TAZAMA MATUKIO YALIYOTOKEA KWENYE SHEREHE YA KUZALIWA KWA MTOTO WA MSANII GLADNESS KIFALUKA

  Рет қаралды 25,071

ZamaradiTV

ZamaradiTV

Күн бұрын

Пікірлер: 119
@ngwacahnyagwaswa9979
@ngwacahnyagwaswa9979 3 ай бұрын
Nimecheka mie 😂😂😂 kaongea kingereza lakini lafudhi haija mkataa 😂 hongereni ❤❤
@Marzzzzzz20
@Marzzzzzz20 3 ай бұрын
😅😅😅😅
@LoveAron
@LoveAron 3 ай бұрын
Glad ni noma anamficha Baba watoto wake akicheza safiii sanaaa ,Mungu aitunze couple hiii 😘🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙏❤️💋💕💞👌💪
@MauBonde
@MauBonde 3 ай бұрын
Lafudhu ya Kingereza cha shemeji anaonekana kama muhindi.
@AishaMaganga-vd1jg
@AishaMaganga-vd1jg 3 ай бұрын
Wahind wanakuaga nawake zao india 🇮🇳 ndomaana haonyeshi sura. Wanaheshima sana family zao.❤
@KhalidaUridu
@KhalidaUridu 3 ай бұрын
Dah nmependa sana hii 🎉🎉🎉🎉🎉
@FghgRyy
@FghgRyy 3 ай бұрын
Jamaa mhindi kabisa 😂😂😂
@azizayassin3623
@azizayassin3623 3 ай бұрын
Mke alikuwa anajifanya ooooh ni mzungu 😂😂😂😂😂 sasa ndio nini kujifunika ivyo khaa
@FghgRyy
@FghgRyy 3 ай бұрын
@@azizayassin3623 😂😂😂 Yaan ni hatari jamaa kaja TZ kibiashara kapata na danga pembeni kaacha mke huko India kufunika sura ili asijulikane sisi tushajua sauti maana wahindi najua ongea yao
@azizayassin3623
@azizayassin3623 3 ай бұрын
@@FghgRyy 😀😀😀😀shenzi zke yni.anaficha sura mkeo.india asimuone khaaaa tapeli sna
@nahlahassan-fd6le
@nahlahassan-fd6le 3 ай бұрын
​@@azizayassin3623Tena hindi kabisa kabisa baniani haswaaa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@NaifinMohamed
@NaifinMohamed 3 ай бұрын
​@@azizayassin3623aone wap huyo muhindi😂😂😂
@maliadii4829
@maliadii4829 3 ай бұрын
Mhindi huyo 😂😂😂
@Keyjop
@Keyjop 3 ай бұрын
Aaaah...myahudi au muhindi but all in all hongera saana bana dah..
@zainab8251
@zainab8251 3 ай бұрын
Jamani watu hela mnazitowanga wapi? Wengine Tanzania 🇹🇿 tumekimbia kwa sababu ya kukosa pesa
@MsNajma-j7e
@MsNajma-j7e 3 ай бұрын
Kabsaa hata mie najiuriza wanazitoa wap mbon ssi hatupati mbaka tumeama tz tupo ugaibun uku eee,,wenzetu wanapesa zakuchezea na wakiumwa hapo tunambiwa tuchangie ata mirion Moja hawana
@Keyjop
@Keyjop 3 ай бұрын
Yaani ...
