Hongereni watoto wazuri, huu ndio ukatoliki buana, najivunia kuzaliwa ndani ya Imani Katoliki.
@jenipherkyando4822 Жыл бұрын
Nimefarijika sana
@MatronaThomas-wz5si Жыл бұрын
Hongereni taifa la Mungu kristo Yesu awainue
@arereyMartha Жыл бұрын
Wapo vzr Mungu awabariki
@veronikamwampashe984 Жыл бұрын
Wametisha mno mungu awalee wasipotee
@esthermarymassawe9644 Жыл бұрын
Hongereni sana watoto mmeimba vizuri.
@FATUMAKilave Жыл бұрын
Mungu wabariki watoto jmn wanaimba vzr
@JaziraKasanga-lo5ls Жыл бұрын
Tuulienjoy sana jaman watoto walicheza vizur
@magrethmdemu3985 Жыл бұрын
Kwa kweli hawa watoto waendelee kuinuliwa na Mungu 🎉🎉 jumapili kwangu ilikuwa furaha tupu.
@TheresiaUrban4 ай бұрын
Hongeren sana watoto wazuriiii mmenifanya nitaman kurud utoton
@PHILOMENAKIBUMO Жыл бұрын
Hongereni watoto pamoja na walezi wenu mwenyezi mungu awabariki sanaaaaa
@gotoaonlinetv1712 Жыл бұрын
Waziri. sana
@FausitnePonera-fq9pj Жыл бұрын
Nimetaman kulia wameimba vizuri
@gotoaonlinetv1712 Жыл бұрын
Sana. Vizuri.
@sesicasi1364 Жыл бұрын
Wamefanya vizuri mno! Tuwaombee baraka na mafanikio maishani mwao.
@NEEMALINUS-vt4gv Жыл бұрын
Nakumbuka mbali sana jamani
@gotoaonlinetv1712 Жыл бұрын
Sana
@robbyman6213 Жыл бұрын
Enzi zangu nakumbuka mbali sana
@LeonardinaKisapi Жыл бұрын
Hongera Sana watoto
@franciscomohamedjumanne1136 Жыл бұрын
Kwakweli pekee nilibarikiwa na watoto walinitoa kimasomaso
@helencyprian8745 Жыл бұрын
Machozi yamenitka ya furaha, Mungu endelea kuinua taifa lako hili
@helencyprian87455 ай бұрын
Hata mie nitokwa na machozi ya furaha jamani, sichoki kuiqngalia hh video. MUNGU atutunze sana jamani tuendelee kuinjilisha na watoto wetu wakue katika maadili mema.