TAZAMA DIAMOND ALIVYO ZINDUA ALBUM MPYA YA CHRISTINA SHUSHO MLIMANI CITY

  Рет қаралды 738,432

BinaTv

BinaTv

Күн бұрын

Пікірлер: 662
@J.E.T_Page
@J.E.T_Page Жыл бұрын
Giza na nuru zina shirika gani toeni giza katikati ya nuru tumuabudu Mungu mtakatifu....I love munishi he is the greatest true gospel singer
@madumamaduma8571
@madumamaduma8571 9 ай бұрын
Mungu anavyo mtumia mnishi. Siyo kwamba atamtumia hivo hivo Christin Shusho. Mawazo ya Mungu si sawa na mawazo ya mwanadamu. Njia za Mungu hazichunguziki. So tusimhukumu. Tujipe muda itajulikana baadae, Kama anaongozwa na Roho wa Mungu ama la.
@stanleywaweru1714
@stanleywaweru1714 6 ай бұрын
AMEN
@agnesspaul1866
@agnesspaul1866 7 ай бұрын
Tusihukumu iyo ni kazi ya Mungu pia tutambue kimbadiridha mtu Mungu ana njia nyingi sana huenda ndo mwanzo wa kaokoka daimondi
@eliudnjenga9385
@eliudnjenga9385 Жыл бұрын
From Kenya shusho kumbuka ulipoanguka mrudie YESU CHRISTO diamond unawakilisha ufalme upi na wewe ufalme upi mimi sielewi ingawa kenya tunapenda nyimbo za injili kutoka tz kiukweli mmetuangusha sana hivo sio YESU tena ni sifa na umaarufu huyu dada alianza vizuri ila asipohubiliwa aokoke tena naona hatari kubwa sana
@antonykongondo592
@antonykongondo592 Жыл бұрын
Ubaya wa kuishi bila mume
@حسن-ح7م1ق
@حسن-ح7م1ق Жыл бұрын
Waabudu halisi wataabudu katka roho NA kweli sio nyimbo my dear ww muombe Mungu amsaidie but dont judge the bble says judge not
@antonykongondo592
@antonykongondo592 Жыл бұрын
@@حسن-ح7م1ق wakristo halisi wanahukumu dunia dadisi Biblia halisi kaka/dada
@harrietajiambo229
@harrietajiambo229 Жыл бұрын
Siz juwa Kuna gospel singers wengine ni freemason kama Mondi
@stellamarisokoko1073
@stellamarisokoko1073 Жыл бұрын
Shetani anamnyakua tu mungu amkomboe.
@charlesjohn2794
@charlesjohn2794 7 ай бұрын
From Kenya tumeanza kuogopa waimbaji wa nyimbo zainjili hasa wanawake toka tz
@Mwasame_Official1
@Mwasame_Official1 7 ай бұрын
Nikweli kabisa
@eliebongwa8971
@eliebongwa8971 6 ай бұрын
wakuwa ya kwamba biblia inasema kwamba Siku wana wa Mungu walipokusanyika pamoja ,naye shetani akaja karibu nao
@JOHNGitau-wk9iy
@JOHNGitau-wk9iy 6 ай бұрын
Mimi pia wamenishangaza vya mno. Niliwaenzi kwa dhati lakini sasa imekuwa kinyume
@mnjaladonald9834
@mnjaladonald9834 5 ай бұрын
Shusho Tamaa Ndio imekuingia..... Everything is vanity.....Nyimbo zako za kitambo zilikuwa zanibariki sana lakini.... pesa na umaarufu umekutoa kwa Mungu....Tafakari
@tunumigila8995
@tunumigila8995 7 ай бұрын
Yesu alioshwa miguu na kahaba. Ukiwa mkristo u got to be very wise.
@bernardotieno4735
@bernardotieno4735 5 ай бұрын
Kongole sana Dadangu
@johnnjenga8001
@johnnjenga8001 Жыл бұрын
The line between righteousness and the world is becoming undistinguishable Come Lord Jesus Christ!!
@penguinngwini3933
@penguinngwini3933 Жыл бұрын
righteousness doesn't exist in this world my friend,,,if you think you are righteous then you are mistaken and remember Jesus used to eat and drink with sinners alafu tena yeye amekuja kama mkurugenzi wa Wasafi TV alah naweza eleza mpaka kesho,,,,,Wasafi ndo mojawapo ya media ambazo zitafanya hii album itambe zaidi
@daughterofzion200
@daughterofzion200 4 ай бұрын
Thanks 🙏 🙏 ​@@penguinngwini3933
@protuskhaoya
@protuskhaoya Жыл бұрын
Christina na Rose muhando nyinyi mumeshapotea na Sasa injili yenu haina ladha ya Mungu,Munacho tafuta ni hela na jina.... poleni dada zangu.
