kila ovu lina mwisho, viongozi wa Zanzibar wengi wanadhulumu naona na wao karibu uovu wao utafikia mwisho. Maana kuna alie na nguvu kuliko wao
@gayanimwansasu2 сағат бұрын
Kama ni mwizi sawa kama niule ujinga wao wamuache tu kwani mwanamke hana akili yeye
@fatumahamisi-m1e5 сағат бұрын
Wafungwa wakike wakae vizuri
@vibetz99915 сағат бұрын
Katuheshimisha😂
@dicksonkilupa22585 сағат бұрын
Upande wa mapenzi hana hatia hakubaka na hizo krips hajawahi kuzirusha ilikuwa mali yake binafsi, ila upande wa mali za umma huko ndo wamshitaki.
@NemaAli-zh6hr4 сағат бұрын
Krips❎️ Clip✅️
@pengefeza25632 сағат бұрын
Unajua kua ni muathirika wa Ukimwi?
@marthampalanzi8872 сағат бұрын
krips typing
@selemanmaganga-le4zg2 сағат бұрын
Tatizo wake za watu kaka'" alafu wake wa wazito, bola wamfunge maana watamuua akiwa uraiani!.
@pengefeza25632 сағат бұрын
@@dicksonkilupa2258 Hakua hata na furaha yoyote kwa sababu alipanga kuwaumiza watu wengi kwa kutumia mbinu zote. Alitumia mali ya umma ku sambasa maambukizi ya VVU hiyo kwako ni vizuri?
@victorcephas36185 сағат бұрын
Huyu Mwamba atakuwa mtanzania mbona anafanana na Idris Sultan 😅😅😅😅😅😅
@FatumaJumanne-p4d4 сағат бұрын
Yaan kama billnass
@SalmaIsmail-w1h3 сағат бұрын
Kweli kabisa
@VeronicaRugoyi3 сағат бұрын
😂😂
@Haji-yr9db2 сағат бұрын
😂😂😂 na anagonga kiswahili vizur tu
@ramadhanihudhaifani437638 минут бұрын
Amefanana na Himid Mao!
@damianminsno131746 минут бұрын
Maku kweli saaa mnamkamati nn?wakati nyege zao wenyewe wametaka kutiwa
@SalmaIsmail-w1h3 сағат бұрын
Eti na king,ola utadhan mwiz rijali huyo ety
@BardenBensonMwamfupe-dk3yg5 сағат бұрын
Mpelekeni na wanawake wote 400 gerezani
@SaleheGiza5 сағат бұрын
Kiongozi wetu amekamatwa Kwa uonevu.😂😂😅
@FrEvaristMakembe4 сағат бұрын
Vigogo wa huku hawajaguswa kweli
@joelandekile3933Сағат бұрын
VIJANA KUNOVA NOWEWAIYO..... WAIYO ... DOBI DOBI😅😅😅
PINGU MIGUUNI muhimu mana mashine iliyosababisha ipo kati ya miguu, wanaiogopa, labda ina umeme 😂😂 We huogopi?
@PlickaChachaСағат бұрын
Gari za police hyo nchi BMW
@aby211112 сағат бұрын
Kamata na wanamke yote iko malaya.Hi wanamke yote iko adult nataka menyewe hi mutu.
@SHAHATV-pm7ey5 сағат бұрын
Mwamba huyuuuuuu aisee umevunja rekodi mwamba
@SaidaKilwa32 минут бұрын
Anakamatwa au anatoka mahakamani?
@husseinkonz51924 сағат бұрын
Aje atembee na yanga tena😮😮
@halimamasai2234Сағат бұрын
😂😂😂😂😂😂
@jamesdadu7059Сағат бұрын
Amezima ishu ya p didy
@jamesjahasa33485 сағат бұрын
Kosa lake lipo wapi sasa kwani alibaka siwalikua wanapatana nahao wanawake wako wapi hii afrika bana wanao iba mali za wananchi wanasindikizwa mpaka air port wakafiche Mari zetu 😂😂😂😂😂😂
@jonathaneliabu22985 сағат бұрын
Makosa hapo mengi tu hatakama walikubaliana kosalao wote kwamfano ukitaka kuwaunganisha kufanya mapenzi kwenye ofisi za umma eee!yani kwenye ofisi za walipakodi, ni kosa yani hata kufanya mapenzi hadharani pia hilo ni kosa hata kama mmekubaliana.
@nyamogafamily95495 сағат бұрын
Kurekod
@FatumaJumanne-p4d4 сағат бұрын
Kosa lake n kurecord
@SalmaIsmail-w1h3 сағат бұрын
Kweli kabisa mwmb hana baya make hakuwalazmisha istoshe vidio wao ndo wamevujisha ona sa wasvokua na akili
@yasminoluoch1692 сағат бұрын
Hapo amekamatwa na mambo rushwa kula pesa za serekali
@Nasbu-tb6csСағат бұрын
Kwani jambazi au aliwabaka wamwachie wrole mode wangu😂
@AdamCheze3 сағат бұрын
Hii ilikuwa mahakaman sio kukamatwa
@mohamedalawy61725 сағат бұрын
King Solomon wa E . Guinea
@YusufMahrez2 сағат бұрын
Yaonyeshea hii tabia haipo nchi moja tu 😂😂
@FrEvaristMakembe4 сағат бұрын
Wenzetu pingu mguuni😮
@mgendijr73805 сағат бұрын
Millard hii taarifa unapotosha,huyu jamaa alikamatwa na rushwa na ubadhilifu wa mali za serikali,sio kwasababu ya hizo clip za ngono,na yuko ndani mpaka leo,...swali ni je nani amevujisha video zake maana ni faragha ya mtu
@Dienacademy5 сағат бұрын
Waandishi wetu wa habari wanakosa ueledi wa kufanya analysis za habari kabla ya kuzileta wanafata mihemko na trend instead of ueledi
@LuluAquai5 сағат бұрын
Me mbona sioni kosa
@aediaygo85463 сағат бұрын
Huyo mwanamama kawahi kuingia kwenye Gari 😅😅😅
@IshipalemyPasko3 сағат бұрын
Mi naona naona kosa lake ni dogo sana hapo.
