No video

TAZAMA ZABRONI SINGERS WALIVYO IMBA MKONO WA BWANA MBELE YA RUTO NCHINI KENYA

  Рет қаралды 642,804

MATENDO MEDIA

MATENDO MEDIA

Жыл бұрын

#zabronsingers #kenya #mkono_wa_bwana

Пікірлер: 266
@angieblessed
@angieblessed Жыл бұрын
Tanzanian are more than our neighbors. May God that we serve here in Kenya bless you mighty.
@naomynyanganyi4710
@naomynyanganyi4710 Жыл бұрын
Nimeona Magoha,😭😭😭 R. I. P kiongozi
@melsaawinja5614
@melsaawinja5614 9 ай бұрын
Kwani wamesema uone maghoha😀😀😀💗
@Hundson_Jospeezy
@Hundson_Jospeezy 2 ай бұрын
Enamba yooka
@helgethomassen5818
@helgethomassen5818 8 ай бұрын
I got tears in my eyes so beautiful, greetings from Norway / Northern Europe
@timothymoshi5800
@timothymoshi5800 Жыл бұрын
Kenya mmebarikiwa. Mmempata rais anaemtanguliza na kumtumaini MUNGU. Hongereni.
@shikungamau9359
@shikungamau9359 Жыл бұрын
Watanzania walikuwa wa azimio
@timothymoshi5800
@timothymoshi5800 Жыл бұрын
@@shikungamau9359 wakati wa campaign tunatofautiana. Baada ya uchaguzi kumalizika, Na rais akapatikana tunakuwa wamoja,,na tunajenga nchi Kwa pamoja Na tunapendana. Au Huko kwenu baada ya uchaguzi inakuwaje ???
@magreththomas2719
@magreththomas2719 Жыл бұрын
😂😂😂tunawaonea wivu
@esthermutunga4868
@esthermutunga4868 Жыл бұрын
Makofimingi sana
@timothymoshi5800
@timothymoshi5800 Жыл бұрын
@@magreththomas2719 Dada yangu Mage, MUNGU ni mwema kila wakati. Amewavusha salama ndugu zetu kipindi cha uchaguzi kilichopita. Na Kwa sasa Amani imejaa Tele na kufurika Kenya. Tunafurahi pamoja nanyi, .na utukufu na shukrani ni za MUNGU wetu.
@wafabian8116
@wafabian8116 24 күн бұрын
The same God we praise when HE give us president Ruto HE is the same God we are praising today things are confusing and HE gonna deliver us HE is able
@Jeremiahlukumay
@Jeremiahlukumay Жыл бұрын
Congratulation president of Kenya Mr Wilium Samoay Ruto kazi imeanza kuonekana my lover leader.
@vanessamunyao96
@vanessamunyao96 3 ай бұрын
Saa hii kinaturamba vibaya😂😂😂
@rhodakisena6428
@rhodakisena6428 Жыл бұрын
Ruto safi sana umempa Mungu heshima yake. Utawala wako ukue uwe na baraka na amani hata mwisho.
@maramdaudjames8732
@maramdaudjames8732 11 ай бұрын
Amina akika mungu ni wa kwanza
@jamesmuriithi9254
@jamesmuriithi9254 Жыл бұрын
Kiongozi mcha Mungu ataliongoza taifa katika katika upeo wa juu.
@DamaclineOngute
@DamaclineOngute 29 күн бұрын
Enyewe ni mchaMungu Lakini Genz wamempanga
@mrssugut9045
@mrssugut9045 Жыл бұрын
This God we serve ..he never fails .he never lies...he is God and none beside him
@FredGDangote
@FredGDangote Жыл бұрын
Amen.
@terezamwandira-ss3vd
@terezamwandira-ss3vd 5 ай бұрын
I cant wait to go home and Praise God forever❤
@haruniaisha5905
@haruniaisha5905 Жыл бұрын
Mungu ailinde mipaka yako luto kwani kenya kuna kwaya ngapi mpaka ukaona tz ❤❤❤❤❤
@selector728
@selector728 2 ай бұрын
Ruto sio Luto
@mutaijoshua8364
@mutaijoshua8364 Жыл бұрын
Just in what blessings until him Sir William Samoei Ruto had to give this song a standing ovation be blessed our president u really love this song.... many many years to you sir
@kwizeraelly9261
@kwizeraelly9261 Жыл бұрын
HAKIKA Tumeuona MKONO wa Mungu Kenya nikiwa TANZANIA.Rais Umebarikiwa SAAAAANA KUMWINUA MUNGU NAYE ATAKUINUA IKIWA HUTALEWA MADARAKA.