@geitandelwa299
@geitandelwa299 Жыл бұрын
Huu NDO ukweli mm nimecheka na nyimbo hizi wanazindua mmmh kazi ipo
@lillianmunyaka2417
@lillianmunyaka2417 Жыл бұрын
Ndio rafiki
@JohnNyasi-xb7sy
@JohnNyasi-xb7sy 7 ай бұрын
Wewe dada hachana na tamaa humaharufu maisha mazuri na cheo vinakuondoa kwenye reli ya Mungu hayo yote yanapita lakini neno litasimama
@dorkal4248
@dorkal4248 Жыл бұрын
Yesu Christo yuaja karibuni na sio karibuni tuu... wakatu wowote. Kama ilivyokuwa.. Dagon na sanduku la again hazikuweza kaa katika chumba kimoja. Ni kuokoka Diamond ameokoka? Kama hivyo sawa... bila hivo mjue tu madhabau ni moja tu na ndio maana mko katika umoja. Ila mungu wetu naye ni wa wivu.. hatoshiriki jukwaa na madhau ingine yeyote isiyomwinamia.
@patriciamakia4509
@patriciamakia4509 Жыл бұрын
Nuru na giza hafichanganyikani.Christina Nakuombea mungu akurudishe kwenye njia yko .lkn hapa ujanibariki kbsa zaidi ya kusikitika.mungu akuponye
@rebekamwahegwa939
@rebekamwahegwa939 Жыл бұрын
Hakika ni ufalme mwingine ulijivika utukufu wa Yesu,lakini Sasa simba wa kabila la Yuda kautwaa utukufu wake na kuiwekawazi nguvu inayotenda kazi ndani ya huyu dada.
@williammakali1759
@williammakali1759 7 ай бұрын
KWA hiyo mmeona mwenye dhambi wa kumhubiri ni yeye tu, au na kakorosho kana changia. Yesu alisema Asiye kuwa na dhambi awe wa kwanza kumtupia jiwe, ..ikawaje? Msimlilie yeye, lilieni nafsi zenu na vizazi vyenu. Halafu toeni maboriti yenu kwanza kwenye macho yenu ndo mweze kuna banzi vizuli. Mwacheni mtoto wa watu, Yesu alimfia siyo nyinyi.
@godfreyteeny768
@godfreyteeny768 Жыл бұрын
Dada shushu jua vizuri Leo utukufu wa Mungu humwacha mkisto kwa njia hii.hujamtendea Mungu hakiii
@حسن-ح7م1ق
@حسن-ح7م1ق Жыл бұрын
Judge not son of man pray for her and God said true worshipers shalk worshipers in true and spirit
@mksimon8849
@mksimon8849 Жыл бұрын
Siamini kumbuke Yuko siku za mwisho,watu wanajificha Tu Kwa Neno God for give us
@carolynewandera2843
@carolynewandera2843 Жыл бұрын
May God deliver your soul from the kingdom of darkness...😭😭😭😭😭😫
@harrietajiambo229
@harrietajiambo229 Жыл бұрын
Huyu alienda kushika watu nimtumwa cheza ww
@mnjaladonald9834
@mnjaladonald9834 5 ай бұрын
Giza na nuru zinashirika gani, toeni giza katikati ya nuru, tumuabudu mungu mtakatifu, katika roho, na pia kweli, yesu ni kweli tena ndio uzima, na njia ya kutufikisha mbinguni, Mungu ataka sote tumuabudu katika roho na pia kweli, ewe shetani pepo uliomchafu nakuamuru kwa jina lake Yesu, toka nani ya kanisa lake Mungu uende kuzimu ukachomwe moto, tumegundua hila na njama zako, tukuabudu wewe ni kama nani?tunae Mungu wetu yehova, sifa utukufu ni wake milele
@blandinamichael7001
@blandinamichael7001 8 ай бұрын
Safar ya mbingun si lëlëmama,,haktaingia knyonge,imeandkwa ufalme wa mbingun utatekwa na weny nguvu,,si nguvu za kiume wala kfedha,,n nguvu za roho mtakatifu pekee,,apo shushu jehanamu inakusubir kwasababu shetan ametawala maisha ako kwa %100 na hawez kukuruhusu utoke mikonon mwake ikiwa tayar ulikua mtumish wa mungu
@rosemarysuwi9293
@rosemarysuwi9293 Жыл бұрын
