Naomba uniunge kwenye group,natamani kujifunza zaidi kuhusu sungura nami nianze kuwafuga
@FortuneKimarioАй бұрын
Hongera sana dada kwa ufugaji mzuri
@witnessmallya511410 күн бұрын
Naomba uniunge kwenye group nami nijifunze
@glorymrema71059 ай бұрын
Namba ya cm
@MeshackLukambuziАй бұрын
Bibi sungura unapatikana wapi?
@josephlugongo63572 ай бұрын
Unapatikana mkoa gani, na namba za simu.
@ghatijr23376 ай бұрын
Napataje mbegu
@ZubedaAbdallah-s5p5 ай бұрын
Naomba namba
@jonastakilihona6 ай бұрын
Namba ya simu Yako Mama
@PESASungula8 ай бұрын
Good
@ZubedaAbdallah-s5p5 ай бұрын
Unapatikana wapi dada?
@NinyibukaSandra10 ай бұрын
Unaongeya ninavyo waza
@TumainiAlfredNgojwa7 ай бұрын
unapatikana wapi madam,?
@jerytv22892 ай бұрын
Tunaomba link ya whatsup group
@rsmmedia2 ай бұрын
0626536090
@JofreySummer7 ай бұрын
👍
@MeshaJohn-w3s9 ай бұрын
Sungura akifa na ameacha watoto wachanga watapewa maziwa gani
@hamzamkamba69856 ай бұрын
Je sungura akizaa arachukua muda gani mpk kumpndisha tena
@Zanga935 ай бұрын
Mwezi mmoja unaachisha watoto kunyonya jike unampandisha kwa dume
@BatonKiwelu24 күн бұрын
Bibi sungura mimi nimfugaji mdogo nilikua na sungura 150 wamekufa wamebaki sungura 50 niwape dawa gani
@BatonKiwelu24 күн бұрын
Naomba samba ya bibi sungura
@NabiiMkuupdYohana797418 күн бұрын
Kama Sungura wanakufa Angalia suala la Baridi, kusiwe na Baridi sana lakini pia banda linatakiwa liwe safi na zuia wadudu waharibifu kama siafu .... Angalia Chakula kama unatumia pumba za mchele zinatakiwa ziwe laini na chakula kisiishe bandani... Sungura wasichanganywe kila rika litengwe ukichanganya wakubwa na wadogo huwa wanaleteana fujo.... Kabla ya kuangalia dawa zingatia hayo kwanza.... Ukiona tatizo linaendelea muone Bwana mifugo kwenye kata yako... Nimezungumza hayo kwasababu nimefuga Sungura toka mwaka 2006... Nawajua Sungura na Changamoto zake