@thedaveiknow.
@thedaveiknow. 3 ай бұрын
Thank you God for my US visa ❤🙏
@lucasmwanangoni8484
@lucasmwanangoni8484 Жыл бұрын
Barikiwa sana president Ruto kwa kumhushimu Mungu katika kila hatua ya Maisha. Hakika hautotikisika kamwe.
@DorothyLango
@DorothyLango 9 күн бұрын
The song is too sweet
@gracejulius3750
@gracejulius3750 Жыл бұрын
Muñgu yu mwema Sana ongera kenya
@judymoraamachongo99
@judymoraamachongo99 Жыл бұрын
They were well prepared with the assignment congratulations to you guys you nailed it
@susangicure693
@susangicure693 Жыл бұрын
✝️I Salute you President Dr William S. Ruto; 1st Lady Racheal Ruto. Vice President Rigathi Gachagua; Pastor Dorcas Rigathi Gachagua. Wow!!! TO GOD ALMIGHTY BE ALL THE GLORY. AMEN. This is surely meant to be appointed Choir for State House. Very Powerful! AMEN. Phenomenal!!!☮️ GOD’S BLESSINGS. IF GOD ALMIGHTY IS FOR us President Wetu, Who can be against You/us. KENYA YETU IMEMBARIKIWA KUWA NA Wewe Raisi Dr. W.S. Ruto.🙏. You’re in our Thoughts & Prayers. AMEN. AMEN. AMEN.
@shwaibubuge2441
@shwaibubuge2441 Жыл бұрын
Amen zabroni mnaimba vzr sana kira nikisikiliza nyimbo zenu nabarikiwa sana
@daudichoghoghwe5035
@daudichoghoghwe5035 Жыл бұрын
Kiukweli hiinyimbo hainikumbushi kingine zaidi ya uchaguzi mkuu wa 2022 hasa kwamgombea wa uda mh william samoei arap rutoo mungu ambariki atimizie wananchi wa kenya mahitajiyao ya msingi
@henrybitok8504
@henrybitok8504 10 ай бұрын
Hakika mkono wa Bwana tumeuona.
@Reneyumba-d6q
@Reneyumba-d6q Ай бұрын
😢 am from Congo DRC, but I can just say, it's deep the song 😢
@mamiwanjeshim6681
@mamiwanjeshim6681 Жыл бұрын
Surely victory belongs to jesus 🙏🙏🙏
@FredGDangote
@FredGDangote Жыл бұрын
Amen.🙏
@jacklinejosam3713
@jacklinejosam3713 Жыл бұрын
Hongera sana Kenya mna Raisi mcha Mungu,hapando nakumbuka JPM wetu
@christinetina1697
@christinetina1697 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@thedaveiknow.
@thedaveiknow. 3 ай бұрын
Anen❤
@linetgaicugi-rg4bt
@linetgaicugi-rg4bt Жыл бұрын
Waoh I can't forget this day God chosen leaders
@JumaSatarajr
@JumaSatarajr 5 ай бұрын
Jafet zabroni natumain woteniwazim nawapendasan nampendamtoto wavictoriatenasan. ILOVEYOU🎉❤🎉❤❤❤❤❤🎉
@franknahurira6335
@franknahurira6335 Жыл бұрын
Waaawo amazing gospel song. Glory be to God Amen.
@user-mz5mi6xm2u
@user-mz5mi6xm2u 7 ай бұрын
I can remember that day it was very very painful
@lilykarim8968
@lilykarim8968 Жыл бұрын
Mnanikumbusha magufuli wetu mmepata chombo kitoka kwa mungu kitumieni ipasavyo msije mkajuta kama sisi tanzania
@idrissamohamed1100
@idrissamohamed1100 Жыл бұрын
Unajutia nini Mwenzetu?
@josephshuma1975
@josephshuma1975 Жыл бұрын
Usimfananishe Ruto na vitu vya ajabu wewe!!!!
@lilykarim8968
@lilykarim8968 Жыл бұрын
@@josephshuma1975 ansante naona umarizika
@peterochieng536
@peterochieng536 Жыл бұрын
Akuna Umungu hapo .. ni kuhide day from night .. tuache kupretend jameni..
@vennyvenna9959
@vennyvenna9959 Жыл бұрын
Amen 🙏🙏 Amen now let's pray for peace everywhere in our country bcoz what is going on now it's only God knows
@annchepchirchir8222
@annchepchirchir8222 Жыл бұрын
Mwenyezi Mungu apewe sifa milele na milele! Amina!
