TAZAMA MUONEKANO MPYA UWANJA WA MKAPA TAA KILA KONA, INTERNET BURE, RAIS SAMIA AMWAGA BILIONI 31

  Рет қаралды 374,364

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 252
@cuthbertswai2774
@cuthbertswai2774 Жыл бұрын
nawapongeza serikali kwa kazi nzuri ya kuukarabati uwanya wetu yaani umenoga sana
@isackmikosi-th3wv
@isackmikosi-th3wv Жыл бұрын
Quality peach,
@emmanueltarimo892
@emmanueltarimo892 Жыл бұрын
Mtangazaji tupeleke sehemu korofi kama vyooni kwa mashabiki tuone marekebisho
@MabulaPatrick-bv5io
@MabulaPatrick-bv5io Жыл бұрын
😆
@fanuelykitambule5542
@fanuelykitambule5542 Жыл бұрын
Hilo nalo neno wasijipendelee wao tu wakatusahau sisi
@reiphan9894
@reiphan9894 Жыл бұрын
😀😀😀 hilo nalo nimuhimu
@mamboshepea8888
@mamboshepea8888 Жыл бұрын
@@reiphan9894 ulibomolewa au ni ukarabati tuuuu😃😃!!!
@reiphan9894
@reiphan9894 Жыл бұрын
@@mamboshepea8888 huo ni ukarabati sasa je sehem zote hata za mashabiki? Wanaonesha pich na taa tu vipi kuhusu kule ofisini kwa mashabiki
@PanchoValentino-wh7wt
@PanchoValentino-wh7wt Жыл бұрын
L.A.D Safi saana iyoo 💯🔝🔥💥💪
@vinny.morales
@vinny.morales Жыл бұрын
Ni L.E.D mkuu
@dennischarles8524
@dennischarles8524 Жыл бұрын
Kinachouma bado Africa maisha yetu duni sana,efforts Kama hizi zielekezwe mwingine pia
@enockemanuel108
@enockemanuel108 Жыл бұрын
Tanzania is the big country
@Samsonilaizer
@Samsonilaizer Жыл бұрын
eshima kwa simba 🦁❤❤❤❤❤👏👏👏👏👏
@MashaSayi-ui7dz
@MashaSayi-ui7dz Жыл бұрын
Hongera rais wetu KAZI iendeleeeeeeeeee. Mafanikio wengine yanawaumiza hawataki kabisa kusikia vitendo halisia ni shiiiiida Kwa wanaopinga
@francisphilipo5749
@francisphilipo5749 Жыл бұрын
Acha upumbafu mpira na siasa ni tofaut
@MashaSayi-ui7dz
@MashaSayi-ui7dz Жыл бұрын
@@francisphilipo5749 Kuna siasa Gani ambayo nimeihusisha hapo. Be knowledgeable when you're replying someone's comment usikurupuke!
@hemedmtunguja9788
@hemedmtunguja9788 Жыл бұрын
Raisi kwafuata nn na Kama sio siasa acha shobo
@Kijana-wa-Tanzania
@Kijana-wa-Tanzania Жыл бұрын
Kwani huo uwanja haukuwa ukiingiza mapato kwa kipindi chote mpaka leo pesa itoke serekalini? Wewe haujui wanaokusanya mapato na kuuendesha uwanja wa Mkapa sio serekali? Alafu hiyo pesa imepitishwa kwenye budget ipi? Ama raisi katoa kwenye pension yake?
