TAZAMA BALAA LA MAPOKEZI YA YANGA LEO CONGO DR/BARABARA ZIMEFUNGWA/TP MAZEMBE HAWATOKI

  Рет қаралды 20,213

Scope Bongo

Scope Bongo

Күн бұрын

Пікірлер: 27
@linahmacha370
@linahmacha370 6 сағат бұрын
Kufungwa ni kawaida sehemu ya mchezo Yanga ni yetu daima acha ituue 💛💛💛💚💚💚
@GodlistenLameck
@GodlistenLameck Сағат бұрын
Mungu hamtupi mja wake. Yanga msihofu tuna ushindi mzuri. Mungu ibariki yanga. Amen.
@hawamasanje9589
@hawamasanje9589 19 сағат бұрын
Jamani Yanga rahaaaaaaaa!!!!🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 msionyeshe timu yetu ikifanya mazoezi kuna wenye macho mabaya Madunduka
@HusseinAdinani
@HusseinAdinani 3 сағат бұрын
Kweri
@errydeo8865
@errydeo8865 10 сағат бұрын
Hii sasa ndo support! Sio wakina Dosa,Mzee wa Kilinge wanao ongelea chooni! Safirini na timu tuwaome! Safiii sana! WE WIN TOGETHER,WE LOSE TOGETHER! SIO MNAJIFANYA WANAYANGA TIMU IKIWA INASHINDA TU! NA HAKUNA TIMU ON EARTH HAIPITII UPS N DOWNS! MASHABIKI WA KWELI, HUSIMAMA NA TIMU COME RAIN COME SUN! All the best my YANGA 💛💚💛💚🇹🇿🇹🇿
@hamisishabani4072
@hamisishabani4072 6 сағат бұрын
O!! YYEE!! SHUKRAN SANA KWA WANA YANGA WOTE TUNAOJITAMBUA,NA TUNAOUJUA NINI MAANA HALISI YA MASHINDANO!! NA HAWA WENZETU AMBAO,HUPENDA KUTOA LAWAMA KWA UONGOZI,MAKOCHA PAMOJA NA.WACHEZAJI,TUNAWAOMBA WAACHE KABISA TABIA HIZO.TUNATAKIWA TUWAACHIE VIONGOZI WANALO LIONGOZA JAHAZI LA YANGA AFRICAN'S,NDIO WATAKAO ZIFANYIA KAZI CHANGA MOTO AMBAZO ZINAZO TUKWAZA KATIKA KUTAFUTA MATOKEO MAZURI!! NA WAO KWA JOPO LAO KWA FIKRA NJEMA WATAPATA UFUMBUZI!! TUSIWAPE PRESHA ZA MANENO MANENO,VIONGOZI WETU NA WACHEZAJI WETU.PINDI INAPOTOKEA BAHATI MBAYA HATUKUPATA MATOKEO MAZURI KATIKA MCHEZO HUSUKA.WANA YANGA WASIO JITAMBUA,KWA KUROPOKA KWAO HOVYO NA KUJIFANYA WANA UCHUNGU NA TIMU YETU KULIKO SISI TUNAOJITAMBUA,PAMOJA NA VIONGOZI WETU,HAWA SISI TUTAWATAMBUA NI MAMLUKI!! HASWA PALE WANAPO ANZA KUROPOKA HADHARANI KWA KUWAPA FAIDA MAADUI ZETU,AMBAO HAWATUTAKII MEMA,NAO KWA UBAYAO HUJICHOMEKA HUMO HUMO NA KUJIFANYA NAO MIONGONI MWETU,KUMBE NI MAADUI ZETU,NIA YAO SISI TUVURUGANE,ILI WAO WAPATE KUPUMUA NA NDIO FURAHA YAO!! MAANA KWA HIVI SASA YANGA AFRICAN'S IMEKUWA NI TIMU TISHIO NA BORA BARANI AFRIKA IKIWA NI MIONGONI MWA ORODHA YA TIMU TISHIO BARANI AFRIKA,NI TIMU GUMZO BARANI AFRIKA NA DUNIANI KWA WANAOIFUTILIA YANGA AFRICAN'S,,NA NI CLUB YENYE MVUTO NJE YA MIPAKA YETU!! SASA HAYA MAFANIKIO TULIYOYAPATA LICHA YA KIPINDI HIKI CHA UPEPO MBAYA,TULICHO KIPITIA,NDIO IWE SABABU YA KUANZA KUWATUPIA LAWAMA VIONGOZI WETU WOTE WAKIWEMO WADHAMINI NA WACHEZAJI WETU WALIOTUFIKISHA KWENYE MAFANIKIO HAYA TULIYO NAYO?!!! TUSIWE WATU WA KUKOSA SHUKURANI!! YANGA IMARA.DAIMA MBELE.NYUMA MWIKO!! KUVUNJIKA KWA KOLEO,SIO MWISHO WA UHUNZI!! ALUTA CONTENUER!! MAPAMBANO YANAENDELEA!!!
@errydeo8865
@errydeo8865 5 сағат бұрын