@jerffersontoo8294
@jerffersontoo8294 Жыл бұрын
The day my father died dance with the angels dad😢😢
@salomemgaya1244
@salomemgaya1244 Жыл бұрын
Kenya Mungu amewakumbuka ,kupata kiongozi mwenye kumtumaini Mungu ni neema sana ,msiichezee hiyo nafasi . Angalia tz saa hii tunavyolia, na hana mpango wa kutusikia vilio vyetu.
@thulanimashaba8491
@thulanimashaba8491 Жыл бұрын
We ulitaka Raisi wa Tz akusaidie nini?Fanya kazi Dada acha kulia lia.
@mundugichini7886
@mundugichini7886 Жыл бұрын
Ruto ni mkora na mwizi
@beckybecks5737
@beckybecks5737 Жыл бұрын
@@mundugichini7886 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 tell them Ruto ni mwizi hodari
@CatherineKibona-sb5xx
@CatherineKibona-sb5xx Жыл бұрын
@@beckybecks5737 .
@rebeccamaunde4085
@rebeccamaunde4085 Жыл бұрын
Zabroni singer we love you guys..wonderful song
@rahmasuleiman9334
@rahmasuleiman9334 6 ай бұрын
BarkhaAllah ❤❤❤🎉🎉🎉
@eveimbusi5940
@eveimbusi5940 Жыл бұрын
Mkono wa bwana unatenda tunashukuru Mungu
@gabrielsyovo6299
@gabrielsyovo6299 9 ай бұрын
That song make me cry
@davidmutemi7438
@davidmutemi7438 Жыл бұрын
My prayers, the government should fulfill its promises to the people, that was a great love and trust for the Kenya kwanza government, hongera
@edwardmwiti3303
@edwardmwiti3303 Жыл бұрын
Hongera Rais William Samoei ARAP RUTO,sasa tumikia wananchi wote kwa haki
@kassabkassab8901
@kassabkassab8901 Жыл бұрын
Amen ❤️ ❤️ ❤️ ❤️ mungu ni mwema kweli 🙏🙏🙏🙏
@user-fm9cd6sz8k
@user-fm9cd6sz8k Жыл бұрын
Nyimbo Bora sana
@wezhc3013
@wezhc3013 Жыл бұрын
May Allah guide you all to the right path (Islam )
@user-bv1ze7mw7g
@user-bv1ze7mw7g 3 ай бұрын
Having A God knowing president. Long life your Excellency
@marienicholus6528
@marienicholus6528 11 ай бұрын
this was the day , i love this song
@mpawenimanaaaron9155
@mpawenimanaaaron9155 3 ай бұрын
Waouuuuuh
@yassirmussa-hp7kp
@yassirmussa-hp7kp Жыл бұрын
Ilibaki kidooogo yaani afande aanze kucheza angalia kwa makini
@user-jx6bf3ie6q
@user-jx6bf3ie6q Жыл бұрын
I was happy to be entertained too by Zablon singers mbarikiweee
@jacintagitau4105
@jacintagitau4105 Жыл бұрын
Waw practice vile mbinguni tutasifu..glory to God
@susanmwanaidi6176
@susanmwanaidi6176 Жыл бұрын
Thank you lird for giving us this man as our president
@maikoisack100
@maikoisack100 10 ай бұрын
AMINA
@marywanjiku3026
@marywanjiku3026 Жыл бұрын
The same God mwenye atasimama nasi kama wakenya
@waywepet6871
@waywepet6871 7 ай бұрын
Sahi amefukuza waegezaji karibu wote sasa imebaki kutoza wananchi wa chini ushuru
@dainageorge720
@dainageorge720 3 ай бұрын
CS Kithure Kindi thanks for your good job
@febroniabarnaba2313
@febroniabarnaba2313 Жыл бұрын
Kenya mmepata rais mzur had tz tunawaonea wivu😢😢
@Kager02
@Kager02 Жыл бұрын
Nkt..muuwaji huyu,mfisadi mkubwa anayejificha nyuma ya kanisa
@vincentkipkemoi1381
@vincentkipkemoi1381 Жыл бұрын
@@Kager02 propaganda endeleeni kuzimia
@Kager02
@Kager02 Жыл бұрын
Now go brush your teeth kipkemoi
@vincentkipkemoi1381
@vincentkipkemoi1381 Жыл бұрын
@@Kager02 hadi 2032 buda,
@Kager02
@Kager02 Жыл бұрын