@mariamkibindo1741
@mariamkibindo1741 3 ай бұрын
Acha TU Mimi sipatamani hata ni Bora nimejificha zangu huko alhamdulillah, yaani wenzetu pesa Hadi wanacheza nazo wee😂 congratulations to them 🎉
@MuhamadiAli
@MuhamadiAli 3 ай бұрын
Hindi jamaa au bangaladeshi
@Amina-b1z
@Amina-b1z 2 ай бұрын
Salah mungu anakuona ati nilijua robot 🤖 😂😂😂😂
@BoklieCutering
@BoklieCutering 2 ай бұрын
Mara pa mtoto anamvua balakoa😂😂😂 baba
@Daniella249
@Daniella249 3 ай бұрын
Anamuelekeza ana mpanga😅😅😅😅 🙌🙏
@kazkaz1943
@kazkaz1943 3 ай бұрын
Your here for supportus😂😂😂 huyu muhindi ila ana pesa
@evalinemalole6709
@evalinemalole6709 3 ай бұрын
😅😅😅😅😅 myahudi Glady bana🙌🙌🙌
@atuganilekitego8616
@atuganilekitego8616 3 ай бұрын
Glad drama hadi kwenye maisha halis, i love you though nakumbuka kitimtim wanifurahisha
@madammbago9787
@madammbago9787 3 ай бұрын
Swaleh umenichekesh sana
@Maturukiofficial19
@Maturukiofficial19 3 ай бұрын
From Indian happy birthday baby
@MariamIbrahim-h7p
@MariamIbrahim-h7p 3 ай бұрын
Izo hela zote jamanii manshallah
@salhawaziri1668
@salhawaziri1668 3 ай бұрын
Ndo shida hiyo ya waume za watu huko makwao yani unashindwa kutamba unatamba nusunusu
@TatuMabula
@TatuMabula 3 ай бұрын
Hongereni sana
@Merry-ek5mj
@Merry-ek5mj 3 ай бұрын
Ila gladness majibu yake nmecheka sana 😂😂😂😂
@shamsaali982
@shamsaali982 3 ай бұрын
Muhindi. Au mchinaa Wayahudi they speak perfect English ok 😅😅😅
@ashaali7154
@ashaali7154 3 ай бұрын
Hizi kufuru munazozifanya wasanii mujue Mungu yuko lakini na anawaona.
@RoseBryson
@RoseBryson 3 ай бұрын
😂😂😂
@magrethmathayo2800
@magrethmathayo2800 3 ай бұрын
heeee watu wanatoa pesa wapi jamani 😊😊😊😊
@HappynessJose
@HappynessJose 3 ай бұрын
Wahindi wapo na Mila zao lazima ajifiche ili family yake izimuone kwa mtandao
@Amina-b1z
@Amina-b1z 2 ай бұрын
Yes wanachukia weusi 😂
@victoriadaizy5277
@victoriadaizy5277 3 ай бұрын
Saleh umenichekesha eti huuu. Haaai. 😂😂
@tausimfaume6487
@tausimfaume6487 3 ай бұрын
Nmecheka xn 😂😂
@RoseDennis-u1j
@RoseDennis-u1j 3 ай бұрын
Big up kiboko ya wambea hii
@nasha_59
@nasha_59 3 ай бұрын
Jamaaa muhind hyy 😁
@wadantz123
@wadantz123 3 ай бұрын
Hahhhh mmemficha lkn baiya lafudhi haijamsaliti 😂😂😂😂
@loulumony8519
@loulumony8519 2 ай бұрын
Ngoyahudi😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@AzaAzamhmod
@AzaAzamhmod 2 ай бұрын
Mhm mhindi na kingereza chake HAKIFICHIKI NI PEMBE LA NGOMBE😂😂
@AfricaQueen
@AfricaQueen 3 ай бұрын
😳😳😲😲🫣🫣🤔🤔Bardayyy 😂😂😂😂Bombay kemchoooo babugiiiii kitlagel🤪🤪😂🤣
@Irenes_Kitchen
@Irenes_Kitchen 3 ай бұрын
Sijapenda dj manaboo😢
@WinWilly4162
@WinWilly4162 3 ай бұрын
Kaficha Mbangali wake😂😂😂😂
@NaifinMohamed
@NaifinMohamed 3 ай бұрын
Saleh acha umbea sasa ulitak asimuelekeze😅😅😅
@khalsasalim7930
@khalsasalim7930 3 ай бұрын
Muhindi bwana lafudh za kihind tunazijua😂 chupli chupli
@zainab8251
@zainab8251 3 ай бұрын
😂😂😂😂kweli kabisaa handing uyu
@Malak-e5i8n
@Malak-e5i8n 3 ай бұрын
Hidiya 😅
@AzaAzamhmod
@AzaAzamhmod 2 ай бұрын
Zawadi ya nandy
@LuciaWasha
@LuciaWasha 2 ай бұрын
Hindiiiiiiiii .
@lilyjones3584
@lilyjones3584 3 ай бұрын
Wewe Dada usitudanganye! Huyo bwana wako kwa hiyo accent yake ni mdosi bila kupinga hakuna cha uyahudi hapo! kumuita Yuda Eskarioti pia hujakosea! Huenda ana mke wake hapo kwako ni usaliti kwenda mobile! 😢
@shuweikhasalum9836
@shuweikhasalum9836 3 ай бұрын
😂😂😂nimechek et myahudi anatokea uyahudini jmn😅😅😅
@mariamutowi7084
@mariamutowi7084 3 ай бұрын
Au kazaa na mtoto wa AGA KHAN😂😂😂mana CYO KWA HII RAFUDHI NI UKOO WA KHAN😂😂😂😂😂😂😅😅😅😅😅😅
@mariamutowi7084
@mariamutowi7084 3 ай бұрын
Muhindi jmn😂😂😂😂HONGERA DADA😂
@jokhaali5893
@jokhaali5893 3 ай бұрын
Is your MC LILIAN MWASHA. ❤
@maryamadam5622
@maryamadam5622 3 ай бұрын
Kuna walala hoi jama tuwakumbuke. Tusiwasau. Mmungu aibariki family.