Usihukumu usije ukahukumiwa ukiona mtu kapotea muombee kimya kimya.usihukumu kila hukumu ya mtu IPO mikononi mwa mungu..huwezi jua pengine ndo njia ya kuwaokoa Hawa watu wa dunia..mm sijui nn kipo katikati.kati ya Hawa watu na mungu.anajua mungu mwenyewe.mwacheni mungu afanye kazi yake panapomhitaji zaidi🙏🙏
@geitandelwa299
@geitandelwa299 Жыл бұрын
Hawajahikumu Ila Ni KUONYANA hapa WENGI tunajifunza JINSI shetani alivyo mhalivifu
@lillianmunyaka2417
@lillianmunyaka2417 Жыл бұрын
Weweninimupumbavu
@liliannyangweso8033
@liliannyangweso8033 Жыл бұрын
Nipe macho nione nione ee! nipe macho nione sawa sawa! E bwana umenichunguza nakunijua wewe wajua kuketi kwangu nakulala kwangu! Christina listen to those two songs and go back to God, I'm praying for you
@ruthkahezani6597
@ruthkahezani6597 Жыл бұрын
Wakati alikua na nguo tatu mbaya mbaya upako wa bwana ulikua juu Yake, Leo hi nguo moja ni ya mamiloni ya pesa hadi anasaidiwa kuibeba lakini uwepo wa Bwana umemuacha !!! asipo mgeukia Bwana mwisho wake ni Zaburi 73
@ububyutse
@ububyutse Жыл бұрын
Oh noooooooo😭
@susanthomas9120
@susanthomas9120 6 ай бұрын
Yesu alikuja kwa wenye dhambi si watakatifu. Alikula nao na alikunywa nao Diamond ni mfano mzuri wa Christo alivyo fanya katika bibilia.
@isayajuma5870
@isayajuma5870 Жыл бұрын
Mungu akimbadilisha Diamond mtaona paulo.tunaeza hukumu saa zingine kumbe jamaa anaitwa
@erickjanelleogaja455
@erickjanelleogaja455 Жыл бұрын
Shusho utukufu uliondoka kitambo Sana, Ata ajibambe, alete waziri na msheŕati diamond..nothing will change.
@georginakadazo5303
@georginakadazo5303 Жыл бұрын
Huko siko dada shusho Giza na Nuru haviambatani kwani ulijiunga huko pia ww ooh God give us mercy
@MonicaCyprianAtoyo
@MonicaCyprianAtoyo 8 ай бұрын
Mungu tusaidie ileile roho iturudie nakusihi mungu
@RogerLwamatwi
@RogerLwamatwi Жыл бұрын
Shetani kwa Siku hizi anavutiya watu wa Mungu Sana tena Sana. Dada huyu alisha potea Kabisa. Hamuna lakubishi. Tutawatambua kwa matendo. Diamond yeye mwenyewe anamuonyesha Shushu njia yakuzimu
@williammakali1759
@williammakali1759 7 ай бұрын
mbonA mnamsonga Sana, hamna mambo yenu yakufanya. Chunge I Sana vidole vyemu, mnatisha.mwacheni mtoto wa watu, au vipi, mlitaka nyie ndiyo mzinduliwe? Mna lenu jambo.
@rosengowi847
@rosengowi847 6 ай бұрын
Kuzimu inafanya kazi kwa kasi sana🙏🙏dear Lord we need U more
@irenenzula478
@irenenzula478 Жыл бұрын
Waleteni wote kwa yesu, congratulations Christine shusho and diamond God bless you
@antonykongondo592
@antonykongondo592 Жыл бұрын
Yesu yupi Barabbas ama Kristo hapa kuna njama tega sikio utaskia hivi karibuni
@simonmdune9066
@simonmdune9066 10 ай бұрын
Nonsense
@gideon546
@gideon546 Жыл бұрын
🙏 🇹🇿 - Sijaona Diamond PLATNUMZ akiwa Mnyenyakevu kama Vile. "May "GOD" ALMIGHTY BLESS Everybody and Bless Tanzania and AFRICA. HALELUYAH. AMEN. 🙏🙏🙏
@stellamarisokoko1073
@stellamarisokoko1073 Жыл бұрын
Anajifanya Simba ambae amenyeshewa,atamtafuna shusho vibaya sana
@elishaowino4599
@elishaowino4599 Жыл бұрын
Dada kumbe uliacha kushanyika na wanaho tafuta Mungu kwa haki. Kasome kitabu cha 2Timothy 2:22- 26. Pole Sana .
@leahmollel6589
@leahmollel6589 Жыл бұрын
Mungu utusaidie! Pesa pesa pesa 😭😭😭🙆‍♂️
@ububyutse
@ububyutse Жыл бұрын
Pesa..another god🤷🏻‍♀️
@marygacheru9311
@marygacheru9311 Жыл бұрын
Shenani anatumia tamaa ya pesa.