@zephaniamanembe6929
@zephaniamanembe6929 Жыл бұрын
Mmeamua kuutangazia ulimwengu kua ninyi mnashiliki Mambo ya ushoga, fafanua na hizo rangi za mlango mkuu
@ellymwampashe8927
@ellymwampashe8927 Жыл бұрын
All the best mnyama🦁
@Raphaelsmaterials
@Raphaelsmaterials Жыл бұрын
Thanks 🙏🙏🙏
@salimtumba8804
@salimtumba8804 Жыл бұрын
Hongera karia
@AbduraufuIbrahim-vm3ee
@AbduraufuIbrahim-vm3ee Жыл бұрын
Sehemu ya kuchezea boli inajaa maji mvua ikinyesha cjui kama wameliangapia hilo!😢😢
@yohanayohanaadamu6483
@yohanayohanaadamu6483 Жыл бұрын
We mgumu kuelewa hivi umuelewa meneja anachokionge kwel we kichwa ngumu
@EdsonEdwin-tg5ey
@EdsonEdwin-tg5ey Жыл бұрын
Wataliangalia siku iyo iyo Braza usijali ,kwan si ushajua kuna ubabaifuu ..ha ha ha ha vumilia tu ndo viongozi tulionao uchawa wingi ili mradi majambo yao yaendeee
@willygraphics360
@willygraphics360 Жыл бұрын
​@@EdsonEdwin-tg5eyhivi nyie mnajua maana ya Matengenezo?😂
@JohnHanga
@JohnHanga Жыл бұрын
😂😂😂
@isackmikosi-th3wv
@isackmikosi-th3wv Жыл бұрын
sure,
@medyproductionTz
@medyproductionTz Жыл бұрын
Nimependa izo L.A.D zinazowaka Pembeni ya Uwanja safi sana🔥🔥👏👏👏
@brownsebastianmwibi5647
@brownsebastianmwibi5647 Жыл бұрын
@medyproduction2042 hizo zinaitwa L.E.D
@mimikeny
@mimikeny Жыл бұрын
L.E.D
@michaelezekiel4297
@michaelezekiel4297 Жыл бұрын
@@brownsebastianmwibi5647 😂 atakuwa kafanya maksudi kijana wa ...yo
@victorjames3730
@victorjames3730 Жыл бұрын
Ni L.E.D na sio LAD
@davidcavishe9235
@davidcavishe9235 Жыл бұрын
ni Light Emitting Diode (LED) na sio LAD
@MaryErnest-pm1qz
@MaryErnest-pm1qz Жыл бұрын
Kombe la dunia iko siku mungu yupo
@Johnsonmkubwa
@Johnsonmkubwa Жыл бұрын
Vyoo vichafu sana
@petercostakisoka
@petercostakisoka Жыл бұрын
Apo vizuri sana imekaa poaa
@MichaelMathew-ke6bi
@MichaelMathew-ke6bi Жыл бұрын
Raha sana, mabango ya kisasa. Safi sana!! Uwanja sasa umekuwa kama ule wa taifa la uingereza, Wembley stadium!!!
@ajeymoses
@ajeymoses Жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/jn-ccn-fZa95gNUsi=pNKY0lX2Ce2Q4ADl
@aleoforex6945
@aleoforex6945 Жыл бұрын
Bado kwenye taa kuna upigaji
@BeatusTemba
@BeatusTemba Жыл бұрын
Kiwanja ni kizuri hongera sana mmepambana.
@ernestsinje-ng8hm
@ernestsinje-ng8hm Жыл бұрын
Tanzania is developing fast
@enockemanuel108
@enockemanuel108 Жыл бұрын
Yes
@bonnymakuke3153
@bonnymakuke3153 Жыл бұрын
Ela ndogo kulingana na ukubwa wa huo uwanja😢😢
@EmmanuelFuraha-l3k
@EmmanuelFuraha-l3k Жыл бұрын
All this happen due to the presence of simba💥💥
@Kijana-wa-Tanzania
@Kijana-wa-Tanzania Жыл бұрын
Bilion 31 kukarabati uwanja?😮 Acheni wizi serekali ya ccm. Bilioni 31 inajenga uwanja mpya wa hadi wakaaji elfu 20 na unakamilika. Uwanja umekuwa ukiingiza pesa toka ulipozinduliwa, leo mnatoa kodi zetu kufanya marekebisho. Acheni ujambazi majizi ninyi. CAG tafadhali pitia hiyo.
