Perfomance ya Roma na Stamina Tigo Fiesta Kahama 17 Sept 2018 #Tumekusomaa
Пікірлер: 114
@alexmerck25686 жыл бұрын
awa majama kama unawakubari embu gonga like apa tendwe sawa
@ketsonempire5 жыл бұрын
Wasanii wangu hawa show za huwa zimeshika kweli ... Naaamini ipo siku tutapangisha show mje mtetemeshe huku 254 #stamina #Roma #rostam
@soipei33597 жыл бұрын
Wasanii Wangu wa all the time #ROMA #STAMINA #MR_BLUE hakuna Kama hawa jamaa kwenye show
@jongosudi861111 ай бұрын
Rostam ndio settup ambayo ina kila kitu kama mtu anapenda mziki Wana wanamorali smart hawalazimish audience ku acept ni automatic vibe ina sense kwa mind set za audince yenyewee Itachukua muda kuipata settup ya hivi kwa aina ya wasanii waliopo tz kwa sasa ambao wana uchu na pesa kuliko kujiimarisha kwanza ili pesa iendelee ku flow kwao My all time artist mpka nakufa ni hawa mabwana hta mnijie na bastola hapa mniue tu Roma plus Stamina hawa jamaa ni incredible 🎉kila siku kila saa ntawaskiza hata nikiwa naumwa nikiwaskiza napoma fasta 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🙌🙌🙌👍🇹🇿
@jacksonninja43807 жыл бұрын
mwakubal xnaaaa💪💪💪💪
@mosamossile91135 жыл бұрын
2020 south Africa Cape town
@pascarmwatosya58557 жыл бұрын
Safi sana naaaminia hip hop ROM tishaaa mbaya.
@saulmwakyusa10017 жыл бұрын
romaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa tisha sanaaa
@allybububu97577 жыл бұрын
rostam mmetishaaaa
@pascarmwatosya58557 жыл бұрын
This is braki aidiaa mmetishaaa
@johnjumatatu1277 жыл бұрын
WAKALI wa tanzania forever
@teddykrekamoo10517 жыл бұрын
Aiseee show ilibamba ile mbaya 🙌
@jacklineoscar50497 жыл бұрын
Noma can
@dullahmmbai93577 жыл бұрын
hatareee sana
@jaystar10047 жыл бұрын
#Rostam🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@naomimajura76407 жыл бұрын
Duuuuu show Kali adi raha
@alexchilendu59584 жыл бұрын
Saf sana %%
@mtoroonetv96217 жыл бұрын
Noma sana
@hamismisana93007 жыл бұрын
moto kama fire🔥🔥🔥🔥🔥🔥👈👈
@ibndaxe117 жыл бұрын
Perfect combo
@hawaomarabdishakuru46896 жыл бұрын
Tisha kinomaaaaaaaaa🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@chidikenadeking85786 жыл бұрын
Nawapenda stamina n Roma pia Mr.blue
@abdalathuman50377 жыл бұрын
Hatar sana
@buye54367 жыл бұрын
Rock. 🌟✨
@dalizotz98027 жыл бұрын
Tishaaaaaaaaaaaa
@TRAVELANDTASTETANZANIA7 жыл бұрын
me napita naenda zangu Ivi ni Zimbabwe au wapii nimeshasahau hata...
@lovenessmpuya71986 жыл бұрын
Nice
@malulujr7 жыл бұрын
show Kali kinyama
@barikiarastus87707 жыл бұрын
Wanajua ku organize Sana show Hawa jamaa
@jacksonmgitaabwiro76817 жыл бұрын
Rostam...Nyie hatarii sana
@kalembojunior88347 жыл бұрын
rostam. hataree sana
@patrickmgata4457 жыл бұрын
Hatari sana
@kayumbasosthenes35967 жыл бұрын
Roma kaka mlijuaje we na stamina mnaendana kupiga kaz, ni sheedah
@promramson807 жыл бұрын
wametisha
@mursilmursal6 жыл бұрын
Hizi ndio ngoma
@victorsomba8677 жыл бұрын
September 2018 ???? Mwandishi nimekuogopa ghafla tu
@joachimjohn11887 жыл бұрын
dah siku zote vibe la hiphop ni kwere
@kendothemusic83677 жыл бұрын
Tammmm iyoooooooo
@henrymasunga89927 жыл бұрын
,,,#rostam mmetishaaaaaaaaaa
@djb2kzer07 жыл бұрын
Yaani tz bila hao hip hop zero in tz
@jaybchaponda68867 жыл бұрын
Nawapenda je mie
@kekiklion52477 жыл бұрын
Daaah.... Nilianza kwa mzuka nimemaliza kwa KULIA
@maxmilliangeofrey39577 жыл бұрын
roma ni hatari sana kwenye huu mziki
@danielnyambu28624 жыл бұрын
Huku ama kule Roma 💪 Stamina 👊
@MarickyTv7 жыл бұрын
2018?