@azizayassin3623
@azizayassin3623 3 ай бұрын
😂😂😂😂yni ufiche sura mke wke india 🇮🇳 asijuwe mume kazaa tz anapumua kweli😂😂😂😂
@elsiekendi1792
@elsiekendi1792 3 ай бұрын
Wa kwanza leo
@walizanasiri4963
@walizanasiri4963 3 ай бұрын
😂😂😂😂Ila mtangazaji
@TumainiSawee
@TumainiSawee 3 ай бұрын
😂😂😂 mihindi kama wahindi wengine 😂😂😂muhindii
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 3 ай бұрын
Haaaaa shemeji tunaye na tunatamba nae
@ashasalum1558
@ashasalum1558 3 ай бұрын
Muhind na anawatoto na mke india ndomana wanaweka mask Indians nd walivo wakiwa tz
@Siti_maroneit
@Siti_maroneit 2 ай бұрын
Noo hana mke wala watoto ila ni muhindi acheni huwongo duu TZ kwa kufake story w😂😂😂
@Adje244
@Adje244 3 ай бұрын
Muhindi😂
@JuliethRogasian
@JuliethRogasian 3 ай бұрын
Ni mme wa mtu huyoo haha😂
@rqiyaabdallah840
@rqiyaabdallah840 3 ай бұрын
Kwani uyo mtoto Atembei
@Miry-p1s
@Miry-p1s 3 ай бұрын
Muhindi huyoo
@MariamIbrahim-h7p
@MariamIbrahim-h7p 3 ай бұрын
Bahati ya pua sio ya mdomo
@Irenesunnat
@Irenesunnat 3 ай бұрын
Kufuru sana
@fauziasultanikilewa7602
@fauziasultanikilewa7602 3 ай бұрын
Muhindi hu yo oo tushamjua😂😂😂😂
@Jamila-c7k
@Jamila-c7k 2 ай бұрын
Hindi
@itzsnazzyjazzy472
@itzsnazzyjazzy472 3 ай бұрын
Saleh sio hentho n henzo
@walizanasiri4963
@walizanasiri4963 3 ай бұрын
Ila waindi
@PendoIbrahim-bt5xv
@PendoIbrahim-bt5xv 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂 bongo Kuna vitukob
@ashuramanya9282
@ashuramanya9282 3 ай бұрын
Ilo jina Henzo ....ni wa mexicain😅
@rqiyaabdallah840
@rqiyaabdallah840 3 ай бұрын
Mayahudi gani uyo MU Shindi kingereza chake kina onyesha kama muhindi
@mamasalhat
@mamasalhat 3 ай бұрын
Khaaaaaaaa wabongo bana sasa kila MTU mweupe mzungu huyu sio mzungu ni muhindi lafudhi tu inajionesha sie tulioko uwarabuni tunaishi nao wahindi tuna wafaham sana lafuzi zao😂😂
@AblahmanJuma
@AblahmanJuma 3 ай бұрын
Tena basi mashagala wa tende
@ChristinaOnditi-el3xo
@ChristinaOnditi-el3xo 3 ай бұрын
Myahudi kutoka uyahudini😂😂😂😂
@FelistersMejumaa-xi2ge
@FelistersMejumaa-xi2ge 3 ай бұрын
Pakistan, Bangale ama muhindi kati ya hizo kunguru tatu na vile hutoa harufu kali hao wstu khaaaa
@LatifaRajabu-l3n
@LatifaRajabu-l3n 3 ай бұрын
Mume wa mtu uyo ndomn kamficha kam anajiamin amuachie sula
@noelarhobininestide5190
@noelarhobininestide5190 3 ай бұрын
simuoni getrude
@user-princs
@user-princs 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂kanjibai
@MariamuAnifa
@MariamuAnifa 3 ай бұрын
Mie kingereza cha wahindi kina niacha hoi
@PolineNgigi
@PolineNgigi 3 ай бұрын
😂😂huyu ni muhindi ju hiyo kingereza sio ya muarabu
@ZuhuraSaidi-f5d
@ZuhuraSaidi-f5d 3 ай бұрын
Eti anaongopa muyahudi muhindi
@YustinaJoseph-op4xu
@YustinaJoseph-op4xu 3 ай бұрын
Muhind uyu
@magrethjames5950
@magrethjames5950 3 ай бұрын