@zakiaesaa972
@zakiaesaa972 Жыл бұрын
Kumenoga kwa mkapa❤
@abiboseleman1649
@abiboseleman1649 Жыл бұрын
Ila jamani manager wetu abadirike nayeye aendane na mkapa mpya sio kwa koti hizi nahiyo miwani😊😊😊😅
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 Жыл бұрын
Kiukweli mmejitahid jpo sio sana
@ramseytekeye-ol1jx
@ramseytekeye-ol1jx Жыл бұрын
Me naona nimambo yakawaida mbona tulijichelewesha wenyewe wenzetu mpaka washasahau izi mambo
@ShabaniHussein-om1up
@ShabaniHussein-om1up Жыл бұрын
Bg up
@OmerSuley-gl7go
@OmerSuley-gl7go Жыл бұрын
Viva rais Samia anazidi kuijenga Tanganyika ❤
@magigesabai8674
@magigesabai8674 Жыл бұрын
Ni serikali inajenga,hakuna maendeleo bila watu na watu ni Serikali
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 Жыл бұрын
@@magigesabai8674 akiwemo kiongozi wao ambaye ni mama
@OmerSuley-gl7go
@OmerSuley-gl7go Жыл бұрын
@@magigesabai8674 Mama Samia ndie mkuu wa serikali na yeye ndio anapanga kila jambo kubwa nchi hii
@shadrackdamson7904
@shadrackdamson7904 Жыл бұрын
Safiiiiiiii sanaaaa
@vincentjohn3193
@vincentjohn3193 Жыл бұрын
Ayotv siku nyingine mkienda ulizieni kuhusu VAR tafadhali
@emanuelherman7029
@emanuelherman7029 Жыл бұрын
😂😂😂VAR Haiwezi kuwekwa kwa uwanja moja labda Ccm wakarabati viwanja vyao nchi mzima maana ndo wamiliki
@ahmednoor1412
@ahmednoor1412 Жыл бұрын
Var inawezekana popote Uganda wanaweka magari maalum ya var
@MohamediAbdallah-mb7xj
@MohamediAbdallah-mb7xj Жыл бұрын
Kingine kikubwa zaidi tunaomba mfunge VAR mtakua mmetisha Sanaa....
@isackmikosi-th3wv
@isackmikosi-th3wv Жыл бұрын
together
@omaribakari2894
@omaribakari2894 Жыл бұрын
Wenye Mamlaka Ya VAR ni CAF Pekeyao Ndio Wenye Dhamana Hiyo Wao Wanahaki Ya Kufunga VAR Kutokana Na Mashindano Husika Silipingi Wazolako Nizuri Sana Na Lenye Maana Kutokana Na Maamuzi Batili Ya Waamuzi.
@mkubwajuma4367
@mkubwajuma4367 Жыл бұрын
Hata wakifunga VAR kama refa amedhamiria kufungisha anafungisha tu Kilichotokea Liver na Spurs VAR ilikuepo
@mbonimanakisenya4178
@mbonimanakisenya4178 Жыл бұрын
Bdilisheni paa
@Davio123
@Davio123 Жыл бұрын
Hapo kwnye taa mmekula ela 😂😂
@AbdulatifSaidy
@AbdulatifSaidy Жыл бұрын
Wamezifunga chache kwaajili ya kufanya mechi ya simba ipite lakini kuna taa kama 128 ivi zipo lakini hazijafungwa. Watafunga baada ya Super league
@saidiomari708
@saidiomari708 Жыл бұрын
Wanatakiwa waangalie na hizo paa mechi za saa 10 au mvua ikinyesha watu wa chini wanaathirika sana.
@Msanii12
@Msanii12 Жыл бұрын
Hongera sana mama etu samia hongera tff hongera timu ya simba kuufanya uwanja uwe wa viwango zaid tuzidi ombea amani nchi etu izid songa
@Kingsirgudaman-fd4qp
@Kingsirgudaman-fd4qp Жыл бұрын
Punguza uchawa
@marthabura2266
@marthabura2266 Жыл бұрын
Pongezi nyingi Kwa mama yetu rais yetu mpendwa.