@marthampalanzi8872 сағат бұрын
Kila nakoenda naona hii imebd niangalie tu ss
@FatumaJumanne-p4d4 сағат бұрын
Apewe mj wake mwamba na atakuwa kawafundsha wanaume wanaoamn kwamba mwanamke ukmpa gar nyumba na pesa umemalza unajfanya busy ww jujuu kama mawingu kudadek wanahun wanakula.
@IshipalemyPasko3 сағат бұрын
Tangu lini mkali Zika nyinyi viumbe wanawake
@FatumaJumanne-p4d3 сағат бұрын
@IshipalemyPasko Ww unamlsha m2 kutwa mara 3 nn knachofuata mda mwengne majeur nataka hv ooooh unapenda sana ngono uwaz chochote sasa akpata wa kumkula vzur knawaramba kannyooshea wa2.
@FatumaJumanne-p4d3 сағат бұрын
@IshipalemyPasko 2nardhka vzur na ukiona m2 hajardhka na ww ujue kuna shda mahal
@lovenessvisent94083 сағат бұрын
Hakuna anaerizika hata hao wenye wake walioliwa na wenyew wanakula sana huko nje hata wewe pia
@RitbayRitbay2 сағат бұрын
Hii ukiwa umeanza uhuni mapema ikiwa ww umeolew bikra bs unaridhika na mwanaume hta akae miaka utasubir
@nashnene63265 сағат бұрын
Millard get your facts right! alikamatwa tangu April kwa masuala ya rushwa, na kuchukuliwa vifaa vyake kwa uchunguzi ndipo walipokutana na bomu jipya, then serikali ilitumia nguvu nyingi kuzuia kuvuja hizo clips bila mafanikio mpaka juzi zimevujishwa, na wavujishaji ndio hao hao takukuru wa huko
@emmanuelmwakyembe55823 сағат бұрын
Upo sahihi na hapo anaondoka kutoka mahakamani, ndugu zetu hawafanyi uchunguzi wao ni kudanganya tu watu
Mi sioni kosa hapo kwani aliwabaka si wametaka wao wenyewe
@rasvegas89913 сағат бұрын
Ww kiziboo sio kubakaa hata kulaghai kisaa kumpa kazi ni kosaa
@AsiaShaban-zz4yr3 сағат бұрын
Simununue kamera HD Nini maluelue haionyeshi vinzuri
@Muhammedually2 сағат бұрын
Huyu jamaa zaidi ya piddy
@eunicemusyimi13982 сағат бұрын
He didn't force anyone
@elizabethjackob38166 сағат бұрын
Wanawake ndo wanamakosa
@AshaMussa-kk4yv6 сағат бұрын
Kosa lake ni lipi?ajabaka
@annafredinandmatandiko84386 сағат бұрын
Et jamani kwani amebaka?
@leebronkasianh52965 сағат бұрын
Kutembea na wake za watu,wake za ndugu zake,wake wa viongozi wakubwa na kujirekodi videos sio kosa?
@HasanKisome5 сағат бұрын
Mtoa Post Acha Upotoshaji Balthazar Engonga Alikamatwa Kwa Tuhuma Za Rushwa Sio Hizo Video Maana Hakuna Aliye Enda Kumshitaki kuhusiana na Hizo Video za Ngono Bali na Yeye Amewafungulia Mashtaka wale Wote Walio Husika na Uvujishaji wa Video zake Zenye Maudhui Ya Faragha Ambayo ni Haki Yake Kikatiba
@josiahjapheth76392 сағат бұрын
Mwambaa
@SamsonEzekiel-or9xc4 сағат бұрын
P.DID
@tuwenasitv96955 сағат бұрын
Alafu muandishi wewe kwanini wenzio sauti wanatoa ya kutosha wewe hutoi kabisa sauti rekebisha bhana
@hildajoel55 сағат бұрын
Sasa mbona anaonekana hayuko strong kama kwenye zile video zake😂😂 naona kama hata kutembea ni kama ataanguka😂
@Hashimunamwira-bn9sg5 сағат бұрын
Huoni amefungwa mnyororo Kwa miguu ndo maana
@ruqaiamohammed3455 сағат бұрын
Kafungwa minyororo ya miguu
@hildajoel52 сағат бұрын
@@Hashimunamwira-bn9sg kumbe
@Legends_Interviews5 сағат бұрын
Mwamba
@Charles-c1i5 сағат бұрын
😂
@Kelvinchristopher0725 сағат бұрын
Mbona kakamatwa kibosi ivo. Mi ningemlamba ata shaba.
@ullyamos42054 сағат бұрын
Mkeo nae kapitiwa nini 😅
@globalpeacesummitstv88255 сағат бұрын
Kosa lake kujirekodi na kusambaza mtandaoni
@AndreaDaud-k2c5 сағат бұрын
Hajasambaza yeye waliosambaza NI waliokwenda kupeleleza Masuala ya rushwaaaa