@@hamisishabani4072 shida ya hao wanaojifanya mashabiki WA YANGA na huku wakiongea ujinga Ili waonekane wameongea vijiweni,elimu duni!Ukiwaangalia ki undani, hawana mchango mkubwa kwa club! Sijawahi waona hata mikoani wakienda na timu! Nope! Wao wanasubiri matokeo waanze kubwabwaja! Hatukatai watu Kutoa maoni, Shida NI kwamba ,hayo maoni yako are they CONSTRUCTIVE? ( yanajenganga?) Huwezi kuwakuta wameenda kilabuni Kutoa maoni au malalamiko Yao! All they do NI kuita hivyo viandishi mchongo( vinawajua WA KUHOJI) ) na kujifanya wanaisemea club! Ukitaka club IDHAMINI mchango wako, nenda jamgwan au kwenye Tawi lakoi ,viongozi WA kila Aina wapo! Wasipokusikiliza,then unaweza kusema nikienda jamgwan/ tawinii tarehe fulani ,nikaomba kuona na uongozi wangu nilikua na haya na haya,Lkn wakanikatalia kuniona! Hapo tutakuelewa! Lkn wewe siku nzima kila siku unashinda vijiweni sijui Stesheni ndo unatolea maoni! Wewe jua NI shabiki feki! Hao Wote nawaita WAkina magoma! Yaani MTU ( mzee WA kilinge in particular , though they are many like him)anakuja na accusations kwa mfano,kushutumu viongozi,wafua jezi,Wachezaji,wapishi,mashabiki eti wanahujumu timu! Lakini hao hao ndo wameiwezesha YANGA kufika ilipo! KWELI NI shabik huyo?Yaani kupoteza MICHEZO michach,Leo wanahujumu timu! Hawa watu wawe wanawekwa vikaangoni na club ,wathibitishe tuhuma zao,wakishindwa,watimuliwe YANGA!
@luginyoilomo2641
@luginyoilomo2641 8 сағат бұрын
Dah! Wakongo wako vizuri aise hili ni somo kwa wana yanga wa TZ
@FemidaYahaya
@FemidaYahaya 20 сағат бұрын
Wananchiiiiiiii🎉🎉🎉🎉
@TumsimeJacob
@TumsimeJacob 5 сағат бұрын
Safi sana
@SalimHamis-d8e
@SalimHamis-d8e 5 сағат бұрын
Yanga ina mashabiki wengi Afrika mashariki.
@lewismpangala927
@lewismpangala927 7 сағат бұрын
Kwao kama kwetu
@LucaiyaKyaka
@LucaiyaKyaka 20 сағат бұрын
Kilalakheir wanayanga
@kassidpandu866
@kassidpandu866 42 минут бұрын
Priva weesimbaDami
@maase2023
@maase2023 3 сағат бұрын
Basi hii misifa ndio inaiponza yanga wafungwe
@kasokawilliam
@kasokawilliam 15 сағат бұрын
Njoo hapa cape Town tusajiri Wana Chama tupoo
@simonnjovu586
@simonnjovu586 16 сағат бұрын
Watarudi, mbona tulirudi kutoka Algeria.
@ELIACHOMOLA
@ELIACHOMOLA 18 сағат бұрын
Ngoja tutaona kesho
@GenelivaSylvester
@GenelivaSylvester 21 сағат бұрын
Kinachouma n kupokelewa hvo af mnafungwa huko huko jmn
@EvelineKimwaga
@EvelineKimwaga 20 сағат бұрын
Kweli
@hamisishabani4072
@hamisishabani4072 15 сағат бұрын
HATA KAMA TUTAFUNGWA,HAITUVURUGI,KWA WANA YANGA WOTE TUNAOJITAMBUA TUNAJUA NI SEHEMU YA MCHEZO, NA NDIO MAANA YA MASHINDANO!! ASIYEKUBALI KUSHINDWA SI MSHINDANI!! DUA ZENU MBAYA,WALA HAZITUYUMBISHI!! YANGA IMARA,DAIMA MBELE,NYUMA MWIKO!!
@DaudiWanga
@DaudiWanga 15 сағат бұрын
Wenye roho za ndoano namaanisha MAI WETU au madunduka mtaisoma namba.😊
@AminaTanzania
@AminaTanzania 5 сағат бұрын
Wasirudie wap mpumbavu nini mnawafunga kwinu
@BeniYaredy
@BeniYaredy 18 сағат бұрын
Wanalud kwenu au Kwa baba yako mjinga nn
@AbdallahMohd-c5w
@AbdallahMohd-c5w 19 сағат бұрын
Mkifungwa musirudi huku
@errydeo8865
@errydeo8865 10 сағат бұрын
Kenge wee! Hata card ya uanachama huna! Wafungwe wasifungwe, we love our YANGA na watarudi kwa Raha zao
@MatokeoJoseph.Fonkol
@MatokeoJoseph.Fonkol 3 сағат бұрын
mxx by yes
MURO: YANGA WAKIFANYA HAYA MAZEMBE HAWACHOMOKI
22:59
Data Sports Tv
Рет қаралды 9 М.
Beat Ronaldo, Win $1,000,000
22:45
MrBeast
Рет қаралды 149 МЛН
Правильный подход к детям
00:18
Beatrise
Рет қаралды 9 МЛН
Beat Ronaldo, Win $1,000,000
22:45
MrBeast
Рет қаралды 149 МЛН