@IssaSwalehe
@IssaSwalehe Жыл бұрын
Jaman tushukuru kwa hapa
@felisteronesmo3091
@felisteronesmo3091 Жыл бұрын
Mh!, Kaimu anatone yasiasa .. hii nchi hii
@cleveronlinemedia820
@cleveronlinemedia820 Жыл бұрын
Duh ko serikal miaka yote iyo ilishindwa kutoa ka fedha kadogo kwa ajili ya malekebisho mpaka fifa wakaingilia kati
@sultanhamis9292
@sultanhamis9292 Жыл бұрын
Taa bado hizo kuna kiza na eneo jingine eneo la kuchezea mvua ikinyesha maji hukai kiwanjan
@kikungo4774
@kikungo4774 Жыл бұрын
koki zenyewe za 3500 wekeni koki za kisasa _acheni kuweka mabango ya matangozo badilisheni aina ya matangazo yawe wa tv pembeni kama viwanja vya wenzetu
@frankkashner
@frankkashner Жыл бұрын
Nione vyoo kwanza maana daaah ni kinyaaa
@Samsonilaizer
@Samsonilaizer Жыл бұрын
Simba nguvu moja 🦁 ❤ 💪
@sebastiageofrey1377
@sebastiageofrey1377 Жыл бұрын
Nyoko we 😅😅😅😅
@jumakibe5032
@jumakibe5032 Жыл бұрын
Nguvu moja kwani mmetengeneza nyinyi au mtacheza wenyewe😂😂😂😂😂
@Thekidp3702
@Thekidp3702 Жыл бұрын
@@jumakibe5032 Sababu ya matengenezo ni nini?
@Thekidp3702
@Thekidp3702 Жыл бұрын
@@sebastiageofrey1377 umeumia
@Thekidp3702
@Thekidp3702 Жыл бұрын
Huu uwanja ni wa Simba wengine tunawafadhili 2 🙏
@sebastianchisunga5899
@sebastianchisunga5899 Жыл бұрын
Msenge tu huyo kiongozi hana lolote mpigaji tu huyo na huyo Ndio anaturoga simba tunafungwa kwa mkapa 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂haha
@austorb.nyondo2708
@austorb.nyondo2708 Жыл бұрын
Daaaaa😂
@EdsonEdwin-tg5ey
@EdsonEdwin-tg5ey Жыл бұрын
Yaani tatizo wandishi sijui mnapangwa hadi maswali ya kuuliza? Daaah nchii hiii uchawa kila kona yaani!!
@mussamussa8181
@mussamussa8181 Жыл бұрын
Sa ndo muweke mambomba yakufungua jaman..vya kuminya akuna au automatic bomba..
@twalibubaweni4078
@twalibubaweni4078 Жыл бұрын
saw mbona L.A.D mbona nusu sehem nyigine haijawekwa
@mafurumatijo8803
@mafurumatijo8803 Жыл бұрын
Bila Simba uwanja usingefanyiwa ukarabati mkubwa kama huo.
@titokwareh1852
@titokwareh1852 Жыл бұрын
Hujui kitu ww kaa kimya
@ramadhanmzee4143
@ramadhanmzee4143 Жыл бұрын
Haya tushskia ah hee
@erickndabhasik1727
@erickndabhasik1727 Жыл бұрын
Vyooni waweke walizi ili watu wakijoe wakiwa wamesimamiwa
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 Жыл бұрын
Huwa naend Taif miak hio ila choon sijawh kwend
@rajabumshana8167
@rajabumshana8167 Жыл бұрын
Tupo RAIVU na Ayo tivi😅
@ErastoKawa-xu5op
@ErastoKawa-xu5op Жыл бұрын
Vyooo
@KidoKasimu-fr4fz
@KidoKasimu-fr4fz Жыл бұрын
Kununuwa V R msisahau pia , hicho ndichocha muhimu than mambomengine muboreshe.
