Рет қаралды 31
Wazalishaji wa bidhaa za ngano wameishauri serikali kuona namna ya kuwawezesha wakulima wadogo mikopo ya riba nafuu itakayowawezesha kuongeza uzalishaji wa nazi kutokana na zao hilo kuwa na uhitaji mkubwa kwenye viwanda mbalimbali ikiwemo vya kuzalisha bidhaa za ngano.