@stellamarisokoko1073
@stellamarisokoko1073 Жыл бұрын
Pesa ilimiua yesu,shusho jamani
@lotimwansule5017
@lotimwansule5017 Жыл бұрын
Toka leo nimeacha kusikiliza nyimbo zako shetani ana nguvu sana .
@naomiwachiya6507
@naomiwachiya6507 Жыл бұрын
Nyimbo hazina shida, muombe dada yetu
@janetnduku7954
@janetnduku7954 Жыл бұрын
She has been my favourite but now I withdraw myself.
@musyimibenson6380
@musyimibenson6380 Жыл бұрын
Wana wa Mungu tafadhali,chunganeni sana na wana wa dunia maana watakuwa na akili mingi kuwaliko nyinyi,si Mimi ni biblia imesema.
@StacyBellah-gp5ne
@StacyBellah-gp5ne Жыл бұрын
Shusho has been my favorite gospel singer but now 😢😢 .. Darkness is overcoming light... Have mercy on us oh God ...
@betsebamwenda4379
@betsebamwenda4379 Жыл бұрын
Pray for her my dear it's very true there is no any connections between light and darkness the woman now the way you have chosen. Did you heard the voice of God Any way we can't judge we are not God.
@maonoprayercentre351
@maonoprayercentre351 Жыл бұрын
Walisema aliinamia askofu ampee pesa ya album lets pray for her tusimuhukumu
@ububyutse
@ububyutse Жыл бұрын
Last days my brothers & Sisters 😭
@carolynekanaiza
@carolynekanaiza Жыл бұрын
At Mimi simpendi nikama amejiingiza Kwa cult,huyu Christine hayuko bure
@jacintamwikali7211
@jacintamwikali7211 Жыл бұрын
What next christina shusho favourite 😢😢
@phylliskegenyo1940
@phylliskegenyo1940 Жыл бұрын
Hiiiiiiiii iliendaaa.shusho alienda.. mbinguni tulipoteza . Mungu shuka usitumane😢😭😭😭
@francisndeleva1077
@francisndeleva1077 Жыл бұрын
Shusho we loved you in Kenya but now..... Mhhh you have joined another kingdom we can only pray for your soul.
@stellamarisokoko1073
@stellamarisokoko1073 Жыл бұрын
Exactly 💯
@LizLiz-tt2il
@LizLiz-tt2il Жыл бұрын
You and which where who Kenyans????? Speak for yourself manze
@lucymlewa2229
@lucymlewa2229 Жыл бұрын
Remember our call is to bring those from darkness to the light,stop judging huenda ikawa njia ya diamond kutoka ufalme wa giza,mliambiwa msijudge
@lucymlewa2229
@lucymlewa2229 Жыл бұрын
Remember our call is to bring those from darkness to the light,stop judging huenda ikawa njia ya diamond kutoka ufalme wa giza,mliambiwa msijudge
@estonkagota1454
@estonkagota1454 11 ай бұрын
We umechizi nini? Diamond is there for business@@lucymlewa2229
@EverlineNgige
@EverlineNgige 6 ай бұрын
May be Mungu anamtafuta kwa njia hii nobody knows and Ican't conclud Mungu ananjia zake ,na njia zake hazichunguziki
@Mercyline-l5n
@Mercyline-l5n Жыл бұрын
Venye nlimwona na mapete kubwa kubwa nlijua kna shida ona sasa.mungu tteteeee
@celinecindy7018
@celinecindy7018 Жыл бұрын
CHRISTINE SHUSHO AMA NAOTA??!!! NYIMBO ZAKO ZA KITAMBO ZILIKUA ZINANIPA NGUVU ZA CHANGAMOTO ZA MAISHA! YOU WERE MY BEST!! NAKUMBUKA UKIMRUDISHA RINGTONE WETU KWA GOSPEL I SALUTED YOU!! SASA UMEAMUA KUMSALITI YESU LIVE UKAJIUNGA NA JUDAS ISCARIOT!! 😮😮 MAY GOD RESTORE AND FORGIVE YOU IN THE NAME OF JESUS!!!