@@vincentkipkemoi1381 because that's all you care about anyway. You gave this country to people who think university education is useless so I'm not suprised that you don't care about the future of this nation
@dianakalimba
@dianakalimba 11 ай бұрын
Praise the Lord 🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗
@lattatano1747
@lattatano1747 6 ай бұрын
Tu es un don du gospel bravo trop doux et de toutes les doucettes
@DominicHutuny-pz7sn
@DominicHutuny-pz7sn 3 ай бұрын
My dear brother and president
@kennethkimani5984
@kennethkimani5984 Жыл бұрын
I like this song so much, congratulations zabro singers
@raymondodhiambo1552
@raymondodhiambo1552 Жыл бұрын
Wimbo mzuri ila kwa waliokwazwa na matokeo hawakuhisi vyema siku hiyo
@kimanigithecha347
@kimanigithecha347 Жыл бұрын
Almighty GOD of unfailing love 💕, merciful and compassionate. Almighty GOD reigns forever 🕊️🙏
@richardchuwa4402
@richardchuwa4402 Жыл бұрын
Nice kenyan
@Johnnie.234
@Johnnie.234 Жыл бұрын
Amen and amen
@yesitchelimo5439
@yesitchelimo5439 3 ай бұрын
That's why we love president Ruto to the marrow in uganda, very holy
@user-pm1bs8gf7w
@user-pm1bs8gf7w 5 ай бұрын
Ruto ni rais mwenye hufu ya mungu Marais wa firika mujifunze wa Ruto
@maliti_am9500
@maliti_am9500 Жыл бұрын
So sad we thought freedom has come but sahi tunasikitika kua wakenya!!Shame!!!!
@user-eh7pp8pj5k
@user-eh7pp8pj5k 7 ай бұрын
Zimbabwe President ❤
@fangacaccccccccc
@fangacaccccccccc 6 ай бұрын
Makosaaaaaaa ilifanyika..
@superurbantalent1809
@superurbantalent1809 6 ай бұрын
,😅😅
@njeriwaweru4232
@njeriwaweru4232 3 ай бұрын
😂😂
@kennethkoech4138
@kennethkoech4138 2 ай бұрын
Historic
@wilfredmudoga3972
@wilfredmudoga3972 Жыл бұрын
Rest in peace Prof. MAGOKA
@jakee2041
@jakee2041 Жыл бұрын
Ameeen. Ameeen. Mungu huinua watu mwenyewe akiona INAPENDESA.
@patriciachepngeno3190
@patriciachepngeno3190 Жыл бұрын
My president William RUTO, my best role model. I
@armstrongbarasa2116
@armstrongbarasa2116 Ай бұрын
The beginning of our cries as Kenyans 😭😭😭😭😭
@Tarkwen
@Tarkwen 7 ай бұрын
I was so happy here that RUTO was the president at long last.... One year later.. inanirambaa kweli kweli
@jerryjerryjerry7446
@jerryjerryjerry7446 Жыл бұрын
CS Magoha ako tu za ☹️☹️😏😏hahahaaha this man is ever serious!.... Watu wako za😅😁yeye ako za😡😣😖
@thedaveiknow.
@thedaveiknow. Жыл бұрын
Fear of God is the beginning of Wisdom
@vincentkipkemoi1381
@vincentkipkemoi1381 Жыл бұрын
Rest in peace Prof Magoha, he featured in this video
@david.lssempijja2534
@david.lssempijja2534 2 ай бұрын
Music that positively impacts nations
@user-bc8sd7rs9n
@user-bc8sd7rs9n Ай бұрын
God
@lazarojohn-kd6gs
@lazarojohn-kd6gs Жыл бұрын
Nimebarikiwa Sana,amen
@simulizi2632
@simulizi2632 Жыл бұрын
Yani hii nyimbo baada ya ushindi unalia kwakweli 🙏🏾
@user-hn5un9rt7m
@user-hn5un9rt7m Жыл бұрын
Hongera rais wetu
@khadi-z4o
@khadi-z4o Жыл бұрын
Jambo Tanzania
@magdalenewanjiru4595
@magdalenewanjiru4595 Жыл бұрын
Thanks be to God. May God always guide you my dear president
@levisogega2319
@levisogega2319 Жыл бұрын
With what i know about Kenya Elections my love for Zabron singers ended on this day
@alonerpunk
@alonerpunk Жыл бұрын
What do you know about Kenyan elections?