@saskowell40614 жыл бұрын
Rostam Ni Hatari Sana
@juvenalymnyama7357 жыл бұрын
Rostam ni sheeedah viva hip hop
@georgepoka74467 жыл бұрын
Fiesta bila rostam .....ainogi
@kasaloojunior59397 жыл бұрын
Kiukweli Kwa Upande Wangu Nafikiri ROMA Hii Apa ALIIPANIA Sana KAMA Anashout Hivi Sio Kwa UBAYA Mi Naona Hivi..
@anthonyluganje83674 жыл бұрын
Roma mkali namkubali Sana Rostam
@hansclever3347 жыл бұрын
Hip hop ndio mziki show Kali na ya kibabe
@dicksonmarwa32457 жыл бұрын
Romaaaàa
@yusuphkirungi3737 жыл бұрын
Roma ni nouma ktk jukwaaa
@annacarlos79257 жыл бұрын
Mmetisha kweli simba na yanga
@georgerubeni36057 жыл бұрын
rostam big up san
@sabrasaid68427 жыл бұрын
Moro iweza moro mororoo hip pop on fireeee
@samwelmbeye33907 жыл бұрын
DAT we call real hiphop
@swidatyomary13806 жыл бұрын
Njoon bukoba jamn
@abrahammnyavanu44447 жыл бұрын
romaaaa mzukaa eeeeeeeh
@senzojackson38997 жыл бұрын
kama roma yupo na stamina lazima nitinge mwanza
@Aidansimwanza7 жыл бұрын
DJ unamzuka mpaka mzuka Mara paaaaaaa tunaisubiri Swanga aka swax city Sumbawanga
@gervaspaul20187 жыл бұрын
Stamina sjampatia picha
@alexkilolo50327 жыл бұрын
hatari sanaaaaaaa hawa raia
@castormpunga5287 жыл бұрын
performanc nzur kinoum
@saviongaila35467 жыл бұрын
100%
@hamisiseleman54267 жыл бұрын
Dunia khatar
@fdkdonard84897 жыл бұрын
hakuna fanani bila ya hadhira #rostam mmeua
@pascalnguruka99847 жыл бұрын
Kwenye jukwaa wanaojua kulishambulia vilivyooo ni Mr blue Roma Stamina
@official_ya137 жыл бұрын
Stamina cku nyingine mlete killer msodoki maan mkiw wa3 itakuw hatar saaaaana
+Masangu John Dee Mimi niko na mungu muda wote, swala 5: Ujinga Kama huu Siwezi kuusaport hata kidogo
@newsconnect17636 жыл бұрын
Hakika CLOUDS FM imekuwa Media kubwa kulingana na uongozi wake wandani na nje nawapongeza kwakweli kwakuleta mabadiliko makubwa katika Tasnia ya Habari mbali mbali#Mimi naitwa Meshack mitimali Makazi yangu naishi Mbeya jijiniNi muandaaji wa Hadithi zinazoishi za kale,za sasa na wakati mwingine naandika hadith za kufikilika sana Katika kazi yangu hiii nimeifanya miaka 8 sijapata mafanikio yoyoteSiku wakati naandaa Hadith yangu mpya Nikapata pia wazo ambalo ndilo hili naomba waungwana wangu mnisaidieNimeandika Story ambayo itaitangaza Tanzania kwenye uwanda wa film TanzaniaKaka zangu na Dada zangu naomba msikilize kilio changu Nina hadithi/cinema nzuri ambayo nahitaji kuifanya Msaada wenu naomba jamani Meshackmitimali@gmail.com0712888981
@missagatha17567 жыл бұрын
Hahahaaa eti wanajidai marasta halafu wanakula hadi nyama ya chura nomaaa sanaaa
@denismakweba38707 жыл бұрын
yan nkubali show ya Roma+ Stamina nibalaaaaaaaaaah Regret ukikosa show zaoooooooh
@AugumtuiRemmy4 ай бұрын
Tuleeten hawa watu pamoja tena.tumewamiss jukwaa moja
@shaibumahanda65017 жыл бұрын
rostam inaua makund yote ya hiphop tz hamna weus wala weupe hapa n rostam2
wanatisha hapa nje ila mbona hawatoki nje ya nchi ? wakapige show
@mswahilidsm92137 жыл бұрын
claus tuleteen ivo viumbe DOM CITY N SHEEEDAH NAZEE
@JonathanChuwa7 жыл бұрын
Mi ukinikata damu yang ni Lowassa mtupu..... Shangwe la hapa duh
@enockaugustino93677 жыл бұрын
sema nn.. hawajamaa wananipa fumbo moja hivi.. vip youngkiller & youngdee wakipanda jukwaani itatokea nn