@NeemaSimon-yi1eh
@NeemaSimon-yi1eh Жыл бұрын
Uko sahihi awa awajajua ukuu wa yesu Bado wanasumbukia pesa Dunia mungu 2 saidie wanaangalia pesa Awana shida nayesu saiv na yesu amewaacha wafate akil zao zisiso faa wa2 wangu wanaangamizwa Kwa kukoxa maarifa hsea 4,6
@edwinandrew1674
@edwinandrew1674 Жыл бұрын
Kwani hapakuwa na wachungaji mpaka amuite mondi...😢..dadangu umepotoka kweli
@janejohn4257
@janejohn4257 Жыл бұрын
Mungu niwetu sote hongera sana diamond kwa kujal
@christineachieng2229
@christineachieng2229 Жыл бұрын
Nilikuwa napenda nyimbo zake lakini sahi ameuwa moyo wangu 😭😭😭😭💔💔💔
@ericksocrates254
@ericksocrates254 Жыл бұрын
Pia na mimi
@ericksocrates254
@ericksocrates254 Жыл бұрын
I still like her songs. But let her glorify God for all this.
@antonykongondo592
@antonykongondo592 Жыл бұрын
Hii imegulwa hii imeenda
@SharonEndesha
@SharonEndesha Жыл бұрын
Hata Mimi nimeshangaa
@mercywaruguru1067
@mercywaruguru1067 Жыл бұрын
Na kila kiumbe na kimtukuze Mungu ata shetani mwenyewe
@sallygachui3191
@sallygachui3191 Жыл бұрын
My darling bruv Diamond please sing & glorify our creator JESUS CHRIST and HE Will bless you. Amen.
@ramadhanmulavu8160
@ramadhanmulavu8160 Жыл бұрын
Jesus himself was created,,read your Bible yakhi
@MwathiAnthony-tz6tr
@MwathiAnthony-tz6tr Жыл бұрын
tongoza afu oa au ni oa afu tongoza? kama lengo ni kuvuta mwanamwali kwa Bwana harusi sioni kosa.......huyu wa thamani kuliko mimi na wewe tulioolewa tayari,Amen?
@jemimamuenimutuku5417
@jemimamuenimutuku5417 7 ай бұрын
Yesu alikua Kwa waovu Sio,Kwa wasio waovu.
@TrupsyOfficial
@TrupsyOfficial 6 ай бұрын
Ndio lakinii hapa sio
@sigorijoseph4977
@sigorijoseph4977 5 ай бұрын
Huyu mama kashafanya mambo na mondi hana sifa tena
@alphoncemgombera
@alphoncemgombera Жыл бұрын
Habari Yako!!!! Christine haupaswi Tena kusalimiea Bwana YESU asifiwe
@MuhindoEdmond-oe8lx
@MuhindoEdmond-oe8lx 7 ай бұрын
Heri mwisho kuliko mwanzo...Mungu ametoka kati yao zamani
@monicahn.3909
@monicahn.3909 Жыл бұрын
God give us spirit of Discernment.
@israelthomas8621
@israelthomas8621 8 ай бұрын
For sure my sister
@natashataraji312
@natashataraji312 Жыл бұрын
yes mluminati na mtu wa mungu hawapatani kamwe kamwe giza na niru havichangamani kamwe
@shukurujeff4094
@shukurujeff4094 Жыл бұрын
Pole ndugu,kwa ku jiunga katika hali iyo
@MpunduwanawakeongelavipigeniVi
@MpunduwanawakeongelavipigeniVi Жыл бұрын
Jamani ivi ni shushu yule ninaye mujuwa awu nimwi ngine? naota awu? Iv umemutupa yesu kwa ajili yapesa sister kumbuka ulipo angukia🙆🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲
@jedidahmikisa1870
@jedidahmikisa1870 Жыл бұрын
The problem is when the Holy spirit leaves you he doesn't leave with what he brought with him. You will be there thinking the holy spirit is there because you still have the voice you still speak in tongues and perform miracles that you used to do before. Christine it's high time uamue whethe you are in the world or in Christ I pray God restores you back this are end times you just can't afford to fall back that way wewe ungemfanya diamond aokoke badala ya yeye kukuvuta Kwa dunia
@alphoncemgombera
@alphoncemgombera Жыл бұрын
It is very difficult to reverse this, it started very far darkness my dear in Christ,what we are seeing evidentially is the manifestation of blood covenant which is irreversible
@naomiwachiya6507
@naomiwachiya6507 Жыл бұрын
You are right
@getrudemaluku414
@getrudemaluku414 Жыл бұрын
Those are baby dimensions bila Yesu hutoboi Baba Mungu usfunge macho
@williamwekesa6109
@williamwekesa6109 Жыл бұрын
Diamond muisilamu shusho mkristo dini hizi ni tofauti haziambatani
@jacksonjombo7221
@jacksonjombo7221 10 ай бұрын
Samahani Iyo profile photo yako ni logo ya freeemason kama umeiweka kwa kujua ni sawa kama ni kwa kutokujua itoe
@MILDREDKAFUNA
@MILDREDKAFUNA 10 ай бұрын
Shida na watu ni kushabikia vya dunia lakini nyimbo za roho mtakatifu hawazithamini mda mrefu.. Mungu utusaidie
@sarllykat9553
@sarllykat9553 Жыл бұрын
jesus came to save sinners, so the light is there to overcome the darkness that is nomal, so if Christians have to stay themseves only, then God is not going to save other sinners through us??? pastors and musicians have one job to save sinners through the gospel. that'it.
