Wajina babu fundikila mjukuu wako fundikila michekue ulamba nakukumbuka sana mzee wangu majaliwa msalimu sana bibi kaundime(kaundinyo)
@EmanuelKidifu-pu5zq5 ай бұрын
Utamaduni wetu wa kinyamwezi mzuri sana.
@mussampagama3065Ай бұрын
Dah, imenikumbusha mbali sana, waswezi. Ilikuwa ukimuamkia mswezi anavyoitikia ni balaa, na utoto ule tena tunawafuat kuwaamkia ili mradi tu usikie anaavyotukana kwa kiitikio cha hiyo shikamoo🤣🤣🤣