Angalia kidole cha shem kavua petee kina alama
@tatubenson9039
@tatubenson9039 3 ай бұрын
Hahaha jamani
@ElifAthanas-or1dt
@ElifAthanas-or1dt 3 ай бұрын
Huyu ni muhindiiii
@ZaynaAdam
@ZaynaAdam 3 ай бұрын
Huyu kaka ni muhindi ukiskiliza kingereza chake anachokiongea
@KhadijaSalum-nf5mf
@KhadijaSalum-nf5mf 3 ай бұрын
Muhindi pakistan
@WinWilly4162
@WinWilly4162 3 ай бұрын
Huyu kachukua mume wa mtu nini? so kwa kumficha huku😂😂😂
@MsNajma-j7e
@MsNajma-j7e 3 ай бұрын
Razima hawe mume wa mtu hapo karazimiswa aje kinguvu ndio kafchwa sula aiseee iri aje arizishe warimwengu tu
@MsNajma-j7e
@MsNajma-j7e 3 ай бұрын
Ila kama me ndio mume wangu namjua bodi na kilembea tu
@ngwacahnyagwaswa9979
@ngwacahnyagwaswa9979 3 ай бұрын
😂
@DainessDaniel
@DainessDaniel 3 ай бұрын
Dada umebutua
@mariakibusi5914
@mariakibusi5914 3 ай бұрын
Muhindi huyo
@munaomar9532
@munaomar9532 3 ай бұрын
Muhindi 😂
@akisamwitumba9427
@akisamwitumba9427 3 ай бұрын
Mlioni 50 mtu unaanza shuhuli mlioni 50 siangesema to wamfungulie mtoto biashala kwajina lake zawadi ya happy ikawa ukumbusho biashala ikienderea kumkuza mtoto kitajili zaidi😊
@KissaMwaibila-xp7io
@KissaMwaibila-xp7io 3 ай бұрын
Haha hindian hongera
@noorrajpar3928
@noorrajpar3928 3 ай бұрын
Kumbe muhindi haya
@weniphangonzi3597
@weniphangonzi3597 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@Keyjop
@Keyjop 3 ай бұрын
Wahindi tu ndio wanautaratibu wa kuweka hao ma midoli watu kwenye sherehe zao wanaita ma jokeli😂😂😂😂 + rafudhi ya mzee baba
@hellenshayo3454
@hellenshayo3454 3 ай бұрын
Myahudi katoka uyahudini shemeji anaitwa uyahudini
@NaifinMohamed
@NaifinMohamed 3 ай бұрын
Myahudi anamjua lakini😂😂😂😂😂
@abedsaidy7263
@abedsaidy7263 3 ай бұрын
Mbona kama muhindi
@AishaMaganga-vd1jg
@AishaMaganga-vd1jg 3 ай бұрын
Wahind wanakuaga nawake zao india 🇮🇳 ndomaana haonyeshi sura. Wanaheshima sana family zao.❤
@AishaMaganga-vd1jg
@AishaMaganga-vd1jg 3 ай бұрын
Wahind wanakuaga nawake zao india 🇮🇳 ndomaana haonyeshi sura. Wanaheshima sana family zao.❤
@mariamutowi7084
@mariamutowi7084 3 ай бұрын
😂😂😂
@omanoman2044
@omanoman2044 3 ай бұрын
Kabsa umesem kweli
@barbiepixie92
@barbiepixie92 3 ай бұрын
Shoga umetumwa?😂😂maana ulivoshupaa
@Dianamwansasudddw
@Dianamwansasudddw 3 ай бұрын
Wengine wako single.we shangaa tu
@MiriumWajey-lr1tq
@MiriumWajey-lr1tq 3 ай бұрын
Hamna u single hapo wenye d mbili tumeelewa😂
За кого болели?😂
00:18
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 3,5 МЛН
coco在求救? #小丑 #天使 #shorts
00:29
好人小丑
Рет қаралды 74 МЛН
Twin Telepathy Challenge!
00:23
Stokes Twins
Рет қаралды 132 МЛН
RIYAMA NA MUME WAKE WAFANYA YAO LIVE KWEUPE REDIONI TAZAMA.
16:49
TimesFMTZ
Рет қаралды 2,5 МЛН
За кого болели?😂
00:18
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 3,5 МЛН