@yesutuatosha1460
@yesutuatosha1460 Жыл бұрын
Tuendelee kumuombea huyu Dada yetu Christina Kuna mahali ameuacha upendo wa Kwanza sasa anaenda mwwnyewe. Mungu amsaidie ili apate kujua Ni wapi alipo anguka akatengeneze upya na mwokozi aliyemuita. Tunaweza kutafuta kuwa na umaarufu,majina makubwa, pesa nyingi na kila aina ya ufahali lakini tusipo kuwa ndani ya Kristo ni bure. Like:16:19-25
@bnje
@bnje Жыл бұрын
weng kusoma biblia wanajua kuelewa sasa ndio shida ilipo wengne wameishia kua wanafki mbele za mungu binadam tunajipa umungu tunakosoana wenyew hahahahahahahahaha wew unajiona uko sahihi mbele za mungu ?
@judith5112
@judith5112 Жыл бұрын
Hawa waimbaji naona wamepotea,huyu shusho na rose muhando,wameshika njia mbaya kufkia saai,shetani amewateka kabisa,,tangu lini Giza na Nuru vikachangamana? Mungu wa mbinguni awasaidie hawa na wapate ufahamu Tena jaman.
@devidrashidi
@devidrashidi Жыл бұрын
Kwel kabisa
@saxisarinah7425
@saxisarinah7425 Жыл бұрын
😂😂😂😂
@levinamathias8507
@levinamathias8507 Жыл бұрын
Mungu akubariki umenena vema
@kimemori8540
@kimemori8540 Жыл бұрын
Shusho umeshaamguka,unafanya biashara tu Sasa Shetani na watu wake wanakutumia ,Siku za mwisho zimefika ,wana wa Mungu tazameni malango wanayoingia watu Hawa msishiriki nao
@franciswere928
@franciswere928 Жыл бұрын
Christina shusho ulianza vizuri but you've lost on your way
@EMMANUELMLEWA-d7t
@EMMANUELMLEWA-d7t Жыл бұрын
Sijaona kitu ya kuhukumu mtu hapa, huezi kemea pepo kabla hujajau source ya hiyo spirit.We must humble and let your spirit to discern what brought these two people together.... If you doubt their union,then pray for them to serve the true God.
@deborahkambua9522
@deborahkambua9522 Жыл бұрын
True , Mungu ni wa sisi wooote wooote
@odettedogupastor4068
@odettedogupastor4068 10 ай бұрын
Yoo kesha sana mama SHETANI asikunyanganye talents yako
@oseeluvv
@oseeluvv Жыл бұрын
Watu wanajifanya watakatifu sana hapa ...... christian Yuko sawa kumbuka hata mwanafunzi walipo muuliza Yesu mbona unaketi na mtoza ushuru...... Usihukumu usije ukahukumiwa
@ronniekabito991
@ronniekabito991 5 ай бұрын
Sawa na kweli Yesu alikaa na Kula na watoza ushulu na waovu sikwa sababu yao kumudhamini Bali yeye kuwafikia na wokovu. Hawa walikuwa wanatengwa na Jamii hawakuwa na fulsa la kuja Kwa mungu ndipo ili mpasa mungu/Yesu awafikie. Sivyo Kwa Shusho na Rafiki yake huyu. Huyu jamaa ana njia zote za kusika na kumpokea Yesu lakini aja Fanya ivyo
@nisetameena9276
@nisetameena9276 Жыл бұрын
Ee MUNGU baba mwenye huruma umkumbuke kiumbe wako kwa jina la YESU
@nisetameena9276
@nisetameena9276 Жыл бұрын
Chombo kinaenda mrama uwiiiii
@emanuelnyab9872
@emanuelnyab9872 5 ай бұрын
Nyakati za mwisho, Christina umechemka vibaya sana
@martinmutua300
@martinmutua300 Жыл бұрын
Nyakati za mwisho yesu njoo uchukue kanisa lako
@joybarasa-u2o
@joybarasa-u2o 8 ай бұрын
My people are perishing due to lack of wisdom, Mungu akuhekimishe dadangu,
