Hongera sana dadaa kwa hiyoza wad kwa mwenzi wako, Mungu awajaalie maisha mema
@namsifumihungo85048 ай бұрын
Machozi lazma hapa..Nawaombea kujaliana huku kukawaishi wakat wote wa maisha yenu❤
@kagoyemwambal90619 ай бұрын
Mashallah Jambo zuri hongera..Bibi harusi Kwa kukumbuka hayo..MC nawe hongera..
@costantinebatholomeo22926 ай бұрын
Hongeran sana maisha nikuliziana mkikiziana raha yake ndo kama hiyo hongera dada
@GloriaChrisostoms5 ай бұрын
Wewee Eshaaaa umeachwaaaaaa
@lilianhembo97658 ай бұрын
Sauti kama ya misa😊
@majaliwamussa92684 ай бұрын
Yes
@DianaMtukula2 ай бұрын
So nice ❤
@EzeniaEdson9 ай бұрын
Onger mwenyeyew! Nawsh
@SawidaEnnea-vw6up3 ай бұрын
Hii mbona yupo kichwa wazi
@deboramuhoja17778 ай бұрын
❤️❤️❤️💯❤️❤️❤️
@TumainiMwakalinga6 ай бұрын
Kwq kiswqhili hayo maneno ya nyuma nimeacgwa hapo
@TamiRoney7 ай бұрын
Mashallah
@VaithaSamson6 ай бұрын
Vzr
@JacklineJosia-qs5hb9 ай бұрын
❤
@GraceMengi-uq7br9 ай бұрын
❤❤❤❤
@nanahmekaupbeautifu2378 ай бұрын
Kwani iyo ilikua shelehe ya wasomi eee maana naona kizungu kingi sielewi
@MariamuRajabu-el9ev7 ай бұрын
😂😂😂
@MagretShikunguru5 ай бұрын
Umependeza ili unamdomo mkubwa
@betsebamwenda43793 ай бұрын
Kwa hiyo unamkosoa aliyemuumba mh wewe
@LindaMbilinyi-n3n16 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂
@SesiliaPaulo-x8s7 ай бұрын
We ulie tuma meseji kuwa ni ndoa ya kafili uko msenge akili huna wivu ndo unakusumbua yawezekan upendwi
@AminaAlly-eh6ok5 ай бұрын
Alafu anaonekana mshamba kwaiyo adi send of alitaka avae mashungi
@LindaMbilinyi-n3n16 күн бұрын
Kbsaaaa 😂😂😂😂😂
@SawidaEnnea-vw6up3 ай бұрын
Acha wasomi
@EshaHamd-ed9yv9 ай бұрын
Hiyo si ndoa ya Kiislam ni ya Kikafiri Muislam hatakiwi kukaa kichwa wazi wa kukaa uchi Kama Wewe hiyo ni Harusi ya Kikafiri kabisa tubiya Kwa Allah uepukane na moto wa Jahanamu
@SurprisedAstroStation-pg2gg8 ай бұрын
Kabla hujatoa kijiti katika jicho la mwenzio hebu toa borit katika jicho lako usimuhukum mtu bse wewe pia siyo msaf kuwa ndo hauna dhambi