Ni Mrembo Hamisa Mobetto ambae leo wimbo wake uitwao EX ulipata nafasi ya kuwa Jiwe la Wiki katika kipindi cha XXL cha Clouds FM. Sasa hapa nimekusogezea ushuhudie vibe la Hamisa Mobetto akicheza na Mtangazaji Adam Mchomvu.
Пікірлер: 491
@gracejohn9033 жыл бұрын
Mauno hayatusaidii chochote katika maisha haya, tunamuhitaji Yesu atulinde na kutusaidia, after that tunahitaji wananchi wasaidiwe kupata haki zao na kuishi maisha ya amani
@yvesgrace_z71523 жыл бұрын
Mungu akubari.....kama jina lako..kwa kiswahili ni Grace= Neema,ya Mungu iwenawe kwa kuandika ushauli bora sana......hasante
@gracejohn9033 жыл бұрын
@@yvesgrace_z7152 thank you, be blessed too
@sharinv88643 жыл бұрын
Very true dear God bless you.
@mcutanorsonvanwillson29913 жыл бұрын
Kama kweli unamaanisha hivo na kama kwel una roho io,,hata usingeangalia hii video,,
@ayoubmakori86803 жыл бұрын
Real Mamie ubarikiwe mnoo mtumishi wa Mungu
@marymwacha99182 жыл бұрын
Simwonei wivu Ila kiukweli huwa hajui kucheza Wala hanaga mvuto kwenye shooting Kama wasanii wengne, mfano hkn mdada niliyekuwa namkubali na Hadi leo huwa haishi moyoni kwangu kwa dance like V_Money. Love her somuch🥰
#mchomvu mungu kakupa vyote yan ww ni mtu wa watu #wadau tunakupenda
@yusufuheri65243 жыл бұрын
Kusema kweli dunia hii ina baadhi ya watu wanavichwa ambavyo hakuna mtu anafaidika nao isipokua vinyozi
@aseelaisaa4283 жыл бұрын
Wow mashallah beautiful MISSA
@zuheorsalim77593 жыл бұрын
Usiseme Neno mashaa allah ktk uovu kwani hivyo unamkosea adabu muumba
@yusramadodo82693 жыл бұрын
hongera san mobeto unajitaidi sana
@halimamohammed41083 жыл бұрын
💯✔️❤️❤️❤️❤️❤️❤️Baby hamisa love u
@domju56372 жыл бұрын
Pretty singer
@alphonsonesmo97363 жыл бұрын
Mwijaku hajamsogelea mobetto anaogopa kumkera Adam mzee wa mateke
@lameckzakaria34523 жыл бұрын
Ah aha aah mzee wa mateke
@JacobKi-bg4dd5 ай бұрын
Yeah thank you God
@fubanjenjele5213 жыл бұрын
Big house media, Watangazaji wakali ndani ya mjengo, mobeto halaa
@fraviabraison14643 жыл бұрын
Nakupenda hamisa
@kitumainikubatu31823 жыл бұрын
kwa yesu kuna furaha tele zaidi.usipende dunia kwa njia ya anasa.
@princessrihan1193 жыл бұрын
Adamu mchomvu anaangalia tuu Tako 😁😁😁😁🙏
@florencejuma91132 жыл бұрын
I like the song, keep it up my sister
@anneafrica9393 жыл бұрын
Tumechoka mauno ya yezeberi Bwana YESU asifiwe Uku duniani hapa Tanzania tumechoka kuona nusu utupu na watembeza mapaja mtaani YESU atuvushe na Hili pigo la tauni ya dunia corona ,katika msimu huu mpya dunia inaombeleza tumechoka viuno vyenu.
@yuzotv4583 жыл бұрын
Yesu mwenyewe ameenda kwa babaake atawavushaje nyie. Tuna muhitaji mungu muumba mbingu na nchi sio yesu ambae kazaliwa kakuta kila kitu kipo atatuvushaje?????.
@rahima22263 жыл бұрын
Nauenda sana hamisa mtoto mzr ww ❤❤
@jacintaitumo55713 жыл бұрын
Hamisaaaa you are hot. It's your time baby truelly. Big support 👏👏👏👏👏👏👏