@hellenambasa5715
@hellenambasa5715 Жыл бұрын
Ya kwanza diamond atumbu na aokoke Dio injili iedelee bila Dunia kwisha shetani anaguruma kwa funzo , mungu tuokoe sasa tunapokuita
@afwililenisaidie9597
@afwililenisaidie9597 Жыл бұрын
Jamani waimba wachungaji maaskofu na sisi wakristo tunaenda wapi mbona tunafukuzana na dunia kweli iko wapi mbona hiv shusho e
@JoanWayadi
@JoanWayadi 6 ай бұрын
I totally agree with you even if God wants us to bring the sinners to him
@queenraphaher7736
@queenraphaher7736 Жыл бұрын
Ili kuona ni pesa, hakuna Cha Bwana Yesu asifiwe, hofu ya wayahudi, mtoa pesa sie. Umeanguka dada
@TuaircachimoNantola-po7oo
@TuaircachimoNantola-po7oo Жыл бұрын
Naomba mungu akusaidie sana ili umrudie mungu wako
@mercose1
@mercose1 6 ай бұрын
Shocked....next tutajionea maajabu
@mercymari7097
@mercymari7097 Жыл бұрын
How can darkness shine more than light. Sòooo sad im sooo dissapointed 😢😢😢
@mujurivicky3238
@mujurivicky3238 Жыл бұрын
wee acha ujinga grow up,Jesus come for the sinners not the righteous ones.Ukiona wewe ni mtakatifu sana basi tangulia mbinguni ukaishi na malaika
@ububyutse
@ububyutse Жыл бұрын
Me too🙆🏻‍♂️
@saningoolekissmirr1742
@saningoolekissmirr1742 Жыл бұрын
This is unbelievable. Of all the people "Diamond"🙊🙊🙊🙊🙊🙊
@neemangoi1691
@neemangoi1691 Жыл бұрын
Somo tunakutegemea mbona tunàona unapotea ndugu
@naomiwachiya6507
@naomiwachiya6507 Жыл бұрын
@@mujurivicky3238 Yes he preached to them the kingdom of God, but he did not join their camps. The truth will stand.
@MariamJuma-xw7kk
@MariamJuma-xw7kk Жыл бұрын
Mh ushakuwa wa dunian mungu akurehem
@Jehovarohiband
@Jehovarohiband 10 ай бұрын
Ona jinsi yesu nansbyotuksnwa juu ya watu wanayejifanya ety wanamhubiri
@shalomnanjala379
@shalomnanjala379 7 ай бұрын
Luka 5 inatuambia Hata alipokwisha kunena aliwambia Simoni tweka mpaka kilindini mkashushe nyavu zenu mvue samaki Simoni akajibu akamwambia bwana mkubwa tumefanya kazi yakuchosha usiku kucha tusipate kitu lakini kwa neno lako nitazi shusha nyavu bas walipo fanya hvyo walipata samaki wengimno 🙏🏻 na neno la bwana lipewe sifa Shusho ame shusha nyavu
@hamulimagala8131
@hamulimagala8131 Жыл бұрын
Shusho ni mwimbaji WA nyimbo za injili ambaye wengi wanapenda sana miongoni mwao mimi ila naumia kabisa kuona ameshirikisha Giza katika mambo yake, yaani alikosa waimbaji was gospel wazindue album yake????
@CarolineNerima-bg1nh
@CarolineNerima-bg1nh 7 ай бұрын
Ooh God, how pple change, become these, Jesus have mercy on us!!!
@JescaHaule-y2q
@JescaHaule-y2q 9 ай бұрын
Yesu yupo karibu kuludi maan dalili zingine nikama hizi dada angu utuambie ww unamsifu Mungu yup maana mmmmh
@NeemaBaraka-l7l
@NeemaBaraka-l7l 9 ай бұрын
Lakini huyu dada ameshanganyikiwa tu , Ginza na nuru haishangane, ulianza vizuri ukamaliza vibaya , mungu katika upendo wake akuregebishe umurudiliye tena sababu nyimbo zako zimejenga watu Wengo sana. Akumbuke tena n'a tena.
