Daa Mungu amponye nimejisikia vibaya inaonesha alikuwa anaumwa ☹️😥😥😥🙏🙏🎇
@bahafatv22 күн бұрын
yeah! inaumiza sana,Kwa uimara ni shupavu na ana stamina ya kutosha,maana ni mwanajeshi na Alikuwa ni mkufunzi WA kijeshi,huenda Kuna tatizo la kiafya.watasema baadaye