TAZAMA Performance ya Harmonize Mbele ya Rais Samia,Mama ni mtu na nusu
Пікірлер: 60
@Nanguo-my7ni4 ай бұрын
Good sound Brown konde Estou aqui em Moz🇲🇿🇲🇿🇲🇿 konde se tu és fã de makonde deixa o seu like aqui 👌
@Tdotkido4 ай бұрын
Naomba like apa ! Kama wewe ni mtu na nusu
@godfreybrown85094 ай бұрын
daaa hv jamn Harmonize weee umerizikaa na nn aiceee mbonaa show mbayaaa kama nn umeznguaaa leoo
@armandoleonardo69664 ай бұрын
Harmonize é o melhor de todos tempos 🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@sarahmuhammed68724 ай бұрын
Mama samia amefika safi sana
@maosthmohammad48384 ай бұрын
Unakosea Tena hakuna mungu wawili ukisema mama ni mungu wa pili ushauri tu hicho kipengele kifute Cha mama ni mungu wa pili ...mungu ni mmoja pekeeee
@SakinaMohamed-b2v3 ай бұрын
Huna akilii mvivu wa kufikir
@hadijariami17054 ай бұрын
Jamn show imefana kweli❤
@GracekambaleMustiko4 ай бұрын
Sasa watu wote ambao wana sema konde vibaya nawa puzi hakuna msani waku mshinda konde kwenye bongo movie, ni ite Grace toka Congo DRC
@ajoo_ke74 ай бұрын
Hawa wasanii wa TZ wote hawajui kuimba live music, have followed most of them, perhaps I can only applaud ASLAY... the rest hawajui kuimba live #HAUJUI
@emmanuelshashanija-ge3eq4 ай бұрын
Makonda kazi yako imetukuka ❤ tumeshakuelewa
@YoungKibo4 ай бұрын
Hongera sana kondeboy
@WilliamYatosha4 ай бұрын
Huyu raisi wa ovyoo San wt tunaangaika yeye anakula maisha na wasanii
@rommy_jay064 ай бұрын
Na wew. Kuwa msanii
@princekim994 ай бұрын
Kwahiyo unatak ufanya je
@ThabitiChiumbo4 ай бұрын
Udini unakusumbua wewe
@eliasthomas15474 ай бұрын
Mama Samia mambo mazuri.
@TembaThi4 ай бұрын
Nice sounds
@goldenmaduhumedia46814 ай бұрын
Watu wa sound wanazingua
@salehsimba53064 ай бұрын
Anayezidi kumuongopea Bwana Rajabu kuwa mama ni Mungu wa pili bs anazidi kupoteza. Hakuna Mungu wawili Mungu ni mmoja tu. Hakuna anayeweza kuvaa uMungu awe mama wala baba
@dinyoabeli90284 ай бұрын
Konde boy for every body 🔥🔥🔥🔥🔥
@khafatitv5134 ай бұрын
Harmonize mpigaji
@starfireog86954 ай бұрын
Shoo wamehalibu au hauwezi kuimba laivuuu
@ParfaitKalemela4 ай бұрын
Konde much respect
@HappyMswaga-ii5os4 ай бұрын
Hongera sana konde boy ila watu wa mziki sio poa mmezingua jmn😢
@elijahbaraka94704 ай бұрын
Show ime pooza ile mbaya
@wajisheikh_4 ай бұрын
Kuanzia leo mm si shabiki wa uyu kituko iyo ndo alibum aliyesema kaimba sn ni mm nauwezo mkubw wakufikiria au maana sijaona chamaana au bangi imeanza kumvuruga
@AugustinMuswabantu4 ай бұрын
Kwani anakujuwa
@reubenmwidima4 ай бұрын
Kuimba live sio kazi rahisi
@josephmwita60124 ай бұрын
ndo maana hayaendagi mbali
@joss.nkilio.35374 ай бұрын
Kwani kakulazimisha kumshabikia au na wewe ndo wale mamlukii
@Johnysepetu4 ай бұрын
Wewe ni mbwaaaa
@JamesMbigi-jb4kh4 ай бұрын
Show imewaka
@kotongomunkupahlombe81694 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥
@marthatambwe11034 ай бұрын
Hiii ni yenyewe konde umeuwaaaaaaaa
@rodriguekalubandika5354 ай бұрын
Wa 4
@FarajiRashidi-q9q4 ай бұрын
Home boy
@mwawezasteven4 ай бұрын
Network inashida gani?show inafika KWa shida..
@Hawa-d2q4 ай бұрын
❤❤❤❤❤ 🎉
@rodriguekalubandika5354 ай бұрын
❤❤❤
@traviegrey34344 ай бұрын
Nkajua anapigana na mwakinyo😂😂😂😂
@samwerypatrick8754 ай бұрын
Anapga era2
@EzekiahDMwangonde4 ай бұрын
Jeshi no body than harmonize❤🎉😊😮😢🇲🇼🎧💯🏅♥️🎶🏆🔊🎤🎵🇲🇼😀🇲🇼🇲🇼🇲🇼🇲🇼
@godwinfesto64454 ай бұрын
Wakwanza
@sarahmuhammed68724 ай бұрын
Bakhresa mbona sauti hivyo huyo majizo ameongwa na upane wa pili afanye hivyo
@PasicalAmbokileMwakilas-ms2jp4 ай бұрын
Ni wasanii was ccm na raisi
@AthumanimohamediMrope-es7im4 ай бұрын
Ccm show
@KhairatKisaka4 ай бұрын
kwakel
@ZuberiSangano4 ай бұрын
Wa tatu
@SadiMarembo4 ай бұрын
Sijawahi kusikiya nyimbo mbaya kama iyi,konde umechemsha kabisa ulipoteza muda wako wa bure wakutunga