@7thestate777
@7thestate777 Жыл бұрын
Poor kenyans footed almost a hundred billions to secure the most credible election in the world ... but raila never realised what he has been fighting for all his years had just been born!!!. Sometime you can wait and fight for something for too long like pharisees till when u get it you never realise. That's raila
@tonymverah8059
@tonymverah8059 3 ай бұрын
​@@alonerpunkkenyan elections are a big fraud
@deusdedit789
@deusdedit789 Жыл бұрын
Mbona kama nimeanza kuwaonea wivu wa kenya
@Irah_w
@Irah_w Жыл бұрын
Mbona 😂
@juliethhouseofdesigns147
@juliethhouseofdesigns147 Жыл бұрын
mbona
@johnmalembeka3546
@johnmalembeka3546 Жыл бұрын
Rostam aziz ndani ya nyumba
@iyaamoding8945
@iyaamoding8945 Жыл бұрын
Amen Amen, God bless Kenya
@wycliffeanari1739
@wycliffeanari1739 3 ай бұрын
God's time's the best.. ❤❤
@IrlaneideAngelica
@IrlaneideAngelica 4 ай бұрын
Amo este louvor
@noahruto8546
@noahruto8546 Жыл бұрын
Amen mungu ni mwema 😢
@martinmutua300
@martinmutua300 Жыл бұрын
Wewe juwezi kujua hakuna mungu hapo nikujifisha kanisani
@noahruto8546
@noahruto8546 Жыл бұрын
Ulixia mamayko wacha upuzi shienzi kaa n mganga bondo
@tonymverah8059
@tonymverah8059 3 ай бұрын
​@@noahruto8546saa hii unakatwa taxes like nonsense 😂
@LYDIAH-sr7oh
@LYDIAH-sr7oh 5 ай бұрын
Thank alot our chour,be blessed❤❤❤❤🎉🎉🎉
@user-om3jd6kq4p
@user-om3jd6kq4p 5 ай бұрын
So LOVELY TO JEHOVAH !!! SO LOVELY TO ALL #KENYANS !!!
@IrlaneideAngelica
@IrlaneideAngelica 5 ай бұрын
Aleluiasssss
@adelabahati976
@adelabahati976 Жыл бұрын
Kabisa hawa waimbaji wanastahili baraka
@madammage4151
@madammage4151 Жыл бұрын
Kenya mungu amewapa raisi anayemjua mungu Kama alivyokua magufuli wetu
@cosmaswilliam3805
@cosmaswilliam3805 Жыл бұрын
Ogopa udikiteta wa utawala Bora.
@user-jx6bf3ie6q
@user-jx6bf3ie6q Жыл бұрын
My presidents fevorit song❤❤
@patrickmutuku871
@patrickmutuku871 Жыл бұрын
Dancers were on top
@GeorginaSaffa-Smith-qw3eq
@GeorginaSaffa-Smith-qw3eq 7 ай бұрын
AMEM AMEM AMEM AMEM AMEM AMEM AMEM AMEM AMEM AMEM AMEM
@user-xi3om9df8v
@user-xi3om9df8v 9 ай бұрын
Balikiwa sana
@kennekemboi2123
@kennekemboi2123 Жыл бұрын
Kweli mungu ni mguu, Amen
MKONO WA BWANA by Zabron Singers (SMS SKIZA 8561961 TO 811)
5:50
Zabron Singers
Рет қаралды 59 МЛН
Comfortable 🤣 #comedy #funny
00:34
Micky Makeover
Рет қаралды 16 МЛН
A little girl was shy at her first ballet lesson #shorts
00:35
Fabiosa Animated
Рет қаралды 22 МЛН
Mkono wa Bwana by @ZabronSingers during the Kuria Centennial Celebrations
5:34
West Kenya Union Conference
Рет қаралды 125 М.
Fortune Mwikali’s Wedding. Landing in a helicopter.. See full video
10:40
Stephen Kasolo Official
Рет қаралды 992 М.
MKONO WA BWANA LIVE UKUMBINI. UTAHISI KUBARIKIWA NA BURUDANI HII.
7:32
Victoria Zabron From Zabron Singers finally speaks
5:28
Coast Media Plus
Рет қаралды 17 М.
TABIA ZA WALUHYA BY: MC JESSY
14:23
Churchill Television
Рет қаралды 725 М.
Nakutuma Wimbo || 100 years celebration of Adventism in Kuria
4:26
West Kenya Union Conference
Рет қаралды 236 М.