@livionemwangemile49507 жыл бұрын
roma wewe atali unatisha
@Kingvictorentertainment20236 жыл бұрын
mnashuka noa and diamond anapanda sababu kuna watu wengi walikuja kwenu mpaka awakalia kama chid na q chila ile sku huwa naiangalia sana they new nyie ndo watu wakuwasaidia bt hamkuweka maanani npo korea mda mref bt kuna watu ambao watu wa east africa wakikaa wanawaongelea sana ni chid huyo jamaa bana ana jua kiukweli na mnajua plz muwekeni sawa anaweza na ata mkshndwa tutajitolea kusaidia tanzania hatujawai kupata mtu wa hiphop kama uyo plz mkitaka kuwa trnd kuwa na mashabik najua sa hi mnaushindani plz chid benz coz mmefanya mahojianomeng na huwa naona bt ile siku ya qchila na chid ilikuwa hot plz msaidien msela na msiwatupe wananii plz clouds tunaipenda ata kama kuna wengine bt mlkuwepo tangia so plz do sme thng i knw he wll be oky coz nawasliana nae hajawahi kuniona labda pic bt i gve hime wat i have coz i knw he is the best of the bst so plz gve him a scnd chnce plz
@promramson807 жыл бұрын
shoo ndowanaibeba hawa
@cholokanji71397 жыл бұрын
simba inawashabiki wengi tz
@kodipukupuku53407 жыл бұрын
mkopoa wazee
@wilhelmibaganisa81437 жыл бұрын
#Lowasaaaa kapata shangwee hatari
@qaraiserq65327 жыл бұрын
Hawa ndo wasanii wa kulipwa pesa nyingi
@kodipukupuku53407 жыл бұрын
wala kijani
@hemedytz30136 жыл бұрын
jaman sapot zenu tunaimba lakin 0655177067
@alhajisalehe51267 жыл бұрын
Hilo shangwe baada yakutajwa Lowassa ndo imenichosha tu
@patrickjohn25166 жыл бұрын
Kwa nn brooo
@michaelmchodo48877 жыл бұрын
stamina mzuka unakuzidi kiasi flani mpaka mashabiki wanakua hawakuelewi
@abdalathuman50377 жыл бұрын
Munaelew mnacho kifanya
@baddynapenya78157 жыл бұрын
Najitaidi kunusia munamopita hadi kiyeleweke
@allystandardtz80176 жыл бұрын
Wcb chuma chaleli
@didamugya60397 жыл бұрын
leta difenda,... leta wajeda
@monicasweetbert9587 жыл бұрын
dida mugya nice
@tripple_jonline57417 жыл бұрын
Mafundiiiiiiiiiiiiiii
@januarykanijo12455 жыл бұрын
kakawa
@barnabasdavid8487 жыл бұрын
m.kzbin.info/www/bejne/j2W2p6F9ebN-jtU kama shabiki wa ROSTAM bonyeza link hii ujionee balaa
@joohcloudy7387 жыл бұрын
apo mbn kwenye lowassa na simba shangwe jingi....ila me yanga na simwelew john kimambi
@barikiarastus87707 жыл бұрын
Hakuna cha difenda watimba na Noah ukasanda broo
@tinajohn52607 жыл бұрын
Noma sana
@Kingvictorentertainment20236 жыл бұрын
mnashuka noa and diamond anapanda sababu kuna watu wengi walikuja kwenu mpaka awakalia kama chid na q chila ile sku huwa naiangalia sana they new nyie ndo watu wakuwasaidia bt hamkuweka maanani npo korea mda mref bt kuna watu ambao watu wa east africa wakikaa wanawaongelea sana ni chid huyo jamaa bana ana jua kiukweli na mnajua plz muwekeni sawa anaweza na ata mkshndwa tutajitolea kusaidia tanzania hatujawai kupata mtu wa hiphop kama uyo plz mkitaka kuwa trnd kuwa na mashabik najua sa hi mnaushindani plz chid benz coz mmefanya mahojianomeng na huwa naona bt ile siku ya qchila na chid ilikuwa hot plz msaidien msela na msiwatupe wananii plz clouds tunaipenda ata kama kuna wengine bt mlkuwepo tangia so plz do sme thng i knw he wll be oky coz nawasliana nae hajawahi kuniona labda pic bt i gve hime wat i have coz i knw he is the best of the bst so plz gve him a scnd chnce plz