poleni sana wakaazi wa daraja bovu na mitihani hii ya mvua za masika hakika zinjibar tv wanatupatia habari safi kabisa za ndugu zetu poleni sana
@bintilhallalali12904 жыл бұрын
Poleni sana watu wa darajabovu Allah atawasaidi
@bintilhallalali12904 жыл бұрын
Mm nawaomba muchukuwe tahadhar
@fatmasaid58644 жыл бұрын
Inshaallah Allah aijaalie iwe mvua za kheri
@muslimakassim97914 жыл бұрын
Ya Allah please help them nd us ameen 🤲🤲
@samsungjsevenprime57174 жыл бұрын
Mtihani huo Allah atifanyie wepesi kila penye uzito poleni wanachi wenzetu kwa changa moto hizo Allah awajaalie hao viongozi wa serikali wawe na huruma yakuwajengea daraja au mtaro
@adam5ramadhan1544 жыл бұрын
Yaa Allah waokowe wenzetu wape wepesi wa maisha
@shaadenshaduni77554 жыл бұрын
Mmmh eti kuchunga watoto ! Hivi kweli mna jua kuchunga watoto!
@aliarkam95484 жыл бұрын
Polen sana ndugu zetu kuwen wangalifu Zaid
@alamatv59704 жыл бұрын
pole chala mshua
@muslimakassim97914 жыл бұрын
Subhannah Allah 😥🤔
@zayyatiyussuf95664 жыл бұрын
Zenjibar tv online hakika hii ni FAHARI ya zanzibar
@fdhjffdhjfsjdjfjfi94774 жыл бұрын
Poleni sana jitahidini kuchukua tahadhari Allah ataleta wepesi inshaallah
@aishasaid57024 жыл бұрын
Subhanallah
@mamawa3mamawa3214 жыл бұрын
Allah awasaidie
@ashuashu38434 жыл бұрын
Subhanah Allah
@SamsungA-su2qj4 жыл бұрын
Tuombe dua kwa Allah atuepushe na Majanga
@zayyatiyussuf95664 жыл бұрын
Subuhanallah
@chalamshua68354 жыл бұрын
Mm ni miongon mwa wahanga wa hay maafa aktok mt wa pil kuongea nlkua mi nmevalia khanga ya mbaz ila asntn sn Zinjibar tv kw ushrkiane wen Allah atawalpa kw kla hatua 🙏
@msodokihasla8394 жыл бұрын
Hnger muhanga
@chalamshua68354 жыл бұрын
@@msodokihasla839 asnt msodok hasla
@zaytunhijja67714 жыл бұрын
Tuma picha yako tukuone vizur
@chalamshua68354 жыл бұрын
@@zaytunhijja6771 inatosha
@johnbernad68064 жыл бұрын
Sawa tumekuona
@muurk_peslovermuurk28154 жыл бұрын
Dah
@mtumwenimachano58934 жыл бұрын
Poleni
@masoudzanzibarali99944 жыл бұрын
Kwa vile Uchaguzi Mkuu unakaribia watakuja wawakilishi na wabunge wa CCM na watakudanganyeni tena na Kura mtawapa alafu ndo imetoka, inauma sana tena sana Visiwa vyetu Vidogo Lkn Hakuna maendeleo baada ya viongozi Wizi
@iddijumaali71924 жыл бұрын
Serekali bandia
@halimanassra80104 жыл бұрын
wakati wa mvua ndio kipindi muwafaka cha kutathmini ubora na uzur wa miondombinu yanayojengwa na hao viongoz wanaojisifu. project zote uwoza mtupu.
@sadakhamis12612 жыл бұрын
Nikweli ulichokisema
@hajiabdalla57724 жыл бұрын
Tatizo mumejenga kama wanavyojenga nyuki katika sega lao .mana nyumba zimekaliana kama meno . Huo mtaro utapita wapi na muwache kutiana ovyo na kufuga majini na misukule. Majumbani mwenu ndio mana matatizo hayesh
@chalamshua68354 жыл бұрын
Kakaang acha ujinga kua na akil c maneno yakusema tn mbel za wat mn unaonekan mjing mbel ya jamii huwez kuongea br unyamaze hy maafa hakun alie yaomba yatokee ispokua mwnyw muumba je akyaleta kwen utasemaje acha ufala bhn
@bmswahilionline96184 жыл бұрын
Poleni sana wenzetu kwa maafa .jamani sio wa wakati wa siasa huu jamani
@bmswahilionline96184 жыл бұрын
Hongera babu wa shamba
@khamisdogo80934 жыл бұрын
Inavoonyesha ww nimjinga kwel 😏
@hakimhajj45584 жыл бұрын
Chala mshua nakukubali nitafute kupitia 0629639776 kuna kitu nikusaidie