@abdalahsambala6667
@abdalahsambala6667 Жыл бұрын
Makabati yapakwe rangi nzuri
@jeromeshirima2053
@jeromeshirima2053 Жыл бұрын
Mngerekebisha paaa liwe kubwa mpka watu wa chini wasinyeshwe na mvua na juu mfunge panel Za solar apo ndo yatakuwa ukarabati wa maana sio uwo kwa iko kiwango cha pesa
@lilyngonyani2312
@lilyngonyani2312 Жыл бұрын
Haya tuonyesheni vyoo maan Ni vya hovyo Kama nn😓😓😭
@SitaAlphonce
@SitaAlphonce Жыл бұрын
samia ametufanya tuheshimike sana
@flova7022
@flova7022 Жыл бұрын
Ila Kuna kajirangi Ka ushogaaa kaleeeee
@magigesabai8674
@magigesabai8674 Жыл бұрын
Sio mkapa tena
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 Жыл бұрын
@@magigesabai8674 mkakati wa ujenzi ulianza kipindi cha mwinyi, mkapa akajenga, mama anaukarabati, sasa shida iko wapi?!
@omarybakunda2554
@omarybakunda2554 Жыл бұрын
Samia anamawazo mazuri sana.
@ajeymoses
@ajeymoses Жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/jn-ccn-fZa95gNUsi=pNKY0lX2Ce2Q4ADl
@ajeymoses
@ajeymoses Жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/jn-ccn-fZa95gNUsi=pNKY0lX2Ce2Q4ADl
@EdsonEdwin-tg5ey
@EdsonEdwin-tg5ey Жыл бұрын
Ulizeni maswali ya msingi," je hayo mabango ya display pemben yataendelea kuepo ? Manake si mama katoa pesa yamenunuliwa au tumekodii?
@muyongahassan2188
@muyongahassan2188 Жыл бұрын
Uongozi wa simba ndio umenunua
@msafirimfilinge8222
@msafirimfilinge8222 Жыл бұрын
Vioooooooni mtangazaji 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂
@johnirungu4550
@johnirungu4550 Жыл бұрын
Viti vya kukaa wachezaji wa bench??
@SalumOmary-t5y
@SalumOmary-t5y Жыл бұрын
Hiv ni movable
@doctordoctorshumbi-fk2fq
@doctordoctorshumbi-fk2fq Жыл бұрын
Ila wamejitaidi sijugi choon
@abdulkadirramadhan
@abdulkadirramadhan Жыл бұрын
hv hiz za uwanjan wachezaj wakiwa wanachez mpira ukipgwa juu hiz taa haziwez waumiz macho na wakashindw kuon mpira
@amosiabdulallh7965
@amosiabdulallh7965 Жыл бұрын
Kazi iendelee
@TwgWorkshop
@TwgWorkshop Жыл бұрын
Kujaa maji kiwanja kujaa maji vipi limefanyiwa kazi
@whiteAfrican83
@whiteAfrican83 Жыл бұрын
Miaka 7 inayokuja Tz itakuwa ni sehemu nyingine kabisa nayaona mafuriko ya watu kutamani kufika Kwa ardhi hii
@Thekidp3702
@Thekidp3702 Жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 tunatembea na kasi ya 5G mchezo tushaushtukia 😎😎😎
@whiteAfrican83
@whiteAfrican83 Жыл бұрын
@@Thekidp3702 maana Kila sehemu ni Tz japo Kwa udogo wetu hii ina maana kubwa sana
@prophetsamawiparapanda
@prophetsamawiparapanda Жыл бұрын
safi sanaaa
@GabrielalmightyTanzania
@GabrielalmightyTanzania Жыл бұрын
Nasikia kuna yale mabendera ya Rainbow huko 😂😂😂⚠️
@bellam.vyampi5528
@bellam.vyampi5528 Жыл бұрын
Ayoo TV hamna bayaa
