Рет қаралды 3,982
AMOJMEDIA TV
Msanii wa nyimbo za kihaya Saida Karoli amewafanya wanawake kutoka mikoa ya Shinyanga,Geita,Musoma,Mwanza na Kagera wafurahie usiku wa mwanamke pambe kabla ya zoezi la utoaji tuzo kuanza.