТУ қоштасу
1:27:35
Jaidarman OFFICIAL / JCI
Рет қаралды 390 М.
STEVE MBONA UNAMUANGALIA HIVYO SHEMEJI YAKO UNAMTAKA
14:18
Mweusi Family
Рет қаралды 1,4 МЛН
ITV MIZENGWE - JUU YANGU
21:55
ITV Tanzania
Рет қаралды 641 М.
منهج القرآن للصف الثاني الابتدائي
30:24
فيديوهات مفيدة
Рет қаралды 15 МЛН
DUNIA (Ep 39)
23:32
ASMA FILMS
Рет қаралды 479 М.
#MIZENGWE: Usije mjini
14:57
ITV Tanzania
Рет қаралды 28 М.
BEFORE I MEET YOU 💔 { 12 }
24:55
Donta Plus
Рет қаралды 35 М.
ITV MIZENGWE- BIBIE KAUTIPE
21:04
ITV Tanzania
Рет қаралды 209 М.
ITV MIZENGWE-FAKE(BATILI)
18:13
ITV Tanzania
Рет қаралды 204 М.
MISSION IMPOSSIBLE [36] SEASON 2
25:50
CHADO MASTA FILMS
Рет қаралды 178 М.