@masakaupdate1488
@masakaupdate1488 Жыл бұрын
Kweli tanzania yangu eti bilioni 30 ivi nyie hhhhh acheni utani apo bilioni 2 tu ila TZ nchi ya wahuni 🇹🇿✋
@geofreymahujilo9600
@geofreymahujilo9600 Жыл бұрын
AWAMU YA KWANZA TAYAR, BADO AWAM YA PILI NDO KUBWA KULIKO HII
@muyongahassan2188
@muyongahassan2188 Жыл бұрын
Eti kuchezea kombe la dunia niuwongo kwa uwanjagani mnao wakisasa semeni nikama nyumba ume ripea tu ss sikumtakuwa na uwanja kam wa Sénégal itakuwaj mtaenda kutangaz dubai
@OriginalKibiki
@OriginalKibiki Жыл бұрын
Nmekubali kwa marekebisho ila kwenye 31bilion duuuuh😅😅😅😅tumrpigwa kama bilioni 13
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 Жыл бұрын
Umewahi kukarabati uwanja wako unajua thamani ya vitu na gharama zake au unaropoka tu umeshiba makande unaropoka tu
@FrimatiremjiMassawe-ss5bv
@FrimatiremjiMassawe-ss5bv Жыл бұрын
Kweli tunajitaidi kimtindo ila bado xana kiukweli
@BaptistaFredMillanzi-k6r
@BaptistaFredMillanzi-k6r Жыл бұрын
Adi matangazo ya kiektronic
@tumainigkiganja2471
@tumainigkiganja2471 Жыл бұрын
Halafu kuna msemaji wa mchongo anasema eti timu yake ndo imetoa hela 😃😃😃😃😃😃😃
@reginaogiro4845
@reginaogiro4845 Жыл бұрын
Mtuwekee na sehemu ya kuchajia simu
@saidseleman3269
@saidseleman3269 Жыл бұрын
Hahahaa duu wi-fi umepewa Bure wataka Upewe na sehemu ya kuchajia kabisa ili uwe live Instagram
@nicksonclinton5842
@nicksonclinton5842 Жыл бұрын
Led mmetisha yaani mnapiga hela tu
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 Жыл бұрын
Kwa Tanzania ya mavi kunuka subiri mwezi tu wamefanya uharibifu
@brysonkaale3003
@brysonkaale3003 Жыл бұрын
Nguvu kubwa ielekezwe kwenye vyoo,ni pamoja na usimamizi makini na wahudumu wa kutosha ktk eneo la vyoo.
@lothphin_starpercent
@lothphin_starpercent Жыл бұрын
Issue ya seat no. vipi? mambo ya umelipia VIP alafu unakaa mzunguko sio Sawa
@MaikoKonya-ue9zt
@MaikoKonya-ue9zt Жыл бұрын
jamn B 31 uwanja mwngn... Ukarqbt tu
@FredrickMwakila-ke6vt
@FredrickMwakila-ke6vt Жыл бұрын
Umeme usije ukakatika😂😂😂
@sadunabdallah7303
@sadunabdallah7303 Жыл бұрын
VAR ROOM JAMAN 😅😅 KWA AJILI YA UTOPOLO 😂😂
@charleslugemalila1168
@charleslugemalila1168 Жыл бұрын
Meneja hazungumzii ukarabati na miundo mbinu ya eneo la washabiki yaani majukwaani tunakopata shida kuingia. Mtu una tiketi ya VIP B unaingia kwa tabu na kukuta kumejaa. Anaongea maeneo ya viongozi tu
@ajeymoses
@ajeymoses Жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/jn-ccn-fZa95gNUsi=pNKY0lX2Ce2Q4ADl
@tracejeezy8917
@tracejeezy8917 Жыл бұрын
Ukifuatilia Interviews zake kashasema awamu inayofuata ya marekebisho baada ya tarehe 20 October, ni pamoja na viti vya mashabiki. Paa na mengine mengi.