@obadiajumamkaria2568
@obadiajumamkaria2568 Жыл бұрын
Iyo ninjaa nakumthalilisha YESU wakidunia wataokokaje
@JESCAEMMANUEL-nq2pb
@JESCAEMMANUEL-nq2pb Жыл бұрын
Nisaidie Hilo andiko unalosimamia uniponye
@DorisAchieng-y7q
@DorisAchieng-y7q 5 ай бұрын
Ni kweli... giza na nuru haviendi pamoja
@judithwasonga3487
@judithwasonga3487 Жыл бұрын
Dah! Nyakati za mwisho zimefika kama giza na Nuru zimepataja ni maajabu sana
@helenamfimba1405
@helenamfimba1405 Жыл бұрын
Jamani mwenye kuelewa anielezee mbona sijui nini kimetokea
@Kangemi-si6ch
@Kangemi-si6ch Жыл бұрын
Shusho Noooooo!😢Mungu akuregeshe
@godyaminieli9259
@godyaminieli9259 Жыл бұрын
Ingekua vizuri iyo album angeizindulia church na uyo mond aje kanisani sio mliman sity... Lakin pia watu wapo kikazi awapo kiroho... MUNGU ATUSAIDIE TUU
@VicentTarimo-z5z
@VicentTarimo-z5z 6 ай бұрын
Duuuuu Yesu wangu?
@kensimiyu5926
@kensimiyu5926 7 ай бұрын
Dada alianza na roho kamalisa kwa mwili mungu amurehemu gal 3v3
@merryelineema-fp9pq
@merryelineema-fp9pq Жыл бұрын
Dunia imeisha jamani mbona mambo yamebadilika sana tutafanyaje sasa.mungu simamia haya yote.
@Margaret-kc8sx
@Margaret-kc8sx Жыл бұрын
Yametajwa kwa bibilia the last days
@miriamnjuguna1342
@miriamnjuguna1342 7 ай бұрын
Christina shusho tubu kabla maafa yajakupata God still loves you
@lightmashauri1725
@lightmashauri1725 Жыл бұрын
Hongera sana dda shushu umekuwa mfano wa kuigwa kwa kutobagua watu
@joycepeter6541
@joycepeter6541 Жыл бұрын
Yesu alisema alikuja kwa wenye Dhabi wacheni kuhumu jamani huyo diamond anaweza kuokoka .why are judging others na wewe SI mungu.
@naomiwachiya6507
@naomiwachiya6507 Жыл бұрын
@@joycepeter6541 ndio anaweza, lakini sio kwa mazingira hayo
@TimothyChaka-ws3zh
@TimothyChaka-ws3zh 7 ай бұрын
Mungu Ndie Aje yote..
@paulineakoth6534
@paulineakoth6534 7 ай бұрын
Nashangaa. Mungu amrehemu Shusho
@PortiaKimani
@PortiaKimani 7 ай бұрын
Unbelievable
@meshacknyandongo577
@meshacknyandongo577 10 ай бұрын
Sasa mtumishi wa Mungu nguo mpaka ushikiwe na watu ndio utembee umevaa ya nn sasa
@RachelMligwa
@RachelMligwa 7 ай бұрын
Hivi ni kweli we bint umeshajiunga na Freemason yaani Diamond anazindua Albam yako hata mtumishi mmoja wa Mungu hayupo
@stanelykariuki-ue3cw
@stanelykariuki-ue3cw Жыл бұрын
C meamini christina shusho tena nyakati za mwisho nuru ikageuka kuwa giza
@sarahmauwa3771
@sarahmauwa3771 Жыл бұрын
Lazima tuwaonyeshe upendo... Ndio tuwavute kwa yesu...
@asiathoya551
@asiathoya551 Жыл бұрын
Aaaaah hapo umenena uwongo. Shusho Hana Mungu aluyehai tena.
@elishagwivaha
@elishagwivaha Жыл бұрын
Sjaelewa christina shusho ninayemjua ndo azinduliwe na Diamond aaah makosa
@lillianmunyaka2417
@lillianmunyaka2417 Жыл бұрын
Wanahangaikahawa namungupiayahawamjuwi wanamsulubisha yesumarayapili
@AnchilaMpalile
@AnchilaMpalile 10 ай бұрын
Kweli kabisa Giza nanulu haviendani uko sahiii
From Small To Giant 0%🍫 VS 100%🍫 #katebrush #shorts #gummy
00:19
Lamborghini vs Smoke 😱
00:38
Topper Guild
Рет қаралды 42 МЛН
Noodles Eating Challenge, So Magical! So Much Fun#Funnyfamily #Partygames #Funny
00:33
DIAMOND ALIVYOSOMA VIFUNGU VYA BIBLIA, WAZIRI MKUU AMPIGIA MAKOFI
7:07
KINGWENDU AJARIBU KUWA PATANISHA DAIMONDI NA KONDE BOY UTACHEKA SANA HII
7:44
Israel Mbonyi - Nitaamini
12:58
Israel Mbonyi
Рет қаралды 32 МЛН
ASKOFU JOHN SHUSHO KWENYE SEND OFF YA BINTI YAKE WA KWANZA.
9:01
Faith Victory Media
Рет қаралды 52 М.