@amanimusa5744
@amanimusa5744 Жыл бұрын
Mbona vyooni hamonyeshi kilasiku vyumba vya wachezaji shenzi time
@AraphaKhamis-dv4pt
@AraphaKhamis-dv4pt Жыл бұрын
Mbn hayo mabango cyo hd
@SeveriniKazaura45-ek3jw
@SeveriniKazaura45-ek3jw Жыл бұрын
Dah uyu mzee mtamchosha
@kingdavidmoto6149
@kingdavidmoto6149 Жыл бұрын
Bilioni 31 duuu😢😢
@IjumaaIjumaa
@IjumaaIjumaa Жыл бұрын
Hawa wamisiri ni waislamu au mayahúdi wamekubali kutangaza ushoga
@marthabura2266
@marthabura2266 Жыл бұрын
Fungeni VR
@charleswilliam2481
@charleswilliam2481 Жыл бұрын
VAR wapi?
@jeofreymsomba7200
@jeofreymsomba7200 Жыл бұрын
Simba nguvu moja
@danielmandia7447
@danielmandia7447 Жыл бұрын
Mashabiki wa Simba muelewe kafu waliomba mamshindano yafanyike hapo. Na selikali imetoa hela sio Simba. Ila tunawapongeza kwa kushiliki
@faustinthomas9551
@faustinthomas9551 Жыл бұрын
Acha kidiba cha roho mzee
@lilyngonyani2312
@lilyngonyani2312 Жыл бұрын
Alafu maji huwaa hamn kwenye vyoooo khaaaa kunakuaga kuchafu Kam nn😒😒😏😏
@edwinjackson2294
@edwinjackson2294 Жыл бұрын
Mbona kama sioni chochote kilichobadilika na ole wenu taa zije kuzima tena
@Ibrahim-n2l8t
@Ibrahim-n2l8t Жыл бұрын
Ety wko rive
@FatumaMajinji-ih6zq
@FatumaMajinji-ih6zq Жыл бұрын
Jamani tunataka galilakubebea majelui tunaomba
@Geo_Fungo08
@Geo_Fungo08 Жыл бұрын
Wamerekebsha au wameweka mabango ya umeme tu
@DavalsonMarlony
@DavalsonMarlony Жыл бұрын
vp kuu tv ya uwa njan Mana ipo of every time
@sebastianchisunga5899
@sebastianchisunga5899 Жыл бұрын
Uyo Kaimu meneja anaonekana ni yanga 😅😅 fala huyo ataki kuipa heshima simba bila simba hayo mashindano yasingechezwa hapo 😅😅😅 so ipeni heshima yake simba imefanya makubwa kwenye mpira wa Tanzania ❤❤❤❤ Simba nguvu moja
@ramyramso
@ramyramso Жыл бұрын
Yangeletwa na yanga mwaka huu au mwakani acha makasiriko
@deliciouschalse8776
@deliciouschalse8776 Жыл бұрын
Mhuuu wasije wakawa wameboresha tu kwa wakubwa!!!!! Maaana hawaonyeshi.
Dream⚽️
00:23
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 3,9 МЛН
It’s all not real
00:15
V.A. show / Магика
Рет қаралды 13 МЛН
路飞做的坏事被拆穿了 #路飞#海贼王
00:41
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 25 МЛН
One day.. 🙌
00:33
Celine Dept
Рет қаралды 76 МЛН
Bando MC x Kontawa & Xouh - Segerea (Official Music Video)
3:47
Nepal's Mad Honey That Causes Hallucinations (They climb to go insane)
19:55
Troy | Achilles Takes The Beach of Troy | ClipZone: High Octane Hits
10:52
ClipZone: High Octane Hits
Рет қаралды 2,9 МЛН
ULIPOFIKIA UJENZI WA UWANJA WA MICHUANO YA AFCON ARUSHA
11:34
Dream⚽️
00:23
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 3,9 МЛН